Yaaani hawo watu wangejua anayo yapitiya sijui wangekuwa wanatazama mwili wake na jicho gani😭😭😭😭😭Alhamdulillah Uislam ni neema kubwa sana Alhamdulillah 😭😭😭😭😭Mungu amsameheee😭
Eee Mungu uliye mbinguni Mfalme wa wafalme naomba uniepushe na tamaa ya mali za dunia niweze kuridhika na kidogo nilichonacho nimeomba hayo kwa jina la Yesu Kristo AMINA 😭😭 🙏🙏🙏
Sijui kama ni kweli au la but story ikitafsiriwa na Sky I have no doubt. Mungu atuepushe na tamaa za maisha ya wengine na tujifunze kushukuru kwa vya halali tulivyonavyo🙏🏾
Wazungu wakiwa matajiri sio shida.hats huyu angekuwa mzungu isingekuwa issue, lakini mwafrika akiwa na utajiri kidogo lazima ahusishwe na ushirikina,WAAFRIKA TUBADILIKE.KWA MTINDO HUU WACHA WAZUNGU WATUTAWALE MAANA TUMWUKUBALU ULOFA
Monica tatizo sio uafrica but tatizo ni chanzo, kwa mfano kwa wazungu huwezi sikia mtu kawa tajiri tu bila kuwa na sababu ya utajiri huo, either kwa kutumia akil yke kugundua kitu kwa manufaa ya jamii yaan ni lazma Kuna chanzo lkn sisi huku chanzo ni mtihani na eti mfanyabiasha huyu sijawahi kuona akizungumzia biashara zake zaid ya kuzungumzia sherehe zake
Mwacheni Kaka wa watu apumzike kwa amani mungu ndio hakimu wa kila Jambo sisi binadamu tunatabia ya kuhukumu wenzetu jiulize wewe nani anakuhukumu ok Kuna Maisha na kufa tusijisahau sana tufanye ibada Sana🤲 yallab tupe mwisho mwema🙏
Mmmmh ukiwa tajiri sana utasemwa siku ya kufa lkn ukiwa maskini utasemwa kila siku .....tuache roho yake ipumzike hukumu anatoa Mungu sisi wote ni wapitaji tu
Tajiri kuuona ufalme wa Mungu ni ngumu, ni rahisi ngamia kupenya kwny tundu la sindano. Matajiri wengi sana wanatumia nguvu za giza na wako chini ya masharti. Ila wapo matajiri waliofanikiwa kwa jitihada zao na ni wachache, sasa huyu jamaa hakuwa na mke wala watoto so sad..
Acha akayakute aloyachuma. Wanaofanya haya mambo wanasahau marejeo ni kwa Mola wetu Allah swt. Simuonei huruma Allah atafanya kazi yake. Ila wasia kwa ndugu zangu wote, tusiwe mashetani ya kuipenda mali tukasahau ya kesho akhera. Tule kulingana na uwezo wetu kuliko kutaka yatakayo tu cost maisha yetu yote. Saa hz ana raha gani na mali zake???
Tumepewa akili timam kufata kulia ama kushoto. So kanionesha kushoto kama firauni we magari yote mtu moja ya kazi gani ama sijui manguo meupe sijui mashart ya kimaajabu ya kazi gani sasa?
@@evasaimon6764 Asante mwaya!! Asiyetenda dhambi kati yetu awe wa kwanza kupiga jiwe. Sote ni wenye dhambi. Na kwa Mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa. Hebu tujililie sisi na nafsi zetu. Ginimbi safari yake kamaliza.
Unamsahau Allah unaikimbilia dunia? Na hapa ndo ujue kama uislamu ndio dini ya haki, angekua muislamu wa kweli mali zake asingetumia hivo hata siku moja.
The man is no more...no matter.what he did or not do...he is dead...may God.rest.his soul in eternal peace..who am I to judge anyway...that is God'''s work..
Ha ha ha joka linakupa kila kitu kisha siku Moja linakuzoa mzobe mzobe. Baba yake Ginimbi, ni maskini wa kutupa mtu ukiwaza tu unaona something wrong somewhere.
Guudmorng👋 Tushkuru kwa siku nyingine🙏 Endelea kutazama wimbo wangu mpya #Kibuti link 👇👇👇👇👇 th-cam.com/video/Nfv7u9AT0nQ/w-d-xo.html Nisaidie kushare kwa wadau wengine
Lilian Duniani hakuna pesa inayotolewa na nyoka mamaangu tujiongeze na tujifunze kupitia wenzetu ivi hata dini yako ishaawahi kukufundsha kuwa upo uwezekano wa utajili wako ukawa mkubwa mpaka nyoka anakumwagia pesa ndani kwako kweli?????
Utajiri sio chochote hapa duniani wengi wao ukifuatilia vzr utajiri wao sio wa kawaida.. G Ameacha kila kitu nini ataenda kusema alichokifanya duniani..Mungu atupe Mwisho mwema.
mmmmh ulichokichuma duniani ndo utakachokikuta uko kwa Allah #jitume upate cha halali sio kufuata mkumbo mwisho wake huwa mbaya na aende tuu dunia ipumuwe
Jamani yaani gari pekeake ni million mia saba heeee!!...na kuna familia za kimasikini zahitaji msaada surely wallahi ata mungu hapendi wacha aende apambane na hali yake uko kuzimu aii😭😭😭
@@ilovejesus9303 Inavyosemekana madhambi au thawabu zimeshaandikwa na Malaika inangojewa siku ya hisabu kufanyiwa hukumu kwa uliotenda ikiwa ni vizuri au ni vibaya, hakuna msamaha wowote kwanza. Basi ni misemo tu au dua( mungu ampe kauli thaabit amsamehe makosa yake) mfano uliuwa utasemehewa sababu leo imefika siku yako ? Utakula kichapo cha mungu na wewe huko uendako.
Nawashukuru wote kwa majibu yenu mazuri. Kwakweli ni vizuri kufahamu na kujiandaa kwa kila sekunde tuliyopewa na Muumba wetu maana hatujui siku wala saa
Mhm kwa sisi wakristo tunafundishwa kuwa kila siku tuwe tunatubu MUNGU anasamehe kila siku na ukiweza uwe unatubu kila utakavyojaliwa kutubu MUNGU HACHOKI UKIMUOMBA
Ila mimi nyoka naogopa mambo ya nyoka sitaki kuyasikia, it give me nightmares... Sasa hizo magari zote ni za nini, ziko mingi jameni, walai binadamu na vitu za dunia
@@lakasid3860 taka pesa ambayo nimeyafanyia kazi ila najua itakuja pole pole as long as siteseki lakini sitaki kupewa pesa na nyoka, hiyo ni hasara tupuu
Waganga wenyewe wanapeana majoka ya kutema pesa na wanaishi msituni hawana hata mavazi? I can't believe that 😂😂😂. Waafrika mtu akitajirika ni freemason 😂😂😂tuache Mungu mwenyewe amhukumu, hapo pa magari duuuh over 30 cars? Na kijijini kwenyu kuna mtu anaishi kwa mabanda 😢😢😢😢watu wana roho ngumu kweli
Niliwahi kutoa comment kwenye article moja kuwa Diamond akifanya makosa ya kumuoa Zari na ajue mauti yake hayako mbali, Mwenyezi Mungu apishie mbali. Angalieni history ya mume wa kwa wa Zari kifo chake na alivyozikwa, halafu Zari akarithi kila kitu. Na mumewe alizikwa the same na hela & huyu Ginimbi ni rafiki wa marehemu mumewe Zari. Nikatoa ushauri baba na mama Diamond wasali sana sana Mwenyezi Mungu amletee mtoto wao mke bora na genuine. Wasimharakishe, wakati wa Mwenyezi Mungu ni wakati sahihi.
Mmmmhu joka? Poleni sana familia ya marehemu ginimbi kwa kumpoteza mpendwa wenu Mungu aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho. Hayo mambo ya joka tuwaachie wanaotangaza maana ss hatujui ss wasikilizaji tu mengine tumuachie Mungu wa mbinguni maana yeye ndiye ajuaye.R.I.P Ginimbi.
Subuhana Allah tumche mwenyezi mung ndugu zangu Allah ajaalie baada ya kufa kwetu tutajwe kwa wema miongoni mwa waja wake wema ktk jannnah leo kaacha history ambayo huko aliko inamuadhibu kwa hizi kauli zinazotajwa hkk mwanaadamu hachukui chcht ktk dunia ispokua mambo matatu elimu yenye kuendelea, mtoto mwema wakumuombea , na amali zake ndizo zitamfariji Lkn subuhana Allah Allah amsamehe hkk ss hatujui chcht ipokua mwenyezi mung
Izo tabia zipo sana Mozambique Zimbabwe africa kusini sisi kuna mmoja yeye anandege uyo ndege anakunya damu mzibabwe na kila mtu anamjua ni mfanya biashara anishi chipinge na mmoja anaishi Mozambique sehemu mmoja inaitwa dombe yeye anaishi na jeneza ndani na anapesa ile mbaya jina lake nyambende na mmoja yeye anamke na mkewe mzuri kinoma na anapenda kushobokea watu wenyepesa ila nae anapesa kinoma ukitembea nae anakwenda na maji na mwengine anaitwa mtisi jama anaishi Mozambique kuna sehemu inaitwa mosorizi huyu yeye akitembea na demu wowote yule na kufanya ngono ndo anaingiza mkwanja kwa iyo mambo ayo yapo
@@alfredtarjeu6632 we huna akili babake mwenyewe anaogopa ata izo mali za ginimbi we unasema nini. We unajua kuliko babake hard work ya wapi kua uyaone. Uliza wazee mtaani kwako. Wakupe nasaha za maisha hii dunia wacha kuamini kila unacho kiona kwa macho yako
Magari to sehem ya motivation kwangu hata kama amefarik lakin alishaish maisha yake aliopanga kuishi kuishi masik sio mungu amepanga unachoomba mungu anakupa so chagua maisha unayopenda yaishi hii ndio hatima ya kila.mja haijalishi watasema nn maana maisha ya shida nayo hayawezi kukupa furaha mungu akulaze mahali tulivu brother
Mambo ni mengi lakini kila yajiri anajua siri ya utajiri wake na anakufa akiwa amebeba siri ya utajiri wake maana ndiyo anaejua siri za utajiri wake wengine tutaongea mengi ila hatutokaa tujue ukweli
May his soul Rest In Peace ✌️. Watu nilazima wa fikiye hatuwa yaku kubali kama pesa Zipo na Siyo tu mpaka uchukuwe dawa ndo uta zipata; we all lives with goods around us so it’s POSSIBLE TO GET THEM. #NOTHING IS IMPOSSIBLE # AKI KUBARIKI AKUNA ATAKAYE ZIWIYA.
@Noel Amadadi hakuna kitu kama icho tumeona watu hardworking, angalia Sana page zake na fatilia Sana life yankimimbi labda tu uwe umemjua Sasa, lipo wazi ginimbi halikua na mambo ya cult, na ndio sababu ya whiteparty na champagne na pia Gari yake Ya kwanza haliandika caption kabisa, halafu walikua wengi wanakufa mmoja moja wanajiita the rich gung. Yaani mambo yapo mengi yeye binafsi haliokua anapost, na hao marafiki zake wote pia na wao niwa Chama icho, uwezi elewa ikiwa umemjua juzi, halitoka kwao akiwa mdogo Sana..... Na haliojiwa Sana akiwa ai ginimbi halikua yaingia live Sana kwanza mda wa Corona na halikua akisema mengi tu.... Tu muache tu alalae salama, lakini msiwe mnajifanya nikama hamuoni mambo, ongeeni na vijana wajue madhara ya mambo
@security expert hakuna jambo kama ilo, watu wanao uza cocaine wanajificha Sana maendeleo Yao, sababu ya serikali, kushikwa na mambo kama ayo, ginimbi halikua hafichi chochote,,, watu wanajifanya kama illuminati na freemason hakuna na mambo ambayo yapo, na tu atakiwa kuwaelezea vijana wetu madhara ya mambo, wanachukua bila kujielewa baadae wanajuta na is too late,,
@@judithsidi1087 kwanza Party yenyewe umeiona, ile cake uliiona jamani😭😭😭,acha jamani yaani Mungu anavumilia mengi,ila kwa lile uvumilivu ulimshinda,,hata kama tumejawa viburi sababu ya mali zetu,yatupasa tuwe na hofu ya Mungu walau kiduchu.
Ili uwe TAJIRI lazima ufanye jambo moja kati ya haya mawili; (1) Uwe MDHULUMAJI, hapa naomba niseme kidogo; Dhuluma ni pamoja na yafuatayo:- (a) Kukwepa Kulipa KODI halali (b) Kutoa na kupokea RUSHWA (c) Kulipa wafanyakazi wako MALIPO kidogo ukilinganisha na kazi (d) KUTOLIPA kabisa wafanyakazi wako (e) Kupokonya MALI za watu wengine, mfano kwenye Urithi, Biashara, Magari, Nyumba,Viwanja, Mashamba,Migodi n.k (f) Kufanya kazi au Biashara HARAMU kama vile Mauaji, Madawa ya Kulevya, Wahamiaji haramu, kusimamia Biashara ya Ngono, Wizi, Ujambazi, Utapeli, Kutumia CHEO kwa manufaa yako bnafsi, Uhujumu Uchumi n.k (2) Kutumia NGUVU ZA GIZA Nguvu za Giza ni za aina moja tu, ila zinatofautiana katika utekelezaji;, ni kama vile: Uchawi, Utoaji wa Kafara, Hirizi, Kutumia dawa za mganga, mazindiko mbalimbali n.k Na ndio maana wanasema kuwa; kama NGAMIA atapenya katika tundu la Sindano basi TAJIRI ataingia mbinguni. Sa7bu kuu ni hizo Mbili tuu..! Ila msinielewe VIBAYA kuwa nawavunja watu MOYO wa kufanya kazi HAPANA Kwani kuna utofauti mkubwa kati ya UTAJIRI na Maisha BORA, sio kila MAISHA BORA ni UTAJIRI. Mfano kama mtu katia bidii na kufanikiwa kujenga Nyumba Mbili tatu na magari ya kawaida mawili matatu watoto wanaenda Shule Vizuri, Huyo SIO TAJIRI. Japo hata huyo aweza kuwa amepata kwa halali ama Haramu.
We Kama unamtegemea Mungu gonga like twende zetu
Kabisa nikumutegemea Mungu tu njo njia ya kila kitu tukitafutacho apa duniani
Mungu Ni kila kitu ktk maisha yetu
Mwamba VP nilipoteza namba yako sky
Wacha nikufe na umasikini
@@severnymlowe6376 sijakupata man
Rest Easy Ginimbiiii ....Every Soul Shall Test Death .....Uwe Maskin Au Tajir ...Hayo menginee Tumuachiee Allah...
Yaaani hawo watu wangejua anayo yapitiya sijui wangekuwa wanatazama mwili wake na jicho gani😭😭😭😭😭Alhamdulillah Uislam ni neema kubwa sana Alhamdulillah 😭😭😭😭😭Mungu amsameheee😭
Alhamdulilah mwenyezi mungu atuongoze atupe husni hatima ameen 🙏
Hakika maryam kujaliwa kua muislam ni neema kubwa allah atudumishe kwenye dini yetu ya haki na atujalie khusnulkhatma
Nikweli kabisa duniani mapito
Imani yako na matendo yako mazuri ndo ya neema sio dini flani ndo neema...
@@francolazaro8646 Mimi mafunzo yangu kua muislam ni neema kaka
Eee Mungu uliye mbinguni Mfalme wa wafalme naomba uniepushe na tamaa ya mali za dunia niweze kuridhika na kidogo nilichonacho nimeomba hayo kwa jina la Yesu Kristo AMINA 😭😭 🙏🙏🙏
So wewe hutaki utajiri?
Ameen
@@BigZhumbe sitaki utajiri unaopatikana kupitia nguvu za giza nimeridhika na kidogo ninacho nashukuru Mola 🙏
@@lindyodera7074 Kila utajiri ni baraka kutoka kwa Mungu ila ukifa watu watasema tu.... kama walijua Ginimbi ni mchawi why hawakuongea akiwa hai?
Acha nibaki naumaskini wangu mungu akitaka njonitakuwa tajiri
@Solomo Kaijage ahsante kaijage tujifunze kutafuta kwa jasho sio shortkat
Vijana tujitume
Na ukiwa tajiri tiyali utaitwa freemason
Kwa kweli sio kumuasi Mungu dah
Na Mungu akikujalia ukipata tutaikuita mchawi
Mm mwenyewe Niko njiani naendea satu kabisa joka tu sitamiliki ndege
Sijui kama ni kweli au la but story ikitafsiriwa na Sky I have no doubt. Mungu atuepushe na tamaa za maisha ya wengine na tujifunze kushukuru kwa vya halali tulivyonavyo🙏🏾
Kuna watu wanajiona wao ni watakatifu Sana,utazani wao hawatendi maovu,Muacheni Mungu ndiye mtoa hukumu peke yake.
Yaani umeongea kama watu mia moja
Wazungu wakiwa matajiri sio shida.hats huyu angekuwa mzungu isingekuwa issue, lakini mwafrika akiwa na utajiri kidogo lazima ahusishwe na ushirikina,WAAFRIKA TUBADILIKE.KWA MTINDO HUU WACHA WAZUNGU WATUTAWALE MAANA TUMWUKUBALU ULOFA
Sasa ata fikiria magari yote haya ushawai kusikia tena jeneza ndani ya nyumba alafu mazishi yake nguo nyeupe alafu mapart apa ni upafikirie sana
Monica tatizo sio uafrica but tatizo ni chanzo, kwa mfano kwa wazungu huwezi sikia mtu kawa tajiri tu bila kuwa na sababu ya utajiri huo, either kwa kutumia akil yke kugundua kitu kwa manufaa ya jamii yaan ni lazma Kuna chanzo lkn sisi huku chanzo ni mtihani na eti mfanyabiasha huyu sijawahi kuona akizungumzia biashara zake zaid ya kuzungumzia sherehe zake
Kweli ahhhhh yan
Excellent mzungu akija africa anaitwa mtaliii waafrika wakienda ulaya tunaitwa wahamiaji ki ukweli tunahitaji sana kwanza tupate ukombozi wa kifikra
Kwann alijinunulia jeneza wik moja kabla ya ajali yake??
SubhanAllah part ya mtu kufariki HasbiyaAllah waneema'lwaqiyl 😭😭😭😭
Sio kitu kigeni, manake kuna wengine wanafanya party mpaka za kuachwa
@@farhadhassansaid8830 tofautisha Sana kifo na vitu vya dunia
@@radhiaomary5591 manake Saudia kuna party kila aina, manake sio party harusini,mazishini kama mke kafiwa na mumewe ama mtoto kuzaliwa
Hta hivyo, mbona hamkumhoji Ginimbi alipokuwa yu ngali hai kuhusu utajiri wake??? Mungu nifundishe kunyamaza....hukumu ni yako
Atajua yeye na mungu wake kifo ni siri kubwa
sasa hata huyo Mondi akiulizwa anakubali ? mbona haowi ?
Mwacheni Kaka wa watu apumzike kwa amani mungu ndio hakimu wa kila Jambo sisi binadamu tunatabia ya kuhukumu wenzetu jiulize wewe nani anakuhukumu ok Kuna Maisha na kufa tusijisahau sana tufanye ibada Sana🤲 yallab tupe mwisho mwema🙏
Inamaana kila tajiri anamiliki uchawi😬😆😆😆😆
Mind set
Africa mtu akiwa tajiri mchawi ulaya MTU tajir anaakil na anajituma y Afrca
😭😭😭😭😭😭😭🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷
Good question
Asilimia 88 mm nahisi wanatumia uchawi,hata km sio kwakupata pesa ila hata kujilinda
Hizi pesa mbaya sana,dah Ya ALLAH tupe utajire wa halali, yaani gari wazinunua mwenywe alafu zakuuwa kweli Allah kareem
Pesa siyo mbaya issue kubwa unazipataje?
@@zengomichael8238 ni mbaya sana, mwanzo utaonewa wivu, hiyo ndo mwanzo wa chuki niga
Allah atupe khusnilkhatma tukifa tutajwe kwa yatakayomridh Allah
Ameen...
Amiin
Aamyn
Ameen
Aamiin thuma aamin
Mmmmh ukiwa tajiri sana utasemwa siku ya kufa lkn ukiwa maskini utasemwa kila siku .....tuache roho yake ipumzike hukumu anatoa Mungu sisi wote ni wapitaji tu
True
Ààaàààààaà
À
@@chainbre275 thankx kama umeonaaa hiloo
@@adelineinamahoro8964 eeeeeeeeeh
Hizo Gari zote ambazo umezitaja Bro..
Duuuhhhh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee acha kabsa nmeckia kam magar 21 hv daah
@Kelvin Novath mh umeona eee
Sanimo watu wana pesa jamani duuu nimejikuta nashangaa tu
Ukiwa Tajiri Watasema, Ukiwa Maskini Watasema.Amini Mungu, na Uishi Ur Own Life.
Achane izo kesha kufa bac watasema kila linalo kuja midomoni mwao,ata km uchawi ni wakwake,😭😭😭😭muacheni apumzike kwa amani kawaachia dunia yenu
Wamuache kaka wa watu apumuzike kwa amani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢nakuombea kaka sote njia yetu ni moja 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amin💪💪💪💪.
Tajiri kuuona ufalme wa Mungu ni ngumu, ni rahisi ngamia kupenya kwny tundu la sindano. Matajiri wengi sana wanatumia nguvu za giza na wako chini ya masharti. Ila wapo matajiri waliofanikiwa kwa jitihada zao na ni wachache, sasa huyu jamaa hakuwa na mke wala watoto so sad..
🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️eti nguo nyeupe jamani huyu alikuwa hatari kweli pesa siokitu
Kupenda vya mtelezoo, bwerere, afaniiii kkkk🤣🤣🤣🤟
Usione mtu na pesa zake ukazitaman ujui anazipataje utajiri ni siri ya tajiri😂😂😂😂😂
Kweli kabisa
Kabisa my unaweza taman kumbe yy kanywa glass ya damu
True wallah
Acha akayakute aloyachuma. Wanaofanya haya mambo wanasahau marejeo ni kwa Mola wetu Allah swt. Simuonei huruma Allah atafanya kazi yake. Ila wasia kwa ndugu zangu wote, tusiwe mashetani ya kuipenda mali tukasahau ya kesho akhera. Tule kulingana na uwezo wetu kuliko kutaka yatakayo tu cost maisha yetu yote. Saa hz ana raha gani na mali zake???
Usihukumu usije ukaukumiwa..acha kumsema marehemu Mungu ndie akimu wa haki
@@evasaimon6764 ntamsema leo hadi kesho.
Tumepewa akili timam kufata kulia ama kushoto. So kanionesha kushoto kama firauni we magari yote mtu moja ya kazi gani ama sijui manguo meupe sijui mashart ya kimaajabu ya kazi gani sasa?
@@evasaimon6764 Asante mwaya!! Asiyetenda dhambi kati yetu awe wa kwanza kupiga jiwe. Sote ni wenye dhambi. Na kwa Mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa. Hebu tujililie sisi na nafsi zetu. Ginimbi safari yake kamaliza.
Unamsahau Allah unaikimbilia dunia? Na hapa ndo ujue kama uislamu ndio dini ya haki, angekua muislamu wa kweli mali zake asingetumia hivo hata siku moja.
Mmmmmh fremason jaman. daaaah acha nipambane na hela za halalitu🙌
Kabisa
Nikweli mana haina dada yeyote ufahari wadunia adhabu ya akhera
Akili za kimaskin hizo...you will die poor...
🙏🙏🙏🙏 Mungu amrehemu mbele yake nyuma yetu
Nkawaida mtu anapoo friki wtu huongeya mambo mengi ilakwayote wacha mungu alaze roho yake mahali pema wilove bt God love more 😭😭
The man is no more...no matter.what he did or not do...he is dead...may God.rest.his soul in eternal peace..who am I to judge anyway...that is God'''s work..
That is true ma bro.
Tutasikia mengi! Hiyo migari yote ya nn? Kweli utajiri wa joka!
Ha ha ha joka linakupa kila kitu kisha siku Moja linakuzoa mzobe mzobe. Baba yake Ginimbi, ni maskini wa kutupa mtu ukiwaza tu unaona something wrong somewhere.
Haya mambo ata sielewi unakuwa tajiri halafu mzaz wako masikini duh.
@@laurentraphael5470 weee kumbe inamaana alikuwa hmjali mzazi wk saitakuwaje duh M/mng atupe mwisho mwema
@@hanifaally4694 Ameen maana wazazi ndo kila kitu
😂😂😂😂
Dah! Mwenyezi Mungu nijaalie hekima ya kuridhika na kile ulichonikadiria... AMYIIN
Jamani joka tena😱 ila Mungu ndio anajua yote tumwachie yeye
Ni uwongo tupu.nyoka hamna ya kutapika pesa.mungu ndiyo ajuwaye saidi
@@zamzamabdi5279 kabisa
th-cam.com/video/PwOat-cZouY/w-d-xo.html
th-cam.com/video/PwOat-cZouY/w-d-xo.html
Upo wewe
Guudmorng👋
Tushkuru kwa siku nyingine🙏
Endelea kutazama wimbo wangu mpya #Kibuti link
👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/Nfv7u9AT0nQ/w-d-xo.html
Nisaidie kushare kwa wadau wengine
Mtu akishakuwa n pesa nyingi lazma waseme n uchawi jmn na mtu akishakufa ndo inaanza akiwa hai hawasemi🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Lilian Duniani hakuna pesa inayotolewa na nyoka mamaangu tujiongeze na tujifunze kupitia wenzetu ivi hata dini yako ishaawahi kukufundsha kuwa upo uwezekano wa utajili wako ukawa mkubwa mpaka nyoka anakumwagia pesa ndani kwako kweli?????
Utajiri sio chochote hapa duniani wengi wao ukifuatilia vzr utajiri wao sio wa kawaida.. G Ameacha kila kitu nini ataenda kusema alichokifanya duniani..Mungu atupe Mwisho mwema.
mmmmh ulichokichuma duniani ndo utakachokikuta uko kwa Allah #jitume upate cha halali sio kufuata mkumbo mwisho wake huwa mbaya na aende tuu dunia ipumuwe
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020🍑🍑👇👇👇
th-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/w-d-xo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥
Naaaam
Warembo wako hao tuwaangalie ili watusaidie nini
You have a good voice can listen to you all day
Very true... Very unique voice.
Hahaaaa ata mm nitatafta siafu kwasababu ikiwa nyoka moja inatema hela kias ii.na je siaf?👀👿👿
😆😆
@@fainajaffary4070 😆😆😆😆😆😆
@anna John kabsaaa na kuregret mob.
Ila maisha ya kufuru Mungu huwa apendi. Gari 24! Hata kama umebarikiwa kipato kikubwa Haya siyo maisha mazuri.
Mwemyezi Mungu amrehamu. Amina
🤣🤣🤣::#point🤙
Daaahhh mamaeee inamana Magari yote hyo ya kifahari alikuwa akimilik yeye ?? Kweli huo utajiri wake co poa
Duuuhh jmn watu wana pesa khaaah wanapata wp hizi pesa mhmm ngoja niendelee kupambana na mm 🤦♂️🤦♂️🤦♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Amini kwamba hata uwe nani siku yako ni moja tu tumuogopeni #mungu jamani dunia mapito😭
Jamani yaani gari pekeake ni million mia saba heeee!!...na kuna familia za kimasikini zahitaji msaada surely wallahi ata mungu hapendi wacha aende apambane na hali yake uko kuzimu aii😭😭😭
Wageni waalikwa? Mmh imekuwa harusi? Utajiri unafikia mwisho pale kifo kinapotokea.
Mola amsamehe makosa yake huko aliko. Ameen
Hivi unaamini kuna kusamehewa dhambi tukiisha kufa? Nauliza tu swali naomba mawazo yako
@@ilovejesus9303 Inavyosemekana madhambi au thawabu zimeshaandikwa na Malaika inangojewa siku ya hisabu kufanyiwa hukumu kwa uliotenda ikiwa ni vizuri au ni vibaya, hakuna msamaha wowote kwanza. Basi ni misemo tu au dua( mungu ampe kauli thaabit amsamehe makosa yake) mfano uliuwa utasemehewa sababu leo imefika siku yako ? Utakula kichapo cha mungu na wewe huko uendako.
@@ilovejesus9303 nimtihan sana
Nawashukuru wote kwa majibu yenu mazuri. Kwakweli ni vizuri kufahamu na kujiandaa kwa kila sekunde tuliyopewa na Muumba wetu maana hatujui siku wala saa
Mhm kwa sisi wakristo tunafundishwa kuwa kila siku tuwe tunatubu MUNGU anasamehe kila siku na ukiweza uwe unatubu kila utakavyojaliwa kutubu MUNGU HACHOKI UKIMUOMBA
th-cam.com/video/pCEmGBxINtk/w-d-xo.html
Tazaman video Unakwama wap?
👆👆👆👆
Kaka kaniuma huyu Kama namjua vile😭😭😭R.I.P bro
😢😢
@@jackiephyll1250 😩😩😭😭
Sky wewe ni presenter bora kabisa kwa kizazi hiki mungu akujalie zaid
Alikuwa na magari zaidi ya 24🤔Subhanallah 😭
🤔🤔🤔🤔Namoja ni 600 millions
Lakini gari ya mwisho ni jeneza
Na Bado Kuna watot yatima na Kuna watu mafukara wa kuptliza kijijini kwao... 😂 😂 😂 Dunia Ina mambo
@@munakhamis1979 na yy alijua kama gari yake ya mwisho ni jeneza ndio akalinunua kabisa na kuliweka ndani
@@munakhamis1979 kabisa
huyo nyoka ako bado namtaka 😂😂🤣🤣
Tugawiwe vipande vipande
@@KavamiMiusik aki mimi nataka
mkia 🤣🤣😂😂😂
Mbona mimi nina joka lina tema watoto mbona utangazi🤣
Ukiwa hai atutajua 😂😂😂😂😂
Hujajulikana! Ukijulikana tutajua
Ngoja ufe tutayatangaza ya kwako
😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaaaa hilo halijadiliwi wengi wanalo tunataka linalotema hera🤣🤣🤣🤣🤣
Gari zake ni zaidi ya billion 20 🙆♂️💁♂️
Ila mimi nyoka naogopa mambo ya nyoka sitaki kuyasikia, it give me nightmares...
Sasa hizo magari zote ni za nini, ziko mingi jameni, walai binadamu na vitu za dunia
Hutak utajir wew 😀😀
@@lakasid3860 🤣🤣🤣🤣
@@lakasid3860 taka pesa ambayo nimeyafanyia kazi ila najua itakuja pole pole as long as siteseki lakini sitaki kupewa pesa na nyoka, hiyo ni hasara tupuu
Nashangaa kwani hajakuwa na mke na watoto ama
@@MercyMazmida okky that's good ✌
Waganga wenyewe wanapeana majoka ya kutema pesa na wanaishi msituni hawana hata mavazi? I can't believe that 😂😂😂. Waafrika mtu akitajirika ni freemason 😂😂😂tuache Mungu mwenyewe amhukumu, hapo pa magari duuuh over 30 cars? Na kijijini kwenyu kuna mtu anaishi kwa mabanda 😢😢😢😢watu wana roho ngumu kweli
Kila kitu kitasema Allah (s.w) ndy ajuae wasikuhumu km utajir wake wa halal au vip ataenda sema na Mungu wake M/mng atupe mwisho mwema duh htr
Hii dunia tuko wapitaji tu.hata ukiwa na pesa siku ya kifo ikifika unaziwacha..Mungu ailaze roho yake
😉😉😉I think guys you are nt thinking the way am thinking 😂😂😂😂so huyu zari na huyu baby daddy wake wako safe ama pia hao wakifa tutayaona makuu
Akifa tutajua 😂
@@jonesthamedan6239 😂😂😂😂😂 kweli wakitangulia
Niliwahi kutoa comment kwenye article moja kuwa Diamond akifanya makosa ya kumuoa Zari na ajue mauti yake hayako mbali, Mwenyezi Mungu apishie mbali. Angalieni history ya mume wa kwa wa Zari kifo chake na alivyozikwa, halafu Zari akarithi kila kitu. Na mumewe alizikwa the same na hela & huyu Ginimbi ni rafiki wa marehemu mumewe Zari. Nikatoa ushauri baba na mama Diamond wasali sana sana Mwenyezi Mungu amletee mtoto wao mke bora na genuine. Wasimharakishe, wakati wa Mwenyezi Mungu ni wakati sahihi.
Hata wewe ukifa na wigi tutasema ulikua freemason 🤣🤣🤣🤣 ambassador wa mawigi ya kichawi 🤣🤣🤣
@@BigZhumbe 😂😂😂😂
Mtajijua na ushirikina wenu iwe kweli au si kweli ndio kashafika mbele ya mfalme wa dunia na akhera atalipwa kwa mujibu wa matendo yake
Rest well legend.....tutafute pesa tuache porojo bila maana.
Jaribu kutafta ukifikisha umri wa miaka hyo tuone km utakuwa nazo
@@flodianniclaus5205 🤣🤣🤣, apo sasa 😏
Mmmmhu joka? Poleni sana familia ya marehemu ginimbi kwa kumpoteza mpendwa wenu Mungu aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho. Hayo mambo ya joka tuwaachie wanaotangaza maana ss hatujui ss wasikilizaji tu mengine tumuachie Mungu wa mbinguni maana yeye ndiye ajuaye.R.I.P Ginimbi.
Kifo chaki kama Paul walker wa furious movie😢😢💔💔
Subuhana Allah tumche mwenyezi mung ndugu zangu Allah ajaalie baada ya kufa kwetu tutajwe kwa wema miongoni mwa waja wake wema ktk jannnah leo kaacha history ambayo huko aliko inamuadhibu kwa hizi kauli zinazotajwa hkk mwanaadamu hachukui chcht ktk dunia ispokua mambo matatu elimu yenye kuendelea, mtoto mwema wakumuombea , na amali zake ndizo zitamfariji
Lkn subuhana Allah Allah amsamehe hkk ss hatujui chcht ipokua mwenyezi mung
Me nkajua ukiwa na Gari ya gharama kubwa sana ikipata ajali haiungui au watu walioko humo ndani hawakufi😎😎.. Sasa raha yake Nini
Mmmh inatisha ngoja nikomae kwa warabu nipache changu cha harali
Izo tabia zipo sana Mozambique Zimbabwe africa kusini sisi kuna mmoja yeye anandege uyo ndege anakunya damu mzibabwe na kila mtu anamjua ni mfanya biashara anishi chipinge na mmoja anaishi Mozambique sehemu mmoja inaitwa dombe yeye anaishi na jeneza ndani na anapesa ile mbaya jina lake nyambende na mmoja yeye anamke na mkewe mzuri kinoma na anapenda kushobokea watu wenyepesa ila nae anapesa kinoma ukitembea nae anakwenda na maji na mwengine anaitwa mtisi jama anaishi Mozambique kuna sehemu inaitwa mosorizi huyu yeye akitembea na demu wowote yule na kufanya ngono ndo anaingiza mkwanja kwa iyo mambo ayo yapo
Utajiri wanamna hiyo hupo tangu siku nyingi naukiuwitaji utaupata tu km asili yako itakuwa sambamba na mambo ya mtindo huwo
Naomba namba yake huyo jamaa
Kwa mungu hakuna tajiri wala masikini
😂😂😂 uctmn maisha ya watu ynsiri kubwa Sana
Umesahau Geneza ndugiangu ambalo no 2020 hili ndo lakifahari zaidi mana hali hata engine, wala tairi...Alla amueke panapostahiki
Lina alama ya medusa jeneza la Versace
Utajiri wa Haraka usiojulikana unatokea wapi, alfu kifo cha ghafla. Illuminat tupuuuuu hakuna cha hardworking apo. Ishi maisha yako wacha tamaaa
Kabisa wengine tunapambana kweli kupata hela wao wanazipata haraka haraka tu
Mambo ya tunduma
Yea
You people you've not really worked hard..stop such stupid beliefs..
@@alfredtarjeu6632 we huna akili babake mwenyewe anaogopa ata izo mali za ginimbi we unasema nini. We unajua kuliko babake hard work ya wapi kua uyaone. Uliza wazee mtaani kwako. Wakupe nasaha za maisha hii dunia wacha kuamini kila unacho kiona kwa macho yako
Tobaaaaa roho yangu 😳😳😳😳nyoka uwiiiiiiiiiiiiii
😂😂😂
Duuuuh !!Dunia ina mengi sana ukifata dunia itakudhuru wewe!!Tutafute hela hata kama pesa tunasema zinapita basi zipite kwako!!!!
Duuuh😩😜
Magari to sehem ya motivation kwangu hata kama amefarik lakin alishaish maisha yake aliopanga kuishi kuishi masik sio mungu amepanga unachoomba mungu anakupa so chagua maisha unayopenda yaishi hii ndio hatima ya kila.mja haijalishi watasema nn maana maisha ya shida nayo hayawezi kukupa furaha mungu akulaze mahali tulivu brother
Ayo magari yote leo umehacha Allah atupe mwisho mwema
Mimi hayo magari nayapenda aiseee, mungu anisaidie tu nimiliki hata mawili ...
Utamiliki ameen
africa bn .. Eti kauza soul , si ukauze naww tuone 🤣🤣
Ulitaka uambiwe kauza mihogo?😅
Hayo magari yoooote niya kazi gani dunia kuna mambo😯 rest in peace Ginimbi
Doooh..!! Thanks #SnS 4 the updates
Waaaah mbn magari mengi mpka yanisusumuwa mwili khaaa
Mm nahisi ginimbi alikuwa mchawi yn vicaption vyake vya ajabu ajabu mkato mkato tu ,
Huyo nyoka atakwenda wapi jinimbi hayupo?
Hakuwa na familia au?
Mambo ni mengi lakini kila yajiri anajua siri ya utajiri wake na anakufa akiwa amebeba siri ya utajiri wake maana ndiyo anaejua siri za utajiri wake wengine tutaongea mengi ila hatutokaa tujue ukweli
Mmmh sio kwa magar hayo alaf ya pesa chafuuuu huyu kweli anajoka ndani 🙆🙆
Continue resting in peace Boss G🙏you impaired my life
Utajiri mwingine mh mungu ndo anaejua ukweli wake
Hizi magari ama aina ya perfume mbona hata huku kwetu uswazi sijasikia hizo majinA.
Mungu ndo anaejua ukwel hapo tutaongea meng ila ukwel anao ginimbi mwenyewe na mungu wke bx
Good,binadamu wivu tu
Daaah,maisha aya inamana vitu vyote kaviacha,afadhali angekuwa na mtoto angelisi
Wakat mim nahangaika kununua walau fancago watu wanamiliki magar ya matirion ya pesa duh
Mambo haya yapo, utajiri wa ushirikina upo na watu wengi wanafanya hii style siku hizi,muamini msiamini.nomaa sana.
Mungu atusamehe jamani alikua Luminat huenda
Joka Au Nyoka? 😂🤣🤣
The way he said that Rolls Royce 🤦🏽♀️😩
Rose rose raff😂😂😂😂😂
May his soul Rest In Peace ✌️.
Watu nilazima wa fikiye hatuwa yaku kubali kama pesa Zipo na Siyo tu mpaka uchukuwe dawa ndo uta zipata; we all lives with goods around us so it’s POSSIBLE TO GET THEM. #NOTHING IS IMPOSSIBLE # AKI KUBARIKI AKUNA ATAKAYE ZIWIYA.
This guy was just hardworking period
But not to that extent in that age, may be cocaine
And even if.
@Noel Amadadi hakuna kitu kama icho tumeona watu hardworking, angalia Sana page zake na fatilia Sana life yankimimbi labda tu uwe umemjua Sasa, lipo wazi ginimbi halikua na mambo ya cult, na ndio sababu ya whiteparty na champagne na pia Gari yake Ya kwanza haliandika caption kabisa, halafu walikua wengi wanakufa mmoja moja wanajiita the rich gung. Yaani mambo yapo mengi yeye binafsi haliokua anapost, na hao marafiki zake wote pia na wao niwa Chama icho, uwezi elewa ikiwa umemjua juzi, halitoka kwao akiwa mdogo Sana..... Na haliojiwa Sana akiwa ai ginimbi halikua yaingia live Sana kwanza mda wa Corona na halikua akisema mengi tu.... Tu muache tu alalae salama, lakini msiwe mnajifanya nikama hamuoni mambo, ongeeni na vijana wajue madhara ya mambo
@security expert hakuna jambo kama ilo, watu wanao uza cocaine wanajificha Sana maendeleo Yao, sababu ya serikali, kushikwa na mambo kama ayo, ginimbi halikua hafichi chochote,,, watu wanajifanya kama illuminati na freemason hakuna na mambo ambayo yapo, na tu atakiwa kuwaelezea vijana wetu madhara ya mambo, wanachukua bila kujielewa baadae wanajuta na is too late,,
OKAY...KEEP HARD WORKING!!!
Mali yote itabaki huku duniani haitaingia Binguni kwa Mungu mpe Yesu maisha yako
Nimesikia watakula nyama, mm asante
Hiyo lambo ilikua tyr imeshawasili haina hata mwenzi toka imewasili
Nawaza sasa hizo gari zote na Mali zote atazikwa nazo 😭😭
Ataend na jenez tu 🙌🏻🙌🏻
Ndio nashangaa mpaka mtu ukatafute nguvu za giza kwa sababu wataka pesa, malipo ndo hayo amekufa yeye na akawatoa kafara wenzake pia
@@judithsidi1087 kwanza Party yenyewe umeiona, ile cake uliiona jamani😭😭😭,acha jamani yaani Mungu anavumilia mengi,ila kwa lile uvumilivu ulimshinda,,hata kama tumejawa viburi sababu ya mali zetu,yatupasa tuwe na hofu ya Mungu walau kiduchu.
Utajiri wamasha ulizeni Rose muhando atawapa ukweli tajiri anashika mimba inatoka lakini masikini ahiwezi katoka hiyo ni kafara watu wamrundie mungu
Ili uwe TAJIRI lazima ufanye jambo moja kati ya haya mawili;
(1) Uwe MDHULUMAJI, hapa naomba niseme kidogo; Dhuluma ni pamoja na yafuatayo:-
(a) Kukwepa Kulipa KODI halali
(b) Kutoa na kupokea RUSHWA
(c) Kulipa wafanyakazi wako MALIPO kidogo ukilinganisha na kazi
(d) KUTOLIPA kabisa wafanyakazi wako
(e) Kupokonya MALI za watu wengine, mfano kwenye Urithi, Biashara, Magari, Nyumba,Viwanja, Mashamba,Migodi n.k
(f) Kufanya kazi au Biashara HARAMU kama vile Mauaji, Madawa ya Kulevya, Wahamiaji haramu, kusimamia Biashara ya Ngono, Wizi, Ujambazi, Utapeli, Kutumia CHEO kwa manufaa yako bnafsi, Uhujumu Uchumi n.k
(2) Kutumia NGUVU ZA GIZA
Nguvu za Giza ni za aina moja tu, ila zinatofautiana katika utekelezaji;, ni kama vile:
Uchawi, Utoaji wa Kafara, Hirizi, Kutumia dawa za mganga, mazindiko mbalimbali n.k
Na ndio maana wanasema kuwa; kama NGAMIA atapenya katika tundu la Sindano basi TAJIRI ataingia mbinguni. Sa7bu kuu ni hizo Mbili tuu..!
Ila msinielewe VIBAYA kuwa nawavunja watu MOYO wa kufanya kazi HAPANA
Kwani kuna utofauti mkubwa kati ya UTAJIRI na Maisha BORA, sio kila MAISHA BORA ni UTAJIRI.
Mfano kama mtu katia bidii na kufanikiwa kujenga Nyumba Mbili tatu na magari ya kawaida mawili matatu watoto wanaenda Shule Vizuri, Huyo SIO TAJIRI. Japo hata huyo aweza kuwa amepata kwa halali ama Haramu.
Nmekuelewa sana
Joka linatoa pesa🤔yakweli! 😁😁😁😁😁 mumezidi uwongo, jitihada yake semeni ukweli
Itakufaidi nini kumiliki dunia nzima na kikosa ufalme wa mbingu?
Umeenda mbinguni ukamkosa?
Inaman kil tajir anamiliki uchawi 😯😯😯😯