MUNA LOVE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME "NISAMEHE KWA KULAUMU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @angelishika6054
    @angelishika6054 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana love Yesu ainuliwe kwa ajili yako ❤

  • @STELLAHZACHARIA
    @STELLAHZACHARIA 2 หลายเดือนก่อน +4

    Am happy for you sister!!! Yesu aitunze baraka yangu

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe Sana apo umenigusa moyo wangu dada Munalov

  • @JenifideMhaku
    @JenifideMhaku 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana muna❤❤❤

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen nimependa maneno yako kumsifia Mungu

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 หลายเดือนก่อน +2

    HongeraMuna endelea kumtukuzaMungu wetu

  • @kassimualli1755
    @kassimualli1755 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ukizaa kimya kimya haitoshi?

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mwaya

  • @MukarusineEsperance
    @MukarusineEsperance 2 หลายเดือนก่อน

    Muna mungu mkubwa.yaaani kakupa Patrick mwingine

  • @PiliMpuma
    @PiliMpuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Allah ampe afya njema na amkuze

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kwake,,afu casto dikson yupo wapi,,eti milard ayo

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mama TEST MONN❤❤❤❤❤

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 2 หลายเดือนก่อน +2

    Woow 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chany9950
    @chany9950 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeeen🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera zake

  • @MwajumaMtonda
    @MwajumaMtonda 2 หลายเดือนก่อน

    Usiseme zaidi kila mtoto ananafasi yake

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 2 หลายเดือนก่อน

    Casto Dick nilipahatika kumuona mwaka Jana,Yuko na hard time sana

    • @redemptervictor5006
      @redemptervictor5006 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ushasiki anajina la Dickinson jina laana ilo😮😢

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu aitunze baraka yake kwakuzaa bila ndoa nyie mnalaana na yesu wenu asee

    • @ConsolataWilla
      @ConsolataWilla 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mshukuru Mungu ww,ulie pata ndoa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ConsolataWilla
      Kwani huyo alietia mimba hana vigezo vya ndoa ikiwa vyote vya ndoa washavifanya

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 2 หลายเดือนก่อน

      Kama ndoa ndio ticket y kwenda mbinguni mtaenda wengi😂😂😂 mtupishe n ndoa zenu watu tuache kuzaa umri unaenda hd ndoa? Hao waume zenu ndo wanazid kuzaa nje y ndoa😂

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 หลายเดือนก่อน

      @@PaulinaSemindu-ob3de
      Kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe wewe huwendi kuulizwa wa mwenzio na mwenzio haulizwi wako wewe unaeona kuzaa nje fine kazi iendelee kila mmoja na kaburi lake

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 2 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh hongera ww ulieolewa mana hata asieolewa alitaman awe kwenye ndoa na umri unaenda hajaipata" sawa na mtu aliekosa kizazi hakupenda awe tasa lkn watu utasikia ndo mana mgumba ww" kwahy Kama ulivyosema kama kuzaa bila ndoa dhambi tutapata wengi nyie watakatifu kwenye ndoa mbarikiwe 🙏