CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA Chuo kimesajiliwa TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000) 📞0657292650 TUPO DAR TEGETA AZANIA TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇 1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k) Ada: 300,000 Muda: miezi mitatu 2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,) Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti) Muda: Miezi mitatu Field :Mwezi mmoja Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA TH-cam JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇 th-cam.com/video/9I5sTZK0Pvw/w-d-xo.html ✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE NOTE :HOSTEL ZIPO Ada :100,000 Muda: Mwezi mmoja Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen MAHITAJ YA MWANACHUO 1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani) 2.Tshet 15,000 3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding) 4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron 5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue
MAKEUP&HAIR MASTER CLASS. Kama ulipitwa na darasa la mwez uliopita jisajili sasa kwa mwezi huu bado tunapokea wanafunzi na huu ndio mchamganuo wa MAFUNZO YETU. 0657292650 1.FULL COURSE √ Kusuka Nywele √ Kupamba Maharusi √ Makeup √ Malemba √ Kutengeneza vibanio √ Washing and set √ Kubana nywele kwa maharusi ADA LAKI TATU (300,000) Muda miezi mitatu 2. KUJIFUNZA MAKEUP NA MALEMBA ,KUBANA NYWELE KWA MAHARUSI ADA LAKI MOJA NA NUSU (150,000) Muda mwezi mmoja 3.KUJIFUNZA MAKEUP NA MALEMBA Course ya muda mfupi ADA ELFU HAMSINI (50,000) Muda wiki tatu KWA COURSE ZOTE MWANACHUO LAZIMA ULIPIE SH.15,000 KWA AJILI YA TISHET LIPIA MAPEMA KUJIWEKEA NAFASI YAKO MAFUNZO YETU NI YA UHAKIKA KWA MAFUNZO YOTE VIFAA UTAVIKUTA DARASANI Muda wa darasa ni saa 4:00 asubuh kutoka ni saa 10:00 jioni Tuna madarasa ya jioni ni saa 9:00 had sa 12:00 jion KUJIFUNZA KUPITIA TH-cam CHANNEL YETU GUSA LINK👇👇 th-cam.com/video/nbMgt6Tauoc/w-d-xo.html HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE 0657292650 #makeup #subscribe #farida #Naturalhairstyle #@makeup_storetz #makeup #instamakeup #cosmetic #cosmetics #fashion #eyeshadow #lipstick #gloss #mascara #palettes #eyeliner #lip #lips #tar #concealer #foundati #beauty #b #makeup #instamakeup #cosmetic #cosmetics #fashion #eyeshadow #lipstick #gloss #
CHUO CHA UREMBO NA USUSI BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA
Chuo kimesajiliwa
TUNATOA MAFUNZO YA KUSUKA NYWELE AINA ZOTE NA KUPAMBA MAHARUSI (MAMBO YA SALON KWA UJUMLA) BADO TUNAPOKEA WANAFUNZ WAPYA
LIPIA MAPEMA KUWAHI NAFASI
Gharama ya Fomu ya kujiunga ni (10,000)
📞0657292650
TUPO DAR TEGETA AZANIA
TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO👇👇
1.kusuka nywele aina zote na Kupamba maharusi ,kufunga malemba (mambo ya salon kwa ujumla kuosha,kuseti n.k)
Ada: 300,000
Muda: miezi mitatu
2.FULL COURSE (HAIRSDRESSING,BEAUTY THERAPY,FACIAL,WAXING,PEDICURE, MANICURE,KUFUNGA MALEMBA,)
Ada: 600,000 ( mwanafunzi atapata cheti)
Muda: Miezi mitatu
Field :Mwezi mmoja
Pia UNAWEZA SOMA KUPITIA TH-cam JINA FARIDA OTHMAN GUSA LINK KUANGALIA MAFUNZO YETU 👇👇
th-cam.com/video/9I5sTZK0Pvw/w-d-xo.html
✍️ TUNASUKA NYWELE AINA ZOTE
NOTE :HOSTEL ZIPO
Ada :100,000
Muda: Mwezi mmoja
Utapata maji,godoro, umeme,kitanda ila chakula unanunua canteen
MAHITAJ YA MWANACHUO
1. Makeup seti 100,000( Itamsaidia Mwanafunzi kufanya mazoezi hata akiwa nyumbani)
2.Tshet 15,000
3.Shuka,neti na ndoo (kwa wale wa boarding)
4.Rasta za mazoezi,seti ya vitana, chanuo,Taulo,Apron
5.Uniform ni dark blue (sketi au surual) shati n dark blue
😊
1
Nataman kujua kusuka zile nywele za ras
Ni mara kwanza kujifunza Asante na hiyo staeli siku ijua iko poa👍👍
MAKEUP&HAIR MASTER CLASS.
Kama ulipitwa na darasa la mwez uliopita jisajili sasa kwa mwezi huu bado tunapokea wanafunzi na huu ndio mchamganuo wa MAFUNZO YETU.
0657292650
1.FULL COURSE
√ Kusuka Nywele √ Kupamba Maharusi √ Makeup √ Malemba √ Kutengeneza vibanio
√ Washing and set
√ Kubana nywele kwa maharusi
ADA LAKI TATU (300,000)
Muda miezi mitatu
2. KUJIFUNZA MAKEUP NA MALEMBA ,KUBANA NYWELE KWA MAHARUSI
ADA LAKI MOJA NA NUSU (150,000)
Muda mwezi mmoja
3.KUJIFUNZA MAKEUP NA MALEMBA
Course ya muda mfupi
ADA ELFU HAMSINI (50,000)
Muda wiki tatu
KWA COURSE ZOTE MWANACHUO LAZIMA ULIPIE SH.15,000 KWA AJILI YA TISHET
LIPIA MAPEMA KUJIWEKEA NAFASI YAKO MAFUNZO YETU NI YA UHAKIKA KWA MAFUNZO YOTE VIFAA UTAVIKUTA DARASANI
Muda wa darasa ni saa 4:00 asubuh kutoka ni saa 10:00 jioni
Tuna madarasa ya jioni ni saa 9:00 had sa 12:00 jion
KUJIFUNZA KUPITIA TH-cam CHANNEL YETU GUSA LINK👇👇
th-cam.com/video/nbMgt6Tauoc/w-d-xo.html
HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE
0657292650
#makeup #subscribe #farida #Naturalhairstyle #@makeup_storetz
#makeup #instamakeup #cosmetic #cosmetics #fashion #eyeshadow #lipstick #gloss #mascara #palettes #eyeliner #lip #lips #tar #concealer #foundati #beauty #b
#makeup #instamakeup #cosmetic #cosmetics #fashion #eyeshadow #lipstick #gloss #
Dada Farida tufundishe kusuka nywele za vipipi
Makeupghair
Naomba kujifunza jisi yakupaka mekap
Duuuu uko vizur
Sawa
Daah sikuwahi kumpata mtu anaefundisha kwanjia yasim na nikamuelewa kama nnavokuelewa wewe. Mungu akuweke kwajili yetu sisi wahitaji inshallah 💕
Shukran kipenz
Mama ongela Kawakami nzuli unaifanya ayo ndio maendeleo
Nimeadmire akii
@@gladysjeptoojeptookibet8678 Dada nataka nijifunze mubinjuo
Naomba kujifunza kusuka mikeka sikuwatch hyo video unasema.u are perfect.
Asante dada mm binafs nimeelewa nitafanyia mazoez ongera teacher unafundisha vizur
Nilitamani sana kujua usukaji wa hii style, Asante dear, nimeelewa sana
Kazi nzuri
Unasuka vizuri Sana
Natamani kujua kushika rasta mana yani tatiza naomba unisaidie dada angu
Upungunzi natamani nije kujifunza nije kwako
Niwe mwanafunzi wako naomba jb
Thanks for sharing with us,VERY INFORMATIVE.LENAH FROM KENYA
Safi kabisa
Kusuka weave
Je huko mwishoni unadizainije coz hujafika mpaka mwisho mkia unaenda wapi wa njia mbili?
Ni Mary nyambura,it very nice beautiful,Nina furahia,thanks.
Nimepanda hii na nimejua kuisuka dear Farida, ahsantee.
Ahsante pia mpnz wangu
Asante sna Dada mi nngependa kufundishwa jinsi ya kumchana mitindo mtu alieweka dawa nywele wakati wa kutowa rorars
Thank you dada nmejifuxa
Shukrani sana naomba namba zako kwa maelezo zaidi
Asante nimependa Sana ufundishaji wako nilipendakujua viinzi
Masha Allah so beautiful good God blesse u more my dia 😘😘😘🔥🔥🔥❤❤❤🇰🇪🇰🇪l am watching from Kenya thanks
Thanks love
U welcome dia
I lk the style is so attractive.
Unifunze kupamba bi arusi
Je unawez kusuka hayo majogoo kwakutumia uzi wakufumia masweta?
Lovely, nimejifunza Kitu dadangu very nice
DAAA nimeipenda hii nywle dada na nimejifunza Kaz kwang kumsuka Mt asant
Tunaomba uwe unatuonyesha nywele itakavyokuwa mpaka mwisho 🙏🙏🙏🙏
Apo nimekuerewa dada
I love the way ur plaiting
Asante kwa mafunzo,,,tufundishe kubond dada
Nimependa haya mafunzo jamani
I like
Naomba kusuk mubijuo
God bless African women they make life easy.
Ameen in God we trust
Mungu akubariki azindi akujariye kutufuza Mimi Niko sauza afical nataka kujuwa kupondowa
Kazi nzuri mungu awabaliki mnatusaidia sanaa vijana wenzenu tusio jua kusuka nywele mbalimbali tunaweza kusuka bila ya kwenda chuo .
Aky nmefurahi sana kujifunza hio style thanks dear
waooow I like it
Upo vizur dada
Asante dada kwamafunzo nifeze kubondi
Wow 🤩❤️❤️
Ni nzuri, yapendeza mno, but too tight kwa scalp.
Can't stand scalp pain
Nimependa sana dada mungu akuinue naitaji kujifunza tuchati dada
Shukran sanaa karib dear 0657292650
Nice teacher l love this style also l love explanation l need you to be my teacher for more styles ❤❤❤❤
Nice
I love it😍😍😍
Jmn mi nataman kujua vipipi kuvisuka
Safi my
Jaman mi nnataman kujua jinsi ya kutengeneza dread kwa mtu ambaye anarudia,,yaan kurepair
Vipipi hivi hapa dear Gusa link👇👇
th-cam.com/video/r336ktJNxXY/w-d-xo.html
Nifundishe kuseti dada
Natamani kujua kusuka utumbo
Woooh!! Nime elewa kupitiliza ni nzuri sana.
Waoooooh jamani hatimae nime Pata nlichokua nakitaka ahsante Sana my love 💘💘
Haifanani
Tofauti kabisa
I
Like
It
Mambo 😢😮
You are really doing a good thing Farida,,,ibenefit alot through you video teachings,,thank you
Dada Farida mungu akubariki sana kwa maana ninakuelewa sana
Barikiwa sanaa🥰🥰🥰
Am watching from Uganda ur my best teacher
Thanks love🥰🥰🥰
Okay hacha nianze nakusema kwamba Mungu azidi kuwabariki nyinyi mulio na vipaji vya kujua kusuka. Napenda nijifunze kujua kusuka Majongo ya kushonea.
Ubarikiwe sana kupitia somo lako nimejikuta naweza kusuka majongoo
Uko vizuri my vitu vingi sana najifunza kwako barikiwa
Wewe ni mwalimu mzuri sana nimejua❤
nashukuu sana kwa iyi video, Mungu azidi kuwapa moyo mwema ya ku saidiya wengine
Asanite dada kwamafunzo yako nilijaribu kusuka majongoo nikaweza thanks God bless you ❤❤
So nyc I love ur work and I will b following u up
Unafaa wenimwalimu muzuli sanaa nimekupenda jinsi unavyo fundisha❤
I like it,am a beginner have learnt alot,God bless you alot
Hongera dad unafundisha vzr ntaifanyia mazoez
Nilikua natamani kujifunza hii nywele Asante sana nimeiona hii video nimejifunza kilichobaki ni mazoez tu
Asante Sana kwa hii mafundisho , natami kujua styl ya rastas
Natamani kujua sana kusuka mwongezo,n kazi nzuri sana nafurahia sana
Asante Sana nimependa mafunzo yako, ningependa kujifunza nyongeza
Amazing nimejifunza mimi.... lazima nijifunze zaidi👍
Asante farida maana nilikua natamani kujua wana sukaje hii nywele lkn na shukuru kwako nimeweza na mungu hakubariki sana
Waaah!!! Nimeshikanisha,, sikuwa naelewa,,,
Wah it's very beautiful nimeipenda.
Wow! Napenda ususi wako unanifundisha mengi through watching and practicing..
Nimeipenda sana naona kama rahisi vile nitajaribu kwa kweli mafundisho yako yako poa sana
Nimependa sana na unafundisha vizuri sana natamani nijue mitindo mingi zaidi
Sante snaaa
Nimefurahi sana kwa mafudisho yenyu zidi kutufudisha hizi twist Asante sana
Nafurahia mafundisho sana maana unanifunza Kwa ustaarabu ninaelewa shukran
Unafundisha vizur saana kpnz 🙏🙏♥️❤️♥️
Wow kumbe ni rahisi aki nilitamani xna kjua hii kitu asante xna dadangu
Nakuaprishet sana dada unafundisha vizuri mnoo
Asante dada agu nimeelewa natumain ntakuja msusi mzuri sana
I like the style...big up
Wow,so amazing thank you mamaa wafundisha vizuri sana hadi mtu anaelewa kabisa Huwa napenda kuwatch sana your videos 🥰
I like it da Farid najifunza mengi naomba unifundishe kusokota drade
Hongera Kwa elimu nzuri natamani nijue na mimi
Hongera naitaki kujua kusuka nywele inaitwa zipu dada samahani.
Waoo naimeipenda nitajifunza natamani sana kuijua
Wafunza vizuri sana dada, barikiwa
Wow thanks nimeielewa vizuri Sana,
I love the style 😍,
Asante Sana Dada nimeipenda kweli nitafanyia mazoezi zaid nalazima mifaulu dalasa ili av a nice day
Nimekuelewaa madam Asantee sana Mungu akubariki sana
Mungu akubaliki sana ndugu akuzidishie palipo pungua
Ameen Barikiwa pia🤍🤍
Mmmmh ni rahisi sana lazima nijaribu.nimekuelewa
Ongela mamy nakuelewa sana
Nice one like it❤❤,,,na mwenye Ako Kenya 🇰🇪
Wao mpo vzur nimeielewa hiyo stair
Na furhay Ku ona kazi nzuri kama iyo natamani pita kudjuwa ingine style aksanti
Asante sana dad yaani mm najua baazi hila natamani kujua zaidi
Nakupenda Dada Mimi pia ni msusi najifunza mengi kutoka kwako
Nashukur Dada farida kunielekeza uko vizur nimeelewa
Santee
Thanks alot nimejua kitu be blessed
Nimeipenda sana my ningependa kufahamu zaid
Asante sana dada nimeelewa Mungu akubariki
Thanks nilikuwa sijui sasa nmeelewa zaidi barikiwa dada
Be blessed, sasa nimejua kusuka huu mtindo
❤❤ kazi nzuri ni jeniffer msusi kimilili bungoma
woow!dada unasuka vzurii😊😊
Asanteni kwa kazi nzuli mungu awaongezee marifa❤❤
Napenda sana darasa lako huwa nafwatilia sana nimeelewa hi nywele
Nimependa sana dada majongoo nitajifunza zaidi
Asante sana una fundisha pole pole na mtu anaelewa kwa urahisi
I like it,,, smart
❤❤❤
Asante dada napenda sana kujuwa kusuka izonywele napenda kujuwa kusuka na vitungu vyakisasa.nisaidiye dada niko kigoma
Jamani nimeelewa sana dada mungu akubariki
Oooohhh jamani nimejifunza SoMo lako ni nzuri
Nimependa ufundishaji wako mungu akubariki
Nimekuelewa kabisa,asante kwa mafunzo
nakuelewa my dear unaelewesha vizur