Ali Muhsin Barwan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2015

ความคิดเห็น • 11

  • @muddyyussuf
    @muddyyussuf 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah, Sheikh Muhammed umejua kufikiri sana ulipokuja kidijitali,,,Hongera sana

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 8 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah Allah atadhihirisha zaidi ukweli zaidi tukiacha kudanganywa kwa jina la waarabu ni tatizo kwa Zanzibar kumbe waingereza walikuwa na ajenda ya uislamu pamoja na Afro Shirazi party kuidammir zanzibar ni Tamaa ya watu wachache

  • @pandujecha3868
    @pandujecha3868 8 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh Muhammed hongera sana una mambo mengi ya ukweli uliofichwa.

  • @nusafriksuk
    @nusafriksuk 4 ปีที่แล้ว

    Adulaziz Al- Amawy

  • @AliMohammed-mj4ec
    @AliMohammed-mj4ec 6 ปีที่แล้ว +1

    Assalam alaikum warahmatu Llah nashkuru sana kwa kupata mtu wa kutueleza ukweli kuhusu historia nahisi ipo haja ya sisi kufuatilia kwa unayosema kwa mfano watu wanoambiwa walitesa waafrika na kuwafagilisha kwa maziwa waliacha nini kwa wazanzibar lakini jee hao walotupa hio propaganda hawana watu weusi nchi zao ambao waliwapeleka kwa mikwaju na kuwaforce Vile vile tuangalie kabla ya uhuru Zanzibar ilikua ni taifa gani na baada ya uhuru imefika wapi? Ni hayo tu kwa mchango wangu . Assalam alaikum warahmatu Llah

  • @inuyashasgirlsmao5084
    @inuyashasgirlsmao5084 7 ปีที่แล้ว +2

    wameuwa watu na kubaka na wizi. wafrika hawanakheri. u tube. mnlaaniwa. gabion.

  • @GlobalSouthObserver
    @GlobalSouthObserver 3 ปีที่แล้ว

    Hizbu ilizikwa kwenye kaburi la sahau

  • @GlobalSouthObserver
    @GlobalSouthObserver 3 ปีที่แล้ว

    Mapinduzi Daima!!

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 3 ปีที่แล้ว

    Malipo yapo kwa allah
    NA waliouwa na wao wamesha kufa
    Majuto ni mjukuu