I so love what you do... Hauna mafunzo on line sweetie...nataka nijifunze kusuka kwanzia nywele ya mkono na zote pia..mana sijui hata kusuka nywele ya kiliioni....naishi Europe ndo mana nimeuliza mafunzo ya on line kama yapo,ila nataka nijifunze tu..napenda kujua kusuka.. Keep up the good work and positive energy..your the best.. Hope ntapata reply from you.
Asantee Dada farida kwa mafunzo mazurii
Ubarikiwe Sana na mungu Dada yangu una moyo was kipekee Sana na mungu Skype Manisha marefu
Nimependa
Nice Sana nimejifunza kitu Leo kutoka kwenu ahsanten Sana
Mashallah😘😘😘
Vitunguhu nimependa❤
Nahitaji kujua zaidi kwenye ushonaji WA WEAVING WEY INANISUMBUA KIDOGO HASA WEAVING FUPI
Wow.asante Dada kwa kunifunza hii
Dada cijui ht nicemeje yan una roho nzr sanaaaaaa,,,Mungu akubariki sanaaaa,ila dada ningeomba kujua jinsi ya kuweka way unaposuka yeboyebo,my dear 🎉
Da farida nmependa ila naomba ujitahd kuonyesha final result ukiacha hvo hatujui hatimae ataonekanaje
Kwel dia tuone mwisho wake unakuaje
Nashukuru my nasubir vya uzi
Nitajitahidi kuonesha kichwa kizima hapa kikubwa ni idea ujue jinsi y kusuka kuhusu kupanga nywele n rahs sanaa
Nimeshasuka pitia video zangu
Sante kwa maon yako
Nakupenda bure asante kwa somo my. Bunda ngapi kichwa kizima
Da farida mi nataka nijuwe kusuka vipipi vya uzi
Lovely works🔥🔥
Vipipi be hivi a nivizuri sana natamani kujua be zaidi hongereni to kwakazi nzuri
Ninafurahi kila ninapoona na kaziyenu nizuri Sana
Sante sana
Mashallaha
Sante
@@faridaothman ❤
Nataka unifundishe ususi wa majongoo
Asante kwa mafunzo nimekuelewa dada mungu akuongezee zaidi ya apo
Asante sana ,nimejifunza ususi kupitia video zako asante Na uzidi kutufunza 💖💖💖💖
Huku kwetu tunaita vitunguu. Ahsantee dada nimekuelewa . Piah aelewa saana kaz zako.
Hongera kipenzi mafunz yako nayaerewa vzr nafrah San unamaerekez mazuriiii
Ahsante madam nimeelawa namna ya kusuka sema sijaelewa jins wanavyo vipanga
Kazi nzuri Sana endelea kutufunza
Dada kwa mtu anae toka mbali malazi yapoje
Nimependa vipipi maana nimejifunza mpakabnahamasika kufungua saloon. It's a great job
Nataka kujifunza vpipi nivielewa sana
Nafanya jeilikujua kukisuka
Thanks Sana nmejifunza styles mingi kupitia youtube yako
Shukran sanaaaaa
Honger mpo vizuri sana
Uko safi dada tunakuelewa vzr
Keep up the good work you are a life saver 💪
Napendaa sanaaa kazii yakooo dada blessing unanifanyaaa niipendee zaidiii kazii hiii
Video zako ninzuri Sana hakika Nina jifunza vizuri Sana
Asante dad kwakwer ufundushaj uko vizur mm nashida ya kujua majongoo ya lasta
Hongera sana dada nimependa mafundisho yako ukovizuri
Hongera my dear uko vzur sana
Asante mpendwa Mungu abariki kazi ya mikono yako
Yaan ongera sana farida adii hii nywele mmeifundisha ubarikiwe mno
Naipenda kazi yako nipo mbalie napenda kujifunza kwa njia ya cm Dada
Asante Dada kwakutufunza.mengi mungu abariki kaziya mikono yako.
Ameen
Asantee dada ubarikiwe
Safi Sana nimejifunza zaidi vipipi vyarasta nilikuwa siwezi vizuri lakini sasa safi
Daaaah Mungu akuweke Sana dada nlikua navitaka hivi ubarikiwe kwa moyo wa upendo kutufundsha bila malipo
Shukran dear
Dada kama nywele ni refu kabisa nitafanya nini kuwaga iwe fupi
Thanks madam Farida I have learnt this technique
Asante sana dada, una fasiriya vizuri kabisa, Nina furahiya sana videos zako.
Hongera umenivutia na staili zote Niko mbali ningekuwa karibu ningefaidi mafunzo
Woww buzuli sana kbsa
Sante
.My hongera Mungu Azidi kusimama Na Wewe
Mimi ni follower wako mgeni nakufuatilia Hadi napata mvuto WA kuja Tanzania darasani jamani
Nice natamani kujifunxa zaidi
Hongera upo vizur na una roho yakipekee sana.Mungu azid kukubarik
Nzuri sana.ntakuja kujifunza my nikija dar
Hongera kwa ujuzi uliyo nao
Santee
Asante mwaya, kumbe sio kazi ngumu Sana
Nice naomba kujifunz vipipi nayebo
Asante sana. Naomba video ya kufundisha kusuka nywele aina ya zipu na majongoo
Ubarikiwe Kuna nywele nilikua cjui kabisa leo nimezijua
Nilikua sijui ata jinsi ya kuanza dada ntafanyia zoezi asante dada❤
Ubarikiwe mnooo mpendwa...
Ubarikiwe Sana mungu Skype Manisha mareefu dada yangu
Da farida asante kwa somo zuri Mungu akubariki mnooo.🙏🙏
Amina
Kazi nzuri Dada
Mama Aggie ckuhz hapat shida da.faridah Asante xanaaaaaaa🙏😘😘
Santeee
Nimeipenda nitaifanyia mazoezi ,mbarikiwe sana
Asante sana dada,napendezwa sana jinsi unayo fundisha kwa mafunzo yako.
Kazi yako nzuri sana. Nisaidie kujifunza online, more and more.
Wao ahsante❤❤
Nimendezwa sana. Ningependa unijuze iwapo ninaweza somea online kwa sababu niko mbali. Niko kenya sitaweza kufika huko licha nisomee online.
Inawezekana
Thx farida dear nimekupenda umejibu jibu langu
Upo vzr, good job
Napenda vizuri
Nice✌️
Asante kwa kutufundisha dada mungu akubark
Uko vizuri dada napenda hiyo
Hongera sana mwl wetu uko vizur
Asante sana dada faridakwakutupa mafunzo Allah azidi kukufungulia lizki ,ila natamani niwepo hapo saluni kwako laivu
Asantee sana hivyo Ndio nilikuwa navihitaji kujua barikiwa mumy
Asante dada kwakutufundixha Mana nilikuwa cijui vipipi wanavosuka
Upo vizuri katika kuelekeza sante dada
Waooo nilikuwa nasubiria kwa hamu hili SoMo Mungu akubariki sana
Nashukuru sana kwa mafundisho yenu tunazidi kujifuza
Napenda kujifunza yebo .
Hongera sana jmn nimefurahi
Mko vizur nimependa sana
Wooo so beautiful l like it
Asante kutufundisha kusuka nashukuru Sana
Tunaita vitunguu naipenda sana
Nimependa Sana naomba kufudishwa kusonga long and short weaves
Kazi nzuri dia
Asanteee dada video nzuriii sanaaa
Santee
Nafurahia xana my love mungu akubarik
Kazi nzuri sana
Asante mpenz nimejifunza kwetu tunaita vitunguuu
Nimependaa ujuzi wako dada nilikua nashindwa kuisuka kumbe very simple asanteee sana
Asante my, uko vizuri. Mungu akubariki
Napenda Sana dadasa lako Dada me mwenyewe napenda mafunzo yako
Aaasante kwa kutupa ujuz zaid nimependa sana
Hongera sana Dada unajuakufundishaa
Ahsante sana nimejifunza
Asante Sana my dear kwa SoMo zur
Hongerani sana kwa kutufungua macho
Hi nice style how do you call it?
Ningependa kujifunza na nyinyi usuzi wenu Ni smart kabisa.
Very very nice
Nmejifunza mengi asanteeen
daah hakika nimelipenda kazi yenu
huwa natamani Sana hii stail Ahsant nimeelewa
Waoooo
Asante mama mwenye roho ya kipekee kutufunza
Wow!! Inkaa smart sana
Asante mamy na VP kama mtu ana nywele ndef na anataka kusuka vi pipi utafanyaje fanyaje nywele maana ni ndef
Yes namm nlitaka kuuliza swal hlohlo
I so love what you do...
Hauna mafunzo on line sweetie...nataka nijifunze kusuka kwanzia nywele ya mkono na zote pia..mana sijui hata kusuka nywele ya kiliioni....naishi Europe ndo mana nimeuliza mafunzo ya on line kama yapo,ila nataka nijifunze tu..napenda kujua kusuka..
Keep up the good work and positive energy..your the best..
Hope ntapata reply from you.
Nafundisha dear karibu +255657292650 WhatsApp me
Thank you..
I am going to join soon..will send you sms kwa no yako uniunganishe..