Safari ya Rais Magufuli ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner ilikuwa hivi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 6 ปีที่แล้ว +16

    Mama mwenye mtoto kanifurahisha, ule ujasiri aliokuea nao wa kusema “mheshimiwa naomba hata mkono”, kanikumbusha yule aliyekwenda kushika pindo la “ mheshimiwa” ili apone; zama zileeee 😊, mama wa kwenye ndege kapewa mkono na mtoto kabebwa, jiwe moja ndege wawili 👏🏻👏🏻.

  • @erneusponera5356
    @erneusponera5356 6 ปีที่แล้ว +14

    Thanks God for touching pour people of Tanzania by giving a geniuse president John Joseph Magufuri,all people in Tanzania must say thanks to God

  • @alexmarungu2235
    @alexmarungu2235 6 ปีที่แล้ว +10

    Kwa kweli so happy President watanzania sijui mnataka nini zaidi proud of this gentlemen.

  • @ramadhanluhweja5578
    @ramadhanluhweja5578 6 ปีที่แล้ว +4

    I proud to be Tanzanian

  • @salimmapunda7393
    @salimmapunda7393 6 ปีที่แล้ว +24

    DAH KUMBE MIMI SINA ELA NDEGE WATU WAMEJAA KAMA DALADALA YA MBAGALA

    • @peterchullu3777
      @peterchullu3777 6 ปีที่แล้ว

      Salim Mapunda..
      Umenichekesha Sanaa Et km dala dala dala ya mbagala

    • @jamesthomas390jj
      @jamesthomas390jj 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @titothoya1618
      @titothoya1618 3 ปีที่แล้ว

      Ndege zipo za bei nafuu Salim, usiue ndoto yako IPO siku

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 6 ปีที่แล้ว +9

    Rais wa Tanzania Kama ndoto vile anadhihirisha kuwa kumbe inawezekana. Waacheni wenye wivu wajinyonge. Watapata TAABU SANA.

  • @paulofesto4948
    @paulofesto4948 6 ปีที่แล้ว +8

    Raha sana watz ni wamoja siku zote

  • @erastofocus1587
    @erastofocus1587 6 ปีที่แล้ว +6

    Amizing president. Salute

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 6 ปีที่แล้ว

    Aloooo Mungu umlinde Raisii wetu daaaah ...so touched kwa kweli

  • @ramadhanyahaya9144
    @ramadhanyahaya9144 6 ปีที่แล้ว +6

    Naanza kuiona Tanzania mpya

  • @makavaka_tz
    @makavaka_tz 6 ปีที่แล้ว +9

    Uncle Magu.. Njoo ugombee Congo Drc.. huku kwetu watu wanakuelewa saaana tena saaana..

    • @paulofesto4948
      @paulofesto4948 6 ปีที่แล้ว +3

      Makavaka slim atagombeaje huko wakati ni Rais wetu na bado tunamhitaji katika mapambano dhidi ya umaskini ndani ya nchi yetu

    • @imanluela6763
      @imanluela6763 6 ปีที่แล้ว +1

      Sisi tuna mtaka akae mpaka azeekee madarakani maana kW sasa naona heshima imekuepo, nyerere kuondoka tu.yani kila MTU alikuw anatembea na nchi mfukoni mwake yani ukimwambia kitu anasema unanijua mi ni nani ktk inchi hii, kw sasa wanapata tabu sana

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 6 ปีที่แล้ว

      Sorry. Hawezi kugombea Congo. Yeye na wazazi wake mpaka mababu walishazaliwa ndani ya mipaka ya TZ. Kwa hiyo TZ inamuitaji haswaaa. Kushinda Congo. Hata akitoka anabaki kuwa ni MTZ hawezi kuwa mcongo. TZ ndio asili yake daima

  • @revockatuskihecka7553
    @revockatuskihecka7553 6 ปีที่แล้ว +9

    Very funny presida be blessed

  • @dj5_tz971
    @dj5_tz971 6 ปีที่แล้ว +7

    viva magufuli

  • @jebace
    @jebace 6 ปีที่แล้ว +14

    hivi yule yule mpumbavu alijesema watanzania hawaitaji ndege yuko wapi,mulizeni hao wte humo ndani ni wachina

  • @mohammedsalum6994
    @mohammedsalum6994 5 ปีที่แล้ว +1

    Miviongozi mengine tuliichagua kwa bahati mbaya tu Rais utatusamehe sana eti kiongozi linasema watanzania hawana shida ya ndege sasa hawa ndani ya ndege ni nini ? Watanzania tubadirike tusikubali kuongopewa na vibaraka

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola798 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamani mpaka hara, JPM bwana

  • @allsoddaudi5178
    @allsoddaudi5178 6 ปีที่แล้ว +5

    saf sana

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania Mbeleee JPM Nambari 1 Miaka 40 anatosha Sana'a Kazi Inaonekana Waziii Kabisaaaa

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @mahadsayyed7475
    @mahadsayyed7475 6 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaah this is our crucial President .....

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว

    Mama atayaweza haya?

  • @sabihimngetuka6971
    @sabihimngetuka6971 6 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo ndege ije masas uwanja bado nimpya haujatumika

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae Air Tanzania Songa Mbeleee JPM Nambari 1

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 6 ปีที่แล้ว +5

    siku zote mkwel hapendwi

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 ปีที่แล้ว +15

    UMEONA MAFISADI WACHACHE KWENYE NDEGE WALIVYONUNA? KWA VYOVYOTE WALE WATAKUWA WALIOKUWA WANAMUUNGA MKONO FISADI LOWASSA!! HAHAHAHHA!!1

    • @pinyinyiloliondo6987
      @pinyinyiloliondo6987 6 ปีที่แล้ว

      godfrey mbwambo Rais wa wanyonge hongera sana kiongozi wetu

  • @msingidamtz6680
    @msingidamtz6680 5 ปีที่แล้ว

    Tanzania yetu Juhudi zetu usikate tamaa Na wale wapiga kelele maana tumewazoea Na tunajua kelele zao ni maumivu ya kuifanikisha Tanzania. Wapiga deal lazima waumie sana lakini rais wetu aipaisha Tz.

  • @yusuphsimon4656
    @yusuphsimon4656 6 ปีที่แล้ว

    Daaaa hatokuja kutokea rais kama huyu bongo
    God bless you JPM

  • @msingidamtz6680
    @msingidamtz6680 5 ปีที่แล้ว

    Yani hiyo lazima niipande kujivunia utanzania Na wangu

  • @isacksamwel1769
    @isacksamwel1769 6 ปีที่แล้ว

    Inafurahisha na kutia moyo.

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 6 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi kuona babay shawel ninayoingiza mm hapa Tz kuwa Mh kaigusa kupitia huyo mama alombebea mwanae.

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 5 ปีที่แล้ว

    wow!

  • @Noname-gg6bx
    @Noname-gg6bx 6 ปีที่แล้ว

    1:05 hamujambo wanafunzi hatujambooo

  • @josephkiliko7114
    @josephkiliko7114 5 ปีที่แล้ว

    Haijawahi tokea

  • @musatbobius5472
    @musatbobius5472 6 ปีที่แล้ว +1

    Hii ya kwanza

  • @ahmadsimba2143
    @ahmadsimba2143 6 ปีที่แล้ว +1

    Haha haha haha haha MAGU Bakia bhan

  • @rogerkemibala4328
    @rogerkemibala4328 6 ปีที่แล้ว +1

    marketing