Ahsanteni Mwalim Mohammed na kiongozi wetu Ismail hakika twapata faida mno kwa hiki kipindi kizuri na kwa hakika huu ni ufunuo mzuri wa vitabu allah akufanyieni sahli ktk mambo yenu...
Tukitoka hapo twende Conflicts and Harmony in Zanzibar. na Ali Muhsin Barwany kisha Sowing the Wind: Zanzibar and Pemba Before the Revolution na Maulidi Mshangama.
Asante sana Sh Mohamed kwa ubunifu wako mkubwa sana wa Tasnia yetu hii ya Uandishi wa habari .. kwa kweli kipindi kimenifunza mingi sana nsiyoyajua.. ombi langu kama Mheshimiwa Jussa atapata wasaa naomba UCHAMBUZI wa vitabu hivi 1) Why nations fail by James Robinson
Ahsate,inafurahisha sana, maana Mzanzibari bali hata Mtanzania atapata uelewa wa ukweli halisi wa yepi yaliojiri katika jamii yetu na historia yazanzibari, Mola ibariki Zanzibar
Assalamualaikum mimi nina suala. Ilikuaje baada ya muungano kujichuklia nguvu mwaka 1965 vipi mzee wetu mrhum Abood Jumbe alikubali kuuwa ASP mwaka 1977?
Ismail Jussa, umekisoma hicho kitabu cha mzee Jumbe, ambao hatukuelewa sasa tumeelewa. Lakini swali ni moja, tutawezaje amini upande mmoja bila kusikia pande wa pili? Je, waweza kututafutia nukuu za Mwl. Nyerere alichokuwa ametuvunga kwamba Mzee Karume ndiye alisema kwamba, waungane mara moja. Tunahitaji maelezo hata kama ni kurasa mbili.
Ahasantu...endeleeni kutufumbuwa macho...ila mm napendekeza mtafute tv...muwe nnarusha yaha mambo ila watu wajitambue na watowe tongo..asisikilize propanganda
Kusema kweli hawa ccm zanzibar unajua na kufahamu kila majadiliana ya muungano katika baraza la wawakilishi linatupa usahidi hawa watu wanasamini vyeo wanavyopewa tanganyika ndio wanauza utu wao
Hilo lipo wazi ,ccm Zanzibar hawana uchungu na maendeleo ya Zanzibar isipokuwa wanajali tupo tu ndio tatizo lao hata pale Zanzibar inapodhalilishwa hawaoneshi kuchukizwa na kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya Zanziba.r
@@jumamohamed3168 ni kweli yaani hii inatia uchungu Kwa kweli viongozi wa Tanganyika kama kabudi ,lukuvi Na wengine wameisema sana vibaya Zanzibar Na viongozi wa Zanzibar kimnyaaaaa , sijui hii inatoa sura Gani Kwa wazanzibari . Lakini iko siku Inshallah Mungu atatupa nguvu ya kushinda juu ya nchi yetu ya Zanzibar
Znz wanasherehekea uhuru? Ilivyo wanasherehekea mapinduzi ya serikali iliyotawala mwezi tuu kuliko kujitoa kwemye ukoloni wa karne nyingi wa muingereza
Kuna mlevi mmoja anasema Eti barua iliibiwa na maalim seif Nimemuita mlevi kwa sababu Ni akili za kilevi kipindi hicho maalim seif alikua hana uwezo tena wa kwenda ikulu pili Mzee jumbe ikiwa kaweza kutaja uchafu wa nyerere tena akiwa hai kwanini asiseme kua Maalim seif ndio aliichukua baru??
Kawaida ya mchawi akikuroga anakuwa anaumia pindi ukienda kutafuta tiba haha ake uendelee kuumia tuu.roho inakuuma ila ukweli ndo huo piga kwenye mshono Bila ganzi mw.ghasani na prof.jussa.well done salute.
@@sharifjuma1220nimetoa kwa wachambuzi, na nikuongeze, Jumbe alivuja ASP ili kumpika Nyerere akitoka amuweke yeye awe rais wa Tanzania. wewe andika unayojua
@@111dudi mie naandika waliyosema wenyewe. Kwa MIKONO yao. Hayo ya kutaka urais Jumbe au Seif kupeleka waraka ni Radio kifuwa. Na ukileta tutakwambia umeyaokota wapi. Maana wenyewe wameyaongea na wote wameandika vitabu.
Hiyo barua iliibiwa kwa njia ipi? Kwenda ikulu kupekua ofisi ya rais au kwa njia ya kimtandao? Ama kwa njia nyengine yoyote ile tafadhali tuelimishe ndugu.
@@mangofish9079fish Luna elimu gani kwani si utafuta kitabu usome. Seif kaandika kwenye kitabu alicho andika yeye na Ali SULTAN. Usalama wa taifa aliimpelekea huo waraka. Mtandao au digital ayo sema wewe.
Muheshimiwa Jusa yuko vizuri kabisa. Kipindi kizuri kwa kweli.
Santeni sana, hakika kazi yenu tunaithamini hatuna cha kukulipeni, Allah akuhifadhini, such a priceless programme
Asante muheshimiwa jussa yaani tunakufahamu vzur km mwalimu na wanafunzi wake nakufatilia kila siku asante my brodher Moh'd kwa kipindi kizur.
Ahsante Kwa kutuelimisha sisi vijana wa Zanzibar .musichoke kutuelimisha Na kuitetea Zanzibar
Ahsanteni Mwalim Mohammed na kiongozi wetu Ismail hakika twapata faida mno kwa hiki kipindi kizuri na kwa hakika huu ni ufunuo mzuri wa vitabu allah akufanyieni sahli ktk mambo yenu...
Elimu kubwa sana hii. Asante Jussa na Ghassani 🙏
Shukrani nawe
Mashaalah shekhe jusa gesan
Asanteni San kwa kutuekea kumbukumbu saw vizazi vitajifunza kupitia kwnu
Bismillah Masha Allah this is incredible ❤️.. tumejifunza mengi..Allah awaheefadh na awabareek. Amin
Mashaallah kazi nzr mungu akulinden na mahasidi nyny
Asante sana Mhe Ismail Jussa tupo pamoja hatuto pitwa na kipindi Insha Allah.
Shukrani sana
Jussa Maasha Allah upo vzr kwenye uchambuzi.Allah amrehem maalim Aboud Jumbe.Niliku najiuliza kwa nini AboudJumbe aishi uhamishoni,?
Amiin Yarabby
Tukitoka hapo twende Conflicts and Harmony in Zanzibar. na Ali Muhsin Barwany kisha Sowing the Wind: Zanzibar and Pemba Before the Revolution na Maulidi Mshangama.
Asante sana Sh Mohamed kwa ubunifu wako mkubwa sana wa Tasnia yetu hii ya Uandishi wa habari .. kwa kweli kipindi kimenifunza mingi sana nsiyoyajua.. ombi langu kama Mheshimiwa Jussa atapata wasaa naomba UCHAMBUZI wa vitabu hivi
1) Why nations fail by James Robinson
Shukrani Maalim. Tunashukuru sana na ushauri wako tunaupokea
Natoa ushauri tu, hivi vipindi vingeliandikiwa kitabu ili kizazi kijacho wapate kufaidika.
Kutoka Oman nawafatilieni Sana. جزاكم الله خير الجزاء
Wewe wa Oman kaa huko huko kula tende zako na kunywa maziwa ya Mgamia, wewe sio mwenzetu tuache.
Ahsate,inafurahisha sana, maana Mzanzibari bali hata Mtanzania atapata uelewa wa ukweli halisi wa yepi yaliojiri katika jamii yetu na historia yazanzibari, Mola ibariki Zanzibar
Chambueni na kitabu cha Mwinyi. Huyu babake Rais a Hussein Mwinyi. Natamani kujua mtazamo wa Jussa kwa alichokiandika Ali Hassan Mwinyi. 🙏
Shukrani kwa ushauri. Tunakiweka kwenye orodha
Nice one broo
Big up for Mr jussa & Mr Muhammed ghassan
Assalamualaikum mimi nina suala. Ilikuaje baada ya muungano kujichuklia nguvu mwaka 1965 vipi mzee wetu mrhum Abood Jumbe alikubali kuuwa ASP mwaka 1977?
Nkubali tu jamma fundi ismail jusa
Asallam allekum, tunawezaje kuvipata vitabu hivyo huku dar au kuna Appy yenu ambayo tunaweza kusoma vitabu hivyo . Shukran
Hakuna Muun'gano hapo kuna utawala hapo mpaka maiti wanajua sawa¿thanks
Ismail Jussa, umekisoma hicho kitabu cha mzee Jumbe, ambao hatukuelewa sasa tumeelewa. Lakini swali ni moja, tutawezaje amini upande mmoja bila kusikia pande wa pili? Je, waweza kututafutia nukuu za Mwl. Nyerere alichokuwa ametuvunga kwamba Mzee Karume ndiye alisema kwamba, waungane mara moja. Tunahitaji maelezo hata kama ni kurasa mbili.
Ahasantu...endeleeni kutufumbuwa macho...ila mm napendekeza mtafute tv...muwe nnarusha yaha mambo ila watu wajitambue na watowe tongo..asisikilize propanganda
Mm nasema tunaomba darsa maalum la kuwez kusomesh hstoria sahh.y nch yetu
Jussa mtu na nusu aisee , kongole nyingi
Kusema kweli hawa ccm zanzibar unajua na kufahamu kila majadiliana ya muungano katika baraza la wawakilishi linatupa usahidi hawa watu wanasamini vyeo wanavyopewa tanganyika ndio wanauza utu wao
Hilo lipo wazi ,ccm Zanzibar hawana uchungu na maendeleo ya Zanzibar isipokuwa wanajali tupo tu ndio tatizo lao hata pale Zanzibar inapodhalilishwa hawaoneshi kuchukizwa na kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya Zanziba.r
@@jumamohamed3168 ni kweli yaani hii inatia uchungu Kwa kweli viongozi wa Tanganyika kama kabudi ,lukuvi Na wengine wameisema sana vibaya Zanzibar Na viongozi wa Zanzibar kimnyaaaaa , sijui hii inatoa sura Gani Kwa wazanzibari . Lakini iko siku Inshallah Mungu atatupa nguvu ya kushinda juu ya nchi yetu ya Zanzibar
@@jumamohamed3168 vibaraka hao wimbi likibadilika wanaruka chombo hao..
Tubaki na mapinduzi daima na ccm
Zanzibari imetekwa kijeshi
Wakati ujao tunaomba mchambue kitabu "KWA HERI UKOLONI KWA HERI UHURU"
Hivi raisi Mwinyi na mama samia wanafanya jitihada gani kwa sasa kurejesha haki ya wazanzibar?
Safi sana
Kitabu hiki kinapatikana wapi?
Bookshops Dar au Unguja..
Sasa vitieni kwenye silabasi za skuli
Watavitiaje wakti wao sio wenye Siri-kali?
Dukani hiki kitabu kipo au hamna???
Vipo bookshops Dar au Unguja..
@@kamanyolabilajasho3833 Asante!
Wapii tulikosea ismail?
Znz wanasherehekea uhuru? Ilivyo wanasherehekea mapinduzi ya serikali iliyotawala mwezi tuu kuliko kujitoa kwemye ukoloni wa karne nyingi wa muingereza
Kuna mlevi mmoja anasema
Eti barua iliibiwa na maalim seif
Nimemuita mlevi kwa sababu
Ni akili za kilevi kipindi hicho maalim seif alikua hana uwezo tena wa kwenda ikulu pili
Mzee jumbe ikiwa kaweza kutaja uchafu wa nyerere tena akiwa hai kwanini asiseme kua
Maalim seif ndio aliichukua baru??
Kitabu cha kwaheri uhuru kwaheri ukoloni
Tungependa tufafanuliwe kitabu cha KWAHERI UHURU KWAHERI UKOLONI
Kitabu kimeandikwa kwa kiswahili hakihitaji ufafanuzi labda kama hujaenda skuli..
Watatufanya kama Palestine 🇵🇸 hawa watanganyikaa
Hebu zungumzieni mafanyikio vijana wa sasa hatutaki hadidhi za Alfa ulela
Hayo mapungufu yanayosema yanachangia kwa kiasi kikubwa kwa upande wa Zanzibar kuwa na maendeleo madogo ukilinganisha na hali halisi.
Aliekuwa hajaalkwa kwenye shughuli asituharibie shughuli
Tafuta chanel nyengine sio lazima ufungue hii account...tafuta chanel nyengine fisad ww
Kawaida ya mchawi akikuroga anakuwa anaumia pindi ukienda kutafuta tiba haha ake uendelee kuumia tuu.roho inakuuma ila ukweli ndo huo piga kwenye mshono Bila ganzi mw.ghasani na prof.jussa.well done salute.
@@nak3477 🤣🤣🤣🤣
Kitabu hiki nitakipataje Cha the partnership???
Vinapatikana bookshops Dar au Unguja..
Barua iliibiwa na Maalim Seif Sharif Hammad akaipeleka kwa Nyerere katika mikakati yake ili apewe urais wa znz
Hayo yakupewa urais naona umechomeka wewe.
Sababu ya kupeleka waraka Marehemu kasema please kama hukuwahi kumsikia basi uliza?

Ggh