D'oen mbona una tutkatili unajua😢Yani moto umeshika vizuri unasema mahindi hayachomeki kisa yamekauka😂😂😂 until next year InshaAllah 🤲 love you all ❤❤❤❤
Eti muzee onefredtedo Kaondoka na miguu ya HK 😂😂😂😂😂😂😂Nawasiwasi na Joseph huyo Dreva atakuwa ndie musaliti.😂😂😂😂😂 sijuwi huo dada Dume jike atakuwa salama kwahayo makofi ya Temba hapo hatatoboa hata akizinduka😂😂😂😂😂😂😂
HAPPY NEW YEAR ALL TO WANASIMULIZII SITORY IMENOGA HALAFU SS WAMBEA WASIMULIZI TUENDE INJEE KWELI? AWEE SS NDOWASIKILIZAJI HADI RAIS KATOKA KAMA MSHALEE YANI SIKUZOTE UKWELI HUWA UNAUMA KWELI KWELI
D oen,,vipi mwaka tunauvukia tukiwa wapi😂😂,,HAPPY NEW YEAR IN ADVANCE TO ALL SIMULIZI MIX,,MAY ALLAH PROTECT AND GUIDE YOU ALWAYS, AAMIIN YARAB
Yap yap simulizi safi sana aisee look
No
Asante sana
Happy New year ❤❤❤mm ni wa makofi 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉
@@kellyraju6254 ndugu yake good father
Uwiiii asante sana sana D'oen kwa mwendelezo wa simulizi hii tamu kweli kweli mwisho wa mwaka 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
❤😂leo tumechelewa Mm Ndio naingia mda huu
@AnnaMelikion nikweli kabisa jamani ♥️♥️♥️🌲🌲🌲🤣🤣
Huyu ndio temba bwana 💪💪🤩🤩🤩🤩🤩
Mm nawaza huyo loreth au luo ni wasaliti naogopa sanaa wakifa bila kumaliza kisasi team fred
Ndio kufika sasa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢
❤❤Asante sana kwa zawad ya mwisho wa mwaka simliz mix n🔥🔥💥 wadau leo like tupeaneni ote au sio🥰🤝
♥️♥️♥️🌲🌲
Wooooow hatimaeee tunasonga mbelee😍😍🔥🔥 shukran director
D'oen mbona una tutkatili unajua😢Yani moto umeshika vizuri unasema mahindi hayachomeki kisa yamekauka😂😂😂 until next year InshaAllah 🤲 love you all ❤❤❤❤
Nawasalimu Nyote wana Simulizi Mix
Thanks soo much happy New year to watu wote wa simulizi mix nawapenda wote mungu awe na sisi atuongoze kwa hu mwaka be blessed wote 🙏🇸🇦🇺🇬🇺🇬
Mimi najiona kama TEMBA
Isije ikawa luo ndo msaliti 😢😢naogopa sana
Mimi naogopa yule dereva aliye wasaliti kwasababu ya mtoto😢😢😢😢
Naomben tufungue mwaka hii alafu kesho yutumie hii tufungulie mwakaa
Wakwanzaaaa❤❤🎉🎉😂
Chukua Mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee anavichwa vingapi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Eti vichwa vi 3😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka muzee amefanya matumbo yamaadui yawe na joto😂😂😂😂😂
@Evelynmoreen3655 hhhhhh hinyo viwili do vinawap watu matumbo joto asaa hicho cha kuchajii hayaa gojaa mm nisubr kuona mtengo wa panya anae wauzaa
Asante sana ❤❤❤
❤❤❤ ahsante jmn
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
Mbabe wa Jiji la T-Kengo❤❤❤ mtunzi wetu G 🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥
Happy new year family ❤🎉🎉 tunafunga mwaka namna hii
❤❤❤🌲🌲🌟💫
Eeeh mungu wasaidie sara taido na isabela zidi ya gizad😢😢
😂😂😂Nahis panya wa james ni yule mlinzi wa isabella
Yulee samolaii bubuu eeh
@salmazwallo5920 hapana yule bubu sio mlinzi wa isabella
Mimi nazungumzia mlinzi wa issabella
Mwenyewe nahisi hivyo
Unamanisha Luo😂😂😂😂😂😂
@Evelynmoreen3655 nahis ni uyo et
Naipenda Sana Ila Inaumiza Sehemu Fulani Kuona Mzee Wa Mipango Anapoteza Watu Muhimu Niko Upande Wa On Fredo Tido
Asante simulizi mix mambo ni motoo
Honestly mi najiuliza Sana. I think kuna panya wa James ndani ya kambi yetu I say
Ukute ni yule anaemlinda isabella ndio panya wa james😢😢
❤❤❤❤❤❤❤
Msiwe mnachelewa kutoa
❤mambo ni motto
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 raisi alitegemea mzeee one taidoo atamuogopaa😂😂 msaliti anaweza kuwa ni kiguuu au mnaonaje wadau
😂😂😂😂😂mi najiona kam.Isabella
Mmmhh kumbee jemsi nae ni mbwa wa mtu tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nikajuwa yy anajiwenzaa
Msaliti huenda akawa ni huyu babake loreth, am just guessing 😂😂😂
Dah nimeshinda hapa kungoja😂😂😂
I guess ñi mwaka mpya labda kesho muendelezo
Eti muzee onefredtedo Kaondoka na miguu ya HK 😂😂😂😂😂😂😂Nawasiwasi na Joseph huyo Dreva atakuwa ndie musaliti.😂😂😂😂😂 sijuwi huo dada Dume jike atakuwa salama kwahayo makofi ya Temba hapo hatatoboa hata akizinduka😂😂😂😂😂😂😂
Yaan huyo Temba na hayo makofi ananifanya nimkumbuke FATHER(kwenye simulizi ya ZONGA)😂😂
Wa 16 leo😂
Naomba maelekezo jinsi ya kutumia smixapp please
Moyo umeniuma nyie😢😢 kumbe ukimfuga mbwa anakung’ata yaan huyu gizady ameamua kuja kumuua Mzee wetu dah kumbe mipango yote imejaa wasaliti nyie nyie mbona kumenoga hivi
Msaliti n yule alie wapeleka huko kwenye makao yao mapya maana alisema anajua siri zote na ata mtu anapopangwa kuuliwa anajua
DOEN nilikungoja Sana maze Hadi nilikua naishi youtube🤣🤣🤣🤝 sasa kiende kiende au sio🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Eee kumbe taarifa zafika kwajames.kuna mtu anakifaa sasa huyu ninani jamani
Mbona muendelezo hautok au ndio imeisha hivoo😢
Hii familia ya mzee taido isithurike kabisa kwani ni watetezi wa haki, tafadhali usituharibie simulizi kwa hii familia taido kuumizwa
HAPPY NEW YEAR ALL TO WANASIMULIZII SITORY IMENOGA HALAFU SS WAMBEA WASIMULIZI TUENDE INJEE KWELI? AWEE SS NDOWASIKILIZAJI HADI RAIS KATOKA KAMA MSHALEE YANI SIKUZOTE UKWELI HUWA UNAUMA KWELI KWELI
😂😂😂😂 rais kanivunja mbavuu
Duuu mbona kimya sana hadi tusahau.
HADI KIELEWEKE
❤❤❤
❤❤❤