HISTORIA ya MO DWEJI mzaliwa wa SINGIDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • HISTORIA ya MO DWEJI mzaliwa wa SINGIDA
    • HISTORIA ya MO DWEJI m...
    Stay connected na Kaskazinimix Mahala pekee unapopata Habari za Uhakika Usisepee
    / kaskazinimix
    / kaskazinimix
    / kaskazinimix

ความคิดเห็น • 65

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +2

    Singida oyeeeee tunajivunia kuwa na kijana mchapa kazi na tajiri mwenyezi mungu aibariki mali yake

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Allah akusimamie katika kila hatua, wakurudishe ukiwa salama inshallah 🙏

  • @tumabhay5941
    @tumabhay5941 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah.. Mungu amukhifadhi na ampe subra na Amani itawale kwake.Inshaallah

  • @justinemsouth6810
    @justinemsouth6810 3 ปีที่แล้ว +1

    So excited

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah! Mungu akulinde huko uliko inshaallah inaniuma sana

    • @leahpoleevarist5295
      @leahpoleevarist5295 5 ปีที่แล้ว

      Lail Meeea na mungu ajawai kumacha mja wake ila binadamu sisi tumekuwa wanyama atumuogopi at a mungu ila mungu akulinde ulipo baba

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amlinde huko aliko na amuokoe

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว

    Maskiin MO ur v'nice boy MMungu akukomboe ktk mikono ya makatili, akupe uzima na afya, inatutia uchungu inaumiza mioyo.!

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 3 ปีที่แล้ว +2

    Hujasoma historia yake vizuri

  • @magolitz5635
    @magolitz5635 5 ปีที่แล้ว

    Inshaa-Allah atapatkana

  • @swahiliupdates3051
    @swahiliupdates3051 5 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana huyu jamaa

  • @youtubeyoutube1874
    @youtubeyoutube1874 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akuhifadhi

  • @youtubeyoutube1874
    @youtubeyoutube1874 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akuhigadhi

  • @nyaamajengo5861
    @nyaamajengo5861 5 ปีที่แล้ว

    Jamani wamrudishe tuu MO wetu.

  • @rashidubruhani8981
    @rashidubruhani8981 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie na hurudi salama tajiri

  • @albertmshiu6578
    @albertmshiu6578 5 ปีที่แล้ว

    Kampuni ya melt 🙂🙂 siyo metl#rest in peace uandishi

  • @masiqaima3099
    @masiqaima3099 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa taarifa Dada ila sijaelewa unamaanisha nini? Jiangalie sanaa

  • @mwanaidihussein1462
    @mwanaidihussein1462 5 ปีที่แล้ว

    Nyie wachawi nini 😩😩 pumbavuu mnatoa historia ya mo kwani kafa😩😩 ebu tutoleeni uchuro hapa 🙏 all pray for mo🙏

    • @dadleymillanzi8508
      @dadleymillanzi8508 5 ปีที่แล้ว +1

      Mwanaidi Hussein acha ujinga ww, kutoa historia ya mtu c lazma awe kafariki. karibu kufatilia hilo usiwe mpumbavu.

    • @mwanaidihussein1462
      @mwanaidihussein1462 5 ปีที่แล้ว

      @@dadleymillanzi8508 ww ndo uwache ukichaa angekua yupo ok apo sawa mtu katekwa hajulikani alipo ni mzima au kafa afu wanatoa historia yake ya nn coment kimpango wako sio lazima reply kwangu nitolee gizaa apa

  • @williamissaya8091
    @williamissaya8091 5 ปีที่แล้ว

    Amazing!

  • @swagatdebracy6447
    @swagatdebracy6447 3 ปีที่แล้ว +1

    Asee $bilion 139 mbona ni tajiri wapili duniani😂😂

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 5 ปีที่แล้ว

    Tuwe macho jamani tutatekwa sote wasiojulikana sasa wazungu!

  • @rachelelias3507
    @rachelelias3507 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ni Tanzania minilijua ni Muarabu

  • @magolitz5635
    @magolitz5635 5 ปีที่แล้ว

    Kwan amekufa mpk mnatoa historia

  • @stellamkama5841
    @stellamkama5841 5 ปีที่แล้ว

    historia kwani hamekufa

  • @gervasmfubusa
    @gervasmfubusa 5 ปีที่แล้ว

    Kwenye utajiri wake hapo nadhani umekosea kidogo 1:00

    • @ashamwandu3781
      @ashamwandu3781 5 ปีที่แล้ว

      mo mo wote watanzania tunakuombea Sana. mungu wa mbinguni akurudishe ukiwa salama. Inshallah kheri. utapatikana tu. nguvu za mungu Hazina mwisho. Neema ya mungu ikutangulie.. amina.

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว

    hii ni u saitan mtaanzaje kutoa hestoria ya MTU angali mzima?

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 5 ปีที่แล้ว

    Basi michezo isha dorora

    • @shabanhatibu9543
      @shabanhatibu9543 5 ปีที่แล้ว

      Acheni ujinga istoria ndo nn kwan amefariki

  • @benadictoalloys7752
    @benadictoalloys7752 5 ปีที่แล้ว +1

    Mlikua wapi kutoa history hizi hadi msikie katekwa

  • @petrozefania9683
    @petrozefania9683 5 ปีที่แล้ว

    Fanya mchakato aonekane bac haraka iwezekanavyo

  • @benadictoalloys7752
    @benadictoalloys7752 5 ปีที่แล้ว

    Ubabaishaji huo

  • @leticiamartine8734
    @leticiamartine8734 5 ปีที่แล้ว

    wabongo bhana historia fupi kwan kafa? we demu acha ujinga

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo mmeonakashakufa?? Acheni balaa zenu.

    • @nasirapasical4685
      @nasirapasical4685 5 ปีที่แล้ว

      kwan umeambiwa usome au VP MBNA hueleweki w dada

  • @rahillhamidu1704
    @rahillhamidu1704 5 ปีที่แล้ว

    badala mumtafute kwa bidii munaanza kuleta historia na akifa je mutatupatia historia gani

    • @jacobmpiti6756
      @jacobmpiti6756 5 ปีที่แล้ว

      Hivi mbona mnatuonea sana watu wasngida,mtupige nirisas,mtuteke,hiv tunaenda wapi tanzania hii,mungu tusaidie wewe wajua zaid,maana ulisema wewe si mungu wa wafuu

  • @mtawatawatvonline8393
    @mtawatawatvonline8393 5 ปีที่แล้ว

    ACHENI UZBE MTAFUTENI KWANZA

  • @bonnysure5131
    @bonnysure5131 5 ปีที่แล้ว

    Mtyu akipatwaga na tatizo mengi yanaibuka ona sa kahistoria bonko bwana! Badal mtyu atafutwe mnaakaa chin kutengeneza ujing eti historia ulijulia wapi ww

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 5 ปีที่แล้ว +2

    Kikulacho kinguoni mwako mnasema eti wazungu wamemteka? lzm wameshirikiana na wenyeji ndio walioplan kl kitu!

  • @davidshadrack7567
    @davidshadrack7567 5 ปีที่แล้ว

    mo anaktabu chake??

  • @stellamkama5841
    @stellamkama5841 5 ปีที่แล้ว +7

    historia ya nn kwani amekufa?

    • @rachelnkembo3437
      @rachelnkembo3437 5 ปีที่แล้ว +1

      Stella Mkama ndo tunashangaa, wanamtabiria,mabaya historia ya nini sa??

    • @barakasmmbagabarakammbaga4178
      @barakasmmbagabarakammbaga4178 5 ปีที่แล้ว

      Stella Mkama

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 5 ปีที่แล้ว

      Hapo chacha

    • @souvenirweber7169
      @souvenirweber7169 5 ปีที่แล้ว

      Mmh wabongo Mungu atusaidie tumechanganyikana navimeo sasa hii ni nini? Utadhani kafa uchuro tu fyuuuuu.

    • @eliasbufula6290
      @eliasbufula6290 5 ปีที่แล้ว

      Historia sio mpaka mtu afe, mbona huwa naona wengi tu wanatangazwa? Japo wanaboresha jina wanaita wasifu, mimi kwa uelewa wangu sikuona kosa lolote hapo, ni mawazo yangu tu mimi binafsi, musinipashe bali kama niko kinyume nielewesheni tu, na cha musingi zaidi tumuombeeni MO apatikane akiwa salama. Mimi ninaona huruma sana juu yake.

  • @albertmshiu6578
    @albertmshiu6578 5 ปีที่แล้ว

    USD 100b ?????? Fake news mo anamiliki only 2b USD fanyeni tafiti kabla ya kupost taarifa zenu.

  • @israelsam3685
    @israelsam3685 5 ปีที่แล้ว

    We mtoa historia ni muongo,,,,Mo dewj hamilik $ Bil 139 bali ana $ Bil 1.4 tu,,,,ingekua hvo angekua wapil kdunia,,mana Jeff bezo ana $ Bil 160,,akfuatia bill gate $ bill 97,,,,kua makn na habar zako,,,

  • @ixine-ic2zl
    @ixine-ic2zl 5 ปีที่แล้ว

    P

    • @eliasbufula6290
      @eliasbufula6290 5 ปีที่แล้ว

      Mungu aliyekuleta duniani, akakupatia vyote ulivyonavyo, namuomba akulinde salama huko uliko ili siku moja urudi salama kabisa katika familia yako.

    • @vedastusmkangala3400
      @vedastusmkangala3400 5 ปีที่แล้ว

      May God bless all of them who still praying for Mo but is only omnipotent hence mo will back safe and live

    • @tedymbuz6567
      @tedymbuz6567 5 ปีที่แล้ว

      mungu tuletee mo

  • @user-dx5lz6du4y
    @user-dx5lz6du4y 5 ปีที่แล้ว

    Hao waliomteka wajinga wafikirie tu ata ndugu zetu ambao amewaajir pia watateseka wataenda wapi

    • @shaytullychiko4987
      @shaytullychiko4987 5 ปีที่แล้ว

      Mola amlinde aweze rud salama bila kudhulika aaamn

    • @ashamwandu3781
      @ashamwandu3781 5 ปีที่แล้ว

      walaaniwe sauti ya wengi ni ya mungu.

  • @rachelelias3507
    @rachelelias3507 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni Tanzania minilijua ni Muarabu

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว

      Ushaambiwa mzaliwa wa singida Tanzania vp mwarabu pia wapo warabu lkn ni watanzania