Watu wengine wajuwa kumpenda Mtume ni kufunga Jumatatu tu na Alkhamis tuu kumbe kuna taswaariaaa nyiingi za kujuilisha kua wewe ni kweli wampenda Mtume Muhammad Swallallaaahu alaihiwasallam
@TwahirBurhan kaka naomba kuuliza kuhusu maulid maana channel ya masjid mtoro TV mara nyingi wanapost maulid. Je maulid ni part ya dini tunatakiwa kufata au?
@Catherine-mh8sw MAULID SIO SEHEMU YA DINI KWA MAFUNDISHO YA QUR-AN WALA HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD S.A.W NA WALA HAIKUFANYWA NA MASWAHABA WA WANNE WA MTUME BALI ILIKUJA KUANZISHWA NA MASHIA !!
@RajabuManeno-p7v Alokwambia Bachu anamkubali huyo khurafi ni nani? Au sababu katumia maneno yake kufanya ushahidi kuwabainishia Walokua na ujinga kuhusu tawheed.!!
@Hamis-ks1sy 😄😄😄 sasa cndo anamkubali mpaka kuchukua maneno yake😄, angekuwa hamkubali asingeyachukua maneno yake. Tena bac kaenda kutolea dalili ktk kitabu cha Maulid 😁😄 alaf anapinga Maulid
MAULIDI YAGHANIWE, YAGHUNIWE, YAIQLABIWE, YAIKHFAIWE, YAMUDIWE( YAMADIWE) KWA MAQAAMAATI ZOTE NANE(8) HAYANA DALILI YA DIRECT WALA INDERECT... NI KUJIBURIDISHA TU SI DINI..
Hayo muachie Allah, wewe ni nani kutoa maneno hayo? Je mbele ya MTUME ungetamka maneno hayo? Kwanini usijiongeze na kusema hivi " ALLAHUMASWALLI WASALLIM WABAARIK ALAIHI"
Sas mbona hoja Haina hata mashiko hii kula umesikia Kuna shekh hata mmoja anae Lal njaa hapo na pessa woote wanakaz zao hao ndy maan unawaona watunzana hakun alie mkopesha mtu em toeni hoja zilizo Shiba na zenye maan sio kula na pessa ndy hoja😏😏
People of Bidaah they have difficulty understanding the deen of Allaah. I'm sorry I can't waste my time answering your crap. You keep listening to misguided Athumani malim until you meet Allaah on the day of judgement, and then you will know if he was a Sheikh or storyteller.
Mashallah mashallah mashallah shekh othman 🎉🎉🎉🎉 mola akuhifadhi
ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA SHEKH WETU.
MASHAALLAH,
NAKUPENDA SHEKH MAALIM KWA AJILI YA ALLAH.
Sheikh wetu othuman tuna kupenda sana.
M.mungu akubariki sana mashallaah ❤
Akupe maisha marefu mwenyezi mungu na afya njema
Kipenzi changu ma sha Allah Allah akupe umri mrefu utujuze zaidi inshaallah
Nilikuepo mashaallah Allah akulipe kher
Nuru imetuwakia Wana Kigamboni Alhamdulilah Yarabi tuondolee mabalaa yoote iwe miaka ya baraka kwetu watoto wakubwa wake kwa waume
Amiin
Ameen❤
Mashallah Allah akulipe
Mashaallah!Shekhe akuzidishie umri,Inshaallah
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا وحبيبنا وشفيعنا وقائدنا ونبينا رسول الله محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Mashaa Allah mashaa Allah my favorite sheikh othman maalim❤❤❤
Masha Allah shukran sana sheikh nakupenda nakupenda nakupenda nakupenda tena Allah akupe umri mlefu walah tunakupenda sana wewe 🤲🤲🤲🤲🤲🌼🌸🌼🤲🤲❣️
mashaLLAH
Allahuma swali ala Muhammad wa Aali Muhammad 🌹🌹🌹
MA SHA ALLAH ❤❤❤❤
Mashalllah waislamu wote ni ndugu tuwe ni watu wa kukumbushana na kupeana nasaha juu ya mambo maovu
Mashallah tabaraq Allah Allah akuzidishie umri mrefu amiin uendelee kutupa mawaidha mazuri amiiin ❤
Mashaa-Allah tabaraka Allah
Watu wengine wajuwa kumpenda Mtume ni kufunga Jumatatu tu na Alkhamis tuu kumbe kuna taswaariaaa nyiingi za kujuilisha kua wewe ni kweli wampenda Mtume Muhammad Swallallaaahu alaihiwasallam
wew funga
Nyingine zipi
WEWE NDIE MPOTOSHAJI MKUBWA KABISAA!! KUMPENDA MTUME S.A.W NI KUFUATA YALE PEKEE ALIYOYAFUNDISHA NA SI KUMZUSHIA TU
@TwahirBurhan kaka naomba kuuliza kuhusu maulid maana channel ya masjid mtoro TV mara nyingi wanapost maulid. Je maulid ni part ya dini tunatakiwa kufata au?
@Catherine-mh8sw MAULID SIO SEHEMU YA DINI KWA MAFUNDISHO YA QUR-AN WALA HADITHI ZA MTUME MUHAMMAD S.A.W NA WALA HAIKUFANYWA NA MASWAHABA WA WANNE WA MTUME BALI ILIKUJA KUANZISHWA NA MASHIA !!
Othmana Maalim kipenz cha Watanzania 🙂 Alhamdulillah
Sema kipenzi cha masufi sio watanzania usitusingizie
@Hamis-ks1sy kwahiyo hao masufi sio Watanzania😅😅😅, uyo sheikh wako Muhammed bachu anamkubali itakuwa ww
@RajabuManeno-p7v Alokwambia Bachu anamkubali huyo khurafi ni nani? Au sababu katumia maneno yake kufanya ushahidi kuwabainishia Walokua na ujinga kuhusu tawheed.!!
@Hamis-ks1sy 😄😄😄 sasa cndo anamkubali mpaka kuchukua maneno yake😄, angekuwa hamkubali asingeyachukua maneno yake. Tena bac kaenda kutolea dalili ktk kitabu cha Maulid 😁😄 alaf anapinga Maulid
Mnakubali kimoyomoyo sema ndo hivo tu kuweka hamtaki
Shekhe othoman nakupend sana kwajili ya Allah
MashaAllah sheikh Othman maalim ❤❤❤
Allahu Akbar❤
MashaAllah Shekh wetu Allah azidi kukujaalia afya njema upate kutuelimisha
ما شاء الله شيخ عثمان🤍🤍🇹🇿🇴🇲الله يحفظكم
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل محمد كما صليت على إبراهيم وعلى آل إبراهيم إنك حميد مجيد
Allahu Akbar
Daah ALLAH akupe umri mref sheikh Othman
Hii ndio daawa ya nyoyo zetu, Rasullu Allah atawale katika maisha yetu, M/Mungu alimpenda na kumswalia na sisi tuungane, uislam ni dini tamu sana.
Mashallah ❤
Mashaalah, jazakumullahu kheir .❤
ماشاءالله يا شيخنا عثمان❤❤❤❤
اللهم صلي على سيدنا محمد
وله وصحبه وسلم
Maa shaa Allah ❤
اللهم صل على محمد
Mashaallah shekhe othumani malim
Mashaallah sheikh Allah akulipe
Mash Allah Allah akuzidishie Kher
Allah akuifadhi shekhe wetu
Miongoni mwa Mashekh wanaotoa mawaidha kwa ladha nzuri. Hapayuki kwa sauti kuuubwa na kufoka kama wengine. Anakueleza taratibu tena kwa uzuri.
Mwenyez mungu mjalie umr mrefu INSHA Allah🎉🎉❤❤
Na anaeleweka
Ameen
👆🏻🫡
Mashallah 😊😊😊😢
Mashaaallah, sheikh Othman maalim
Barkkallah ya Sheikh
Ma Shaa Allah ❤❤❤
Mashallha ❤
Masha ALLAH
MashaAllah tabaarakallah
Othuman maalim Allah akulipe pepo
MashaAllah
Swallu alaykya ya rasullullah
جزاك الله خيرا
Kumsifu ni sawa lakini muwache kupiga ngoma😢😢😢😢
Kdg kdg tutaelewana
I lik him mash Allah ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Katika siku ya leo nimepata furaa ya moyo alhamdulilah
Mashaaallah
Ni kipenzi chake na ni kipenzi chetu rasul mohmmady swalallah waaleh wasalaaam
Ni neema iliyoje kwa Muislamu alomuona Mtume kwa macho yake na kukubali aliyokuja nayo Rasuui
Mdigo ana mbwembwe huyu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
MAULIDI YAGHANIWE, YAGHUNIWE, YAIQLABIWE, YAIKHFAIWE, YAMUDIWE( YAMADIWE) KWA MAQAAMAATI ZOTE NANE(8) HAYANA DALILI YA DIRECT WALA INDERECT... NI KUJIBURIDISHA TU SI DINI..
Ni Fakhri iliyoje kujibururdisha nafsi kwa Sifa za Mtume
miwahabi ni mijinga sana ,
Mawahabi ni akina nani?
Hayo muachie Allah, wewe ni nani kutoa maneno hayo? Je mbele ya MTUME ungetamka maneno hayo? Kwanini usijiongeze na kusema hivi " ALLAHUMASWALLI WASALLIM WABAARIK ALAIHI"
Mtume hakuwahi kuwata ata wasiompenda mijinga je ww ni
Nani unawaita watu wajinga
Hakika unamakosa makubwa
@jumahamad3723 muhabi lazima aone amekosewa
@@mohamedrashid7864 Oooooh sawa, ukiacha hiyo alama zao nyingine nizipi?
Yani masufi pesa inawwza hata kuwatoa rohobukiwaona unzni km wanauchungu na dini lkini hiikula na pesa ndio kinachowaksany
Acha husda 😂😂😂
Chuki husda na kupandikizwa mambo ndo kinachowauma
kaka wetufanyie dua Allah atuongoze katika kila kheir in shaa Allah
Sas mbona hoja Haina hata mashiko hii kula umesikia Kuna shekh hata mmoja anae Lal njaa hapo na pessa woote wanakaz zao hao ndy maan unawaona watunzana hakun alie mkopesha mtu em toeni hoja zilizo Shiba na zenye maan sio kula na pessa ndy hoja😏😏
Tatizo mnaongoza kwa roho mbaya
Saaada liulamaa nini bwana dini mnaivuruga kila kukicha subhanallah
Kivip?😂
Saada Ulamaa Nini Kavuruga !? Si Kawapa Wenye Kustahiki Vyeo Vyao Wewe unaubinafs Ndugu غير أخلاقك الأخ
Roho ya wivu tu
Wacha uchawi
Mchawi
Muhammed sikitu munafatabure mutalipwa bure
ww na familia yako ndio bora jee nani anakujueni 😂😂
@@jumahamad3723 a stupid question well answered nakupenda sana ndugu yangu kwaajili ya Allah
Wewe selemani huna lolote wewe ndie unae ivuruga dini Kwa kumdo gesha rasulu llah
Hii dizaini ya kutunzana pesa. Watu wa aluu awaa, wameitoa wapi...huu ujinga.
msome mtume WSA alipo sifiwa(ajmala miaka ..... ) akatuza kishale chake utaelewa tu
People of Bidaah they have difficulty understanding the deen of Allaah. I'm sorry I can't waste my time answering your crap. You keep listening to misguided Athumani malim until you meet Allaah on the day of judgement, and then you will know if he was a Sheikh or storyteller.
@@kadrimwingamno258kutunza alitunza mteme mwenyewe unaweza endelea kusoma innishaallah utafika kipengele hicho
Mtume haswaliwi. Ila nabii anaswaliwa
Masha Allah
Masha Allah ❤❤
❤❤❤
MashaaAllah ❤
Mashaallah
MashaAllah