TAZAMA MJENGO WA KIFAHARI ALIOUACHA MAMA RWAKATARE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 เม.ย. 2020

ความคิดเห็น • 58

  • @jumaramadhan3380
    @jumaramadhan3380 4 ปีที่แล้ว +39

    Anae amini pesa magari majumba vyote tutaviacha gonga like hapa

  • @shailashaila6913
    @shailashaila6913 4 ปีที่แล้ว +21

    Maisha ya dunia ni starehe fup zenye kupita, ukitengeneza dunia usisahau kutengeneza akhera pia 👏👏👏

  • @Bobobobo-jr9zr
    @Bobobobo-jr9zr 4 ปีที่แล้ว +10

    Maisha ya dunia ni mpito tu ujitahid kumcha allah

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli alikua tajiri na ni mapenzi ya Mungu watu watajirike wasaidie wengine.Mungu akulaze mahali pema peponi, Amina.mimi najifunza kua ckuja duniani niishi kimaskini, siwazi kimaskini na mbinguni ntaenda.

  • @mussakijukuu6304
    @mussakijukuu6304 4 ปีที่แล้ว +5

    Sas wanao lingia pesa nd wajue mar s chochot mbel y mwenyez mungu

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 4 ปีที่แล้ว +5

    Duuh kweli wengine tulikuja kusindikiza wenzetu duniani.Ila Mungu alituweza unakufa unaacha kila kitu.

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 ปีที่แล้ว

      APo ndipo alipomaliza kila kitu ingekuwa unakufa unaenda navyo wengine tungeishia kutia huruma dunian na huko tuendako

    • @esteremmanuel5225
      @esteremmanuel5225 4 ปีที่แล้ว

      @@beautyibrahim8428 ahhh

  • @yohanasyrlivester6253
    @yohanasyrlivester6253 3 ปีที่แล้ว

    Kifo shikamo nakupingia saluti

  • @latifahamiri2966
    @latifahamiri2966 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ailadhe roho ya marehem mahara pema

  • @francismlega4759
    @francismlega4759 4 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanaacha Viwanda nin Mjengo

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 4 ปีที่แล้ว +2

    Pia mtafute mjengo Wa kimaskini ulioachwa na maskini mtuonyeshe auvipi bana!!!!!!!!

  • @monicahjared2412
    @monicahjared2412 4 ปีที่แล้ว +4

    Yote ni Mali ya dunia haina haja watu kunga'ng'ania Mali ya ulimwengu huu#Rip mum,Mungu akulaze mahali pema

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว

    Duniani tunapita na vyote tunaacha😪😪😪😪😪😪😪😪😪kama hujafanikiwa kusikiliza nyimbo aliyoimbiwa mama yetu Rwakatale bonyeza picha yangu kuisikiliza😢😢😢

  • @rebeccaebenezermagaba
    @rebeccaebenezermagaba 4 ปีที่แล้ว

    Duniani tunapita hatutaenda Na kitu ndiyo maana Mungu akasema jiwekeeni hazina mbinguni,Ninaamini Kwa utoaji mama alikuwa Na juhudi sana ,tutende mema tuliobaki,

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 4 ปีที่แล้ว

    Jamani vifo vinaonyeshaga maisha kabla ya kifo. Msiba huu na wa Mengi ni kama sawa tuu kwa utajiri

  • @hospitalyamungutv8217
    @hospitalyamungutv8217 4 ปีที่แล้ว

    Aseeeeeee. Shikamoh kifo

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwaaman mama mbele yako nyuma yetu 😢 😢

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 4 ปีที่แล้ว

    Hamna jipya

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +3

    Innallilah wainallilah rajuun😭

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 4 ปีที่แล้ว

    Wah kweli Dunia ni mapito kwa kila mtu

  • @jacklinemwaleleka8057
    @jacklinemwaleleka8057 4 ปีที่แล้ว

    Sisi ni wapitaji tuu hapa dunian sio kwetu

  • @cecymaro1374
    @cecymaro1374 4 ปีที่แล้ว

    Jaman jumba lote ilo kaliachaaa duuh😭😭😭😭😭aseee😩🤔

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 4 ปีที่แล้ว

    Hanna jipya mtu akiwa masikini mnamnena vibaya akiwa na Baraka za Utajiri Wivu Tu

  • @mrtweve202
    @mrtweve202 4 ปีที่แล้ว +1

    nyumba Kali rip

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Dunia mapito

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 4 ปีที่แล้ว

    Alikua Baraka sana naniBaraka

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @gilbertvicent4229
    @gilbertvicent4229 4 ปีที่แล้ว +1

    NI NGUMU TAJIRI KUUONA UFALME WA MBINGU..
    KUINGIA KWAKE NA KUPATA UFALME WA MBINGUNI NI KAMA NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO..HAYO NDIO MAFUNDISHO MLIOTUPA

    • @makanyakabilayote9169
      @makanyakabilayote9169 4 ปีที่แล้ว

      Yaani kuna maajabu sana siku izi watu wanaenda kwenye msiba kuangalia magari nyumba na vitu vya thaman kweli sasa ss tunaopata ela tunakula bata tujiandae kuagwa muhimbili nakuanza safi marehem akuna na nyumba alikua anaishi kwenye apartment

  • @ZXL_013
    @ZXL_013 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kweli kifo hakihongeki...
    Ila turudi nyuma waumini wake alikuwa walao anahakikisha wanaishi kwenye hata makazi timilifu? Au alikuwa anakusanya tuu toka kwao sadaka na ada za shule nakadhalika?

    • @francisruambothetechnician
      @francisruambothetechnician 4 ปีที่แล้ว +2

      Ulitaka akupe wewe, izo si ela zake ametafuta kwa jasho lake ina mana shule zote zile bado mnahisi kuwanyanyasa wahumini, kwani muhumini si anapaswa kuamini ktk kristo, mama kafanya kazi kubwa so ni haki yake kuwa na mali kama hiyo, na si dhambi kumiliki vya dunia ilihali upo duniani but unapaswa kifuata pia ya mungu, mungu akusema anahitaji masikini wa dunia hii ndo waingie mbinguni, ila alikabidhi milki yote ya ulimwengu kwa binadamu kama mtawala mkuu ila shetani anachofanya sometimes ananajisi baadhi ya mali zetu kutoka kwa baba zionekane zimepitia kwake ili tumkosee mungu, ila ukiishi duniani na kuvitakasa vyote utumiavyo vinapata baraka mbele za bwana

    • @shaikhazowayed2534
      @shaikhazowayed2534 4 ปีที่แล้ว

      Ausheee,kweli kifo hakina huruma..hiyo nyumba ni kama paradise...

    • @eliaschigugu9590
      @eliaschigugu9590 4 ปีที่แล้ว

      Tafuta ela ww

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 4 ปีที่แล้ว

    Mijengo ya kifahari!! ndo kaiacha tena

  • @ezirapetro8733
    @ezirapetro8733 4 ปีที่แล้ว

    Corona

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว

    Leo kalala China ya ardhi kaacha kitanda kizuri kaacha Kila kitu

  • @irenesalia2168
    @irenesalia2168 4 ปีที่แล้ว

    Mlidhani atakwenda navitu au nyumba nawewe unaetangaza tengeneza njia zako ukifa uende mbinguni

  • @ireneassey3685
    @ireneassey3685 4 ปีที่แล้ว

    Mweny nyumb ya miti na yy wote tunazikwa chini ... rip mama

  • @user-xy8mh5id1l
    @user-xy8mh5id1l 4 ปีที่แล้ว

    We vp maisha ya kifo ni yakila mtu ulitaka wafe maskin tu hujui ote kwake tutarejea haraf acha kdanganya watu mama rwakatare hajaaagwa .au wewe ulimuaga?

  • @neemamalenge9598
    @neemamalenge9598 4 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @WasafiSports
    @WasafiSports 4 ปีที่แล้ว +1

    Muvi kali iliyotafsiliwa na azam th-cam.com/video/cDagX7QjRLQ/w-d-xo.html

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว

    Mali ya dunia

  • @mussakijukuu6304
    @mussakijukuu6304 4 ปีที่แล้ว

    Kwel mnachekesh wenzen wap kweny majonz nyny mnapamb kam harusin araf msiban wengin mnafurai sas huk kuzik au mnasherekea

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 ปีที่แล้ว

      Nawashangaa hão kina Ayo eti mjengo wa kifahari ndio yaliyieapeleka msibani kutizama mjengo duuuuuh

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว +3

    Maandiko yanatuambia msiipende dunia wala mambo yaliyomo ktk dunia, kifo bhana hakinaga cha kwamba una gari kali au wew ni rofa. Wewe u mavumbi na mavumbini utarudi

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 ปีที่แล้ว +2

      Ni sawa lkn kufa tajir si dhamb km utajir huo niwa haki

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว

      @@agathathobias8690 yeah kuwa na ukwasi c dhambi, ukwasi unakuwa dhambi pale ambapo mtu anaweka tumaini lake ktk ukwasi na anawanyanyasa wele wasiokuwa na ukwasi

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 ปีที่แล้ว

      @@witneskilinda5034 umeeleweka mpendwa

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 ปีที่แล้ว

      @@agathathobias8690 ahsante

    • @francisruambothetechnician
      @francisruambothetechnician 4 ปีที่แล้ว +1

      Shida yetu atujui nn maandiko yanasema na hata tukishajua atuchanganyi maandiko na maarifa yetu binafsi, mpango wa mungu kwa wanadamu sio kuwa masikini, mungu katuumba tuje kufurahi na kuenjoy kwenye huu ulimwengu ila kwa kufuata sheria na kanuni zake, shetani hana aki na mali zetu, sie ndo watawala wakuu, ila shetani anatuzidi padogo anabadilisha namna ya matumizi ya kitu husika ili kionekane kimetoka kwake na kumkera mungu, ivyo jitahidi kutakasa kila unachotumia