Ushauri mzuri. Mtu ukishakua na ziada ya kutosha, ndipo ufuate ushauri wa waandaa hiyo washa. Maana ukipeleka mtaji sehemu isiyo na mzunguko, fedha itaisha tu. Wanamakete muishio dar es salaam. Kuweni makini sana na ushauri huu. Mbinu sio uchawi. Ukijichanganya unarudi makete kuishi, sio kufanya biashara.
huwa najiuliza kwanini dar es salaam hakuna mitaa inayoeleweka, kumbe kuna watumishi hawana uchungu na DSM na siku zote wanawaza maendeleo ya nyumbani kwao safi saana Mheshimiwa, mkataa kwao mtumwa
Ndugu mwandishi,nadhani haikuwa vizuri kuweka title inayoleta hisia za "ukabila"- waliokaa hapa ni wananchi wa makete waishio Dar es salaam. Kwa hiyo kuandika wanaMakete ingetosha! Mtu anayeishi Makete anaweza kuwa mtu yeyote...Mkinga,Mbena,mnyakyusa,Mchaga nk.
Siku ikitokea wakajikusanya wachaga kama hivyo na kusema tukawekeze nyumbani mbona mitandao itavurugika kwa tuhuma za ukabila na ubaguzi na serekali itakuwa ya kwanza kutoa tamko dhidi ya ubaguzi wa wazi
Mbona ninyi mmeshindwa kwenda kuwekeza ? Utajiri unasiri yake na jasho na damu ,wanafuata kuliko na cash flow ,ni vyema kwenda kuwekeza ila waandalieni fursa zitakazowalipa nje ya hapo kwakuwa hawako Huko ni ngumu so kikubwa ni KUONESHA MAZINGIRA wezeshi ndo maana wameenda kulikowekwa MAZINGIRA ya kuwekeza
@@verbalverbal2019 Hapana sio ukabila. Hapo ni jamii ya watu wa eneo fulani wanekutana na kuongelea mambo ya kufanya maendeleo katika maeneo yao ya asili. Maana wanafanya maendeleo sana katika maeneo wanayofanyia shughuli zao. Na hapo wakinga wasomi wanawashawishi wenzao kupeleka maendeleo makete. Kwa hiyo sio ukabila wao kukutana na kuongelea hayo waliyoongea.
@@iskiji1240 Wanachokijadili kinaleta maana, kama Makete haijachangamka wenyeji wake ndio wanatakiwa wawe wa kwanza kuingiza nguvu especially kama wana mafanikio na wanawekeza maeneo mengine, lakini ukisikiliza vizuri baadhi ya wachangiaji una-sense kuna ukabila fulani hivi
@@verbalverbal2019 Ni kweli unaweza ukahisi wana ukabila kwasababu wamekutana wote wakinga. Lakini wangekuwepo wabena ungeamini kile ninachojaribu kukufafanulia. Wanajadili na kuizungumzia zaidi wilaya ya makete. Wilaya ya ambayo siyo ya wakinga tu, kuna sehemu kama mpaka wa wilaya ya wanging'ombe na makete wapo wanaishi wabena. Mpaka wa wilaya ya mbalali na makete wanaishi wasangu.
Hio ni meeting ya wanamskete wapo wawanji,wamagoma wakinga na wamahanji wala sio mkutano wa wakinga tu watu ndo hawaelewi wanafikiri makete ni wakinga tupu@@TOUNDISELASSIE-xj8oy
Mambo ya kujinasibisha ueneo, kabila nk ni ujinga..huyu ni RAC anajinasibisha ueneo, hivi mikoa yote watu wajinasibishe walikotoka kitaeleweka kweli? Labda baada ya mgomo kariakoo wnakuja na divide n rule ndiyo lengo lake huyo..kwa nini sasa hivi?
DC anapoteza muda tu. Utajiri wa Wakinga ni wa makafara na masharti. Walio wengi hawaruhusiwi kuishi maisha mazuri yenye anasa. Wakifanya hivyo wanafikisika au kufa. Wengi wamewaweka mama zao waliokufa au ndugu zao kwenye vyumba maalumu kuvuta hela
Hayo Tunaweza sisi Wachaga Wachaga oyeeee❤
Ila mshapotean nyie apo kariakoo wakinga wameishik ad china wew
Bora hao waliojenga dar, je kuliko viongoz wanaojenga nchi za nje.
Bora kikao hiki kizae matunda,Mungu awabariki
Ushauri mzuri.
Mtu ukishakua na ziada ya kutosha, ndipo ufuate ushauri wa waandaa hiyo washa. Maana ukipeleka mtaji sehemu isiyo na mzunguko, fedha itaisha tu. Wanamakete muishio dar es salaam. Kuweni makini sana na ushauri huu. Mbinu sio uchawi. Ukijichanganya unarudi makete kuishi, sio kufanya biashara.
Kwa kikao hiki nakubali sana Ngoja nirudi nyumbani nikawekeze
Wakinga wako serious mchaga amepitwa parefu sana na hawa watu..
Waaminifu sana na hawana jeuri kama wachaga na wahaya
Makete stand up Hom sweet hom
huwa najiuliza kwanini dar es salaam hakuna mitaa inayoeleweka, kumbe kuna watumishi hawana uchungu na DSM na siku zote wanawaza maendeleo ya nyumbani kwao safi saana Mheshimiwa, mkataa kwao mtumwa
Mimi naona unapowekeza ni lazima pawe panalipa,ila hili linawahusu wote waliotoka makete bila kujalisha wamehamia wapi
Jamani waacheni hawa jamaa maokoto ya wengi wao ni ya masharti. Siri zao wanazo wenyewe. Kama uongo wakajenge uone kama ndururu hazijaisha 😂😂😂.
Nuru hawana wanaoga sana dawa.
Ndugu mwandishi,nadhani haikuwa vizuri kuweka title inayoleta hisia za "ukabila"- waliokaa hapa ni wananchi wa makete waishio Dar es salaam. Kwa hiyo kuandika wanaMakete ingetosha! Mtu anayeishi Makete anaweza kuwa mtu yeyote...Mkinga,Mbena,mnyakyusa,Mchaga nk.
Siku ikitokea wakajikusanya wachaga kama hivyo na kusema tukawekeze nyumbani mbona mitandao itavurugika kwa tuhuma za ukabila na ubaguzi na serekali itakuwa ya kwanza kutoa tamko dhidi ya ubaguzi wa wazi
Exactly exactly
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 masharti ndio tatizo 😂😂😂😂😂 afu siri yawatu wamakete kufanikiwa inajulikana😂😂😂😂😂😂
Ijengwe DAR.mwanza.arusha ....mnawaza uchafuuu😂😂😂😂😂
Tena si kujenga tu wauze magorofa hayo wakajenge makete na waishi uko uko.
TATIZO MASHARTI
Mbona ninyi mmeshindwa kwenda kuwekeza ? Utajiri unasiri yake na jasho na damu ,wanafuata kuliko na cash flow ,ni vyema kwenda kuwekeza ila waandalieni fursa zitakazowalipa nje ya hapo kwakuwa hawako Huko ni ngumu so kikubwa ni KUONESHA MAZINGIRA wezeshi ndo maana wameenda kulikowekwa MAZINGIRA ya kuwekeza
Ukabila wengne wapate wapi kazi
Wazo zuri na wengine waige sasa
Kwan mganga wake kampa masharti gani😂
Wakinga wanasemaga wanatoa kafala sijui nikweli?
Wakinga oyeee
Haji mtu huko. Kila mtu anajua wapi afanyie biashara na kuishi wapi.
Nyumba za kuishi makete ni nzuri na zamaana kwa asilimia kubwa
Kujenga Nyumbani wanajua Wahaya TU!!!😂😂😂😂
Nyoooooo...wachaga bhana
Kwa hiyo mmesema huu uliojadiliwa hapa sio ukabila?... Okay
Hii iko very tricky aisee, kuna mkinga mmoja alinambia walitaka kufungua benki ila walikataliwa. Inabidi uwe mjanja kuepuka mtego wa ukabila
@@verbalverbal2019
Hapana sio ukabila.
Hapo ni jamii ya watu wa eneo fulani wanekutana na kuongelea mambo ya kufanya maendeleo katika maeneo yao ya asili. Maana wanafanya maendeleo sana katika maeneo wanayofanyia shughuli zao. Na hapo wakinga wasomi wanawashawishi wenzao kupeleka maendeleo makete. Kwa hiyo sio ukabila wao kukutana na kuongelea hayo waliyoongea.
@@iskiji1240 Wanachokijadili kinaleta maana, kama Makete haijachangamka wenyeji wake ndio wanatakiwa wawe wa kwanza kuingiza nguvu especially kama wana mafanikio na wanawekeza maeneo mengine, lakini ukisikiliza vizuri baadhi ya wachangiaji una-sense kuna ukabila fulani hivi
@@verbalverbal2019
Ni kweli unaweza ukahisi wana ukabila kwasababu wamekutana wote wakinga. Lakini wangekuwepo wabena ungeamini kile ninachojaribu kukufafanulia. Wanajadili na kuizungumzia zaidi wilaya ya makete. Wilaya ya ambayo siyo ya wakinga tu, kuna sehemu kama mpaka wa wilaya ya wanging'ombe na makete wapo wanaishi wabena. Mpaka wa wilaya ya mbalali na makete wanaishi wasangu.
Hio ni meeting ya wanamskete wapo wawanji,wamagoma wakinga na wamahanji wala sio mkutano wa wakinga tu watu ndo hawaelewi wanafikiri makete ni wakinga tupu@@TOUNDISELASSIE-xj8oy
Tatizo lenu makete uchawi
Tafuta Hela wewe,ukienda hata Kwa muuza nyanya utakuta mikaaa au ndula,kila mfanyabiashara Imani hiyo anayo
Walikuloga ww unahangaika na kuteseka ukiwa wapi
@@ElizaMbogela-fl2xg nikiwa makete,napambana na wachawi
Mambo ya kujinasibisha ueneo, kabila nk ni ujinga..huyu ni RAC anajinasibisha ueneo, hivi mikoa yote watu wajinasibishe walikotoka kitaeleweka kweli? Labda baada ya mgomo kariakoo wnakuja na divide n rule ndiyo lengo lake huyo..kwa nini sasa hivi?
𝐍𝐚𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐤𝐮𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐰𝐢 𝐮𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐫𝐚 𝐩𝐢𝐚 𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐰𝐚𝐳𝐨 𝐟𝐢𝐧𝐲𝐨.𝐲𝐚𝐤𝐮𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐞𝐫𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐰𝐢
sawa sawa mabingwa wa kufanya biashara kwa mbinu kuliko akili 😃
Nakuelewa😂😂 umeeongea kwa hisia
Biashara kwa mbinu ndo kila kitu kuna ma genius wengi hawana hela maisha maandiko yenyewe yanasema akili nyingi huondoa maarifa
Wachagga tukizidiwa tunaanza majungu na umbea,,shame on us😆😆
Imeandikwa kwenye kitabu gani kaka?@@machachehardware5975
Nasisi wanyakiusa kikao tuweke tuijenge tukuyu yetu kusauzi
Kwahiyo wanyakyusa wapo tukuyu tuu
Tatzo wanyakyusa pesa hamna
@@josephkiwale374 unamjua sauri wewe na ni wengi tu matajiri
Mbona wandengeleko na wazaramo, hawana shobo na miji ya watu jamani?
Ndio tumekuja kuwafaid Sasa Kila mnapoenda tutawafuata siku mkigundua kuwa na shobo Kuna faida sisi tutakua na maisha magumu aise
Wajenge kwao wafirisike subutu utajiri wao unamashrti wajari waone wataka pukutika usizione suti hizo wanamaisha magumu hao hafazali ya wewe rofa ukila ugari wako na kauzu unashukuru
Mmmhhh
DC anapoteza muda tu. Utajiri wa Wakinga ni wa makafara na masharti. Walio wengi hawaruhusiwi kuishi maisha mazuri yenye anasa. Wakifanya hivyo wanafikisika au kufa. Wengi wamewaweka mama zao waliokufa au ndugu zao kwenye vyumba maalumu kuvuta hela
Jishikilie wewe watu wanamashamba ya miti