3 MISULI YA IMANI KUAMINIWA NA MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @justmwimo7329
    @justmwimo7329 10 ปีที่แล้ว

    Ambwene sijui nikwambie nini ila moja tu ni kwamba umemuwakilisha Mungu vizuri duniani! Naamini Mungu anajivunia wewe sana! Keep it up! Mungu akutangulie mbele kama wimbo wako wa tai.

  • @chombochombo9851
    @chombochombo9851 7 ปีที่แล้ว

    Asante kaka Abwene kwa nyimbo nzuri Mungu akubariki sana Nazipenda sana nyimbo zako

  • @jennifersosthenes1885
    @jennifersosthenes1885 10 ปีที่แล้ว +2

    Njia yangu haikuwa rahisi. Kweli kupitia huu wimbo mungu baba wa mbinguni. Ataniinua!- ubarikiwe sana! Ambwene nyimbo zako zimepata kibari kwangu huwa najikuta nalia na kumshukuru mungu!!!Bwana akubariki!

    • @jennifersosthenes1885
      @jennifersosthenes1885 10 ปีที่แล้ว

      My way was not as easy as others bit God you make it!!!! -Thanks!!my Lord

  • @issajoseph2799
    @issajoseph2799 10 ปีที่แล้ว

    Mr ambwene mungu akuongezee kipaji unaweza sana kazi

  • @gracesanga8354
    @gracesanga8354 10 ปีที่แล้ว

    Yaan huu wimbo unanigusa sana moyo wangu na maisha yangu! nikiusiliza najukuta namwaga chozi! Nikweli yawezekana unapitia magumu kiasi amabacho inasema mungu hayupo! Lkn ukiona tatizo la mwenzio lakwako lina nafuu! Ohoo god bless Ambwene!

  • @masolembozyo4728
    @masolembozyo4728 10 ปีที่แล้ว

    Aaaliomba maombi mazur site tulifurahiaaa! Yaan kaka ambwene Mungu akubariki sana.wimbo huu na ule wa tangulia mbele yangu huwa zinaniliza sana. huwa namkumbuka marehemu baba yangu. Jinsi alivyonipenda Mungu ampumzishe kwa jamani. Labda kwa kuuwa tulikua wadogo Hebu songa mbeleeeee

  • @hellenmnyone1917
    @hellenmnyone1917 9 ปีที่แล้ว

    kazi yako nzuri kaka mungu akubaliki

  • @gracepetter5108
    @gracepetter5108 9 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zk kaka zinapata kibar kikubwa xn,uwa nakumbuka mbali xn mungu akuinue sana.

  • @suleali8327
    @suleali8327 8 ปีที่แล้ว

    God bless brother for singing agood songs

  • @wgimygimygimy5949
    @wgimygimygimy5949 10 ปีที่แล้ว +1

    Nabalikiwa sana tu

  • @godfreytimothy3629
    @godfreytimothy3629 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @chombochombo9851
    @chombochombo9851 7 ปีที่แล้ว

    Asante kaka Ab

  • @justmwimo7329
    @justmwimo7329 10 ปีที่แล้ว

    Ambwene sijui nikwambie nini ila moja tu ni kwamba umemuwakilisha Mungu vizuri duniani! Naamini Mungu anajivunia wewe sana! Keep it up! Mungu akutangulie mbele kama wimbo wako wa tai.