SHUHUDIA KILICHOTOKEA KATI YA WAUZA SIMU NA SERIKALI MJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว

    They r our Brothers. I really feel sad for them. Poleni jamani. Wanabiashara Mola awafanyie wepesi ktk kazi zenu.

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 ปีที่แล้ว +1

    Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu 👍

  • @ndahuraamoti4079
    @ndahuraamoti4079 4 ปีที่แล้ว

    Bi fatma nimekuelewa sana na isitoshe simu huzwa mahala penye anuani sahihi,hata ulaya simu inauzwa na receipt,ila kwa maelezo ya hawa vijana ni kua wananyanganywa mali zao na hazifiki manispaa,inaonekana pia kuna vikosi viovu vinafanya kazi na majukumu ya manispa

  • @adanletoo2530
    @adanletoo2530 5 ปีที่แล้ว

    kumbe hizo tabia ziko hadi TZ,,,,Allah awape subra kw mitihani mnayopitia

  • @cutelove2686
    @cutelove2686 5 ปีที่แล้ว +9

    Wakiiba Msiwapige wala msiwachukulie sheria za kijinga...Maana kmaa wameamua kutafuta rizki za halali bado mnawasumbua na dhambi mtazipata nyie NIMEMALIZA

    • @jumasharif7146
      @jumasharif7146 4 ปีที่แล้ว

      Sheni ww ni mbwa tu, ondoka nchini petu hatukutaki tumechika na ccm, na huu ni mwaka wenu wa mwisho. Mbwa nyie.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnapokea sana cm za wizi na kuziuza. Na nyengine mnajua km zimeibiwa. Mana mwenyewe huja akakwambieni hii ni cm yangu imeibiwa, na still mnamtoza pesa ainunue tena!

  • @abuumo9637
    @abuumo9637 5 ปีที่แล้ว

    Daaah maisha haya yataisha lini hapa Zanzibar jmn kuzalilishana uku kma sio waislamu viongozi w2

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว +1

    Nasikitishwa sana ndugu zangu wa Zanzibar kwakuongea wenyewe kwa wenyewe vichochoroni ni mahodari sana ila wanashindwa kuongea sehemu ikiwa rasmi kdg tu, kwa mfano kama huyo juzi tulipokuja hapo Darajani kuongea Na hawa wafanya biashara wa dogox2 bac unakuta jitu zima miraba saba linakimbia utasikia linasema "cjajipanga mie" mbona wenzetu wa kutoka Tz bara hawana upuuzi huo wanafunguka tu yaani sometimes hadi unashindwa kufanya kazi kwa weledi kipande hiki watu wamezongwa Na nidhamu ya uoga wallahi ila kwa umbea Na kuongea hovyo wapo juu hatari

    • @lipymuscat4779
      @lipymuscat4779 5 ปีที่แล้ว

      Umbea umeona zanzibar tu? Umbea nenda kwenye instagram ndio utajua km wabongo wambea kuliko sisi wazenj

    • @hassankihonde1275
      @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว

      @@lipymuscat4779 nadhani hujafahamu nn namaanisha

    • @jumasharif7146
      @jumasharif7146 4 ปีที่แล้ว

      Eeeeeeeee, sheni weeee, madaraka hayo! Mungu atamulipa nyy , acheni kunyanyasa watu, sheni hatukutak nchini petu, mbwa ww, mwana haramu.

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 5 ปีที่แล้ว +1

    Watafutieni sehemu TU,lakini wasiharibu mazingira,na barabara nzima wanaiziba. Na Mali yao ihakikishwe lakini kama ni ya halali ,kwasababu vitu vingi vikiibiwa vinakutwa hapo,na Allah atuhifadhi mpaka misahafu inaekwa chini barabarani ,hii inkuwa sababu ya laana juu ya serikali.

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana

    • @hassankihonde1275
      @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว

      Upo wp Roida napenda uwe rafiki yangu 0672-270-730

  • @blacksonismael2501
    @blacksonismael2501 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa waambieni waeke sehem na wapeni sehem iliyo mzuri

  • @maubarak9831
    @maubarak9831 5 ปีที่แล้ว +2

    kiukweli sehemu ile sio sehemu sahihi ila watafutieni sehemu muafaka wafanye biashara yao kama yahalali

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 ปีที่แล้ว +2

    Utaratibu upi si muwatengee maeneo iwe wakilipia, yaani km Kuna askari wanakero na kunyanyasa raia basi ni Hawa wa manispaa, sio zanzibar tu miji yote ya afrika mashariki

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว

    Wee mama hujui unachokipngea Zanzibar bado wapo kwenye ukoloni

  • @مريمسالم-ب2ج
    @مريمسالم-ب2ج 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh baada ya jua kali sasa imekuwa chinga kweli wazanzibar tumemezwa

  • @fatmaaly9686
    @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว

    Poleni mtihani hayo dio mapinguzi yetu

  • @mamyally958
    @mamyally958 5 ปีที่แล้ว +4

    Maisha kwetuhatuendelei mhhh mtihani huu wakati kila mtu kaekewa na riski yake duniani kwann lakini tunafanya ivo ahhh tunarejeshana nyuma asaa mtu unafamikia unajitahid kutafuta unajichosha kwa kutafuta hatimae ujinga km uwo kazi mnabana mnatarajia watu wafanye nn tupeni izo kazi muone km tutawakera ahhhh 😡😡😡 tutazidi kuwa nyuma siku zote kwa umaskini

    • @jumamohamed4527
      @jumamohamed4527 5 ปีที่แล้ว

      Mamy Ally we unasema nn mbona hueleweki. yaani waachiwe wezi wafanye wanavyo taka
      ile njia watu wasipite kwa haja zao eti wezi wamepanga simu wanauza

    • @mamyally958
      @mamyally958 5 ปีที่แล้ว

      Juma Mohamed usiponielewa utaelewa maisha yakisha kukaa rohoni na kuanza kujua ugumu wake ndo utaelewa km ni utaratibu na watumie lkn sio kuwafanya ivo na una uhakika gani km wezi wamekuibia au mlikuwa mnaiba pamoja acha dhana mbaya izo Ndio maana hatuendelei maisha

  • @sniperboy7098
    @sniperboy7098 4 ปีที่แล้ว

    We mama muongo mtupu munatunyanyasa sana manisps

  • @alihamad6046
    @alihamad6046 5 ปีที่แล้ว +1

    Dubai hiii

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว

    Hee shafi ushakuwa muuza simu ahsante

  • @cholloriyamiy8995
    @cholloriyamiy8995 5 ปีที่แล้ว

    USHANIFAHAMU EEE..
    HAHAHAAH HIO NDO ZANZIBAR YETU ATAKAE AJE.

  • @ayubupapi2649
    @ayubupapi2649 5 ปีที่แล้ว

    Na nyinyi maboya kwaiyo hatanikikujieni mimi na nikikwambieni mimi manispaa kwaiyo nitaondoka na vitusiyo"!

  • @saidis-haq6591
    @saidis-haq6591 5 ปีที่แล้ว

    Hao manospaa wamezoea kudhulumu watu wanavimba matumbo kwa dhulma tupu ni wizi mtumu ' kama sehemu haitakiwi kuuzwa simu kwanini wamchukulie mtu simu zake halafu akienda kuulizia wambabaishe mara nenda kwa mkurugenzi ma kwa katibu huo si ndio wizi wenyewe wa kimacho macho acheni hizo manispaa tushawachoka na tabia zenu mbaya

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 4 ปีที่แล้ว

    Dawa hamna apooo

  • @michakazojet1146
    @michakazojet1146 5 ปีที่แล้ว

    darajani kuna jua kali hayo mambo ya machinga huko kwao bara

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 5 ปีที่แล้ว

    Vikosi wote wizi, hizo habari ukweli mtupu wamazoea hata Allah hawamuogopi kwa dhulma

  • @draaonline7923
    @draaonline7923 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo wizi wa simu umezidi munaiba munaenda kuuza pale ndio chaka kamata weka ndani

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 ปีที่แล้ว

    Serekali yetuu jamanii we acha tu ni kiboko atale

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 4 ปีที่แล้ว

    Ww unailalamikia serekali ya Zanzibar kuna wacheche tu ndo wanayo iharibu Zanzibar na nchi zetu nyingi za africa kuna wamachinga na zanzibar police ukimuliza anakwambia usinifundishe kazi

  • @kassimnemsh1998
    @kassimnemsh1998 5 ปีที่แล้ว

    boda boda wanakamata,wauza simu wanawapokonya,tufanye nini au mnarizika tukikaba na kuvuta unga maskani🤭

  • @omaryothman2091
    @omaryothman2091 5 ปีที่แล้ว

    Dah Zanzibar tushakua wengi dah

  • @utaani1
    @utaani1 5 ปีที่แล้ว

    Ati watu wasojulikana wanachukua simu zao, hiyo kali

  • @smithjones4099
    @smithjones4099 5 ปีที่แล้ว

    Acheni watu wapate riski yao. Sasa simu wakauze ndani ya mikundu yao

  • @zulfazanzibar528
    @zulfazanzibar528 5 ปีที่แล้ว

    Tuweni pol wazanzibar serekali wenye mhmm

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 5 ปีที่แล้ว

    Wajengeeni MACHINGA COMPLEX

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 5 ปีที่แล้ว +2

    Kila mtu anahaki katika hii dunia sio dunia ya watu wachache tu duh huoni uonevu

    • @jumamohamed4527
      @jumamohamed4527 5 ปีที่แล้ว

      Salma Elhinai haki ya mtu sio kuvunja sheria
      fata utaratibu sio kila mtu afanye aonavyo

    • @salmaelhinai833
      @salmaelhinai833 5 ปีที่แล้ว

      @@jumamohamed4527 umeisikiliza vizuri maelezo yao au na wewe unarukia km manispaa

  • @blacksonismael2501
    @blacksonismael2501 5 ปีที่แล้ว

    Ayo ndio mandeleo ya Zanzibar

  • @maryammmakunduchmahammed9786
    @maryammmakunduchmahammed9786 5 ปีที่แล้ว

    Wakaibe jaman mtihan wizi utaongezek jaman waekeen sehem

  • @dazuuhmd819
    @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ipo wawatafutie pakuuza cm na wao hizo cm wazipata wapi

  • @suleimanomari7605
    @suleimanomari7605 5 ปีที่แล้ว

    Ushanifahamu au siyo

  • @hamnakituumupumbatupumohd8505
    @hamnakituumupumbatupumohd8505 5 ปีที่แล้ว

    sasa mtaelewa maana mlikua mnasherehekea bodaboda kukamatwa zamu yenu sasa na nyie mnaambiwa mnauza simu za wizi

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 5 ปีที่แล้ว

    Manispaa hapo zulma kwenda mbele

  • @EmmanuelHankungwe
    @EmmanuelHankungwe 5 ปีที่แล้ว +1

    Ushanifaham ee

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 ปีที่แล้ว

    Hao manisipaa wote matumbo yao yamejaa riba

  • @awadhmbaraka8033
    @awadhmbaraka8033 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha serekali mavi

  • @oopsm3574
    @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว

    Wizi tu njaa

  • @mashotoomar3962
    @mashotoomar3962 5 ปีที่แล้ว

    Wafunguwe maduka hao ni wizi tu

  • @utaani1
    @utaani1 5 ปีที่แล้ว +2

    Sio selikali sema serikali, sio askali sema askari

  • @ibrahimhaji214
    @ibrahimhaji214 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mkuu wa soko ni mpuuzi.

  • @cholloriyamiy8995
    @cholloriyamiy8995 5 ปีที่แล้ว

    USHANIFAHAMU EEE..
    HAHAHAAH HIO NDO ZANZIBAR YETU ATAKAE AJE.