Mwanahistoria MohamedSaid
Mwanahistoria MohamedSaid
  • 39
  • 305 270
Kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume 2016
Kipindi cha kumbukumbu ya Sheikh Abeid Karume, Kilichofanyika Radio Kheri - 104.1 FM mwaka 2016.
Na: Mwanahistoria Mohamed Said.
มุมมอง: 33 782

วีดีโอ

Mohamed Said - Azam TV na Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
มุมมอง 15K8 ปีที่แล้ว
Mohamed Said - Azam TV na Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Miaka 60 tangu rais Nyerere kwenda New York kudai Uhuru wa Tanganyika na mchango wa waislam
มุมมอง 5K9 ปีที่แล้ว
Miaka 60 tangu rais Nyerere kwenda New York kudai Uhuru wa Tanganyika na mchango wa waislam
Miaka 53 ya Mapinduzi ya ZNZ na Mohamed Said Radio Kheri
มุมมอง 7K9 ปีที่แล้ว
Miaka 53 ya Mapinduzi ya ZNZ na Mohamed Said Radio Kheri
KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI - AZAM TV
มุมมอง 4.9K9 ปีที่แล้ว
KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI - AZAM TV
Ali Muhsin Barwan
มุมมอง 19K9 ปีที่แล้ว
Ali Muhsin Barwan
Ally Commorian
มุมมอง 5K9 ปีที่แล้ว
Ally Commorian
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 4
มุมมอง 7K10 ปีที่แล้ว
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 4
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 3/4
มุมมอง 8K10 ปีที่แล้ว
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 3/4
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 2/4
มุมมอง 9K10 ปีที่แล้ว
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 2/4
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 1/4
มุมมอง 62210 ปีที่แล้ว
Machungu ya Waislam na Mfumo Kristo na Kumbukumbu ya Miaka 50 9 12 11 part 1/4
Wazalendo Waliopigania Uhuru
มุมมอง 10K10 ปีที่แล้ว
Wazalendo Waliopigania Uhuru
Sheikh Aly Basaleh - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
มุมมอง 25K10 ปีที่แล้ว
Sheikh Aly Basaleh - Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Waislam na Miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika Part II
มุมมอง 4.4K10 ปีที่แล้ว
Waislam na Miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika Part II
Waislam na Miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika Part I
มุมมอง 9K10 ปีที่แล้ว
Waislam na Miaka 50 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika Part I
Historia ya Bakwata Mtambani Part 3
มุมมอง 1.5K10 ปีที่แล้ว
Historia ya Bakwata Mtambani Part 3
Historia ya Bakwata Mtambani Part 4
มุมมอง 68510 ปีที่แล้ว
Historia ya Bakwata Mtambani Part 4
Historia ya Bakwata - Mtambani Part 2
มุมมอง 1.8K10 ปีที่แล้ว
Historia ya Bakwata - Mtambani Part 2
Historia ya Bakwata - Mtambani -Part 1
มุมมอง 6K10 ปีที่แล้ว
Historia ya Bakwata - Mtambani -Part 1
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 4
มุมมอง 30710 ปีที่แล้ว
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 4
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 3
มุมมอง 15710 ปีที่แล้ว
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 3
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 2
มุมมอง 32110 ปีที่แล้ว
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 2
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 1
มุมมอง 36210 ปีที่แล้ว
Sheikh Chambuso Mauaji ya Madina 1
Waislam, Bakwata na Mfumokristo
มุมมอง 53K10 ปีที่แล้ว
Waislam, Bakwata na Mfumokristo
Historia ya Uhuru wa Tanganyika Mtambani Part three
มุมมอง 16K10 ปีที่แล้ว
Historia ya Uhuru wa Tanganyika Mtambani Part three
Historia ya Uhuru wa Tanganyika Mtambani Part Two
มุมมอง 5K10 ปีที่แล้ว
Historia ya Uhuru wa Tanganyika Mtambani Part Two
Historia ya Uhuru wa Tanganyika Mtambani Part One
มุมมอง 1.7K10 ปีที่แล้ว
Historia ya Uhuru wa Tanganyika Mtambani Part One
MTAMBANI PART 4
มุมมอง 10010 ปีที่แล้ว
MTAMBANI PART 4
sheikh waziri shuza
มุมมอง 11410 ปีที่แล้ว
sheikh waziri shuza
MTAMBANI PART 3
มุมมอง 8610 ปีที่แล้ว
MTAMBANI PART 3

ความคิดเห็น

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 17 วันที่ผ่านมา

    Umesema TANU ilikuwa ya Waislamu Je Dini zingine hazikuepo kabisa wkt huo? Na kusema 76% ya wabunge ni Wakristo wa katoliki je wanapataje huo ubunge wanachaguliwa na wakatoliki?

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 17 วันที่ผ่านมา

    HK Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM 155 22 Ni Adam Toka Ubelgiji

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 17 วันที่ผ่านมา

    HK 155 Nijuwavyo Mimi Bakwata Ni Tawi la CCM Kwamaana Hivyo Serekali Ina Dini

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 17 วันที่ผ่านมา

    Kh 155

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 25 วันที่ผ่านมา

    Hii ni Africa mambo ya din waachie waarabu hapa kaz tu!!! Kwajiyo mlikua mnapigania uhuru ili muifanye nchi kua ya kidin? Na kama Nyerere angelua mdin c angewaacha waingereza maana n wakristo? Kifupi Nyerere aliwajua malengo yenu ya kuleta udin ktk nch ndo maana akawafuta ktk history na wengine kuwakamata maana angewachekea tusingekua na serikali yenye nguvu kama kama hii tulonayo na ninyi mnapaswa kudhibitiwa ipasavyo sio wakuchekewa hata kidogo !!!

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 27 วันที่ผ่านมา

    Kwa Mimi binafsi siamini kwamba tatizo Ni udini,Ila Naona tu tatizo niwazee wenyewe,Kwa sababu kama Kuna upendo nasisi wote niwamoja hapawezi kuwa nakutoelewana!!,Dini kila mtu anaweza kuamini anavyotaka,Ila Mzee Abdul Sykes nimtu mkubwa Sana,mwenye mchango mkubwa katika taifa la Tanzania,hawezi kuwekwa pembeni hata siku moja,Kumtaja mtu mmoja Tu katika history hiyo haikubaliki kabisa,Lakini ukweli utajulikana Tu.

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 27 วันที่ผ่านมา

    Kwa Mimi binafsi siamini kwamba tatizo Ni udini,Ila Naona tu tatizo niwazee wenyewe,Kwa sababu kama Kuna upendo nasisi wote niwamoja hapawezi kuwa nakutoelewana!!,Dini kila mtu anaweza kuamini anavyotaka,Ila Mzee Abdul Sykes nimtu mkubwa Sana,mwenye mchango mkubwa katika taifa la Tanzania,hawezi kuwekwa pembeni hata siku moja,Kumtaja mtu mmoja Tu katika history hiyo haikubaliki kabisa,Lakini ukweli utajulikana Tu.

  • @SEBASTIANBEKKO-ni8nn
    @SEBASTIANBEKKO-ni8nn 28 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 หลายเดือนก่อน

    Nilikua bado sijazaliwa. Baada ya kuzaliwa nilipenda sana kujua historia ya ardhi ya nchi yangu kupitia marehemu baba yangu. Alijitahidi kunieleza. Namshukuru kwa hilo. Leo baba yangu mdogo Mohamed said ananifunulia kilichopita hata leo Tuna jmh ya muungano wa Tz

  • @MaalimuIslaamu
    @MaalimuIslaamu 5 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi ya maswahaba kwa mtume S.A.W

  • @MaalimuIslaamu
    @MaalimuIslaamu 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana mawaidha ya harakati za uislamu

  • @Do-it-yourself_at_home
    @Do-it-yourself_at_home 5 หลายเดือนก่อน

    MASHAALLAH

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 5 หลายเดือนก่อน

    Mohammed mzee smart sana anajua history

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

    Nyerere baada ya kupewa chans akawageuka wazee waliompa nafasi

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

    Bakwata sijawahi waona kwenye shida za waislamu bali kwenye makongamano ya ccm

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

    Sheikh upo vizur sana kwa historia ya uhuru

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

    History nzur sana,wazee wamepigania nchi wanakuja kula nchi wengine kabisa

  • @AbdallahAbedy-yk9ft
    @AbdallahAbedy-yk9ft 6 หลายเดือนก่อน

    Ukweli haujifichi tumechoka namifumo kirsto inayotumika nabakwata

  • @AbdallahAbedy-yk9ft
    @AbdallahAbedy-yk9ft 6 หลายเดือนก่อน

    Kamabakwata nidini alioileta Allah ifuateni ilasikupunzi inakata ndipo hakiitajulikana ikowapi japo ukwelihaupingiki

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 7 หลายเดือนก่อน

    Minadhani tuamue Sasa kumbe sio wazanzibari t wa nasema na kudai ukweli kuleta Haki usawa hata watanganyika

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 7 หลายเดือนก่อน

    Yeye aliwazima wote wote kabissa ili waislam wasiojuilikane wasisikike na yeye pia alitumika ukatoliki uwe mbele

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 7 หลายเดือนก่อน

    Aa babu yangu wee waislam si wapo bakwataaa

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 7 หลายเดือนก่อน

    Uyoo alikuja kuwazimaa wote akijifanya peke yake ndio master

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 7 หลายเดือนก่อน

    Kilio Tena kilio tumeumiaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 8 หลายเดือนก่อน

    👊✌️👍.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 9 หลายเดือนก่อน

    👍✌️👊。

  • @mohamedimikombe3354
    @mohamedimikombe3354 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaa ALLAH

  • @hamidubakary
    @hamidubakary ปีที่แล้ว

    k h bakwata inalindwa kuhakikisha waislam wasifulukute to 12255

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 ปีที่แล้ว

    Huyo lanatullwal aliyekua akijafanya hatokufa yuko wapi mungu mkubwa zulma aliotufanyia molla atakulipa na kichapo akipata huko

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 ปีที่แล้ว

    Waislam na Bakwata yetu tunashindwa kuwatumia wafadhili matajiri Wa mafuta waislam wenzetu kujijengea Mahospitali ya rufaa vyuo vikuu mashule bora yanayopasisha na vitega uchumi kama vile hatuna wasomi

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo tajir akitoa hizo pesa atafilisiwa kwa kodi

    • @user13375
      @user13375 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani hakuna viongozi wa juu serikalini😮😮😮😮,mnahujumiana wenyewe😅😅😅😅

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 ปีที่แล้ว

    Hatutatoka ktk Maisha haya ya Dhiki bila ya KUIANDIKA/KUISOMESHA Historia Yetu ya UKWELI.!.

  • @JafariAbdallah-ot9gp
    @JafariAbdallah-ot9gp ปีที่แล้ว

    Ewe mola wetu wahifadhi wazee wetu kwa kutufumbua akili

  • @Shammy-rn3tn
    @Shammy-rn3tn ปีที่แล้ว

    Mpaka leo mfumo ni wakikristo.

  • @Shammy-rn3tn
    @Shammy-rn3tn ปีที่แล้ว

    Haikumalizika. Wallahi Sheikh Said hakika ni mwanahistoria. Kama iko kipande cha clip iliyobaki kitumwe.

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Sasa faida gani ya hiyo mapinduzi unaondoa serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe naunaleta utawala wengine ya tanganika sasa umerudi katika ukoloni mara nyigine sasa umefanya nini kama ujinga ni nini kutawaliwa maskini wazanzibari waliuliwa kinyama ilfu kumi NA tano tano waliouwawa NA kuwazika katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Zanzibari imekwesha au imemezwa hawezi kurudi kitu muhimu vijana wameshaelewa hiyo thulma NA uonevu wa zanzibari NA kuiteka nchi halali NA serekali ilichaguliwailichaguliwa NA vyama zote nchi zanzibari serekali iliotambuliwa NAa wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA klikua

  • @Shammy-rn3tn
    @Shammy-rn3tn ปีที่แล้ว

    Hakika Sheikh Mohamed ni mwanahistoria. Hadithi hii ya baadhi ya watu kuitwa na Nyerere baada ya kula wali wakageuka ili kuvunja East African Muslim Association nimeisilkia katika mahojiano na mzee waikela mwenyewe na inafanana kabisa na maelezo Sheikh Mohamed Said mwanahistoria ambaye hasa inaonekana anafanya utafiti wa kutosha.

  • @siyaluggajo1625
    @siyaluggajo1625 ปีที่แล้ว

    Chief Makwaia kukataa kuchukua Urais wa Tanu kwa kigezo cha kuogopa wazungu na kwa maslahi yake mwenyewe kwa lugha nyepesi tunaweza kusema alikuwa Kibaraka mnaona ni SAWA. Lakini kwa Nyerere kukubali kuacha kazi yake ali risk na kukubali kupewa Urais usio na ofisini wala nguvu yeyote na kuendelea kukijenga chama cha TANU kisiwe na msingi wowote wa kidini mnaona ni TATIZO aisee mna matatizo makubwa sana.

    • @edwinbernard3289
      @edwinbernard3289 6 หลายเดือนก่อน

      aliacha kazi lakin nani alikuwa anamfadhil kama siyo Ali sykes, na ndiyo alileta udini kwenye chama

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 2 ปีที่แล้ว

    TUNAWAPONGEZA WAISLAM KWA KULETA UHRU TANZANIA

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 2 ปีที่แล้ว

    Katila soasa za tanzania

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 2 ปีที่แล้ว

    MWALIMU ALIONA MBALI

  • @111dudi
    @111dudi 2 ปีที่แล้ว

    Kazi ya Nyerere, baba qa taifa, lakini leo waislam wamo

  • @giftmalema5032
    @giftmalema5032 2 ปีที่แล้ว

    Mzee yuko partial.... anajibu kutokana na anavyoona yeye sio kwa facts...... VICTIMISATION imemtawala sana!!

  • @jimj8285
    @jimj8285 2 ปีที่แล้ว

    Wacheni usenge!!! Huyo karume alikuwa msenge Hana akili wala busara! Kazi yake kutumia madaraka na nyege zake za kuzini na kutomba wanawake woote aliowatanani Kwa kisasi cha utumwa wake na weusi wake!!! Alikuwa na KUWADI AKIITWA FUMU!!! AKIMLETEA WAKR ZA WATU AKIWATOMBA NA KUWAFIRA LAANATULLAH!!! MAALIM SAID NILIKUHESHIMU ILA WEWE MURTADI KHANITHI WEWE!!! NYAU WEWE!!! MNYAMWEZI WEWEEEE!!!

  • @fathiyaally8631
    @fathiyaally8631 2 ปีที่แล้ว

    Kwa ufupi waengerza ndiyo wametufikisha hapa tulipofika hawa ni mayahudi wamepandikiza mbegu ya ukafiri na uchawi ndani ya uislamu sasa waislaamu tunajuta duuuu

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 2 ปีที่แล้ว

    Uhuru wa Watanganyika umepiganiwa na makabila pamoja na dini zote.Hakuna njema dhidi ya Waislamu.

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 ปีที่แล้ว

    WASHENZI TU HAWA CCM AU MCC MADIKTETA WAPUMBAVU BADO AKILIZAO ZILE ZILE ZA UNYANI ULE ULE CHOCHI YA NCHI YA ZANZNZIBARI HAIWATOSHI BADALA YA TULIZANIA ITAWAJENGA AKILI NA KUMBE WAMEKUWA WAPUMBAVU NA MARADHI YA APEDONIYA KAMA LUKUFI KIKWETE NAWENZAO 👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿🇺🇸😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹😇🇹🇿👹🇹🇿😇

  • @yusufige7030
    @yusufige7030 2 ปีที่แล้ว

    Maashaala Mohamed said tuliabiwa na sheikh wetu Mohammed Ahmed mcomoro maneno haya nilikuwa mdogo lakini nakumbuka Allah akufariji sheikh

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 2 ปีที่แล้ว

    Jazaka LAAH khaira, Mohamed Said. Ni kweli tupu nimefuatilia sana video na maelezo yako MashaALLAH, ALLAH atupe mwisho mwema Amiin. Waliyo na wanao endelea kuwadhulumu Waislamu ni Waislamu Wanafiki wanaotumia sura ya Kislamu ambao ndio inazungumzia Suratil Munafiqiin bado wako mpaka sasa. Kama vile Waislamu wa Tanganyika wakati huo walipomdhulumu ndugu yao Sheikh Taqadiir ALLAH amrehemu amwekee pema peponi Amiin.

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka juso lake la kijambazi Mungu amlani!!