Mapigano Uliyankulu Kwaya Siku Ya Kutaabika Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 335

  • @andrewobiri105
    @andrewobiri105 ปีที่แล้ว +62

    2024 hapa still enjoying the vocals. Somebody to join me?

  • @eugeniakibasa6046
    @eugeniakibasa6046 10 หลายเดือนก่อน +26

    Bado nabarikiwa 2024, wakati waimbaji wa Injili walipoimba injili na siyo mipasho. ukisikiliza muziki wa injili nikama unasikiliza mahuburi. Mungu atusaidie tubadilike

    • @lawrencekamete2404
      @lawrencekamete2404 5 หลายเดือนก่อน

      Hakika nami nabarikiwa sana, ee Bwana tupe UAMSHO na kuturejeshea yote yaliyoliwa na madumadu...

  • @schofieldodhiambo7957
    @schofieldodhiambo7957 8 หลายเดือนก่อน +9

    nyimbo za hawa hazichuji wala hazichakai japo ziliimbwa katika mazingira ya kawaida kabisa. I love them. Mungu awabariki sana hawa waimbaji na Mtunzi wa nyimbo hizi.

    • @monicamtenga
      @monicamtenga 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa,yani ukisikiliza ujumbe ni mzuri huchoki kusikiliza nawapenda sana Mungu awabariki mno

  • @bgm2312
    @bgm2312 6 ปีที่แล้ว +18

    Mimi ni mzaliwa wa Congo-Kinshasa kwenye milimani ya Mulenge! Nimejuwa nyimbo hizi tangu utoto wangu! This brings nostalgia! Mungu azidi kuwabariki!

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว +11

    Wimbo huu unanikumbusha kipindi hicho nikiwa SINGIDA maeneo ya karibu na mwenge sec , namkumbuka sana rafiki yangu ELIMBOTO nilikuwa tukienda pale kwao tulikuwa tunasikiliza wimbo huu , wimbo mwingine zakayo mwingine ulikuwa wa habar ya mwana mpotevu kutoka kwa father babu pale arusha ! Rest in peace my best friend ELIMBOTO i Will always remember you ! sisi sote ni wapitaji katika dunia hii mbele yetu nyuma yako !

  • @nkunzicelestin4521
    @nkunzicelestin4521 6 ปีที่แล้ว +4

    Kwaya Mapigano mbarikiwe sana na Mwenyenzi Mungu. Naomba nyimbo zenu za siku hizi kama ziko.

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 7 ปีที่แล้ว +16

    Kipindi hicho hakuna cha make up wala kujichubua!! Da! Hapa nilipo chozi lanitoka utandawazi umetuharibu sana, Mungu wangu.

    • @johnjuliani5533
      @johnjuliani5533 7 ปีที่แล้ว

      Lazaro Joseph Linda😁😁😁😁

  • @tangusjoseph6620
    @tangusjoseph6620 ปีที่แล้ว +3

    Jina la bwana Yesu lipewe sifa...nyimbo za wanakwaya Hawa zinanibarika sana.Sauti tamu zenye upako...Inanipa kumbukumbu za miaka ya 1990s.

  • @jamesmwasambili381
    @jamesmwasambili381 8 ปีที่แล้ว +21

    I don't ever get tired of listening and watching the beautiful album from Ulyankulu Barabara ya 13,it gives me a sense and series of memories when I was young 1990s and now we're grown up thank you God,'SIKU YA KUTAABIKA'

    • @gerardrichard956
      @gerardrichard956 7 ปีที่แล้ว +3

      James Mwasambili nice iven me i like this

  • @eastlandadventures6956
    @eastlandadventures6956 7 ปีที่แล้ว +9

    Nyimmbo za mungu kamwe hazipitwi na wakati kama vile lisemavyo neno lake, Mbarikiwe sana

  • @octavianngeta2438
    @octavianngeta2438 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hii june 2024...nabarikiwa sana na hii kwaya lakini sina kumbukumbu yoyote kama wengine ila zimenigusa mno. Mbarikiwe wote ktk Kristo

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 ปีที่แล้ว +49

    2023 kama Unatazama Mwaka huu,Gonga like Tumshukuru Mungu

    • @elizabethchacha8606
      @elizabethchacha8606 ปีที่แล้ว +1

      May God Bless this Choir still listening to their songs 2023

    • @barakawilson2609
      @barakawilson2609 ปีที่แล้ว +1

      2024, nasikiliza.

    • @leabirungi3894
      @leabirungi3894 9 หลายเดือนก่อน

      2024 na sikiliza

    • @graceyusuph9168
      @graceyusuph9168 หลายเดือนก่อน

      Kwan kumshukuru mwenyezi lazima nigonge like?😅

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน

      Daaa nakumbuka 91

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 7 ปีที่แล้ว +1

    Accenti saana wa nduku Zetu wapenzi ni n'a furaha sana Rohoni kwa ku Sikiliza Wimbo butamu ma Wimbo za ki Roho Acha Mungu wa Prophète Elijah a mibariki wote basi munanipatia moyo Kweli mi n'a ba penda saaana

    • @patmase9268
      @patmase9268 6 ปีที่แล้ว

      mangú awabariki

    • @alexs.mramba5920
      @alexs.mramba5920 6 ปีที่แล้ว

      Hakika Uinjilisti vijana Arusha mjini wamekonga miyoyo yetu bado kuna nyimbo bado hazijapigwa hao wana nyimbo nyingi sana za zamani Mungu awabariki siku njema

    • @ausetchristmas2338
      @ausetchristmas2338 3 ปีที่แล้ว

      2021 bd inaniponya moyo wng

  • @norbertnyakeriga5891
    @norbertnyakeriga5891 6 หลายเดือนก่อน +5

    2:52 2024 nipo ndani mungu awabariki❤❤❤+254🇰🇪🇰🇪

  • @kwizeraprosper1747
    @kwizeraprosper1747 7 ปีที่แล้ว +7

    kwizera prosper , Mungu awabariki pamoja naasi RUMONGE Mugara ruremba

  • @wilsoncharles7790
    @wilsoncharles7790 7 ปีที่แล้ว +18

    Jamani., inanikumbusha mbali sana., 1990"s ., Glory be to God., I really miss my beloved ones.., let them rest in eternal peace., Mungu atabaki kuwa Mungu siku zote

    • @gerardrichard956
      @gerardrichard956 7 ปีที่แล้ว

      wilson charles AMEEN

    • @catherinejohnzainykgo5022
      @catherinejohnzainykgo5022 7 ปีที่แล้ว

      Kwani wamekufa???

    • @ngabovicentpamba2918
      @ngabovicentpamba2918 4 ปีที่แล้ว

      Did you know these people? They left a history and remarkable legacy as far as gospel music is concerned. Wonderfully, their writing was exactly according to the scripture, word to word. Very touching!

  • @namsifumaduhumwita2495
    @namsifumaduhumwita2495 ปีที่แล้ว +9

    Wale wenzangu tusiochoka na hizi nyimbo za nyakati zote tujuane kwa like hapa

    • @KastorKremens
      @KastorKremens 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 9 ปีที่แล้ว +21

    Natamani waendelee kuimba hadi leo, kwaya ninazopenda zilinifariji wakati wa kujaribiwa kwangu na hadi leo nyimbo hizi zinaendelea kunifariji. Hongereni mlioziimba

    • @moisekadwidwi3731
      @moisekadwidwi3731 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna nyimbo ninazo zipenda kupitiya hizi tangu utoto wangu mpaka leo kama leo naomba Mungu nikupitiya mafundisho yanayo kuwa ndani ya nyimbo hizi.

    • @annapeter4994
      @annapeter4994 4 ปีที่แล้ว

      @@moisekadwidwi3731 kumbe tuko wengi. Hii kwaya ifufuke kama ilizimia iendelee kutupa nguvu kila siku ya kuendelea mbele

    • @moisekadwidwi3731
      @moisekadwidwi3731 4 ปีที่แล้ว

      Hizi nyimbo zinani fariji sana, Ninapo ziimba na kuomba n'a barikiwa tele, nilikuwa na shida ya madeni lakini nilipo anza kuomba nakuimba hizi nyimbo leo nafunguwa business yangu na n'a kazi nime pata madeni nime lipa, ni Mambo ya miujiza .

  • @upendoomaryupendoomary3581
    @upendoomaryupendoomary3581 7 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hii nyimbo imenikumbusha mbaliiii mweeee Na hakunaga teeeeena waimbaji wazuri kama hawa jamaaaani siriousssss..............hivi wako wapi???????????? Nawapenda sanaaaaa

    • @doricerugumamu804
      @doricerugumamu804 7 ปีที่แล้ว

      Yan naguswa kabisa nikisikia nyimbo hizi,mungu awabariki sana,waliotangulia walale pema peponi

    • @nkhun8360
      @nkhun8360 6 ปีที่แล้ว

      Dorice Rugumamu kwani wame kufa????

  • @masumbukomsongo807
    @masumbukomsongo807 8 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo nzuri sana, zinaheshima hata mavazi mmevaa kiadabu sana nice song Mungu awabariki jmn

  • @piusmusa5961
    @piusmusa5961 9 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watu...nakosa cha kuandika, ila Aliyetuumba na mnayemwimbia awabariki...ni kitambo sana bila shaka nlikuwa kindergaten enzi hizo..acha kabisa ,....God blesss You

  • @hagaicongueror4666
    @hagaicongueror4666 8 ปีที่แล้ว +6

    ukweli waliimba mno mungu awabariki sana ni miaka mingi imepita

  • @kimwelijohnson2838
    @kimwelijohnson2838 8 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli Haya Mimi ninabarikiwa sana ninaposikiliza nyimbo hizi,Mungu aibariki kwaya hii,lakini mbona mko kimya hakuna toleo jipya?

  • @gladsonbaltazary7449
    @gladsonbaltazary7449 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna ka feeling nakapata hapa daah .and time imeenda sana... mubarikiwe huku mulipogo waimbaji wetu

  • @Majiliokabembo
    @Majiliokabembo หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana kila nisikilizapo nyimbo hizi. Kuna mafuta Rohoni hunishukia zaidi..... Halellujah!!!!!

  • @AgnesMuyinga-k5e
    @AgnesMuyinga-k5e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo ni mzuri mnoo mungu awabariki waimbaji woote walioimba wimbo huu. Ameni

  • @elijahfaith5534
    @elijahfaith5534 6 ปีที่แล้ว +8

    2018 wangap tunatazam. Nyimbo zilizoshehen Mafundisho na kutia moyo😍😍👌

  • @niyomukizadiane9653
    @niyomukizadiane9653 3 หลายเดือนก่อน +1

    Imana Ibahe umugisha indirimbo zanyu zifasha imitima

  • @amelia.lluvxn
    @amelia.lluvxn 8 ปีที่แล้ว +19

    lovely songs,very inspiring. straight from the Bible. God bless this choir

    • @godfrey40255
      @godfrey40255 6 ปีที่แล้ว

      Vera Musyoki fu hbr byy

  • @johnnakholi5006
    @johnnakholi5006 7 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo hizi ndioyo mwanzo wa imani yangu Namungu,Wabariki wapendwa hawa mumba bingu na inch.

    • @PaulYaledy-tx4ce
      @PaulYaledy-tx4ce 8 หลายเดือนก่อน

      Kila asikilizae nyimbi hizi Apate kugeuka na kuacha njia zake mbaya na kumkili Yesu kua Bwana na Mwokozi wake.

  • @michaelwambua6736
    @michaelwambua6736 9 ปีที่แล้ว +8

    Ulyankulu my favorite choir what inspires me most is their songs are created direct from the bible, when am listening its as am reading the bible, instruments are well arraged. but Wamekimya kwa muda what's happening.

  • @MrDmanga
    @MrDmanga 8 ปีที่แล้ว +11

    reminds me from way back in the 90s when i was a small boy........love all the way from kenya

  • @juliusmsote1442
    @juliusmsote1442 7 ปีที่แล้ว

    Huyu Bwana anayecharaza
    gitaa jembamba...Habona ni kati watu waliolifanya kundi hilo kuwika sana... Sijui yupo wapi kwa sasa Mungu ampe baraka Sana.

    • @nkhun8360
      @nkhun8360 6 ปีที่แล้ว

      JULY MAGWILE ebu peleleze kwaya hii wako wapi kwa sasa? I need to talk to them Coz they bless me when singing 🎤

  • @priscaroscar202
    @priscaroscar202 2 หลายเดือนก่อน

    Bringing my childhood memories back❤...bado nabarikiwa hadi sasa. Glory to God

  • @adamgabriel2962
    @adamgabriel2962 9 ปีที่แล้ว +2

    nabarikiwa sana na music wa injili.tuzid kumtafuta mungu madam anapatikana utapata aman , furaha na uzima wa milele

  • @thomasbarabonamubondo9218
    @thomasbarabonamubondo9218 6 หลายเดือนก่อน +1

    uyu mwenye Sauti nyembamba anaitwa elphasi, atakua mtu mzima sana sasa Ivi... Sijui ata yuko wap

  • @NaomiMalila
    @NaomiMalila 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ni nyimbo ziliimbwa kirohoni na upako meingi wa mwenyezi MUNGU,🙏🙏🙏

  • @remarkable_reene
    @remarkable_reene 4 หลายเดือนก่อน

    Yaan Haya ni mahubiri! Yaan no Kama unasoma biblia, kwakweli neema ya bwana yesu itusaidie tuirudie hii misingi ili injili isonge mbele.

  • @timotheohermanmwakipesile3883
    @timotheohermanmwakipesile3883 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa nampenda sana nyimbo za Hawa watu hasa majira ya majilio mwisho wa mwaka Christmas na mwaka mpya

  • @sarahngoina4091
    @sarahngoina4091 6 ปีที่แล้ว

    Hizi nyimbo zilikuwa na Neema kuu. Leo nakumbukia utoto. ahsante Mungu

  • @gladwellgichuki6207
    @gladwellgichuki6207 7 ปีที่แล้ว +5

    Oooh.. how I wish we could go back to real gospel songs like this....it's powerful

    • @ng6w8wue
      @ng6w8wue ปีที่แล้ว

      I totally agree

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 6 ปีที่แล้ว +7

    Sasahivi ni saa sita nadakika 32 usiku wa tarehe 2/4/2018 natazama nyimbo hii inanibariki utafikiri imetoka leo

  • @natronflamingo
    @natronflamingo 6 ปีที่แล้ว +6

    May God bless these guys. When Gospel Music was full of the word of God

  • @marthneno7944
    @marthneno7944 9 ปีที่แล้ว +2

    Amen mbarikiwe sana wale wenye moyo safi watamwona Mungu

  • @clementbankuwiha8877
    @clementbankuwiha8877 7 ปีที่แล้ว +1

    hii ni zawadi kubwa aliyo.tupa.mungu. mbarikiwe sana walio.imba vyimbo zote

  • @mpere
    @mpere 7 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli nimebarikiwa na kurudi kwenye uwepo wa Mungu.

  • @eliudkitulu9187
    @eliudkitulu9187 5 ปีที่แล้ว

    Kwel nakimbukaga mbali sana aisee mwaka 1995 mzee wangu ikifka kipindi cha Christmas bas kuanzia asb mpaka usik bas tunasililza hiz nyimbo acha kabisa. Kwel waimbaji wa zaman walkua wanamwimbia Mungu

  • @pacyongalo703
    @pacyongalo703 8 ปีที่แล้ว +17

    what a great choir,the lead singer has a very smooth voice loving this song from Kenya

    • @edwardkasubi1495
      @edwardkasubi1495 7 ปีที่แล้ว

      Pacy Ongalo Oooooh thubutu yake kwani wakenya mshaanza kunyoosha maneno kiasi hiki

    • @japhetstanslaus2641
      @japhetstanslaus2641 6 ปีที่แล้ว +1

      Hao ni mapigano kwaya kutoka Barbara ya 22 Ulyankulu Tabora
      Pacha wao ni wale waloimba " kwaviumbe vyote,Samson,wakati wa Nuhu n.k" Hawa wanatoka barabara ya 13 Ulyankulu.
      Wakati huo kululikuwa vijiji tupu nikitambo Hawa jamaa wanatisha.

    • @rafikieric6945
      @rafikieric6945 6 ปีที่แล้ว

      Pacy Ongalo the choir is from Tabora Tanzania

    • @kittykossy
      @kittykossy 6 ปีที่แล้ว

      @ Rafiki Eric Na Japheth Stanlaus..... Ubaya wenu watanzania hamulelewi lugha ya kimombo, pacy anamanisha kuwa anaburudika na hizi nyimbo zenu akiwa kule kenya . hana haja ya kumilki uimbaji wenu, kwa hiyo jifunzeni Kingereza na pia msome kwa makini sababu akili duni ni hatari sana.

  • @MatthiasKavuttihCampHeritage
    @MatthiasKavuttihCampHeritage 7 ปีที่แล้ว

    Marehemu Baba yangu alinunua kandaa hii miaka ya 90, nami nilikuwa naisikiliza kila siku. Natamani kumwona tena Bwana Yesu ajapo

    • @nkhun8360
      @nkhun8360 6 ปีที่แล้ว

      Matthias Kavuttih Poleni sana ndugu. Tutawaona alio tuacha .

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 9 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah Batoto ya Mungu Hosana Yesu Mokonzi Wetu Iko a na kuja ku tu Chukuwa AmenMupo na Myoyo Safi mubarikiwe Daima ❤️❤️❤️🌹👍👍🙏🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏

  • @sarahurassa6937
    @sarahurassa6937 8 ปีที่แล้ว +11

    Mungu awabariki sana wapendwa wa bwana, nyimbo zinanifanya kuhisi uwepo wa Mungu ndani yangu..nasikia raha ninapozisikiliza nyimbo zina mafundisho makubwa sana na kuwafanya watu wageuke kumrudia muumba wetu... Great....

  • @leticiatigi6615
    @leticiatigi6615 7 ปีที่แล้ว

    Sure nakumbuka mbali Sanaa real gospel songs ever and ever

  • @sheilaongayi6371
    @sheilaongayi6371 ปีที่แล้ว +2

    We are surely approaching those days very fast..2nd coming of messiah is around the corner

  • @milimathias
    @milimathias 2 หลายเดือนก่อน

    Mubarikiwe sana waimbaji wote, nimebarikiwa sana na wimbo huu

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 6 ปีที่แล้ว

    Jamani Mungu wetu awape neema zaidi,,ni miaka mingi ziliimbwa lakini kila nikisikiliza ni kama wimbo uliotungwa na kuimbwa sasa hivi,na kupigwa leo hii,,nasikia raha sana hasi machozi ya furaha yananitiririka inanigusa kwa %1000000000000000.
    Sifa na utukufu ni MUNGU.

  • @johnkisembo1599
    @johnkisembo1599 2 ปีที่แล้ว +1

    Old id Gold really. God bless you abundantly John KISEMBO, from Ituri, North Eastern, DRC

  • @elviskoech6271
    @elviskoech6271 ปีที่แล้ว +2

    God bless this choir very inspiring

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 6 ปีที่แล้ว

    Ndio wa pendwa Bwana Wetu iko munjia anakudja kutu Pe leka Mbinguni Mwami YESU

  • @chepkolewilfred3330
    @chepkolewilfred3330 ปีที่แล้ว

    May God bless this choir..it's a great one,composed by great ladies and gentlemen of God.
    I haven't lost any taste of the melodies since my youthful times.
    God is Great

  • @humphreygodwin6812
    @humphreygodwin6812 10 ปีที่แล้ว +2

    za kale lakin zina upako, mbarikiwe sanaaa,

  • @makoreosayani9433
    @makoreosayani9433 6 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana sana ninapokuwa nawasikiliza ulyakulu mapigano choir Mungu awabariki sana kwa ujumbe murua nahisi kama niko Mbinguni.salute kwenu

  • @medionindagijimana9020
    @medionindagijimana9020 6 ปีที่แล้ว

    Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji wimbo huu nifundisho kwawatu wote wenye mili

  • @godsown5514
    @godsown5514 2 หลายเดือนก่อน

    We bless you servants of God, may Jehova remember you. Where are they now.

  • @derickjuma4251
    @derickjuma4251 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤ enzi Hadi enzi hizi hutochoka kusikiliza

  • @yonamichaery2874
    @yonamichaery2874 8 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki ni. Nice song

  • @SethKalu
    @SethKalu 2 หลายเดือนก่อน

    It is very painful to hear that these singers are broke while people like these guys enjoy the fruits of their work. It totally unfair can't wait to see what God is going to do for his people. Let us value and support the Ministry for greater impact @Africha Entertainment

  • @franktibikunda6252
    @franktibikunda6252 7 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana watumishi

  • @rizikitito3024
    @rizikitito3024 5 ปีที่แล้ว

    Hizi nyimbo no za mda lakini zina ujembe unaogusa na kuamsha mioyo ya watu sana !!!heri wenye moyo safi ,..!!!nimebarikiwa sana

  • @Gwest2012
    @Gwest2012 ปีที่แล้ว

    Inanikumbusha utoto wangu siku za mwanzo za wokovu wangu, Chuo cha Kilimo MATI Mtwara 🇹🇿

  • @elibarikijk5096
    @elibarikijk5096 8 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kuwawezesha. Kazi yenu ni njema

    • @gerardrichard956
      @gerardrichard956 7 ปีที่แล้ว +1

      elibariki jk sijui mmpo hadi leo ?

    • @peterkisura149
      @peterkisura149 7 ปีที่แล้ว

      Mung awabariki mriimba katika roho si kama waleo wanatuimbia aibu

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 ปีที่แล้ว

    Waimbaji waliojaliwa sauti na
    Mungu enzi hizo kuna Jirani alikuwa na kibanda cha mahitaji ya nyumbani tulikuwa tunapata Bonge LA burudani kutoka mwenye hii kwaya:

  • @geofreymwamakula7178
    @geofreymwamakula7178 หลายเดือนก่อน

    Daaaah i feel to cry to this gentl..fulfill my childhood with everlasting joy

  • @elishamwando1492
    @elishamwando1492 ปีที่แล้ว

    Zama izo kulikuwa na nyimbo bana si Kama siku izi,God bless

  • @elikanajohn1743
    @elikanajohn1743 8 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabaliki ote walioshiliki kazihi nzulusana

  • @happinesstesha7061
    @happinesstesha7061 7 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda jaman sijui mpo wap mlifanya kazi nzur❤

  • @asueddy1465
    @asueddy1465 7 ปีที่แล้ว +1

    Heri wenye moyo safi maana hao watamuona Mungu

  • @elifazmpozayo2930
    @elifazmpozayo2930 4 ปีที่แล้ว +1

    Kitambo sana hizi nyimbo mungu wabariki wanaozitazama mwaka huu 2020

  • @annapaul9165
    @annapaul9165 5 ปีที่แล้ว

    Upako bado ule ule Nyimbo zilizobeba Nguvu za Mungu kwa Vizazi vyote

  • @geogemwaikuju2979
    @geogemwaikuju2979 6 ปีที่แล้ว

    kumjua Bwana kuna faida haleluya jehova

  • @monicamtenga
    @monicamtenga 7 หลายเดือนก่อน

    Du Hadi raha nawapenda sana Mungu awabariki sana,

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk ปีที่แล้ว

    Amina safi kwakweli zamani waliimba vizuri

  • @edwardnzambimana9018
    @edwardnzambimana9018 5 ปีที่แล้ว

    Duh nyimbo zenu zinanifaliji ivi habona bado snaimba snsumuli gani mubalikiwe sana

  • @NovaChristiePierRanuJoeDavidDb
    @NovaChristiePierRanuJoeDavidDb 4 ปีที่แล้ว +1

    wow. amazing

  • @amosmacharia6817
    @amosmacharia6817 8 ปีที่แล้ว +10

    My mum used to play this tape every day. I miss those days

  • @jacksonmathias6595
    @jacksonmathias6595 7 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu kwa watumishi wako hawa

  • @mariej6962
    @mariej6962 6 ปีที่แล้ว

    Natafuta wimbo mmoja baadhi ya maneno yake wanasema " kisha nikauona mji ule mtakatifu Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu umewekwa tayari, kama bibi harusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe...."

  • @samusonisamusoni2390
    @samusonisamusoni2390 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu.awariki.kwawimbo.nzuri

  • @kuduishekisowile4676
    @kuduishekisowile4676 8 ปีที่แล้ว +21

    Dah ni 2016...natazama hii nyimbo,nakumbuka mbali..lkn pia naona TRUE AND REAL GOSPEL SONGS....

  • @kipchorngwonektiroto457
    @kipchorngwonektiroto457 8 วันที่ผ่านมา

    This song is ever great! It's timeless!!

  • @margaretkanini6683
    @margaretkanini6683 26 วันที่ผ่านมา +1

    2024 tumepona

  • @nkomezibenjamin6074
    @nkomezibenjamin6074 7 ปีที่แล้ว +1

    Nayipenda sana tangu utotoni big u

  • @KervinMagola
    @KervinMagola 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah kitambo sana😮😮😮😮

  • @SumaiyaAbed
    @SumaiyaAbed 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabaliki watuzi wa nyimbo zinamgusa mungu

  • @IsukuIwacu-lt6dg
    @IsukuIwacu-lt6dg 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤. . Kweli anakuja

  • @elymsagala
    @elymsagala 7 ปีที่แล้ว

    Hizi ndizo nyimbo not now days gospel imekua Kama bongofleva tuu kuanzia mavazi yao namionekano ya waimbaji

  • @stevencharles4597
    @stevencharles4597 7 ปีที่แล้ว +1

    zina ujumbe mzuri wa Bwana

  • @imaniyohana8174
    @imaniyohana8174 8 ปีที่แล้ว +6

    mbaeikiwe sana hata waliotangulia mbele za Bwana wapumzike salama

    • @nkhun8360
      @nkhun8360 6 ปีที่แล้ว

      Imani Yohana kuna wenye wamekufa miongoni mwa hawa? ?

  • @nehemiatv665
    @nehemiatv665 9 หลายเดือนก่อน

    Hizi nyimbo nikiwa radioni kwenye gospel huwa siwezi kuziacha maana nazipenda na zinapendwa.

  • @Fidele-v4p
    @Fidele-v4p หลายเดือนก่อน

    Mungu aendereye kubabariki sana

  • @edisonkatunzi
    @edisonkatunzi ปีที่แล้ว

    Huu wimbo nimzuri sana kuudaunirodi ili kutunza kumbumbu