Acha dharau na jeuri hio sio sunna, jishushe kama walivyokuwa wema // Sh. Othman Maalim.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @Rahmaismail-y9u
    @Rahmaismail-y9u 8 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Allahu kuhifadhi na atujalie nasisi tunao kusikiliza tuyafate inshaAllah

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barakallahufik sheikh wetu

  • @misbahmagezi4965
    @misbahmagezi4965 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh maalim Allah akuhifadhi

  • @Animerecap-h3j
    @Animerecap-h3j 7 หลายเดือนก่อน

    ALLAH akupe jannah

  • @hshshsshjdjejjejejejej9823
    @hshshsshjdjejjejejejej9823 8 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah

  • @AbdulrahmanUbaa
    @AbdulrahmanUbaa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe Umri Mrefu wenye Kheri nawe katika kutuelimisha na kuwaelimisha wasio jua alafu akajifanya anajua

  • @ZalkaEid-hp5js
    @ZalkaEid-hp5js 8 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah shukran shekhe wetu Allah akupe umr mrefu

  • @mohdiddi8203
    @mohdiddi8203 8 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah khutba nzuri sheikh wetu

  • @jaybrashikhamis3970
    @jaybrashikhamis3970 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah... Baraka Allah fiik

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Shekhe zitakase nafsi zetu na za wale ambao hawana Mashekhe wa kuzitakasa nafsi zao

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli atusafishe nafsizetu ,kumbe ndio sababu unachukilia kwa Durusizako Adhimu Allah stukade nuru na imani kwahayo umetukumbusha ,Allah akutuhifadhie Allamawetu wa Asri HII.

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 8 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah kwa Mawaidha Mazuri

  • @saidimtoni1148
    @saidimtoni1148 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naaam shekh ,Allah akuhifadh shekh wetu

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikh upepo kwa kutuletea ujumbe huu

  • @BiashaZema
    @BiashaZema 8 หลายเดือนก่อน

    Swadakta❤

  • @RashidIsmail-rw6pm
    @RashidIsmail-rw6pm 8 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا❤❤❤

  • @OmarJuma-og4kd
    @OmarJuma-og4kd 8 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله الخير

  • @HajiAhmed-xh7jz
    @HajiAhmed-xh7jz 8 หลายเดือนก่อน

    Maneno makubwa kabisa baarakallah

  • @JumaHamim-n4g
    @JumaHamim-n4g 8 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilla mwenyezimungu amzidishie shehe uthmani ilim namuongoze mawaydha mazuri yanatufunza mengi lakini alicho kikusudiya sico

  • @AbdulrahmIbrahim-y5g
    @AbdulrahmIbrahim-y5g 8 หลายเดือนก่อน

    Dah! Namuomba Allah anikutanishe na shekhe huyu inshaallah wakuelewa ataelewa tu tuache upinzani usio na maana Allah atuongoze inshallah

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 8 หลายเดือนก่อน

      Assalaam Alykum vip hali kaka.
      Uko wapi..

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 8 หลายเดือนก่อน +2

    Had shekhe othuman ameingilia uyo kjana atubie mwenyezmngu asije kumuadhbu namkubar sana shekhe othuman maalim

    • @JumaHamim-n4g
      @JumaHamim-n4g 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuzidishie Elim mawaydha mazuri tunafaidika Sama unacho kikusudiya sico

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 8 หลายเดือนก่อน +1

      Othman maalim ndio nani, ni sufi na masufi ni punda wa mashia

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 8 หลายเดือนก่อน +6

      @@mohdkhatib223 napenda Sana mafundsho yake suf sjui Shia cjui saraf mm nnachofata mafundsho anayo yatoa hakuna sehem anapo tukana Wala kukegel uislam wote ni waislam kubaguana munafurahisha makafir mungu akupe afya njema

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 8 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@mohdkhatib223sheikh othman malim ni mwanachuoni mzuri Allah amzidishie ilimu ila mtume s a w alisema kutakuja zama watazuka watu wakiwatusi wanazuoni wake ww ni moja wao kama unavotukana watu punda itakuwa ww moja wahao punda mana punda yuwamjua punda mwenzake mungu akuongoze

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 8 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@mohdkhatib223sheikh othman malim ni mwanachuoni mzuri Allah amzidishie ilimu ila mtume s a w alisema kutakuja zama watazuka watu wakiwatusi wanazuoni wake ww ni moja wao kama unavotukana watu punda itakuwa ww moja wahao punda mana punda yuwamjua punda mwenzake mungu akuongoze

  • @HajiAhmed-xh7jz
    @HajiAhmed-xh7jz 8 หลายเดือนก่อน

    Baarakallah fyka

  • @Farajikheri
    @Farajikheri 8 หลายเดือนก่อน

    Kila la kheri sheghe wetu

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 8 หลายเดือนก่อน

    🤲🙏

  • @MohammedMohammed-y8c
    @MohammedMohammed-y8c 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ulitaka alumbane au vp?

  • @alvenmunroe9980
    @alvenmunroe9980 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenye chanal mbona umeweka picha ya uyo shehe mwengine wakat shekhe Othman hakumtaja yy, unaweza ukasababisha chuki kwa watu wake

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haji UPAPA hujui kitu ila upumbavu tu ndo unakusumbua

    • @sadathboutique6253
      @sadathboutique6253 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe utakuwa chizi wa kiwango cha juu sio bule nenda hospital

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 8 หลายเดือนก่อน

      @@sadathboutique6253 na wewe ni mpumbavu wa kisufi. Maana kama alivyosema imaam Shafy mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika mchana atakuwa mpumbavu

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli usemwe masufi wanapenda kuyasema mambo kiujumla jumla na hawa wanakosolewa kwa hoja na burhan hawatarajui wala hawabainishi haki kama walowakosoa wamekosea wao ktl moja mbili tatu matokeo yake wananyamaza kimnya kama hawapo halafu wanasisitiza umoja feki watu na ww Othman maalim umekosolewa kielimu mara nyingi Tu umekaa kimnya sasa hii si hiyana kwa jamii?

    • @EtihadBega
      @EtihadBega 8 หลายเดือนก่อน +3

      Ukimya jibu la mjinga

    • @mirajiyombe1601
      @mirajiyombe1601 8 หลายเดือนก่อน

      Unataka watu watakasike ..nyie masalaf mnaonyesha watakasif sana ..kibri mnacho nyie tazkiya .

    • @subiriabd
      @subiriabd 8 หลายเดือนก่อน

      Halafu wanajiita اهل حديث uislamu umeharamisha kuukata ukoo wao ndio wa mwanzo kuukata ukoo maadam hupo kwenye منحج yao hata salamu wakati mwengine hupewi seuze kutembeleleana kujuuuliana shida na mwenzako huko hawapo kabisa maadam hupo kwenye manhaj hutoshirikiana na lolote. Na pia ni washirikina kama washirikina wengine haiwezekani ww ukatoa hukumu kumwabia muislamu mwenzako كلاب نار au kafiri yule au maneno yanayofanana na hayo wakati Allah pekee ndie anaejua " alieongoka katika njia" (Israa). SALAF wanajiona wao tu ndio waliongoka na kuwa sawa katika dini kumbe ni kunyume chake na hii yote cause hawaijui QURAN mafhoom yake laiti wangeisoma quran haki ya kusomwa kwake na kuifahamu kabisa عبدن wasingefanya wanayofanya leo .Naomba kuwasilisha hapo kwanza

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa Mushawatia watu motoni.
      Wewe unataka wajibu nini.. na mushasem ni watu wa bidaa ni watu wa motoni... sasa wewe wataka watoke motoni waje wajibu hoja😂😂😂

    • @ramadhaniissa6703
      @ramadhaniissa6703 8 หลายเดือนก่อน

      Wee ni mwanga unawaangia watu usiku