KHADIJA KOPA ,CHIDI BENZI KAJITAKIA MWENYEWE KUVUTA MAUNGA KUENDEKEZA UJANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @michelmorisho6559
    @michelmorisho6559 ปีที่แล้ว +1

    😂😂 mondi ana mama yake 😅😅😅

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว

    Wandishi walienda shule ipi?

  • @fredylucas2484
    @fredylucas2484 ปีที่แล้ว

    Hivi hawa aaandishi wa habari wali kwenda shule gani

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 ปีที่แล้ว +1

    hvi nisaidieni kidogo watz wenzangu..mfano mapambano dhidi ya madawa hayawez kuanzia kwa hawa kina benz kwa kuchunguza wanaowauzia?? au kuna ugumu flan kuwafuata wanaowaharibu hawa vijana😮..nahtaji mawazo au wanaojua kwann serikali wanafeli hapa pa kuanzia😢

    • @grantswebe5186
      @grantswebe5186 ปีที่แล้ว

      Walioshika nchi ndo wauzaj,kwahiyo ni ngumu mnooo

    • @AishaSalaga-rv7sb
      @AishaSalaga-rv7sb ปีที่แล้ว

      Hata mimi nafikiri hivyo ndio kile alichokuwa anakifanya Makonda akaonekana an enemy of the people,,,dunia haina usawa

    • @shazyahya4121
      @shazyahya4121 ปีที่แล้ว

      Inawezekana tatizo mtu akijitolea kupambana na wauza madawa ya kulevya baada ya kumsupport munambeza sasa acha watoto wenu waaribikiwe na maisha ndicho mnachopenda MH Makonda akijitolea kubeba lawama na maisha yake kupambana nao lakini kebei na dharau zilishamili mitaani sasa mlitaka kusaidiwa vipi kama si kwanza kuzibiti wale wanaoingiza madawa nchini kupitia mipaka yetu ya nchi Tanzania hakuna anaelima wala kutengeneza madawa nchini cocain zote zinaletwa kutoka nje ya nchi na wadau au wafanya biashara wakubwa wa cocain wana mtandao mkubwa ndani na nje ya nchi Solution watanzania wawe na subira kuna viongozi wazalendo wenye nia ya kusaida watanzania wenzao wanaweza kuzuia ungizaji madawa nchini na vijana wetu watakua salama kama kipindi cha DR JPM 👑 tu wauza unga walikua wanakalia viti vya moto

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว

    Wa andishi wa abR wa rz akili amn uchochezii tuuiiu nxoo mnJuwa

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 ปีที่แล้ว

    lakini huyu mama nimzuli