SIRI YA HUBA { 20 }

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 756

  • @EmmanuelLaurent-s7f
    @EmmanuelLaurent-s7f 3 หลายเดือนก่อน +39

    Jamani jack ni mzuri san nimempenda Bure like kwangu jamani ,msukuma wa kwanza leo

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 3 หลายเดือนก่อน +276

    Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪 Bwana Yesu Asifiwe yoyote atalike comments hii Mungu amfungulie milango ya Baraka 🙏🙏🙏🙏

  • @uwimanaLatifa-q4u
    @uwimanaLatifa-q4u 3 หลายเดือนก่อน +128

    Atakae soma hii sms Mungu amufungulie milango ya lidhiki ❤❤❤❤❤❤❤❤nawapenda sana

    • @vumiliarichard9347
      @vumiliarichard9347 3 หลายเดือนก่อน

      Ameen twakupenda pia 🥰

    • @MgishaChristian
      @MgishaChristian 3 หลายเดือนก่อน

      Tunakupenda pia mlembo

    • @ElizaLikolika
      @ElizaLikolika 3 หลายเดือนก่อน

      Ameen mungu ni mwema tuna tupenda pia kipenzi changu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @HarmonyMnyazi
      @HarmonyMnyazi 3 หลายเดือนก่อน

      Amin 🤲

    • @AnaniaLulenga
      @AnaniaLulenga 2 หลายเดือนก่อน

      Yeah

  • @Abdo-o8j
    @Abdo-o8j 3 หลายเดือนก่อน +14

    Oyoooooooo mambo si ndio haya sasa hongera kazi nzur sanaaaaa one love

  • @HamenyimanaJeanmarie
    @HamenyimanaJeanmarie 3 หลายเดือนก่อน +36

    Wakwanza ndo Mimi from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 naombeni like zangu tunawapenda saana tuko 🇿🇲🇿🇲

  • @MwahanjeNdegwaNdegwa
    @MwahanjeNdegwaNdegwa 3 หลายเดือนก่อน +16

    Tpo wengi sana
    Mpo vizuri sana
    Napenda move zenu
    Npo 🇰🇪🇰🇪

  • @HellySalum
    @HellySalum 3 หลายเดือนก่อน +100

    Mbona humu tunatawaliwa na kenya Tanzania mko wapi gonga like hapo Tanzania ❤❤❤

    • @VelmahDaniel
      @VelmahDaniel 3 หลายเดือนก่อน

      Aaah Wacha 😂

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo wengi ila hatusemi tunapotokea tu

    • @VelmahDaniel
      @VelmahDaniel 3 หลายเดือนก่อน

      @@zuberhamza7852 sawa wakenya wenzangu wameskia🤣

    • @DommyAbasy-cn5nc
      @DommyAbasy-cn5nc 3 หลายเดือนก่อน

      Tupo. ♥♥

    • @BarakaPamba
      @BarakaPamba 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jaman naomba like na mm Leo plz hata hamsini tu Kwa wanao ikubali hii movie

  • @Barackjumah
    @Barackjumah 3 หลายเดือนก่อน +138

    Hii movie ni tamu jamani km wakubaliana na mm gonga like tukisonga 😅

    • @adamuhamadimuya5195
      @adamuhamadimuya5195 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @officialsuma99
    @officialsuma99 3 หลายเดือนก่อน +18

    Shabiki kama shabiki hua anapenda kazi kwa wakati ahsante sana rk movies kwa kazi

  • @oscarmachriss5650
    @oscarmachriss5650 3 หลายเดือนก่อน +27

    aisee i movie inanipa raha sana an imenishika kunako sidhani kama tz kuna more like this ❤❤

  • @ruthamukaga9535
    @ruthamukaga9535 3 หลายเดือนก่อน +13

    Am in love with this play,,me husubiri kuona notification tu.Big up Crew

  • @Maryjuvita
    @Maryjuvita 3 หลายเดือนก่อน +36

    Jamani kama unampenda rk gonga like from 🇹🇿🇹🇿🎉🎉

  • @Songeagirl1
    @Songeagirl1 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nyiee hii movie isiishe kabisa mbona tamu hivi🥰🥰

  • @marthaonkoba
    @marthaonkoba 3 หลายเดือนก่อน +16

    Ndio naingia wakuu nikaribisheni basi❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @GRIZZGUZMAN-l8s
    @GRIZZGUZMAN-l8s 3 หลายเดือนก่อน +46

    Movie hii imanibamba tangu mwanzo hadi sasa mungu awabariki actors ili waweze kaendele na movie moto moto,nipeeni likes zangu tukisonga🙏🙏🙏🙏👍👊👊from kenya........

    • @GRIZZGUZMAN-lg3xd
      @GRIZZGUZMAN-lg3xd 3 หลายเดือนก่อน +2

      yeah.........................

    • @BiwiVuai
      @BiwiVuai 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kp

    • @FlanleMk
      @FlanleMk 2 หลายเดือนก่อน +2

      Aminaaasa

  • @irene-pw4dw
    @irene-pw4dw 3 หลายเดือนก่อน +13

    Napatag laha sanaa Nikiwa naiangalia hii move kaz nzuri sana😂😂😂

  • @VelmahDaniel
    @VelmahDaniel 3 หลายเดือนก่อน +10

    From Kenya nlikua nmengoja sana next part 👍👍

  • @AssdfAssd-g3y
    @AssdfAssd-g3y 3 หลายเดือนก่อน +41

    Nani haoni jacky ni mcute kuliko wte jmani nakapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉wp like za siri maana sio kwa utamu huu ila rk aaaaaaaaah penda sana movie zko endeleeni kueka mautamu mm nko kenya❤nakula happy tu nkianguka nayo

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @ErastoNgerangera
      @ErastoNgerangera 3 หลายเดือนก่อน

      Ireni ndio cute

    • @PaschalSeleman-db5do
      @PaschalSeleman-db5do 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ErastoNgerangerayes Irene ndo pisi then mke wa doctor ndo anafata

    • @ErastoNgerangera
      @ErastoNgerangera 3 หลายเดือนก่อน

      @@PaschalSeleman-db5do umeona ee

    • @SalomeKawogo
      @SalomeKawogo 2 หลายเดือนก่อน

      na mke wa daktari je syo mrembo?kwanza wote ni warembo akin Irene

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana hii movie tangu mwanzo hadi leo niko na wafatilia never disappoint team Rk love ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩 wanangu wa Drc Congo munipe like zangu twende sawa 🎉🎉🎉

  • @LeonedahTenge
    @LeonedahTenge 3 หลายเดือนก่อน +4

    Movie tamu Sana ,,,,,RK ongezeni mda basi♥️♥️♥️♥️

  • @FlanleMk
    @FlanleMk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Endeleen kupambana timu RK ongezen maujuzi❤❤❤❤ from tz

  • @ImanuelPeter-n6i
    @ImanuelPeter-n6i 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mko vizur sana ongezen bidii zaidi ili mtuletee kazi nzuri zaidi nasi tunahaidii kuwafuatilia 🎉🎉

  • @Nickparroty-r7g
    @Nickparroty-r7g 3 หลายเดือนก่อน +5

    Rk wakati wote kazi zake n nzuri sana naikubali hiii series n shabik wenu uyu kutoka kenya na mbna mwaninyima like skuiz naombeni like zenu jamaa RK team

  • @StevenMakanja
    @StevenMakanja 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana RK Hii Move Umecheza Kama Pele❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MercellinahWalesh
    @MercellinahWalesh 3 หลายเดือนก่อน +13

    Watching from kanairo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @VicentCharles-zk1ky
      @VicentCharles-zk1ky 3 หลายเดือนก่อน

      kimeumana Doctor na mke wake kuhusu mimba

  • @Jackline25467
    @Jackline25467 3 หลายเดือนก่อน +30

    Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪❤

  • @ElizaLikolika
    @ElizaLikolika 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa muenderezo mzuli nakupenda sana RK naomba mungu akulinde daima ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GRIZZGUZMAN-lg3xd
    @GRIZZGUZMAN-lg3xd 3 หลายเดือนก่อน +32

    Kama wewe umependenzwa na hii movie nipelike zangu🙏🙏🙏👍👍👍👊👊

    • @pkcamlesh2465
      @pkcamlesh2465 3 หลายเดือนก่อน +1

      Joo uzichukue

  • @BenLaw_2003
    @BenLaw_2003 3 หลายเดือนก่อน +12

    ❤❤❤❤❤ Kazi nzuri sana bro RK TUNGA napenda tuuu kwa sasa unawahisha kaziii nawapenda sana ❤❤❤

  • @cheframah
    @cheframah 3 หลายเดือนก่อน +71

    Hakuna cha wakwanza wala wamwisho mnaacha kutoa comment au ushauri na kukosoa kuhusu movie mnaomba omba like tu watu wanapambana kuhakikisha wanawawekea kazi nzuri badala muwakosoe kuwajenga na muwasifie ili wazidi kuwa vyema nyie mnaomba omba likes acheni ushamba watanzania aya chukua izo likes kanywee chai kesho 😂

    • @carolinekathambi8917
      @carolinekathambi8917 3 หลายเดือนก่อน +5

      Nakubaliana nawe kabisa😂 kila mtu ni likes likes aaah jamani 😅

    • @IddyKamaly
      @IddyKamaly 3 หลายเดือนก่อน +4

      @@carolinekathambi8917 HAHAHA NA WEWE SIULIOMBA KULE KWENYE WRONG HOUSE, AU SIO WEWE?

    • @JescahBosibori-rb2zv
      @JescahBosibori-rb2zv 3 หลายเดือนก่อน +2

      Watu wa kuomba likes siku moja mtanikanyaga nikiwatch hii kipindi tukosane na nyinyi endeni polepole msiniangushie simu mimi

    • @PillyEliasa
      @PillyEliasa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kwel

    • @TausRaj
      @TausRaj 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@IddyKamaly😂😂😂😂😂

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani 3 หลายเดือนก่อน +21

    Tuko pamoja jamn na mm naomb like hat 5 😍😍🎉🎉❤❤

  • @ChristineWafula-bn7tq
    @ChristineWafula-bn7tq 3 หลายเดือนก่อน +2

    Movie mzuri Sana mungu awalinde waikizawaji wote pokee maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉 from 254

  • @JohnNhindiro
    @JohnNhindiro 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jaman tangu nianze kufatilia hii mvi sijawah kupata like hata moja Jana naombeni na mm hata kumi❤❤❤

    • @MickelMartiny-lz5cp
      @MickelMartiny-lz5cp 3 หลายเดือนก่อน

      Jamany anaejua jina lá mwanamk alie imba wimbo wa siri há huba

  • @JosephKatana-o5e
    @JosephKatana-o5e 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana kwa kaz nzur nawapenda nyote

  • @judithchepkemoi567
    @judithchepkemoi567 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mbona fupi fupi sana nimejifunza sana kitu mungu awalinde sana waigizaji wa hii movie na nimeenjoy sana vipengele vyote tokea mwanzo adi sasa nawapenda sana wahusika wote

    • @EsterStephano-oi4vp
      @EsterStephano-oi4vp 3 หลายเดือนก่อน +1

      Doctor kavurugwa. Rk kavurugwa, mke wa docta kavurugwa Irene nae kavurugwa dah.🙆🙆

  • @nusraangelatheprincess2891
    @nusraangelatheprincess2891 3 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah saii mwajitaidi Sana kuleta episode mapema ongereni Sana kwa hilo,na nawapenda sana

  • @MasauShida
    @MasauShida 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi nzuri sana Mr. RK🇹🇿

  • @KalithoLukinga
    @KalithoLukinga 3 หลายเดือนก่อน +1

    @Rk Movies tulikuwa tunaomba mtoe huo wimbo wa Siri ya huba maan n mzuri sana🙏🙏

  • @jeanmariebakali-ml8sm
    @jeanmariebakali-ml8sm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very interested movie, watching from 🇺🇲🇺🇲🇺🇲

  • @jumasalim9455
    @jumasalim9455 3 หลายเดือนก่อน +3

    Rk kazi nzuri sna tunakufangilia kutoka kenya

  • @BashdiSupila
    @BashdiSupila 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana kwa kaz nzuri 🎉🎉🎉🎉

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana sitachoka kuwafuatilia hongereni next plz 🎉🎉❤

  • @fatumamamito7739
    @fatumamamito7739 3 หลายเดือนก่อน +2

    Rk kazi nzuri nakupenda sisi kenya twakupenda❤

  • @JamillaWesonga
    @JamillaWesonga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi safi Rk na wenzako ila mjitahidi upande wa muda haki 🎉🎉🎉🎉❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana hii ni tamu sana Rk Mungu akubariki kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @franktodory
    @franktodory 3 หลายเดือนก่อน +6

    unatisha sana kaka mungu akuzidishie

  • @Hassanramadhan-ty6hi
    @Hassanramadhan-ty6hi 3 หลายเดือนก่อน +1

    kiukweriii mke wa doctor mzur sana ❤️❤️❤️

  • @JamilySamson
    @JamilySamson 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wow nice RK congratulations🎉🎉🎉🎉🎉🎉 thanks

  • @ImraniKodi
    @ImraniKodi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee hii movie Kal xana Yan xana ongera xana r .k nakikosi chako kizma nakubali xana kazi zako

  • @VioletNyabonyi-wi8ge
    @VioletNyabonyi-wi8ge 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzur saana ❤❤❤ nawapenda pia inanifunxa vtu mob saana ak. Congrats 🎉 guys 🎉

  • @IbrahimuBaruty-ds8xl
    @IbrahimuBaruty-ds8xl หลายเดือนก่อน +2

    Nguvu za kiume kwa kingereza Si ndo man power 😊😊 au

    • @MSEKWASAIDI
      @MSEKWASAIDI 28 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 umenichekesha kwakwel

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana Rk nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kaz nzur mashallah mtafika mbali ila samahn dk ongezeni

  • @MiguelDaniel-z2r
    @MiguelDaniel-z2r 3 หลายเดือนก่อน +4

    One love from Mozambique 🇲🇿

  • @kichunababy-t8z
    @kichunababy-t8z 3 หลายเดือนก่อน +3

    woou kz nzuli ila nachoona mimba zitatolewa tu nawa❤❤❤❤

  • @AMMY_TONYofficial
    @AMMY_TONYofficial 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi iko p Sana bro , SIRI YA HUBA NI ZAIDI YA ZOTEE🎉

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hinavyo onekana mimi ndie wamwisho kufunga ukurasa basi nipeni like hata kaniwamwicho na mungu atawambariki from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤❤❤❤❤

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nakubali sana master movie nzuri sana ❤❤❤❤😂😊😂😊😂😊😊😂

  • @furahakalyfurahakaly4901
    @furahakalyfurahakaly4901 3 หลายเดือนก่อน +6

    Doctor anahitaji doctor duuuh🤔🇰🇪🇰🇪

  • @Irene-tp2bu
    @Irene-tp2bu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Waaooooh good movie aky like hata kumi tu kutoka Kenya

  • @HamisiAhungu
    @HamisiAhungu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mm naipenda sana muvi yenu kusem ukwl nawaomb tu mcwe mnachelew kuachia inaefuata ata baada ya saa24 hiv itakuw unyamaa

  • @Cholakasongo
    @Cholakasongo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Vous êtes des vrais acteurs courage vraiment

  • @mczoo-g4t
    @mczoo-g4t 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka ni zuri muwaishage season brooo❤❤❤❤

  • @lucinahmoranga2358
    @lucinahmoranga2358 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kaz safi keep it up team rk❤❤ much love from Kenya

  • @joelnyaga1985
    @joelnyaga1985 3 หลายเดือนก่อน +3

    RK muvi zako ni Tamu Sana,wasichana umechagua wale Warembo sijui unawatoa wapi😂,Kwanza hio macho sexy ya Jackie acha tu

  • @fatumakidoa4006
    @fatumakidoa4006 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo speed Sasa ❤❤❤❤Rk nakulove

  • @JemsiMichael
    @JemsiMichael 3 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani nimefurahi kuona hivyo kaamua kusema 🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @mdlofficiel6009
    @mdlofficiel6009 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wa kwanza leo kutoleya Congo. Nipe like zangu 🇨🇩🇨🇩

  • @jacintaMbinya-ku9rv
    @jacintaMbinya-ku9rv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi mzuri kesho twaiachilia ep 21😂

  • @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x
    @EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x 3 หลายเดือนก่อน +3

    Je suis fière d'être avec vous qua même sans doute je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa

  • @EMANUELELIAS-f3z
    @EMANUELELIAS-f3z 3 หลายเดือนก่อน +1

    R.K ngoma hiyo naipata je 🎉🎉🎉🎉

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 3 หลายเดือนก่อน +5

    Good job Rk 💯💯 from south Africa ❤️❤️❤️

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ben lee umependeza hzo nywele ❤❤❤

    • @Benlee2709
      @Benlee2709 3 หลายเดือนก่อน +1

      Asante

    • @Itsrems24
      @Itsrems24 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Benlee2709 hey benlee....iyo theme song mnaeza i upload ni nzuri😊

    • @Benlee2709
      @Benlee2709 2 หลายเดือนก่อน

      @@Itsrems24 Wakati ukifika

  • @RashidiSaidiIsrael
    @RashidiSaidiIsrael 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mwendelezo haupatikani kwa haraka jamani tume penda hadisi zenu ❤❤❤

  • @Zaifath-q7l
    @Zaifath-q7l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namfurahia benlee kuwa anamwita faragh rk

  • @Grace-iradukunda
    @Grace-iradukunda 3 หลายเดือนก่อน +3

    N mecerew kindong from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 munipen inzo likes watu w Burundi kam munapenda SIRi y Huba 🎉🎉🎉🎉

  • @AjbaAbdillah
    @AjbaAbdillah 3 หลายเดือนก่อน +2

    Najiskia rahaa sana kuangalia hii story 😊❤

  • @lulumhapa
    @lulumhapa 3 หลายเดือนก่อน +6

    We benlee vp we c ulimuona wa nini wew embu muache rk😂😂😂😂😂 ulikua unamlingiaaa unajikuta unamademu vo sas mbn unawivu jack na rk kuleni raha ❤❤❤🎉🎉🎉😂

    • @Benlee2709
      @Benlee2709 3 หลายเดือนก่อน

      Wala ata sina😂

    • @lulumhapa
      @lulumhapa หลายเดือนก่อน

      @@Benlee2709 unao wivu

  • @franklinemitsanze9697
    @franklinemitsanze9697 3 หลายเดือนก่อน +3

    hii movie imeweza sanaaa ❤❤

  • @jofumwakalambo1097
    @jofumwakalambo1097 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sumbawanga namba 1 leo❤

  • @Obisamsam
    @Obisamsam 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wa Kwanza kutoka Kenya much love RK

  • @RamazaniMustafa
    @RamazaniMustafa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Toka drc uvira eneyo za Kijiji cha kahororo tunawapenda sana kwakweli

  • @villa499
    @villa499 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mnakoment kabla amjaona movie..❤❤😮🎉

  • @HellySalum
    @HellySalum 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza kutoka southAfrica atakae like hii comment Leo usk anapokea muamala wa pesa

    • @lulumhapa
      @lulumhapa 3 หลายเดือนก่อน

      Ngoja tuone

    • @Benlee2709
      @Benlee2709 3 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 3 หลายเดือนก่อน +9

    sio nimewahi tena basi msiwe wa choyo nipeni like zote

  • @ramadhanslymdady7979
    @ramadhanslymdady7979 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ongeza mda banaaa

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hum ndan ya Huba Kuna mabroo na mdadas wazr balaa maua yao🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @FATMARAHMA12
    @FATMARAHMA12 3 หลายเดือนก่อน +2

    Episode nzuri sana ❤❤❤ from burundi

  • @Juma-e8l
    @Juma-e8l 3 หลายเดือนก่อน +5

    MNASEMAJE RK NA JACK WAOANA PIA KELVIN NA LOVONESS

  • @markovuruga86
    @markovuruga86 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wanangu mmejitaidi sana🎉🎉🎉.... This is the meaning of bongo movie🙌🙌🙌🙌🙌# MWENZAKO NMEZIDIWA

  • @ChristineNeema-u5j
    @ChristineNeema-u5j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aki filamu hii ni tamu sana wapi like za wakenya 🇸🇦🇰🇪❤️❤️🌷🌷🌹🌹

  • @Farthun
    @Farthun 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wow Asante kwa Muendelezo 💞💞💞💞💞💞

  • @MeshackMichael-hn6ok
    @MeshackMichael-hn6ok 3 หลายเดือนก่อน +1

    doctor amejimix vipoa,live from kenya

  • @OMARMANUEL-cc4nu
    @OMARMANUEL-cc4nu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bom trabalho brow 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @KubelwaIlungaMardochéeSalama
    @KubelwaIlungaMardochéeSalama 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanza apa Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu ❤❤❤

  • @JacklineCharles-r1x
    @JacklineCharles-r1x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn natamni kila siku muwe mnatoa muendelezo movie iko 🔥🔥

  • @jusemutheu4783
    @jusemutheu4783 3 หลายเดือนก่อน

    Napeda sana movie zenu zikona mafunzo mazuri❤💯😍

  • @saidbakari2408
    @saidbakari2408 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nakubali wakulungwa

  • @FesualSafari
    @FesualSafari 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dhaaaa Rk big up my broo

  • @MzeeRaca
    @MzeeRaca 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana one love bro