Mimi naomba muangalie swala la watu waliopo pale air port wanasimama simama tu hawana kazi yeyote kula mtu kavaa shati jeupe hujui dreva wa tax yupi polisi yupi mhudu wa ndani yupi mfagiaji yupi wote nawashangaa shangaa tuu.hata kule kwenye huduma ya ndege wote wali wamevaa nguo hizo hizo sasa hujui fundi hujui polisii.tunaomba kila mmoja avae nguo husika ili tuwajue vizuri na kuwatofautisha
Mashallah ALLAH barik magufuri
Samahani if I want to own a Cessna 140 what are the procedures
Mimi naomba muangalie swala la watu waliopo pale air port wanasimama simama tu hawana kazi yeyote kula mtu kavaa shati jeupe hujui dreva wa tax yupi polisi yupi mhudu wa ndani yupi mfagiaji yupi wote nawashangaa shangaa tuu.hata kule kwenye huduma ya ndege wote wali wamevaa nguo hizo hizo sasa hujui fundi hujui polisii.tunaomba kila mmoja avae nguo husika ili tuwajue vizuri na kuwatofautisha
Hahaaa lugha gongana hahaaa,unaweza muomba MTU msaada kumbe mpelelezii hahaaaa, lakini dear mbona wana ID au ujaonaa