KANIPA NIMEPOKEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @rahimaally6471
    @rahimaally6471 4 ปีที่แล้ว +3

    Naeleza ulimwengu upate nisikia kurizisha moyo wangu si kosa nawaambia na Wala sio peke yangu mola ametuumbia.😍❤️😍
    Kama si mimi ni wewe hakuna anaekataa,nawe ngoja upewe nione utaachia,bure nisilaumiwe kanipa nimepokea❤️❤️
    Kanita kunishauri kama yanaweza kuwa,kwa kua yeye mzuri sifa zake nazijua,niliikata shauri na kumjibu ni sawa.❤️😍❤️😘
    Nnayoyafikiria sio hayo muelewe, isiwe kunizulia tuwenu tena mpoe,msemayo mwadhania nnaejua mwenyewe,❤️😍❤️
    Sikuomba nimepewa kwa ridhaa na nidhamu mapenzi yetu ni sawa. mizani metimia❤️❤️😍

  • @SheikhaIssa-i7k
    @SheikhaIssa-i7k 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah amsameh kila alipokosea ..Amlaze pema peponi ...Amin

  • @Gangalamu
    @Gangalamu 5 ปีที่แล้ว +1

    Kur8dhisha moyo kweli hakuna hatia. What a mesmerising voice and song by Fauzia. Wwwwwwooooowwwwwww

  • @zeinabbreik3585
    @zeinabbreik3585 2 ปีที่แล้ว +1

    Enzi zile za radio zanzibar saa nane karibu na radio yako.Nice song

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว +2

    Kanipa nikapokea..nice song

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว +4

    Enzi izo unakula wali ndondo nakiburudani ,kanipa nikapokea, kipindi cha burudani saaa 8 mchana ukimaliza tu chuoni.........

    • @adidascrew1308
      @adidascrew1308 4 ปีที่แล้ว

      Umeonaehh That is our Old Zanzibar ikowapiiii😂😂😂😂

    • @youngbob9761
      @youngbob9761 2 ปีที่แล้ว

      Dah zamani sana

    • @youngbob9761
      @youngbob9761 ปีที่แล้ว

      sio mchezo

  • @MwanaAli123
    @MwanaAli123 หลายเดือนก่อน

    Kwa kuwa yy nzuri dah jamani enzi izo narudi skull hamamni njaa inauma namkuta bb bado hajapika😅

  • @masudyrashid8156
    @masudyrashid8156 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaa saa 8 mchana sauti ya tanzania zanzibar enz hizo

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 ปีที่แล้ว

    Rahima ally nakukumbuka Allah akupe umri wenye kheri

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar beautiful Island of Africa

  • @rashidramadhan7139
    @rashidramadhan7139 2 ปีที่แล้ว

    Faudhia abdala

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 4 ปีที่แล้ว

    Enzi nakula mkong'oto wa malezi sehemu fulani, nyumbani, Zanzibar.

  • @ashaomary1844
    @ashaomary1844 8 ปีที่แล้ว

    kanipa nimepokea swadaktaa

  • @rahimaally9838
    @rahimaally9838 7 ปีที่แล้ว

    Kama si mimi ni wewe hakuna atakae kataa nawe ngojea upewe nione utaachia