Usipuuze Maelekezo Ya Mungu (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Ni somo lilojengwa katika kitabu cha Mithali 6:16,Hubiri hili limeletwa kwako na Mch David Mbaga akiwa katika kanisa la Waadventista wa Sabato Kihesa Mkoani Iringa.

ความคิดเห็น • 52

  • @joyceobiyanyaundi1977
    @joyceobiyanyaundi1977 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji MAOMBI, Niko katika shida, Mungu tu aniondolee hili jiwe kubwa liko mbele yangu.

  • @dianamalaba1776
    @dianamalaba1776 5 ปีที่แล้ว +8

    Mafundisho yko pr yamenibadilisha sana. Hapo nyuma Nlikuwa mwngine kabsa Lakni Masomo yko mengi yamenigusa na kunibadilisha mtazamo. Ashukuriwe Mungu..

  • @user-sx8iz4dj8n
    @user-sx8iz4dj8n 5 หลายเดือนก่อน

    Pr naitwa issaya mungu akubariki sana mafundisho yako yamekomaza imani na ninaifanyiaa mazoezi imani kweli pr inaleta matokeo natumiaga fungu la mathayo 6...25 kweli kweli Jamaica tuifanyie imani mazoezi

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 ปีที่แล้ว

    Ameen ni mungu tu atanipa uyenyekevu jameni mimi ni m Kenya niko Qatar

  • @mariamuatukuzwe7504
    @mariamuatukuzwe7504 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki saaaana na akupe mwisho mzuri .kakweli maisha yangu yamebadilika kupitia wew kwkutuletea ujumbe wamungu

  • @sabrinakenya2353
    @sabrinakenya2353 5 ปีที่แล้ว +9

    Ninanyenyekea mbele za Mungu anihurumie nakunisamehe mm mdhabi,nianze safari upya wa kiroho na kuenenda sawasawa na neno Lake Amina.

  • @sarahwambui879
    @sarahwambui879 2 ปีที่แล้ว

    Pastor BWANA na akubariki zaidi,unatubadilisha mawazo na matendo yetu Kila siku tunapo kusikiliza.be blessed.

  • @mariamuatukuzwe7504
    @mariamuatukuzwe7504 5 ปีที่แล้ว +5

    Nikombali batena mimi nimeishi miaka mingi nikiwa kwenye madini haya yawa protestant ila tangu nimeanza kukufuata hapa nimebadilika saana na ninataka kupiga hatua nifuate mafunzo kanisani in 7days church cause I 've found the truth in that church through you

  • @jeannettewilondja733
    @jeannettewilondja733 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe

  • @titojohn5852
    @titojohn5852 3 ปีที่แล้ว

    Amina nimebalikiwa

  • @estherkusaga9181
    @estherkusaga9181 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu asante kwa ujumbe huu ninyenyekeze zaid na zaidi,mbariki Mlefi baba

  • @yuniamngoda6785
    @yuniamngoda6785 4 ปีที่แล้ว +2

    Pastor am blessed with your teachings
    yunia Mombasa

  • @lennybaabrah6752
    @lennybaabrah6752 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @nickfranck5004
    @nickfranck5004 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi. Barikiwa kwa somo zuri MUNGU aondoshe kibur ndan ya mioyo yetu Amen.

  • @getrudamgayamgaya5904
    @getrudamgayamgaya5904 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie

  • @ruthomolo663
    @ruthomolo663 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli pastor kiburi kime tunyima baraka kwa Mungu tuombee na uendelee kutufundisha unabariki sana be blessed ,Ruth omolo from kenya

  • @niyongabojeanmarie4217
    @niyongabojeanmarie4217 4 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana

  • @mariamuatukuzwe7504
    @mariamuatukuzwe7504 5 ปีที่แล้ว +1

    Hua ninakufuatilia kilasiku maana mahubiri haya yananibariki saana nakunibadilisha kiasi Mungu akubariki zaidi

  • @cutestpuppies6632
    @cutestpuppies6632 4 ปีที่แล้ว +1

    Praise God, pastor , Mungu akubariki sana, mahubiri yako ni mapya kila siku 👏👏👏

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว

    Amen asante Yesu kwa uponyaji najutia sana kwa kua na kiburi asante Yesu maana umenisamehe

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 ปีที่แล้ว +5

    Umerudia pastor,ama ulikwa umesend ii massage,lakn n tamu sana,kiburi ni aibu kweli,naiyo methali umenisaidia sana kuwa kuna vitu 7,mungu anajukia be blessed

  • @eddahnyongesa7020
    @eddahnyongesa7020 5 ปีที่แล้ว +4

    Pst tunakukaribisha Kenya mungu asidi kukupa nguvu ubarikiwe sana

  • @angelicagulake3361
    @angelicagulake3361 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji naangalia kutoka USA. Masomo yako yananisaidia sana kiusomaji upya wa biblia asante sana na Mungu akutunze na unatuunganisha na ndugu zetu KWA style ya mitandao hii naona ndugu zangu hapa akina Jumbura ASANTE SANA MWANA WA MUNGU

  • @selfaakinyi7824
    @selfaakinyi7824 5 ปีที่แล้ว

    Nangengekea eebwana nikihisi Hatia Moyoni kwa yalenilio tenda kinyume na maandiko yako. Jehovah nisamehe, naitaji uwepo wako uwe maishani mwangu, nisamehe flame wa ajabu

  • @shimwekagwiza2300
    @shimwekagwiza2300 5 ปีที่แล้ว +3

    Eee Mungu nipe moyo wa unyenyekevu, nisikutafute wakati washida tu, pastor Mungu akubariki sana

  • @nelsonsalumu3064
    @nelsonsalumu3064 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @doricesteven7531
    @doricesteven7531 5 ปีที่แล้ว +2

    Amina Mungu atusaidie tuimalize safali salama

  • @agnesmwanazumi7161
    @agnesmwanazumi7161 4 ปีที่แล้ว

    Nielekeze namna ya kujua sauti ya mungu

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Pr.Mmbaga

  • @damarisfavour5799
    @damarisfavour5799 5 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeen Kiburi haifai kwa wa Kristo

  • @esthermichael3221
    @esthermichael3221 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa Sana kwa mahubiri yako Pr

  • @yvonneamekakaombeniwimbomu8312
    @yvonneamekakaombeniwimbomu8312 5 ปีที่แล้ว

    Amen amen tuna balikiwa sana.

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 4 ปีที่แล้ว

    Amina baba barikiwa sana

  • @kusakabuga282
    @kusakabuga282 5 ปีที่แล้ว

    Mariam Atukuzwe MUNGU AKUBALIKI SANA

  • @asimwebless7849
    @asimwebless7849 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mungu akubariki sana kwani kupitia injili yako nimepata ufunuo wa mambo nakufatilia nikiwa Saudi Arabia ubarikiwe

  • @godlivermkono2231
    @godlivermkono2231 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana pastor

  • @kusakabuga282
    @kusakabuga282 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU. Anatupenda na mim imewai kunitokea iyo yakuongoza ckujua kwnn lakini kabla ya chochote ilikuwa lazima niwambie darasa tuombe ilifikia malecture wakazoea ikawa kama utaratibu wetu kila ck pia MUNGU alinibariki nikafaulu kwa 100%

  • @jumalucas9505
    @jumalucas9505 5 ปีที่แล้ว

    nabarikiwa sana kupitia wewe

  • @fredmakambo7160
    @fredmakambo7160 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice

    • @japhetmkumbwa7914
      @japhetmkumbwa7914 5 ปีที่แล้ว

      nabalikiwa sana Mtumish Nina shida kiloho naomba namba yako

    • @mamapendo7290
      @mamapendo7290 5 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana myumishi wa Mungu.

    • @amosichibampe1251
      @amosichibampe1251 5 ปีที่แล้ว

      Fred Makambo nice

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 ปีที่แล้ว

    Napokea pastor, though bibilia kwa kiswahili inanipita please!

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen