TANZANIA NCHI YA KWANZA KUNUNUA MTAMBO MKUBWA WA KUCHORONGA MIAMBA, DKT. MWASI AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Afirca kusini mbona ipo amfanyi utafiti mnadanganya watu

    • @sayeedmsct4255
      @sayeedmsct4255 2 หลายเดือนก่อน +1

      Elewa kiswahili mutambo mkubwa Africa acha unafiki wakulikandia taifa lako

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nikajua Tanzania ni nchi ya kwanza kwa Africa kulusha settlite yake kumbemtambo wakusaidia waiz walasilimali zetu😊😊😮😮

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 หลายเดือนก่อน

      Katka vilaza wew unashika nafas ya kwanza satellite itakusaidia nin kijana, huo mtambo unaenda kusaidia wale wanaojua kuzisaka pesa migodini

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 หลายเดือนก่อน

      @@mosesnyelo1380 we jinga kama majinga mengine duniani ivi tangu madini yana chimbwa nchi hii ni rais Gani aliwaikukuambia pesa iliyopatikana na hao madini imefanya kazi Gani ktk kusaidia jamiii ,alafu nenda school ujue faida za kumiliki settlite kama nchi na kazi zake katika jamiii 🤔jinga ww..

  • @babajay3445
    @babajay3445 2 หลายเดือนก่อน +2

    Inamaana Hata wenyewe waliotengeneza huwo mtambo hawana

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

      ELEWA... TANZANIA NDIYO YA KWANZA KUNUNUA, LAKINI SI KWAMBA HAKUNA MITAMBO MENGINE INAYOSUBIRIA WATEJA WAINUNUE.

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera mheshimiwa rais

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mozambique zipo tena za kusachia.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 หลายเดือนก่อน

      Tuma picha tuone

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mosesnyelo1380😂😂😂😂

  • @thomthegotti
    @thomthegotti 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga millard, ungetudanganya kwakusema Tanzania nchi ya kwanza kutengeneza apo sawa lakini sio kununua.

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 2 หลายเดือนก่อน

    Hawo wezi tu ukifuatilia utagundua kulikuw na upigaji tu hapo hakun lolote ndio maan wameamua kununua kununua chombo kikubwa ili kutufanya tusiwaze san bei yake ht kama itakuwa kubwa

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 หลายเดือนก่อน

    ONGERA TANZANIA tunasonga kimya kimyaaa, Mama safi sana na ongera sanaaaa

  • @PatrickSaid-zz6gf
    @PatrickSaid-zz6gf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ishu sio kununua, watu wanataka matokeo

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama anajitahid ila walioko nyuma yake sasa bas tu

  • @franknzowa22
    @franknzowa22 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah siamini kama Tanzania ni ya kwanza kuliko hata South Africa

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani hizo takwimu mnazitoaga wapi Kila kitu wa kwanza kununua ,,utafikiri hicho kiwanda Cha kuzalisha hio mitambo mnakimiliki ninyi

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 หลายเดือนก่อน

    Msikosoe san zingatien technolojia hii huend zipo ila hii ni new modern ina vitu tofaut na zingin

  • @sumakitengo1356
    @sumakitengo1356 2 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo ni mtambo tu mmoja Tanzania nzim

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kuchoronga au kuchonga?!!,mbon munatupotoshea kiswahili chetu

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah jmn wale wachimbajiii wenzangu kumenoga huku .....

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu tunamshukuru rais, sasa apa ameusikaje achen kutuona wajinga ,wizi tu kutuonea huruma haaaa

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 2 หลายเดือนก่อน

    BILIONI MIA4 NA NI MITAMBO MITANO IME NUNULIWA WAKATI WABONGO WANAKUFA NJAA ISJEKUWA HATA INAUZA MILION 50 HALAFU WAZEE WA RICHMOND WAKALA MLIONI MI350 POLE YETU TULIO KOPA BANDO

  • @MeshackErnest-qt6xi
    @MeshackErnest-qt6xi 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa sisi tufanyaje inatusaidia nini wakati taarifa za CAG tirion zaid ya tatu tumepigwa afu wewe unasema sijui kidudu cha kuchoronga kwahio tufanyaje kama tayari tunavitu ambavyo vinapatikana tz pekee tunavisikia lakini hatuoni faida kwa mfano tanzanite sasa hicho africa

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 หลายเดือนก่อน

    Kwamba Tanzania ndio nchi ya kwanza huo ni uongo,😅

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 หลายเดือนก่อน

    Achini ujinga nyie Zambia imejaa Hadi screeper zipo hujui lini ulitemberea migodi ya nchi jirani we Kaa oficini u're kiyoyozi 😂

  • @AfricabeyondLimits
    @AfricabeyondLimits 2 หลายเดือนก่อน

    nchi ya tanzania ni hovyo!! Kitu kidogo kama hicho ni cha kufanyia siasa?

  • @kakurukakuru3317
    @kakurukakuru3317 2 หลายเดือนก่อน

    Mnapendaga sifa bila kufanya utafiti. Wapuuzi nyie

  • @chefbestfood
    @chefbestfood 2 หลายเดือนก่อน

    Huo ni uwongo driller zpo kibao

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo eti Tanzania niyakwanza Africa

  • @amedeustesha5947
    @amedeustesha5947 2 หลายเดือนก่อน

    Wakwanza kutumia mikataba ya hovyo kunafaida gani

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 2 หลายเดือนก่อน

    Kara kuu mkuru kukuruka mwanangu

  • @GodloveLauwo
    @GodloveLauwo 2 หลายเดือนก่อน

    Mhhhhhhhhh?