Dini sio jina, jina linatokana na lunga mila na tamaduni. Hata washirikina wa Makka walipokua wanasilimu hawakubadili majina yao, ni haikua hivyo kwamba ukiingia kwenye uislamu lazima ubadili jina.Hii imekuja baadae ili watu kutambuana tu
Qur-an ni maneno matukufu sana Usiichukulie tu hivo unavyosoma wewe hio sio qur-an Kama una nia na uislamu kwanza silimu halaf ufate masheikh wakufundishe sio unasoma tu kimazoea🖐️
Huyu ndio mkali wao tunaemjua sisi
MASHALLAH
Mashaallah mashaallah mwanangu Allah akujaalie kheri.
Harmorapa na mkali wenu mwendelehee ivyo ivyo 💖💖
🙏🏼Amiin🙏🏼
wallah niutani lakini maneno yenye yakkin kwa Allah In Sha Allah Ramadan Qureem
Mashaallah mwenyezimungu awatangulie
Mash Allah mungu awajaalie muigize mazuri
ماشاءاللہ جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Mashaallah barak Allah fik. Inshaallah Allah balaghana Ramadan.
Hahahaha nahitaji like leo nmeikubal kaz ya MKALI😂😂😂
Mashaallah umefikisha ujumbe mwanjia yako Allah akubariki 🙏🙏🙏🏼🙏🏼
Inshallah mungu atujalie afya naiman tuta upokea mwezi mtukufu wa lamadhan na mungu akujalie shekh wangu mkali
Mashallah...... Ujumbe Ushafika mkali wenu❤❤❤❤
Sio kila mtu anaweza kufanya hiki ulichokifanya
Big up sana kwa ukumbusho
Hahaaaa cheikh mkali wetu wallahi unanikosha weweeeeeee #mkali wetu#
Mashaallah mwezi mungu akujaalie
Masha Allah uliyanyoosha maelezo kama yalivo hongera sana
Mnajuaje kuongea ivyo ni ngumu aki kama kiarabu ongereni nawapenda sana 💖💖💖💖
0743497360 nicheki
Hahahaha wapi like za mkali wenu +254 ...+255 na hamorapa like it jamani
Herii shakhe
Daaah..! 😅😅 Leo umetufishia ujumbe kabisaa..!
Yan ww unamchokoza mungu kwa mikono yako
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR MY BROTHER FROM TZ U SAY EVERYTHING IS TRUE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Maa Sha Allah
Hahahahahha mkali wao kama mkali wao😂😂😂😂
Mkali wenu anampenda sana HARMORAPA ktk utani basi tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@fabianndimanya2055 kwer kabisa ndio ashaona mdau wa kutania 😂😂😂😂😂
Hii ingekuwa hata baada ya ramadhan ingependeza sana
Waalaikumssalaam warahmatullahi wabarakaatuhu mkaliwenu umenena mazuri allah akuzidishie kilalenyekheri Brother 🙏
Mashallah shekh mkaliwenu
Masha Allah mungu akubaliki
😂😂shekh harmorapa
Mashalla jazakumullah khayrah
Ukwl allah akuongoze
Inshallah Sheikh Mkali Wetu leo unazungumuza maada ya maana big up
Kbx
Umetisha blooo
ishaalla shee mkali mungu akujalie
😁😁😂🤣🤣
Jamani mbavu zangu
Mkali dini imelala kumbe😁😁
All in all umeongea ukwel
Uyo msenge mkristo 😆😆😆
Dini iko wapi
Karibu kwenye uislamu shekh JACKSON
Mkali wenu inabidi uje katika uislam brooo tunakukaribishaaaa In Sha Allah
Ni muislam uyo
Mbona ni muislam
Kweli muislamu eeeeeh hee siyajui ndo nayajuwa leo
daaaah umeeleweka @mkali wenu
Nimeipenda iyo
Nshallah mtasilimu kufata dini ya kweli
mashaallah
Mashaallah mungu atakulipa
Maashaallaah maashaallaah hakika kila siku ungekua hivi ni vzr sana ubarikiwe amina
Nimekubal
Ameni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🔥🔥🔥 kenya 🇰🇪💯🎷💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ehhhhh 😂😂😂😂😂😂
Mansh'allah mukali wetu kumbe uko sawa 🤝🤝😍😍
Shehe🤣😂🤣😂 HARMORAPA
Hahaha macho ya hamorapa xafiii kbs
Anazid kuwa mzee harmorapa jaman
Mungu atuongoze sote
Kwan mwenyez mungu anaruhusu kupaka rang nywele
Kupaka rangi nywele haina shida kk ila kupaka piko ni haram
I like it 👍
Ebanaeeeee dah uyu jamaa jin ipo kichwani ongela sana
NAMBILI MBINGA
FAMILY
Wallah nimeona wa maaana kweli leo kutamka maneno ya allah na kuelimisha kidini mungu ajalie mue msatari uwo uwo na maneno ya mungu inshallah
Nakubal
Mashaallah mashaallah
Huyo harmorapa sasa ctak kutia neno wallah 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 shekh Athumani katuliaa anasikiliza mawaidha
🤣🤣🤣🤣🤣
Kama amefunga vile😝😝😝 kaanza kufunga Sha’ban
Masha allah
Huyu mkali wenu km muslam daaah
Inna lillahi wainna ileih rajiuni
Waleiku salam warahmatullah wabarakatuh
😂😂😂😂 mkali Kama mkali
Mkali wetu kumbe wewe muislamu Maa Shaa Allah 👏
Muislam Gan Uliwah kusikia Jina La Jackson Akawa Muislam
Dini sio jina, jina linatokana na lunga mila na tamaduni. Hata washirikina wa Makka walipokua wanasilimu hawakubadili majina yao, ni haikua hivyo kwamba ukiingia kwenye uislamu lazima ubadili jina.Hii imekuja baadae ili watu kutambuana tu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ikonasura yawazeehe
Sasa amolapa anamuchekije mwenzake😂😂😂😂
Manshaanllah
Leo umenena mungu akujazie
Mkaliwenu ww vp ushasilimu
Sawa sawa👊👊👊👊
Ujumbe mkubw sana shekh japo weng wamezoea kuwaona munafanya comedy ila kwa hlo ishanllah
𝐌𝐚𝐬𝐡𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐮𝐣𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐮𝐦𝐞𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐬𝐡𝐮𝐤𝐥𝐚𝐧𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐝𝐮𝐠𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮
Ila hamorapa kiwi sana aise😃😃😃
Mkaliwenu kwni ww ni.muislam
Maashallah
Pamoja ya kuwa wewe c mwislam na umeifanya Kama kifurahisho Ila umejitahidi Sana hata huyo harmorapa awezi kufikisha ujumbe Kama wewe
Ona hamorapa anavyo muangalia
Mwemyenzimungu akujalie uwe mwislam
Qur-an ni maneno matukufu sana
Usiichukulie tu hivo unavyosoma wewe hio sio qur-an
Kama una nia na uislamu kwanza silimu halaf ufate masheikh wakufundishe sio unasoma tu kimazoea🖐️
#Mashallah
Unimutinyani
Kumbe jamaa yuko vizur kidini
Athumani, hamorapa
Clear
Hahaha mkali kama mkali
Kumbe ukiachaga kula cha Arusha huwa unaakili au huwa mnaakili🤣🤣🤣Allah hawabaliki💓💓💓
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti cha wapi cha chuga kule kinaitwa ngilinalo 🤣🤣
Msha Allah
Hawa vichaa wamepanga chumba kimoja au 🙄😀😀🏃♂️
munajipenda nyiye tu
😂😂😂😂nacheka sio kwa ubaya nacheka jinsi harmorapa anavyo muangalia mkali wenu.
Hicho kiarabu umeboronga mkali wao! Duh!
Kiukweli uyujama hamorapa ni congolaise
Aaaaaaaaaah hamorapa wewe siku Yako hio
Kwahy wengine Sisi siyo ndugu zetu
Muislamu na muislamu ni ndugu ila muislamu na mkristo ni marafiki
Mkali ivo ukizngmz kiarabu yaan km kazoa vileee eti yaaa ayu allaziina aamanuu.. .khattaaary
MashaAllah
Haswa haswa
Unaisoma iyo duh
Katika siku zote leo ndio umeongea vizur
Naam sheikh