@@elizabethchabluma-zw5qz huyu mamako unae mtetea ndoa ngapi zimeshida kisa ukahaba enzi hizo , hata mume hana , mimi na yy nani malaya , bora mimi nipo kwenye ndoa, naheshimika. Hata daimond anapita kwa mwanae njia ilele mama alopitia mshenzi sana 😏😏kanye huko
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Wapenzi watazamaji mupitie na kwangu ❤
Watu kama hawa hua awatubu mpaka wangukie stejini . Umri umenda akili bado hazijatulia 😂😂😂😂
Wewe mwehu aliimba b kidude issa matona alafu adija kopa ndio kazi yake kuwa Malaya na kiimba ni Bora aimbe ajipatie ridhiki utaangaika wewe
@@elizabethchabluma-zw5qz kwani nao unaewataja mwisho wao ulikuaje vifo vyao , mtu ukishafikia 40 year lazima utubu sio kujirusha mpaka uzeni 😀😀😀
@@elizabethchabluma-zw5qz huyu mamako unae mtetea ndoa ngapi zimeshida kisa ukahaba enzi hizo , hata mume hana , mimi na yy nani malaya , bora mimi nipo kwenye ndoa, naheshimika. Hata daimond anapita kwa mwanae njia ilele mama alopitia mshenzi sana 😏😏kanye huko
Wew bb taft ibada ufanye ten umr ushaend utakufa viby wach kuimb si wakt ten wakukimbizn na nyumb saiv
We nawe mtandaoni wafanya nini nenda kaswal
😅😅😅
Kiimba hakuna umri na anae hukumu ni muumba peke yake wewe msafi
@@OmmyJames-xn7ji jina lako lenyewe laonyeasha kuwa we nawe wa motoni tu Diamondi kuni kubwa wewe kuni ndogo
@@AishaSalaga-rv7sb Asante kama wewe ni wa peponi