ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Tulikuwa tunafikiri figisu ni waarabu tu kumbe hata hapa tz Kuna waarabu wasiojulikana,ila wapo mwanza,
Mnyama NIKOMESHEE hao NGOGWE na wanae mijusi.
Hawa wakuu wa namna hii ni shida sana
Mkuu WA mkoa soma ubao WA uwanja unasemaje Acha ushamba ww ni kiongozi WA selikari hukutakiwa kufanya yale
Kilichompekeka pale ni UYANGA kwanini asimtume OCD au mkuu wa wilaya kama kunaulazima.
Mmeanza kuwapangia wakuu jinsi ya Kufanya kazi?😂😂😂
Mkuu bora ungekaakmya mnavyo pishana na meneja pia difenda inaonyesha kocha na meneja wakondani
Mkuu WA mkoa ujue hii Simba ni taifa kubwa usiichezee kabisa Acha ushamba ushamba bwege ww
Usiichezee Simba utakikosa kibarua wenzako wajanja hawafanyi hivyo bwege ww
Pamba Wana ogo Wana ogopa Wana ogo Wana ogopa.
Maji hazibwi kwa tenga,Mnyama piga hao vibwengu
Funguo siwalikua nazo wenyewe ndani
Nyie bhana kusema amjui kama simba na yangya ni vilabu vya siasa mnashangaa nn
Lile lisukuma limkuu la mkoa lishamba TU asituletee ushamba wachawi TU watashindwa Kwa jina la yesu
😅😅....yule siyo Msukuma ni Mmakonde..
Wacha inyesheee tuone panapo vujaa hata iwejee mtagongwaa tuu na kuweka figisu zenu this is simbaaaaa Mnajichanganya na maelezo yenu mkuu wa mkoa na huyo wa uwanja dahh fedheha hii mpira hauhitaji utashi wa namna hio hata kama una cheo
Atakua alitaka kupeleka uchawi sindokazi ya utopolo
Mie ninasema kuwa pale kuna uyanga hata hivyo mkuu wa mkoa wa mwanza ni mwanachama halali wa yanga alitumia cheo chake kuumiza waoizani zao
Asha poteza
Nyuma mwiko wana tumia nguvu nyingi kuishusha simba lakini inashindikana ubaya ubaya ubwela
Wanasajili wazee"wanajua watacheza cheza na marefaa na vitu vya ajabu kama hv
Tena mkuu wa mkoa ulikosea wange pigwa hao waalibifu
Bado watalia San utopolo
Kashafungwa
Tulikuwa tunafikiri figisu ni waarabu tu kumbe hata hapa tz Kuna waarabu wasiojulikana,ila wapo mwanza,
Mnyama NIKOMESHEE hao NGOGWE na wanae mijusi.
Hawa wakuu wa namna hii ni shida sana
Mkuu WA mkoa soma ubao WA uwanja unasemaje Acha ushamba ww ni kiongozi WA selikari hukutakiwa kufanya yale
Kilichompekeka pale ni UYANGA kwanini asimtume OCD au mkuu wa wilaya kama kunaulazima.
Mmeanza kuwapangia wakuu jinsi ya Kufanya kazi?😂😂😂
Mkuu bora ungekaakmya mnavyo pishana na meneja pia difenda inaonyesha kocha na meneja wakondani
Mkuu WA mkoa ujue hii Simba ni taifa kubwa usiichezee kabisa Acha ushamba ushamba bwege ww
Usiichezee Simba utakikosa kibarua wenzako wajanja hawafanyi hivyo bwege ww
Pamba Wana ogo Wana ogopa Wana ogo Wana ogopa.
Maji hazibwi kwa tenga,Mnyama piga hao vibwengu
Funguo siwalikua nazo wenyewe ndani
Nyie bhana kusema amjui kama simba na yangya ni vilabu vya siasa mnashangaa nn
Lile lisukuma limkuu la mkoa lishamba TU asituletee ushamba wachawi TU watashindwa Kwa jina la yesu
😅😅....yule siyo Msukuma ni Mmakonde..
Wacha inyesheee tuone panapo vujaa hata iwejee mtagongwaa tuu na kuweka figisu zenu this is simbaaaaa
Mnajichanganya na maelezo yenu mkuu wa mkoa na huyo wa uwanja dahh fedheha hii mpira hauhitaji utashi wa namna hio hata kama una cheo