MREMBO WA KENYA ALIYE FANYA MAANDAMANO AFIKA TZ,AFUNGUKA CHANZO CHA MAMBO YOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 162

  • @user-ns3so9wv1f
    @user-ns3so9wv1f 5 วันที่ผ่านมา +8

    😢uyo ntangazaji anauliza
    Maswali nikama haelewi
    Haoni vile hali ziko kenya

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 3 วันที่ผ่านมา +8

    Sio huyo uongo tu mwenye mulompost na huyu ni wawili tofauti

  • @hassanabdullah2191
    @hassanabdullah2191 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi ni mkenya Niko Nairobi huyo dada ni mwuongo sana hakuwa Kwa madamano

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 5 วันที่ผ่านมา +13

    Uyo cyo yy.. Yani majitu humu mmepangwa mkapangika

    • @youngmum3115
      @youngmum3115 3 วันที่ผ่านมา +1

      Walahi tena

  • @NajmaNAJMA-zu7od
    @NajmaNAJMA-zu7od 4 วันที่ผ่านมา +7

    Msanii wa Kicheche huyu nimemkumbuka

  • @RoseKasichana
    @RoseKasichana 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nakataa huyo hawafanani na mwenye kupambania haki zetu

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi วันที่ผ่านมา

    Dada amesema ukweli kuhusu mwaada wa pesa ulikuwa ufanye maisha yapande na kuwa ngumu zaidi.. Lakini mambo memgi yalikuwa yakichemka chini chini kama uporaji wa pesa za uma na maofisa wa serekali ya Ruto. Kiburi Madharau urongo ,majivuno kwa wananchi na wale wandani wa ruto ambao wamekuwa ma bilionea maea moja wakitembea na magunia ya pesa kila weekend wakijionesha na magari makubwa na mahelikopta wamenunua na pesa zetu wametuibia. Uchungu mwingi ni kwamba hospitali, shule vyuo bikuu kila kitu kime fail kenya na kusimama. Hakuna madawa,shule hazina virabu walimu, na karo.iko juu sana na bado wanazidi kutuibia na kodi.

  • @evansonjunior7355
    @evansonjunior7355 วันที่ผ่านมา

    Huyu si yule Dem,yule ni muislamu hufunga kichwa,..pili hicho kiswahili si Cha mkenya,..ni Safi Sana

  • @JonathElickford
    @JonathElickford 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo takataka tuu anataka na Tz waje watupandikize roho za hovyo sisi

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe mtangazaji hujuwi police ni mulinzi wetu tunamulip Kodi zetu

  • @user-ic7felix
    @user-ic7felix 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo sawa kabsa maisha inaenda sana mafuta pia

  • @Zimwilishe
    @Zimwilishe 3 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂Jifunze kutamka vizuri jina la Gen-Z kaka. Unaonyesha kutofanya research

  • @mwanamgenimwamzandi1941
    @mwanamgenimwamzandi1941 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu dem sio yule kwanza yule Mrefu na hata iyo ddye kwa kichwa

  • @pascalmsechu6874
    @pascalmsechu6874 4 วันที่ผ่านมา +2

    WaKenya ni Wakurya waliochangamka zaidi..

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi วันที่ผ่านมา

    Ruto na wandani wake hawawezi kuwa wanakopa pesa inje wakidangabya ni za maendeleo nchini na kuweka kwa benki zao. Tumekataa.Kenya tunataka kujua kodi zetu zinafanya nini. Pesa ziliyo kopwa zilifanya nini. Period. Hiyo ndiyo inatuumiza roho zetu. Tunataka audit ya deni ya nchi tujue tunalipa nini na kama ruto alokopa na kuiba hiyo si deni ya wakenya.

  • @ElizabethMunyau-ol1lj
    @ElizabethMunyau-ol1lj 3 วันที่ผ่านมา

    Chunga sana dada,unajua serekali yetu kenya,wakati wowoto unaeza "potezwa"

  • @MagdqlineMutei
    @MagdqlineMutei 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂 kweli uwa mnakorongeka kwel uyu c mwenye alikuwa kwa maandamano.

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 5 วันที่ผ่านมา +6

    Wakenya wana ushujaa wa hali ya juu 💪

  • @FidkimKim
    @FidkimKim 4 วันที่ผ่านมา +1

    Fidd kim Kenya 🔥🔥🔥🔥

  • @KennNafisha
    @KennNafisha 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aliyekuwa kwenye maandamano ni luhya

  • @koringobenard6764
    @koringobenard6764 3 วันที่ผ่านมา +1

    huyo si yeye buanaaa😅

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kama anawacha mwili yake nje nje anauza nini hapo kwa studio ?🤣🤣🤣🤣

  • @michaelkanene744
    @michaelkanene744 2 วันที่ผ่านมา

    Kumbe hizo kofia na scarf zilificha mengi.Ukiangalia picha ya maandamano ako fiti lakini hapo kwa mahojiano hamna kitu

  • @omarsuleiman1448
    @omarsuleiman1448 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo sio mkenya ni manzanita manono anavyo tamka kiswahili sie wetu

  • @nancynancy4362
    @nancynancy4362 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmmm hiyo sure yenyewe haifanani kabisa nayule dema sheki

  • @otienofredrick2656
    @otienofredrick2656 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio yeye ata sura na sauti haziambatani,aache kujificha kwa kipaji/ Ujasiri wa "Shujaa Shakira Wafula"..

  • @christinekedogo9308
    @christinekedogo9308 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio huyu uongo ❌❌❌❌ uongo uongo uongo uongo uongo uongo ❌❌❌❌

  • @timopanga5286
    @timopanga5286 3 วันที่ผ่านมา +1

    Achen ushamba cy yy mnatulisha matango pori

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 3 วันที่ผ่านมา

    Usitulishe matango pori sasa mbona humuulizi kaja fanya nini huku TZ wakati maandamano hayajaisha ?

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 3 วันที่ผ่านมา

    Nyie mna matatizo, yaani huyu ni mrembo! Duuh.

  • @user-nb5fk2qh9c
    @user-nb5fk2qh9c 2 วันที่ผ่านมา

    Maandamano ya amani wakati mnavunja maduka mnaiwaibia raiya wenzenu

  • @maadinaaasthman3848
    @maadinaaasthman3848 2 วันที่ผ่านมา

    watanzania ujinga ndio inawasumbua huyo dada labda alikuwa maandamao dar es salaam lakini sio Kenya

  • @eliasmajambomwinyihaji1335
    @eliasmajambomwinyihaji1335 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa vijana wanadanganywa na viongozi mana huwezi sema mkate unapanda akae ajue mkate huo huo miaka ya nyuma ni tofaut na sasa na huo mkate utakua bei ya juu miaka ijao hili lipo wazi na hakuna mtu anaweza kulipinga .makundi kama haya yalikuepo enzi za jomokenyatta na walipotea iwe hao ,wajue yule raisi ruto yuko na akili nyingi sana kushinda hao GEN Z mana alikua toka enzi za raisi moi ,mwai kibaki ,uhuru yuko na mbinu nyingi sana .bei zitapanda watake wakatae iyo ni lazima kwa taifa lolote ikiwa dollar ya American huwaga inapanda iwe chakula chenu hapo kwa taifa lenu,ikiwa American chakula kinapanda iwe kenya acheni ugwese huo

    • @AaAa-rx1ug
      @AaAa-rx1ug 3 วันที่ผ่านมา

      Ruto ana lolote and he must go

  • @SusanNeymar
    @SusanNeymar 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo sio yeye 😢😢

  • @warekomora296
    @warekomora296 2 วันที่ผ่านมา

    Huyoo niwamganga kicheche bana acheni mchezooo

  • @user-do2id6pp4g
    @user-do2id6pp4g 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo anehoji nae aende akajifunze tena hamna kitu

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 5 วันที่ผ่านมา +1

    ama kwel huyo ni mrembo..hongera zako mdada mzuri

    • @jum4771
      @jum4771 3 วันที่ผ่านมา

      Huyu si yeye

    • @femidayahaya9293
      @femidayahaya9293 3 วันที่ผ่านมา

      @@jum4771ni kwel ila hata yee pia ni mrembo sema tu hiyo blich ndio cjapenda huko kichwan but very beautiful

  • @FaithKibwii
    @FaithKibwii 2 วันที่ผ่านมา

    Uko sure mliandamana juu ya vitu kupanda hama ni financial bill?

  • @aishazakaria5322
    @aishazakaria5322 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu c mrembo wa kenya bro usitupime wewe😂

  • @warekomora296
    @warekomora296 2 วันที่ผ่านมา

    Huyoo n familia ya mzeee kicheche bana

  • @MarionAnzazi
    @MarionAnzazi 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo siye ni yule msichana mwenye alicheza kama mtoto wa kicheche kutoka kenya

  • @user-xf6oh2dx4c
    @user-xf6oh2dx4c 2 วันที่ผ่านมา

    Mkamba original

  • @thamani5842
    @thamani5842 3 วันที่ผ่านมา

    Alikua akae ukouko aandamane si haogopi, kilichomleta Tz kitu gani?

  • @LylahMrombo
    @LylahMrombo 3 วันที่ผ่านมา

    Polisi Kenya n raia km mm n sare 2 ndo zatutofautisha 2 n pia Askari w Kenya wanaishi nje y vituo vya polisi n so lazima kila m2 awe n heshima

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 3 วันที่ผ่านมา

    Uongo ata Leo tuko kwa mahandamamo 😂Waja uongo

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 5 วันที่ผ่านมา

    Good job

  • @dominicogutu4452
    @dominicogutu4452 2 วันที่ผ่านมา

    Hata kama hatuna macho huyu ziii

  • @user-rc2ye4ri6t
    @user-rc2ye4ri6t 3 วันที่ผ่านมา

    Muongo sio hyo wacheni habari za uongo shenzi nyinyi

  • @julius3222
    @julius3222 3 วันที่ผ่านมา

    Gen Z Tunakuja tz tuesday ole wenu

    • @fatumasaid1149
      @fatumasaid1149 3 วันที่ผ่านมา

      Karibuni mnakaribishwa😂😂😂😂

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂some people love camera

  • @thamani5842
    @thamani5842 3 วันที่ผ่านมา

    Ruto njoo uchukue 'mrembo' wenu kakimbilia Tz huku

  • @christophermuchangi6469
    @christophermuchangi6469 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo apana hakuwa maandamano

  • @jamkay9786
    @jamkay9786 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni TZ

  • @user-ob7kr1lk6k
    @user-ob7kr1lk6k 3 วันที่ผ่านมา

    Ni mkenya na anaikiza na kacheche familia clip

  • @KennNafisha
    @KennNafisha 3 วันที่ผ่านมา

    Sio huyo, please huyo ni mkamba

  • @ElizabethMunyau-ol1lj
    @ElizabethMunyau-ol1lj 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio mwenye mnadhani

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 5 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu si yeye hamuoni picha ni tofauti??? Ubaya ya TZni Kiki,, yule wa kenya hana matiti makubwa na huyu ni mubonge na mweusi

    • @hakimundabila7940
      @hakimundabila7940 4 วันที่ผ่านมา +1

      Yule Hana cowbel kama hizo 😛😛😛

    • @user-dh1ch2xf1w
      @user-dh1ch2xf1w 3 วันที่ผ่านมา +1

      hyo ni mkenya namjua anakaa kule kilifi mtwapa lakini akua yeye kule kwa mamdamano

  • @Marymuriuki-mp1en
    @Marymuriuki-mp1en วันที่ผ่านมา

    Sio yeye hiyo ni uongo,

  • @youngmum3115
    @youngmum3115 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂watu na content kizungu cha huyu si kama cha mrembo wetu....kwani watu mbona mnakua ovyo hivi

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 5 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa umoja ni nguvu

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo hajuwi lolote wenzake hawajafanikiwa yeye ameanza kutuhamasisha SS Tanzania Bado munashiba mpaka 2030 Tanzania covid19 wasila musingwa Dr silaa wanasanifu watu ipo siku

  • @paulineafuande7226
    @paulineafuande7226 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio shakiraa😂

  • @GREATFILMSPRODUCTION
    @GREATFILMSPRODUCTION 3 วันที่ผ่านมา

    huyu NI mkenya Ila n msanii wake #kicheche

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 5 วันที่ผ่านมา

    Nyie mwangalieni kichwa kama Laweka madawa ya kulevyo😂😂😂

  • @frankmataka7185
    @frankmataka7185 4 วันที่ผ่านมา

    Huyo msichana hafai kakimbia kwao arudi kwao

  • @user-hn6kv6xe7m
    @user-hn6kv6xe7m 5 วันที่ผ่านมา

    Bac kama huyu ni mrembo wa Kenya ,bac Kuna wanawake wabaya sana 😂😂

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974 5 วันที่ผ่านมา

    mtangazaji anataka kupigwa😂😂

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo sie Shakira MBWA ww

  • @SamuelKimani-xk5fl
    @SamuelKimani-xk5fl 3 วันที่ผ่านมา

    Wee wakenya tusoma tujia haki zetu baba

  • @KulthumMohamed-fk6zj
    @KulthumMohamed-fk6zj 3 วันที่ผ่านมา

    Acha kuharibu kazi yako huyo siyo yeye

  • @youngmum3115
    @youngmum3115 3 วันที่ผ่านมา

    Shes not the one .....wacha kudanganywa!!!!!!

  • @righttoknowwiththomas9178
    @righttoknowwiththomas9178 3 วันที่ผ่านมา

    Lafudhi ya wameru wa kenya

  • @calvinsotieno5880
    @calvinsotieno5880 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo siyo yeye anatafuta kikitu

  • @Alicemsafiri
    @Alicemsafiri 2 วันที่ผ่านมา

    Uyo mwongo mwone na kope kama nyau

  • @celestinenanzala7569
    @celestinenanzala7569 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu dada siyo shakira

  • @estherzawadikazungu4471
    @estherzawadikazungu4471 2 วันที่ผ่านมา

    ww hatukujui 😂😂😂 nogwe ww

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona anaonyesha paja huyo?

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 4 วันที่ผ่านมา

    Uongo. Huyu si ameigiza na kicheche movie ya familia ya kicheche

  • @LinosJohn-dp9xi
    @LinosJohn-dp9xi 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio yule mrembo shujaaa nilitamani angekuwa yeye

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu mwandishi yan aelewi anfny nn

  • @user-dh1ch2xf1w
    @user-dh1ch2xf1w 3 วันที่ผ่านมา

    sio hyo

  • @AbdiKadirKanu
    @AbdiKadirKanu 3 วันที่ผ่านมา

    ni kweli ila ni mumeru si wasikia lafuthi yake ya kimeru

  • @saidimwanyiro5147
    @saidimwanyiro5147 4 วันที่ผ่านมา

    Sura km azizi mifunguo

  • @josephgaturuku767
    @josephgaturuku767 3 วันที่ผ่านมา

    Kusema kweri pirisi moja hawezi kunishika kamwe

  • @Gastopizzo-jg7bu
    @Gastopizzo-jg7bu 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio yule dada alafu mtangazaji bwana sio genzii ni Gen z

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona ameacha matako wazi ko amekimbilia kuharibu.Tanzania amekuja kuiharibu wameiharibu kenya wanakimbilia.Tanzania.anacheka na kucheka ana laha gani nchi.yake imehalibika

  • @frankmataka7185
    @frankmataka7185 4 วันที่ผ่านมา

    Unaanzisha vita watu wamekufa wewe umekimbia rudi ukajibu ulichotaka kufanya

  • @fatumakale7004
    @fatumakale7004 4 วันที่ผ่านมา

    Wakenya weeh balaa

  • @reginamalima9701
    @reginamalima9701 4 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅huyu si yeye ni msanii wa kicheche acheni uongo

  • @MarioNdanzi-kp9hp
    @MarioNdanzi-kp9hp 4 วันที่ผ่านมา +1

    Sivyo eyeee

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada ni chawa wa luto Hana lolote ni musaliti yeye maisha mazuli wewe mtangaziji wewe ni ccm sisi hatuna wandishi vyama wote machawa

  • @TumbaMbayo
    @TumbaMbayo 3 วันที่ผ่านมา

    Funika kwaza mapaja muchenzi

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 3 วันที่ผ่านมา

    Kwendeni huko uyu si wa kwetu.

  • @lydiahnyamari55
    @lydiahnyamari55 3 วันที่ผ่านมา

    Si yeye

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo paja iko nje au naona vibaya ?

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli 🤣🤣🤣

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 5 วันที่ผ่านมา

    Alf anaongea vibaya kiswahili

  • @charlesandati567
    @charlesandati567 2 วันที่ผ่านมา

    Yule alikua bukusu

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 4 วันที่ผ่านมา

    Sio yeye.mafala nyinyi😅

  • @Mosses8
    @Mosses8 4 วันที่ผ่านมา

    hata kiswahili enyewe siyo

  • @aminaaminahmuhammad8838
    @aminaaminahmuhammad8838 3 วันที่ผ่านมา

    Sio yeye nyo