Ngoma ni Kali sana mara ya kwanza nimeisikiliza zaidi ya mara 4 sija elewa lakini baada ya kuskia verse ya country wizzy ndio nime elewa maana kwanini Ngoma imeitwa bibi titi Ina maana kua Barabara ya bibi titi ime nyoka aina Kona Kona kwaio Kila mmoja kati ya hao mambo yame wanyokea kama barabara ya bibi titi naomba like zenu kama na nyie mme wailewa wanetu
U make sense kwa tafsiri hiyo, lkn bado title inafikirisha sana.. maana barabara ya bibi titi haijanyooka moja kwa moja, zipo barabara zilizonyooka kama morogoro road, nyerere road. Pia msamiati na Lunya mashairi yao hayajaconnect kabisa na title ya wimbo. Nadhani walitakiwa kufanya vzr zaidi ya hv kwa upande wa mashairi kuendana na title
SABABU ya nyimbo hii kuitwa BIBI TITI ni kutokana na Barabara ya bibi titi ambayo ime nyoka haina Kona Kona na ipo katikati mwa mjini….. kwa wasioijua BARABARA HII imeanzia lumbumba street mpaka ohio street inakutana na ohio road ipo DAR ES SALAAM, hivyo kwa kusema ivo inaonyesha hawa walioimba wanaonyesha maisha yao yame yooka (financial stability) kama barabara ya bibi titi (Bibi Titi Road) What a wonderful wordplay?
uyu country wizzy sio mtanzania ukweli usemwe anajua sana ebu niwarudiahe nyuma kidogo kuna ile ngoma ya poa alioimba na marioo ebu itazame utajua ekweri❤❤❤❤
BIBI TITI MUHAMEDI(ni mama ambae alishiriki katika chama cha siasa TANU MWAKA 1954)akiwa na yerere pamoja na oscar kambona🧨🧨.. kwaio ao vijanawangu wanatuletea story kupitia ngoma🤙🤙
angeshafika mbali tatizo lugha tu. Angekua anajua kizungu awe anaimba ngoma nyingine kizungu tupu kama anavyoimbaga khalighraph alafu atafute collaboration hata moja ya rapper mmoja mkali wa mambele Lunya angekua tishio bongo maana styles zake anazoimba zinapendwa sana mambele ila kinachomkosti ni lugha
Thank you all i feel the love❤️
Tuendelee kushare mziki mzuri na marafiki👊🏽
#UghweUmenyee🔥
th-cam.com/video/MWo1Y3mMErE/w-d-xo.htmlsi=jotgE2bGyWJffr0I
Ndaaaaghaaaaa
Ughweeee
Safi sana nipo Zambia nakupata kamanda gwah kukaja mbeya home
Ulinkafu nkamu
Hatr sanaaaa
Cheenbees angekuwepo umu ndaniii
Yes angeua sana for really
Amin bit lake hili mzee
Ngoma ni Kali sana mara ya kwanza nimeisikiliza zaidi ya mara 4 sija elewa lakini baada ya kuskia verse ya country wizzy ndio nime elewa maana kwanini Ngoma imeitwa bibi titi Ina maana kua Barabara ya bibi titi ime nyoka aina Kona Kona kwaio Kila mmoja kati ya hao mambo yame wanyokea kama barabara ya bibi titi naomba like zenu kama na nyie mme wailewa wanetu
❤
U make sense kwa tafsiri hiyo, lkn bado title inafikirisha sana.. maana barabara ya bibi titi haijanyooka moja kwa moja, zipo barabara zilizonyooka kama morogoro road, nyerere road. Pia msamiati na Lunya mashairi yao hayajaconnect kabisa na title ya wimbo.
Nadhani walitakiwa kufanya vzr zaidi ya hv kwa upande wa mashairi kuendana na title
Yule boy ameuaaaa
@@CountryWizzyumeuaaa mzee
Lunya wajua bro!!! O maiiiiiii
SABABU ya nyimbo hii kuitwa BIBI TITI ni kutokana na Barabara ya bibi titi ambayo ime nyoka haina Kona Kona na ipo katikati mwa mjini….. kwa wasioijua BARABARA HII imeanzia lumbumba street mpaka ohio street inakutana na ohio road ipo DAR ES SALAAM, hivyo kwa kusema ivo inaonyesha hawa walioimba wanaonyesha maisha yao yame yooka (financial stability) kama barabara ya bibi titi (Bibi Titi Road)
What a wonderful wordplay?
Mishe zimenyoka kama Barabara BIBI TITI MOHAMMED 💨
Zee La Kukomesha
Hatar mzee wangu
Toto la mama Mandingo
Umeuwa hatar fahter
Father umeuwa sana
uyu country wizzy sio mtanzania ukweli usemwe anajua sana ebu niwarudiahe nyuma kidogo kuna ile ngoma ya poa alioimba na marioo ebu itazame utajua ekweri❤❤❤❤
Naacha hii comment kila muda mtu aki-like nitarudi kucheki huu UNYAMA
Weeeee njoooo huku nisha like mimi 🙌🙌🙌🙌💣💣🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
Unajua
Sawa
County wizzy
Sinzaaa
Hii ngoma hapana aisee...jamaa wanajua ila Lunya hapana aisee 🔥🔥🔥
Ngoma kali sana aseeh
Haina kufeliii
Nomaaaa
Uhakika mwingi saa
So powa wazeeee
No kufelooo
Since meakuwa shabiki wa msamiati cjawai juta....njoo dondosha comments n likes team msamiati @msamiart
BIBI TITI MUHAMEDI(ni mama ambae alishiriki katika chama cha siasa TANU MWAKA 1954)akiwa na yerere pamoja na oscar kambona🧨🧨.. kwaio ao vijanawangu wanatuletea story kupitia ngoma🤙🤙
Hili dude la moto sana nakubl wazeee
Haina kufeli wanangu
Kimbizaa san mkuuu
Tisha snaa mwanag
Goma la mwaka kabisa hili
Uwakikaaaaa
Tulishaondoka mzee❤️❤️bonge la drill from tz to the world
Noma sana
Nomaaa sanaa
Kizazi noma sana asee hii ni baraa zito naona bibi titi
Wameimba kama.hawaimbii tena
Lunya Waga hakoseyi💪
My ear pods 🔊🔥
Waammeenye.. Msamiati watoto wa mungu ...
Lakini jaman huyu lunya atafika mbali sanaaa🔥🔥👍👍👍💯💯
angeshafika mbali tatizo lugha tu. Angekua anajua kizungu awe anaimba ngoma nyingine kizungu tupu kama anavyoimbaga khalighraph alafu atafute collaboration hata moja ya rapper mmoja mkali wa mambele Lunya angekua tishio bongo maana styles zake anazoimba zinapendwa sana mambele ila kinachomkosti ni lugha
Nime dead
Lak lak
Atar sanaa
Unajua
Nomaa zaidi mzee wakazii
Wanajua sana awa vijana wangu
Talented guys
Boomplay
Nice sound
Hatari na nusu aseeh
Nomaa sana wanangu
Mtaa umetulea
Chupaa la maana sana hili
Nomaa aseeeh
Tunatishaaa sanaaaa
Anaitw Country lakn sio wa nchi hiii kubabake 🎉🎉🎉🎉🎉
Mnyama Kabisa
Mnyama huyooo
Kal sanaaaa
Atar sanaaaa
Atar sanaaa
Pop smoke wa bongo , ambae hatatupia like apa kudadeki zake🎉
Oyaaa wee sio poa
Jamaa anajua sana alafu haringi
Anaelewa wabongo tunataka nini
Boss wa hip hop
Oyaaa wametisha sanaa
You know what it is 💎
Country wizzy awekeweee ulinziiii❤😂😂
Wameuwa sana kinomaa
Jamaa fundi so powa
Wanajua San
Mnajuaaa kaka
Namba mojaaaa ipooooo
Hapa aina kufeli na wala aina kulala kabisa tunatishaaaa
Moto juu ya moto ngoma kali sana aseeh
Hili chupa ni la mwaka kabisa ani
Tunatishaaa
Mungu mwema san kazi nzr aseeh
Wala hatulingi
Bonge moja la ngomaaaa wazeee
Hili goma so powa wanangu
Nakubl san mzeee
Hili la sawa noma
Dude noma sana aseeh
Nakubl sana ngoma nzr
Watoto wa Mungu tumenye ridhiki mafungu. Umetisha sana braza ngoma ni ya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma itasumbua kila kona
Ngoja mvua inyeshe tuone panapo vuja
Big idea
Namba moja leoo
Lazmaaa utisheee moja
Nomaa zaidi❤
Noma.sana
Ni furaha sana jamaa huu mziki wanapoupeleka ni pakubwa sana
Sijawai ona show mbovu
Oyaaa sio poa
Nasikia nyepesi hii ngoma
County unajua sanaa mzeee
Balaa sio la nchi hii
hi ngoma ni ya Father na watoto wake 🙌🏿
Uhakk hajawai niangusha
Bila kusahau mjukuu wake mmoja
Lunya
Mpka wajukuu wapo asee
Goma sio kawaida
Big up mbeya finest
Unyama mwingi sana❤🎉❤🎉bongo land ❤🎉❤
Vijana wanajua sana mpk wanaboa
Sikutegemea Kwa ufundi huu
Maana wametrend sana
Niljua 2 hawa n noma
Hawa watu sio wa kawaida
Bibi titj mhamed njia imenyokaa
Verce kalii
Nomaa.sanaa
Oya bongo mziki wetu ni next level sana bhs time Will tell 🇹🇿✌🏿
Unyama kama wa mbelee vitu ivyo tulikuq tunavion kwa akina lily durck sasa mbongo vimewakaaa🙌🙌
Saf sanaaaaa
Watu wa maan kabsa
Daaaaa wizy nomaaa
Mmetishaaa sanaaa
Kaka mnajua sanaa nyieee
Sina mambo mengi like wanna wetu🇧🇮🇧🇮like yaupendo kana unamkubali mwamba Kama yanga fc
Unajua
Huna bayaaa
Huna bayaaa
Bibi titi Mohamed
Unajua
Hili goma linagonga sana mtaaani kweli wameuwaaa
Linakita sana kitaaaa
Sio powa kabisaaa
Hili dude hatar
This is so fantastic
Gomaaa la kwendaaa
Ngoma Kali mbn sioni views
Wamejifungia ndani wanaogopa mvua
Sio Kwa kibard hiki
Full shangwe
Bibi titi Mohamed
Saf sanaaa
Hiii n hatari sana
❤
Hilii game mmeliweza sanaaa
Sana tyuu
Nomaa
Mbeya nyumban
Game linaitaji swagger oya noma.sana hii❤❤
Noma.nanusu
Au bas lunya kaweka funzooo
Kiboss aseee
Tumekwenda town
Kibabe zaid
Hakuna kupoa wazee
Sio Kwa uwezo huu
Kichupaa safiiii
Weka mbali na watoto
Sio Kwa moto huu
Vijana wanabalaa sio poa
❤
Hiii ni bibi
Huyi jaamaa anajiita msamiati.daah.anajua sana 😢😢
Kazingtia mzk❤🎉
HUYU MCHZ ATAZAMWE KWA UMAKIN ANAFUJO SANA
Uwezoo mkubwaa
Wakuu nyie nomaa
Moto sanaaa wazee wng
Kupejaaaa majungu nomaa
Mbwa wakal
I feel like Khaligraph Jones could have made it an anthem...
Nomaaaaaa
Kaz kaz wazee
Leooo Ngoma nomaa
Hiii fujooooo
Watu wa maan
Ma brooo humu mmeuwa sana asee🔥🔥✅
Humu tuuu
Nakubr kiuwezo.ni nomaa.sana
Anjua sanaaa
Kali sana 🔥
Ngoma kali Sana country wizy father teacher 🎉🎉
Goma kali noma sana
Hatufeli wanangu
Ni utata sana aseeh
Haina kufeliii
Nomaa wanamgu
Kimbizaaa kazii
Your the best broo masong yako yaana vibe sanaaaaaah
Ngoma kali sana hii hiphop ya mwaka hiii tunaenda nayo
Ngoma kali
Noma
Unyama
Mwingi
Nomaaa
County wizz kauwa kulipo wote ila msamiati ana flow kali poa lunya kiroho safi anaweza sana home boy wa kiwalani
Ogopa sana wote wanyamwezi
Lazima upagawee
Mixer utundu kama wote
Kati ya ngoma kali na collaboration kali hii ni mojawapo . Mnajua sana wanangu
Nyimbo kali
Nomaaa
Kali sana
Hii imeenda
Unyama mwingi
Jaman jaman xax xikama lembe bongo🇹🇿🇹🇿 unyama🔥🔥🔥🔥🔥✊🏾✊🏾
Mmetishaa kinoma.nomaa
Collaboration kali kinouma, chemistry imekaa poa sana wasanii wetu wanajua sanaaaaa🎉🎉🎉
Kali sanaaa
Wanajuaaa
Tunakimbiza
Ooooosh
Nomaaaa
Hili goma la kwenda 🎉
Ngoma kali sana inaenda kinomaaa
Hakuna kulala wazeeeh
Unyama sana
Tisha kimbizaaaa
Haina kufelo
Tanzania digital house
MZIKI MZURI UNATABIA YA KUZNGUMZA WENYWE BWANA NIHATARIII OGOPAA HII APA NGOMA KATI YA NGOMA🎉🎉
Ngoma Kali snaa lunya kaua kama kawaida yaake
Oi ngoma kali anko
Chupa la kwenda kabisa hili
Nakubl sana kazi nzr
Ni unyama sana
Makin sana aseeh
Uhakika mwingi sana alooh
Tujobe fiki ifindu fingi havielezeki🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 upepo mkaliiii
Baba sio poa
Black men don't chit
Amazing
Fantastic
Ilaa uyu lunya bwana💥💥
Ni mtanzania wa halali
Ila chembechembe za Usa
Nomaaa zaidii🎉
Wameua
Hatari sana naona hiiii mbog ngeje
Hiii ni baraa asee
Nomaa zaiduu
Nakubl kazi nzr sana aseeh
Jah bless sana ngoma kaliii
Nyimbo la mwaka
Haina kufeli wazeeee
Tishaa snaa aseeeh
Olaaah so powa kabisa
Msamiati Ndio Kauwaaa Amekataa Kabisa Kufunikwa😂😂
Nakubl sana kazi nzr kinomaaaa
Inatishaaa sana wazeww
Nomaaa
Sanaaaa
Uhakika
Verse ya piliii nikalii san lunyaaa umeua
Wajuaji ni.wajuaji.tyu hawa majama wanajua sana.me.naomba watup track.nyingne tena wakiwa hivi pamojaaa❤❤
Kwa jiwe hiri ni hatar
Ushaonaa
Wametshaa kinoma.noma
Big yes
Kunawatuu wanajua san.kuimba daah
Country wizzy wewe Ni legend,Kule kando pia bila kumsahau young lunya huyu njamaa anajuwa Sana
Wamekutana mafundi
Just imagine mic moja watu 3
Sio poa wanajua
Unajua sanaaa
Saf sanaaaa
Bonge la collabo
Kuiweka hivyo vichwa pamoko
Great idea & song too
Wameua sna
Project bora ya mwaka huu
Ngoma itatisha sana hii
Lazima iishi miaka mingi kinomaaaa
Nani anabishaaaaa
Oi so powaaaa
Nakubl san kazi nzr wazeee
Mmeua🎉🎉🎉 my brothers
HILI GOMA NIMESKILIZA KAMA.MALA 5 ❤❤
Mzuka sio poa
Big level
Gonna be blessed
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤love the sound
❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Unyama sana kama mbelee kumbe bongo🎉
Katishaaaaa sanaaa bib tit
Nyimb kal
Mnajuaaa sanaaaa
Young lunyaaaaa moto
Wizzy kama lil Wayne
Hii ni jiwe hatari sana naona ni bibi titi Mhamed
Jiwe la.moto.sana
Wanajua mpk.bv😂
Trap imenyooksaa sana
Hatusomeki ,haturogeki.Hahah watoto wa mungu BigUp ma boy Msamiati!
Watoto wa mungu nooma
Hatusomek mstar nomaa
Ilaaaaaaaa hii tripe 3 ni atar
Collaboration nomaaaa
Msamiat umetishaa kak
😊😊😊😊 mbeya boooy chataa
Mbona wasanii wote
Wanatokea mbeya
Vipaji asilia
@@God12365 msamiati ndo nembo yetu MBEYA kwenye ramani Now
Bongo trap 🎉🎉
Naipenda hii nyimbi
Kutoka moyoni
Naikubalo sana
So powa ya moto
Inabamba
Inmates kitaaa
Unajua sana uyafk mblii kak
Nomaa.sana
Shenzi kabisa nyi vijana🎉🎉🎉
Ahahahah sawa bibi titi
Yan kwa msumari huu hatari sana see
Nomaaa sana
Juxt ruuuum
Karibu mjini vyoo tunalipia hakuna vichaka 🔥
Msamiati kauwa mbaya sana@msamiati😂😂😂
Kubababake wekaweka weka umo tuu
Kubabake nomaa
Mnajuaaa sanaaaa
Nomaaaa hiii pin
Mmetishaaa wanyama wang
Oi ngoma kalii sana aseeh
Napenda sana hili gomaaaa
Hakuna matata na hakuna kulala
Sio powa kabisaa ani
Unyama mwingi sana
Kimbizaaaa
Nomaaa sana this is a big song of the yaer
Gomaa nimelipenda
Inakita kitaaa
Harakat
Nomaaa
Tishaaa sana
Ngoma kaliii sana huyu jamaa anajua sana❤❤
Noma sana seeee🎉🎉🎉
Hapo ni👍💥 piga lingine kama hili kaka yangu unatisha
Lunya umetisha kaka
Nakubalii maniga funiko kwishaaa