Mistake ya kwanza ni pale yule dem anakuja kumuona RK then Ben anamkaribisha na huyo dem anatangulia mbele na kuufungua mlango na kumkaribisha Ben.. Mistake ya pili ni pale Ben alimkaripia yule dem kwa mara ya kwanza kana kwamba wamezoeana..... Otherwise RK uko best🤝
RK unasauti flani ivi n'a maneno ambazo zina ushahuri flani basi maman aliye kuzaa mungu amuongeze maisha marefu mimi natokea Congo nakukubali sana Rk we ni king of movies
Nimekuja kuitazama baada ya kugundua RK yupo 😊tuko wa ngapi wenye tunampenda RK❤
Tuko ♥️♥️♥️♥️
Tup weng my dear uyu Jamaa anaweza
Na mimi nipo
Namipiya ❤
Yeah this man is good creator
R.K namkubali sana katika utunzi wa movie 😂😂😂mara nyingi sijawah kuchoka kumwangalia na movie zake kama unamkubali.R.K gonga like
r,k ni mtu anae fanya vitu vizur mpaka kumfatilia malanying boss mchaw ,wrong house,na siri ya huba
@@KiboliboAgostino0:23 0:23 un vu
Mia kwa 100 kaka
Napenda San RK MUNGU azidi kukutunza na uishi ukienenda katka njia zake ✍️✍️✍️
❤❤❤
Rk anasauti nzuri jaman hongera saana
Katika movie zake ajawqh kukosea tang nimjue kweny movie 🎦 ya kiumee
Ana saut nzuri mashallah
Sauti ya RK ndio yanimaliza tu,wapi likes zangu. From gulf huku
Hatari an sauti tamuuuu
❤
😅😅
Upwiru2 unakuhangaishaa au naongopa
Sauti tam
Rk movie good job me najua hili itakuwa kaliiiii xaaaaaaana😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani mm wa saba nipeni likes zangu kwa wingi..hatimae bomu limeshaachiliwa tayari❤❤❤
Waume wote wangekua kama RK bc kilamtu ngekua achoshwi na mapenzi ❤❤❤❤ I.LOV somach RK
R k wewe nijiniasi kaka nakuku bali sana Niko kagela bongo🎉
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Sisi APA RK namjua Sana katka kipidi cha boss mchawi RK woooiiiye,smart boy mpele Sana❤️❤️❤️❤️✅✅✅✅
Kama unamkubali Rk gonga like ❤❤
Vp kuhusu boss mchawi mbona hamja imaliza tunaisubuli
Rk mwamba uko vizuri
Rk yuko sawa❤❤❤🎉🎉🎉
N'est n'@@mwanatumu7012
Namkumbuka lakini sijui bona wrong house kwangu ilileta tatizo sana hazifuatani pia sijahiona yote
Rk saut yko km kanumbaa❤
Kabisa hujakosea
❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅
Sure kabsa jmn
Kweli kabisaa Sauti kama ya kanumba jamani yaani
Kabsa upo sahihi
Wapili mimi nipeni like zangu jamani
Rk movie zako ziko sawa na nitaendelea kuwatch comment kitu basi na ugoge like tukisonga
Mukovizuli sana ❤❤❤❤🎉
Team strong 💪 pitieni huku kitu kipya kw RK ❤❤❤
Tumekuja dear
Tupo radaaa ❤❤
Namkubali sana Rk
Nishafika
Tupo my
Kwanza hiyo nyimbo tu sio pw jaman nipe like zangu kama umeielewa nyimbo
Ninachojua rk kwenye move za mahaba ndio napendeza sn na hiyo saut yake masha Allah
Ushapenda 😂
@@youngdollar2487 😁
Kazi nzurisana ira hammarizii movi nyingi mnaziterekeza sana ushauri mnamarizia kwanza ndo mnaanza nyingine
Kwenye kuigiza kimahabat mwamba ww unapatiaga kinoma xana🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
Ni kweli hapo anakiaga vizuri
Good job
Siku zote mwanaume malaya hua na maneno matamu na saut tamu😂😂 wangapi wanakubali maneno yangu like nzikute chin❤😂
N kwel
😏😏
Mambo
@@Bamba-xs4kf poa
@@Bamba-xs4kf poa
Rk. Unajua. Hongera. Kazi. Nzuri. Tamu sanaaaaaa. 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Unaweza kijana movie zako sinafulahisha sana na zinasisimuwa I love you rk
❤❤❤❤❤❤
Rk
Wa 12 leo jamani wekeni like zangu jamani 💯♥️
Mistake ya kwanza ni pale yule dem anakuja kumuona RK then Ben anamkaribisha na huyo dem anatangulia mbele na kuufungua mlango na kumkaribisha Ben.. Mistake ya pili ni pale Ben alimkaripia yule dem kwa mara ya kwanza kana kwamba wamezoeana..... Otherwise RK uko best🤝
Upo sahihi sana
Kabisa nilijua nimeona peke angu nkakaa kimy
Jaman mko vzr me naangaliaga tu kw kfp me mbugirambugira
@@DeeDan-sj1mrmbugira bugira😂
daaaah hcho ktu nmeona nami koo sna bud kusema ushasema
Jamn rk nilikums uwe unafany move tu tukuone
Waiting for Siri ya Huba episode 2 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wa kwanza leo jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
R,k una sauti nzuriii sana mpaka umenifany niendeleee kuangalia hi move💞💞💞💞
Mwamb San huy Jan nilianz kumjua move il ya uchawi katik campany
Rk-Tunga namkubali sana tena zaidi,,huyu jamaa napenda sana utunzi wake...nafuatilia sana nkiwa kitui county..kama wampenda like❤️
Rk mwamba akuna ata mtu mmoja asiemkubali
Rk yuko vizur kwenye misimamo sema napenda ukiigiza mlokole wa kweli mwenye imani thabiti ya Mungu as you did kwa wrong house you are the best
Hii ni siri yaukweli siyakubahatisha nawapenda nyote ❤
Jaman iyini moto🔥Toka kwa Rk nimependa❤️ likes jaman
Nyieeeeeeh njoen hukuuu❤❤
TUSHAKUJA🎉🎉
Hb
Wp@@AuraNkeza
Broo mm nakuku bali sana @Rk Broo nakupenda san na una weza
Rk unajua mpaka unajua tena unakitu utafika mbali
RK unasauti flani ivi n'a maneno ambazo zina ushahuri flani basi maman aliye kuzaa mungu amuongeze maisha marefu mimi natokea Congo nakukubali sana Rk we ni king of movies
I like Rkl from nliaza kukufualia movie ya boss Mchawi hadi hii ni ya tatu From Kenya
Unabaya r.k Inaonekan ya moto 🔥🔥🔥
Kaka Rk tunaomba mwendelezo kazi nzuri sana 🙏🙏🙏
Tamu sanaaaa❤
Jaman RK kanumba mtupu mpka sauti duh hongera zake 🎉🎉🎉🙌
Nakubali sana kaka
Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪 good work Rk
Watano mm naombeni Like zenu jmn
So fine Rk unakituuuuu
Rk unameza napenda san movie zko uko actor mzr san congrats qweny uko, endelea ivo ivo bro
Rk unatisha kweli bro nasitawacha kuwarch move zako ❤❤❤❤
RK napenda movie zako sana💯 iyi movie inamashauri 🇨🇩✍️ conseil pour les garçons est surtout les dames 👆
Rk waah kwa akika nampenda sana❤❤❤ RK
RK wewe ndiyo uliyo fata nyao za marehemu kanumba big up sana
👍👍👍👍 the great
💗❤💕💖 nikwel jaman kama kanumba mung akuweke san RK maana ww nikanumba wa pili mung katuludishia jamn nakupenda san RK
❤❤❤ kwli kabisaa
Nilimjua Rk from Wrong house,,,aisee unajua kuact sana,Much love from Kenya
Watch BOSS MCHAWI pia he’s doing better I’m sure utainjoi
Mimi pia
@@leahjohn4734 sure nimeiwatch ni tamu sanaa
Nenda Kwa boss mchawi
Yaan Rk unafanya movi hii inakaa tamu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉.
Oya. RK brooooo kanumba. Part two aiseeeee 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 chukuwa mauwa yako broooo
Wakwanza mm leo
Nakbali San mwan ✌️✌️
Rk Una Kipaji kikubwa Sana Kaza Mzee Binafsi Nakukubali sema episode zinazofata Vaa Ule Msalaba 😂😂
Gai RK wniua ❤❤❤❤
Rk unasauti nzuri sana jamani daah 🤣😅💕 na ila kwenye hii wote muko good.
Daah.rk wew noma nakupnd bure❤❤❤❤ ebu nijibu basi.
Kama unamkubali rk like hapa
Oyaaaa RK hii sir ya huba Mbn inanitokea kwako sasa Jmn Mweee🙌
Hap umeua kabis usichelesh xax ep ya 2
Kweli RK ni Noma kabisa 😊
Namkubari sana tuu piya nakupenda nampenda
Kanumba wa pili amekuja ❤❤love U Rk.. saut Tu hatariiiiii
Wow nice movie i like it 🥰😍 namkumbali sana rk
Rk tuna kupenda sana kakangu ❤❤❤tupe mwendelezo
Rk nichukue basi ❤
Akupeleke wap😅😅😅😅😅
Sas akupeleke wp naulvyo sas
Team strong 💪 pitieni huku kitu 😊😊
❤❤❤rk umepigaje hapo ❤❤❤❤shusha number mbili kaka mzigo mtamu huu😊
Dogo janja
For really huu mchezo nimeupenda ❤
Kazi nzuri sanaa Rk👍👍❤❤❤
Napenda san kazi yenu😮😮😮😮
Namkubali Sana huyu ni Mimi mkenya kuitwa heri 🇰🇪🇰🇪
❤❤ kazi safi ❤❤
Aiseeeee big up sana mmetishaaaa ndugu zangu
Rk nikija mwenye maarifa nambunifu wa kama na u unakubali rk sey❤
Kazi ipo imara 💪💪💪🎉🎉 ila mimi npeni huyu beni please sokwaubaya ❤❤❤❤❤😢😢😢😢
😂😂😂utauweza mfupa aloshindwa fisi
Beni pia Yuko poa😂❤❤
@@GfgGgh-v5z kazi ndogo bwana
@@Thumaommy analika nakachumbali hee😂😂😂
@@Thumaommy 🤣🤣🤣 atakuchepukia kwa mwingine pia
Tupo sambamba na R.K namukubali Tokeya kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 gonga likes basi for me
namkumbali sana Rk ❤❤❤❤❤
Bro it's a mazing ❤❤
Rr iyo sauti yako ya miguno na upole wako daaah unavutia hongera sana unaigiza vizuli
Mim nampenda sana rk ila movi wanaoa haziishi
nakukubali Sana kija unatsha endele kutubudisha
Kwenye boss mchawi, kujifany bikra du Kimbekicheche
Boss mchawi Iko mpaka episode ya ngapi?
28
Ninamkubali Rk anafany vizuri sana yupo makini kwenye kuigiza
watching from nairobi kenya..........i actually love mature contents
Wow rk love u❤❤❤❤❤
RK nakuomba unipe Ridhaa ya kukusimulia history furani uifanyemovi
Alakei mmnapenda sauti yako ❤
😂😂
Uhun t
Congratulation rk
Big up Rk nakupenda mno
Jitaidi kijana labda kesho tunaweza kupata kanumba mwingine kupitia kaziyako nzuri
Muwe mnamaliza movi inafika mwisho mnaboo
Ee jaman cjawah kufatilia move za uyu rk nimempenda bule jaman ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Sauti tuuu rk mashallah
Yuko vizuri zaidiiii Rk❤❤❤ 5:24
Ni mzuri toeni mwendelezo
Yaaah namkubal sana RK handsomeboy flan hiv
Natamani sehemu ya2 lete vitu Rk