Nasikiliza hii interview mpaka nataka nilie yan, naweza kusema nikimbishi nimempa tuzo ya uprofesa wa muziki especially hiphop. Ni mchambuzi mzuri sana.
Ni Rahisi Lil Wayne kujifanya Nas,Ila siyo rahisi Nas kujiita Lil Wayne of this generation. point yake Nikkimbishi ina mashiko kwa sababu hata Rakim nae awezi akajiita Nas of 90 Generation ila Nas Alijiita Rakim of 90 generation.
Nikki &tamaduni nyinyi ndo tunawaamini kukomaa na heshima ya hiphop halisi achana na mameneja wasenge wanatamani wote wabane put,weshawaharibu weusi,gnako,nk
Hata wewe unafanya vitu kwa kutafuta maslahi yako wewe. Na hakuna mtu asiyependa kufanya mambo kwa maslahi yake. Halafu acha kuhangaika na hiyo station ya Clouds utapata tabu sana @ Nelvis Paschal.
huyu niki mubishi nisawa na mange kimavi hatowi kazi sikasikika niyeye nakujuwa tu kwani hip hop ilitoka wapi mbona anajifanya anajuwa sana huyu fala hip hop aio music wa tanzania hip hop ni music wa mariakani tanzania music weni ni singeli fala wewe niki mubish haujieli wewe kengenge tu
Nasikiliza hii interview mpaka nataka nilie yan, naweza kusema nikimbishi nimempa tuzo ya uprofesa wa muziki especially hiphop. Ni mchambuzi mzuri sana.
Moja ya interview ambayo ctakuja kuisahau ktk maisha yangu NIKK MBISHI UNAJUA SANA WW NI MWANAHIPOP MKALI UNAJUA UNACHOFANYA NA UNACHOTAKA.KEEP IT UP
Jamaa Ana busara za kutisha kwenye maongezi duuuu¡
Hatari 👏👏👏
Dkens Mo Pain atar aisee...anaongea mapaka unamuelewa
Napendaga sana muziki wako Nikki, na nausikiliza sana
Watu wanasalamia hadi kuku😂😂😂😂unajua sana unju bin unuki💯
Mc hatarii sana ndani ya bongo nzimaa
Sio hadi ukifa bro, ur the best raper en MC in this industry
Nikki mbishi unajua brooo Respect kwako
You're the best Nikki, I learning one things from you. I love your words ,Very nice Interview, I like it
Big up Lil ommy ....watching all the way from Doha,Qatar.....show ya kibabe
Ni bora kuwa masikin jeuri Unju umetisha
One of the best interview in this year...!!!
Rehema Ahmed Absolutely
Nikki mbishi legendary sna
Ni Rahisi Lil Wayne kujifanya Nas,Ila siyo rahisi Nas kujiita Lil Wayne of this generation.
point yake Nikkimbishi ina mashiko kwa sababu hata Rakim nae awezi akajiita Nas of 90 Generation ila Nas Alijiita Rakim of 90 generation.
Ommy upo vizuri sanaaaa 👏
Nimependa hchi kipindi😘😘😍
Niki mbishi is the best hip-hop artist in Tanzania
Umemuacha wapi Nash MC na Fid Q?
nay wa mitego ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥achamdomo
@@miltonemusumbah2544 after fidq ni nikk mbishi
No One Lyk nikki mbishi
Respect kwako Nikki mbishi unatisha sana
Big thinking capacity bro Nikki mbishi
Interview Kali kwa mwaka huuu ommy
Twaitajii part 3 @ lilommy
Babu Tale atawamiliki kina dogo janja nakuwabadilisha lakini siivi vichwa Dha! Mmbishi Og sana bro
Nikki mbishi play boy hyo ngoma imeuwa
Uyu ndyo Alkua King wa interview Tambweee
Unju tunakubali xana kazi zako na lunduno kiujumla, kazeni buti tusonge, mdomdo washaanza kuelewa
Ommy hii ni interview moja amaizing katikaa zotee
100
Kizazi sana...Tambweee
Msaniii! Wanguu bola wa hip hop miaka yote unajua unju.
nakukubalia san bro lilommy
akili mingi sana I respect you Nikki mbishi
mbishi respect Sana nimekubal
Amani sana unju
Nakubali sana Lil ommy Dr unju nice interview
Imependeza xna
Mii namuelewe unju forever ❤️🎤🎤🥾🛹🛴
#Nikki Mbishi umeongea fact broh
Kuna mtu anajua mziki na kuna mtu anafanya biashara ya mziki
Jafari Sintoo kwa hyo sentens hyo moja ndio umeona fact na kuandika zingine sio fact ama vepe
milimo mashini no kaongea mengi sana na sijaona alikokosea but thats sample of them so siwezi kuexpose kila kitu#Nikki yuko vyema
nakubali nikki mbishi
like nikki mbishi is real hphp
Gud
nimekupata @Mbishi everything has changed nowadays.
Unju bin upupu 👊👍
Baba Malcom mtata nakubali San👣
Interview ya kizazi sana
Kweli uyu Baharia..
oi
DAAH NATAMANI HAYO MANENO ANGEYAONGEA AKIWA CLOUDS FM..
KWA MAANA NDO WANATABIA YA KUHARIBU VIPAJI VYA WASANII KWA MASIRAHI YAO BINAFSI
Nelvis Paschal weach tu
Jamaa kila mtu anamponda
Sure
Jiniiiiii
Dr unju ww niatali kila kitengo play boy mwema nimekumiss wanadidai hw maboc fao awakosi
😀😀☺☺☺☺ play boy
nimekuelewa Nikki mbishi
Nikki mbishi....Sauti ya hip hop Ile kikweli
We omy unajua sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
unju bin unuki, 👊👊👊
Pwaaaa
Oiii
Ahahahahah...dah kmk .... oi
U guys!! U should n't talk much ..du yr best ...respct u...
Liomy umefanana nae uyo jamaa mbish ni ndugu nini
Nikki &tamaduni nyinyi ndo tunawaamini kukomaa na heshima ya hiphop halisi achana na mameneja wasenge wanatamani wote wabane put,weshawaharibu weusi,gnako,nk
respect broo
hahah bila msanii ,washika dau watakua washika nyau...dadeki UUUUUUNJU
سلام عليكم كيف الحال بيش
zohan
Interview ya kibabe sanaaa nimekubali
Nikki mbishi hajui kuimba unatafuta kupitia wenzako. Ngoma gani yako yenye imehiti . Kumdis mtu vibaya nikwamba humuezi. Pambana na hali yako.
King Mbishi
Nikk mbishi unatokea mkoa gan chief
Lil ommy huo mziki unaoupiga kwa mbali huwaga ni mziki wa nani ?
Oy!!
mpunguze kusalimia kuku
Nikki mbishi baba malcom: unadinda mbele ya makinda wanakuita tundu lisu
👍👍
..........utakuwa mshika DAU, au Umeshika Nyau?????? teh teh teh
Nikk mbishi nakukubal Toka nikiwa darasa la saba had now nina miaka 21 Na kupitiwa wew najaribu kurap kama ww kaka
.
unju Bin unuk
Hkngaa km ww bocc w kufreestyre
LilOmyTv hakuna interview nzuri huwa mkipost nahis raha km za Unju bin unuq. Nikki hata ongea yake tu inaleta raha.
UNJU BIN UNUQ, IS MORE THAN HIP HIP GENETICS, so! I call yo'DLOSOPHILLAR MELANOGASTER
Play boy mwema ##
Hata wewe unafanya vitu kwa kutafuta maslahi yako wewe. Na hakuna mtu asiyependa kufanya mambo kwa maslahi yake. Halafu acha kuhangaika na hiyo station ya Clouds utapata tabu sana @ Nelvis Paschal.
Sasa we unaamini unachoamini mbona upendi wenzio wakiamini wanachoamini unalolote bagi
huyu niki mubishi nisawa na mange kimavi hatowi kazi sikasikika niyeye nakujuwa tu kwani hip hop ilitoka wapi mbona anajifanya anajuwa sana huyu fala hip hop aio music wa tanzania hip hop ni music wa mariakani tanzania music weni ni singeli fala wewe niki mubish haujieli wewe kengenge tu
We ata kuandika ujui bora nani? Nenda shule kwanza
We nickson ni mkundu
Hii ni kwa watu makini tu
Kakojee ulale ww maana naona unapuyanga tu,huelewi kinachoendelea kwenye hii interview
Nikk mbishi na ulichokoment ni mita mia mbili ...
Nikki mbishi unajua brooo Respect kwako
Oi