Subhannallah subhannallah 😢😢😢😢 nimeumia San kwakweli sheikhe Allah akulinde na kil lenye Shari naw sijawahi posti wala hill failed sina kabis ila ninesikitika San kwaajili ya dad zetu tumeibeba dunia wallah 😢😢😢
Maa Shaa Allah Allah akubarik shekh umesema maneno mazito sana na Allah atufanyie wepesi maana kwa kweli mitandao ya kijamii saivi imekuwa ni tatizo kubwa na ndio chombo kinachotuharibia maadili ya vijana wetu wa kiislamu.
Kweli kabisa waume wengi tumekuwa madayyuth..waume tumekaliwa chapati na wake zetu..hao waliowavuta wake zao ma video wakicheza hali ya kua wamejipamba ukichunguza wengi wao mke ndio mtawala wa nyumba..Mke ndo kusema ndani ya io nyumba inafikia hali mume anakua kama dondocha kwa mkewe😮

Wallah Sheikh unayosema ni kweli ...Allah atuhifadhi sisi wanawake wa sasaivi ...Tumeipa dini Dharau na kuipakipaumbele Mitandao ya kijamii
Kabsaaa 💯 umeongea vyema Allah akulipe kheri Shekh Akihifadhi
Masha-allah yaa sheikh Allah akulinde
Maa Shaa Allah Allah akubarik shekh umesema maneno mazito sana na Allah atufanyie wepesi maana kwa kweli mitandao ya kijamii saivi imekuwa ni tatizo kubwa na ndio chombo kinachotuharibia maadili ya vijana wetu wa kiislamu.
Shukran shekh Yusuf Abdo
Hasbuna llah hasbuna llah
Mashallah mungu akupeni afya njema muzidi kuelewesh ummati wa MTUME S.A.W
mana tunafika mbali bilisi ametutawala sana Allah sw atuepushe na shari zake
Mashallah manen sahih kabisa lazm tuonyane sh lazm tuamrishan na tuonyane
Asalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh
Masha Allah sheikh!
Shukran kwa malevolent, mawaidha ya uwazi kabisa
Shekh up sahihi allah akumbarik
Mtihan sheikh Allah awaongoze
Sheikh tuna shukuru sana
Jazakallah khayran
Aslm alaykum shekh naomba kuuliz swal
SubhaAllah 😢
Innalillah wainna ilaih rajiuun
Hapa izungumzwe wanawake tumezidi wacha tupewe darasa turudini sote kwa Allah
@AkbarKhan-ii4fo
0 seconds ago
Asalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuh
Masha Allah sheikh!
Shukran kwa malezo , mawaidha ya uwazi kabisa
ماشاءالله تبارك الله
Bismillah
Wapi huko ustadh. Ama kuna nn