Bila ya nn ww mzee kumbe mjinga sana ww ndo anaekupa pumzi huyo Mama yko inamana Mwenyezi Mungu sio alikuweka hadi uzungumze upuuzi kwa sababu ya upuuzi
Mzee Masatuuuu, unatukera sana wanasimba wenzako unapokuwa unataka kuongelea habari za simba lazima umtaje huyo mama yako? wewe mshukuru mwenyezi Mungu tu, ndiyo kipaumbele, huyo mamaako abaki kwenye siasa tu, sio mpira. Simba nguvu moja, huwa ninakukubali sana, tatizo ni hilo tu.
Hizo ni hisia zako ambazo hakuna wa kukuingilia so naye muache aelezee hisia zake. By the way huyo unayemkataa asitajwe naye ana mchango wake kwenye mpira wa taifa hili period.
Nguvu mojaa❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
Waambie mzee masatu Simba nguvu Moja ubaya ubwela
Ila mzee said 😂😂😂😂 et camara mungu amuweke
mzee masatu anaongea na cm kutoka marekan simba nguvu moja 🦁🦁🦁🦁
Mtumie hata doritos
Bila ya nn ww mzee kumbe mjinga sana ww ndo anaekupa pumzi huyo Mama yko inamana Mwenyezi Mungu sio alikuweka hadi uzungumze upuuzi kwa sababu ya upuuzi
Ameshukuru Mungu sasa povu la nn?
Makasiriko ya nini?
We nd mjinga kumbuk hat vitabu vya dini vinasema kheshimu kiongoz wako anaekuongz,ndio maan ht kweny family kun bab vp we ondoa chuki binafx y sias 😅😅
Elewa maelezo ya mzee wetu.
Angaika na timu yako na hao wazee wako na msijisaulishe mpanzu na fei toto bado hawaja cheza ubaya ubwela hauwezi kushindana nao
Maelezo mengi mama mama unaniuz hujui tu namamako Simba nguvu moja
Ana akili uy Mzee mama mama
Simba mnalaa yanga team yetu mbovu wazee wengi
👏👏👏👏👏👏👏👏🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏
Mzee Masatuuuu, unatukera sana wanasimba wenzako unapokuwa unataka kuongelea habari za simba lazima umtaje huyo mama yako? wewe mshukuru mwenyezi Mungu tu, ndiyo kipaumbele, huyo mamaako abaki kwenye siasa tu, sio mpira. Simba nguvu moja, huwa ninakukubali sana, tatizo ni hilo tu.
Hizo ni hisia zako ambazo hakuna wa kukuingilia so naye muache aelezee hisia zake. By the way huyo unayemkataa asitajwe naye ana mchango wake kwenye mpira wa taifa hili period.
Mmmh
Utamkaangaje mkuu wa mkowa wakati goli la pamba mwanza hulisemi chefuu
NIPO HAPA KIZA KUTOKA MAREKANI 15:5🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tumemfunga mdhaminiwa bad mdhamini SSC nguvu moja
Inaonekana masatu hajawahi kuingia darasani kabisa. Yaani hana akili
Ila masatu duu hatar
Simba nitem kubwa dunian
UBAYA UBWELA
At mm. Atanifanys. Nisimsilkkilize