Tunajifunza mengi sana kutoka kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Tanganyika huru na Mzalendo halisi katika harakati za kupiginia uhuru katika nchi za Africa kusini mwa jangwa la Sahara. " nje ya Muungano kuna sisi wapemba wao waunguja".
Only leader who was trust on our national into ccm leadership rest we are in trouble sokiene muringe mrema this 3 people into ccm leadership were trying to be honest into ccm leadership
Sasaiv Zanzibar wnasema ssi wa Tanganyika tunawanyonya nikweli ili jambo eti na mwalimu nyerere na karume wameungana kwasababu ya umoja na amani iwepo2 tanzania,
Tunaendelea kukuombea baba yetu pumzikeni kwa amani Waalimu wetu wewe na mdogo wako JPM/MAGUFULI na BENJAMIN MKAPA tunawakumbuka na kuwaombea mpumzike kwa amani.Watanzania wote wanawakumbukeni Sana.
Kenye kure kama inahalisha wewe umefanya mazuli mangapi uko wenu wote ni mafisady WA nchi uwongooo pore kwakutokujitambua nakufungua jitambue maono huna
Wangapi mnamsikiza gonga like kujua tupo pamoja
Tupo
Mtu sana huyu 2024 hiii tunamkumbuka
Mungu akurehemu baba wataifa. Sasaivi ulio yakataza ndio yanafanyika
Tunajifunza mengi sana kutoka kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Tanganyika huru na Mzalendo halisi katika harakati za kupiginia uhuru katika nchi za Africa kusini mwa jangwa la Sahara. " nje ya Muungano kuna sisi wapemba wao waunguja".
Baba watai na John pombe magufuli viatuvyao nambayso mojo mungu awa week pepon
Kweli wewe ni Baba wa taifa letu la Tz. Mungu akusaidie uwe Mt. Ulipenda nchi yetu Kwa moyo wa dhati.Tutapata wapi mwingine kama wewe?
🎉😮hatali sana
Mzee alikua anaona mbali atazidi kukumbukwa.
Mungu...akupumzishe..mahalii..pemapeponii.AMINA
Mungu muweke mahala pema peponi amen
Only leader who was trust on our national into ccm leadership rest we are in trouble sokiene muringe mrema this 3 people into ccm leadership were trying to be honest into ccm leadership
Μεγάλος ηγέτης αλά κ άνθρωπος
Wish Uganda had founding father like you today we won’t have all the chaos going on
maneno yako kwa nchi zenye amani zenye wanyonge ayato saaulika daima
Mungu akuweke mahara pema peponi mwalimu na mwasisi wa nchi yetu Aminaaa
HAKIKA MUNGU ANAIPENDA TANZANIA , HUTUPA VIONGOZI SAFI. AMEN.
Mwalimu Nyerere tunakumbuka sana
KWA AINA YA VIONGOZI TULIONAO SASA HAKIKA HII NCHI HAIWEZI MSAHAU BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE
KIONGOZI ATAKAYE KIUKA NASAHA YA NYERERE. ATAKIONA !!! HAKUONGEA YEYE BALI ALIKUWA SPIKA WA MUNGU. amen.
Amina
Mlituacha baba wewe na magufuli mpumzike kwa amani
Sasaiv Zanzibar wnasema ssi wa Tanganyika tunawanyonya nikweli ili jambo eti na mwalimu nyerere na karume wameungana kwasababu ya umoja na amani iwepo2 tanzania,
Utakumbukwa milele hata milele baba wetu wa taifa
Ukabila sikitu, Bali utu ndo hamana yakweli...
Kuna wazanzibar na wanzibar duh😢😢😢😢 2025
Mungu akupe Lana
Mtamkumbuka
Mwalimu nyerere kwa sasa heri kila mtu akae kwao maana wanauza nchi bandari zetu za tanganyika maana viongozi wao wajinga
Pumzika kwa Amani jembe letu. 😭
Fikra zako zidumu.
Atailinda na kuitetea katiba
Mungu ibariki Tanzania
Duu babaa huyoooo
Mzee wetu hutosahaulika!
Baba wa taifa huyoo
Viongozi waliopo madarakani wanatekeleza Kwa vitendo ?
Mim nahisi unekutana na uliyoyafanya maana yameanza kuonekana ulipozikwa kwaiyo pokea fadhila zako mpaka kiyama
alikuwa kiongoz mzr sana ?
Juguna
Tutakukumbuka Mwalimu wetu
Dkt.Magufuli alikuwa kiboko Mungu amrehemu
Hongeramwalimu nyerere
Asa zinafatwa ndo swali mh
❤
2022 tupo pamoja
Pia ulimjua Mungu na kuomgozwa na hofu yake. Utubee ili tumpate kiongozi mwenye karma kama yako
Katba mbovu nani aliiandaa
Kama CCM YA SASA
😃😃😃
True
Mmh
Lanatulwahi.
L
Unachomwa moto kwaurio yafanya
Tunaendelea kukuombea baba yetu pumzikeni kwa amani Waalimu wetu wewe na mdogo wako JPM/MAGUFULI na BENJAMIN MKAPA tunawakumbuka na kuwaombea mpumzike kwa amani.Watanzania wote wanawakumbukeni Sana.
Tutakukumbuka Milele amina
Rashid moto unakuhusu Amina nakwambia
Kenye kure kama inahalisha wewe umefanya mazuli mangapi uko wenu wote ni mafisady WA nchi uwongooo pore kwakutokujitambua nakufungua jitambue maono huna
Rashidi huna akili ata kidogo