Manara nakuombea Pepo ya mwenyz mungu nakupenda sana nahis mm na wew hatuna tofaut yyte kwanza naomba serikal iondoe neno ulemavu wa ngoz watafute neno nzr sana hongera sana
Serikali fanyeni kitu mpunguze pesa ya goli la mama iwaangalie ndugu zetu. Dr.Aly posi mwalimu wangu wa business law namkumbuka xana. Ila iundwe taasisi ya imara ya watu wny albinism iratibu misaada ya mafuta nk
Serikali uone mchangowa wabunifu tuwawekee hayo mfuta kwa bei nafuu hiyo ni kazi ndogo sana kwa wabunifu wazawa kama wakipewa nafasi mimi mwenyewe nafahamu kiasi kuhusiana na suluhisho la ngozi karibuni kama kuna mtu atakuwa na uhitaji
Kwa hili nimezidi kumheshimu huyu bwana. Mungu akubariki mpaka ushangae❤🎉
Ameen ameen ameen...
Manara nakuombea Pepo ya mwenyz mungu nakupenda sana nahis mm na wew hatuna tofaut yyte kwanza naomba serikal iondoe neno ulemavu wa ngoz watafute neno nzr sana hongera sana
Ameen ameen ameen...
Safi sana manara kuwatia moyo wezio..ALLAH KAKUCHAGUA WW ALKUA ANAJUA❤❤
Wanadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ..
Well Said Manara kujikubali kwenye maisha ndo ushindi No moja .
Mungu hajafanana na yoyote mpuuzi wewe
Good bro ww nitajire wamoyo sio rahesia moyo wako wapekee mungu akuzidishia Imani watu wote wana moyo lakinia siyoyote ana moyo
Manara hongera ni mtu wa Watu na kiukweli namkubali sana anajiamn na anajikubali sana
Hili la losheni ya hawa wenzetu wapewe bure kwa vitabulisho vyao na serikali iharamie ama iwekwe sehemu maalumu serekalini mradi wapate bure
Be blessed kaka Manara na ndugu wote mliokuwepo hapo
Mungu yu mwema na ibariki Afrika yote🙏🏼🙏🏼
Ameen
Kabisa uko strong sana BUGHATI
Kujiamini ni kitu kizuri sana.
Kama Trippie Redd mwana muziki mkubw na anakimbiza sana. Asante sana manara.
Hongera sana,haji manara kwa kuonesha haji manara
MashaAllah mabrook mabrook jazzakaalllahu fikii
Subhanallah. Mungu ndie muumbaji, Alhamdulillah
Speech nzuri mashaallah ❤
Hili ni Kubwa MashaaAllah 😍
tabarakAllah...
❤❤❤❤❤❤❤ mungu akubariki
Powerful speech
🎉🎉🎉
Safi
Mungu atawasaiidia uzuri tunae mama mwenye uruma na upendo ninaimani nae atafanya kitu
Mungu akujalie lililo la kheri Manara.
Mungu akubaliki kwa hili ❤❤
Huyo mkeo kwa mtazamo wake ameona hiyo kofia imekukaa sawa kabisa akaridhika 😂😂😂😂
imebidi niludie kuitazama😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅matako yako😅😅😅😅
Kabsa me nimepnda speech yako dady ❤❤❤
Kweli kabisa mungu atakupa kila wkt
Hongera manara
Wapewe buru pesa zetu za serokali ziwalipie hawa ni ndugu zetu wa damu
Alb8no siyo wengi wagawiwe Bure KABISA mwiguru kwenye bajeti
Na mipira viwanja kwa akili zao
Sana unacho sema kweli Kabisa
Allah awe nawe
Alhamndulilah ala'kuli hal
Aaa kama mna cha cha Albino basi zipitishwe through hiyo Organisation yenu. Serikali ishughulikie hili
Serikali ingetoa sun screen bure kwa albino
Hahahahahahah. Hajui?????
Manara wewe ni kiongozi wa kuzaliwa.
Serikal iwapunguzie kod hawaa watuu jaman
Ni kwel zna bei kubwa sana
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys Jikubaliii jinsi ulivyo ktk hali yoyote❤❤🎉🎉 Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Mafuta iwe ni wajibu Kwa selikali
Asalam alykum manara mie nakupongeza sana ila ninawajukuu zangu na mie albino naomba unisaidie
Manara umemsikia bibi /babu ana wajukuu zake anaomba msaada
Serikali fanyeni kitu mpunguze pesa ya goli la mama iwaangalie ndugu zetu. Dr.Aly posi mwalimu wangu wa business law namkumbuka xana. Ila iundwe taasisi ya imara ya watu wny albinism iratibu misaada ya mafuta nk
Mbona haujamuoba na boss wako GSM
Mi Niko uku Nanjirinji nashindwa nauli yakwenda kuchukua mafuta
uongo haitaji pochi hiyo
Serikali uone mchangowa wabunifu tuwawekee hayo mfuta kwa bei nafuu hiyo ni kazi ndogo sana kwa wabunifu wazawa kama wakipewa nafasi mimi mwenyewe nafahamu kiasi kuhusiana na suluhisho la ngozi karibuni kama kuna mtu atakuwa na uhitaji
wapewe bure kiukweli liangaliwe na serikali
Jamaa huyu anajua kuiteka jamii
Hongera kwa kuonesha ushirikiano wako mkubwa
Katika siku uliyo ongea makubwa nileo
Akiona pesa anakuona black
Mbona zungu wa chado simuon
Ulitaka kumpa nini?
Wewe kaziyako nikuconganisha watch Sasa unaingiliya ablinos wenzako
❤️🥺🥺🥺❤️
Muendelezo vp
Kipifu?
Wew ni tajir tokaa apaaaaa
Kipofu?
Huyo zai kwa manala kafwata pesa
Kwan wew mbona unadinywa na unalipwa
Inakuhusu nini na husuda wako
Tafuta Heraaaaaaaaaa😂😂😂😂😂
Kwa pesa gani acha watu wapate Raha ya Duniani wakati mama anatnza kitovu kisidondokee kulikuwa hujui
Kwani vibaya kila kitu hela ungekua watoa wew ndio ungepanga vile utakavyo
😂😂 mtumzima ovyoo bado hujielewi ksho utamuacha mkeo
Utaolewa wwe😊
@MariamMwamwenda Cha kuowa owa na kuwacha😆😆aje na mabilioni simtaki Bora dagaa kwenye aman kuliko wali nyama kwenye vita
@@HvhVvb-k3i izo ni bifu na chuki zako binafsi ndio maana Mungu aliwakosesha kuwapa uwezo