#EXCLUSIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #EXCLUSIVE: TX DULLAH AFUNGUKA ALIVYOACHA UALIMU NA KUINGIA KWENYE UCHEKESHAJI
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
All the best Tx Dullah mnyama Mungu akushike mkono ufike levo za juu zaidi
Kuna point nimeipenda hapo bora upate mtu anaekupenda alafu wew mkubali na uanze kumpenda taratibu coz mtu ukimpenda, hasa mwanamke atakutesa mno
Kabisa ✌️
Hiii imenifanya adi nije niicheck hii interview
@@ZenaAmirsaid
0
Be the change that u want to see...,i got u bro
Life ya mahusiano sa hv ni multibet
Txdullah ungetupa ile asante sana ndugu mtangazaji napenda kutuma salama kwa ex wangu wala simkumbuki jina
Ujumbe salome haya sio maisha
😂😂😂😂salome rudi tujenge familia😂😂😂
😅😅😅
Tx Dullah mnyama nakuona
Nlianza kumkubar since day one pale Dodoma kwenye Cheka 2 comedy search aliua sana kuhusu Panya wa kisasa VS wa uswahilini
Diva anaumwa mapenzi hata kuhoji anahoji vitu vilivyomwangusha yeye kwenye love circle
Diva chizi kweli kwa hyo hapa ndo anampima mwana hesabu dah hahah
Home boy dullah ikowa one,
sauty yako inaruhusu kwa love story hongera sana sister
Nakubali mwamba👍
Jamaa anapoa sana bhana
Nimependa sana hii kitu jamaa anajua kujibu maswali
Tx Dullah
Umeamua kurudisha kwa jamii toa mfukoni mwako au anzisha tamasha watu watoe maokoto waingie hayo maokoto peleka kwa wahitaji hamuwaoni watu wa mpira?? Mkiambiwa ukweli mnasema haters? Diva mwenyew unatatzo la afya ya Akili ndomana mambo ya familia unayaanikaga mitandaon
Wana PCM umetuwakilisha lakn sasa diva kauuliza very simple questions au ndo mnatuweka sawa?
Kwel dullah
Ulikuwa huna hela boss😂😂
TX Dullah Unajua unajua saana aisee 😅😂😁🤣😬
Kumbe tx dula nikajua una akili kumbe ukili zpo umeongea pwenti sana kuusu kuongea inategemeana nakipato🙏🙏
Kweli wababa tunalea wtt sio wetu kati ya 3 mmoja sio wako
Kusaidiana majukumu😀😀😀
😂😂😂🎉 txdula subaru
Komedi ni ualimu pia good point sio lazma ufanikiwe kwa ulichosomea
Nko hpa songea naona ki tax chenu kinazurura zurura😂
Kitax kinazurura zururaa😂😂😂😂
Sauti tu inahema😅😅😅
Diva kaamishia asira za mumewe kwa kua anamchiti😂😂
kumbe tupo pamoja😅😅
TX dula nakukubali mwamba nakusikiliza usiku wa manane usiku wa manane
Dada unachanganya sana kingereza na kiswahili mpaka unaboa
Minina miaka 12 sijawai kumsaliti mume wangu
Hii imeenda😂😂😂
Una mapungufu
Mzungu akusaidie usije ukamsaliti
Your message motivated me thanks
Huenda alikuwahi kwa mwakatobe😁😁kwa mganga😁😁
Hiyo miaka 12 ndo ya ndoa au ndo ambayo ulimsaliti...
Kwamba ya mwanzo ulimcheat ukaacha njiani
Eti mtu anasifiwa kupata jibu la 2+2+2=6 ETI!!! HATARIIIIII
Usichukulie vitu serious sana boss. Relax
😂😂😂😂😂😂
Hehehehehe
HV WE DADA N MTANZANIA AU N WA NCHI GANI?? UNABOWA UNAPENDA KUCHANGANYA RUGHA SANA KTK VIPINDI VYAKO ,
Aisee kumbe dulla bado dogo hivi miaka 27 focus kwenye kazi mdogo angu mapenzi yapogo tu
diva..mbona.umekuwa.mkali.hasila.za.mume.wko.umehamishia.kwenye.kipindi
ahahah da bro ulitisha kinm kweny salam apooo da
Mmh mnyama San uyu 😂😂 2+2+2 watoto wa Pure mathematics ...
Mimi naomba Diaspora, Watanzania waishio nnje ya nchi wapewe haki zao, sio lazima Uraia pacha, kwasababu wanatoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa .
Jembe tx ikowa ya udinde au ikowa ipi
Unacho sema nikweli kunamda unakuta unaikana family yako ilimradi apate kitu chamda mfup imagine unasema ujaoa lakn family iko nyumban inakusubia urudi naa Chochote kitu
sema huy dada anachek vibaya mtoen bana hpo wekeni pisi km Minah Ally pisi ikichk unym huy km mjus sijui nn
Ila TX dula unaswaga😂
Ulisoma mwecau
Master txdullah mtoto wa Dr Assey😂
Bles
😅😅😅 kwaiyo btuchukue. Zote. Lakinne jummlisha. Laki. Sawa sawa. Pid
Kumbe mwamba ni hatar kwa kichwa
Acheni kupotosha uma mbon tuliopo Kwa ndoa tuna fraha kuliko nyie viruka njia, hasa nyie wasanii mbwa nyny😅
Diva wewe nawe unamatatizo Mana nanyi wasanii pia mmezidi kikubwa
mmmmmh ninamimba ila si yako
😂😂😂😂😂😂
Interviewer kaongea kuliko interviewee. Imagine unamualika mtu kwaajili ya kum interview ila unaishia kuongea sana kuliko uliemualika. This means she also have mental health problems.
Huyu Diva ana afya ya akili.
Hafundishi ila ualimu ni taaluma yake,,, so huwezi acha taaluma
Stahili yama penziii