KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 06)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @fadhilimmbatta5973
    @fadhilimmbatta5973 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atawalipa

  • @isabellamufaramu442
    @isabellamufaramu442 ปีที่แล้ว +1

    Namna gani mtu anaweza kumsaidia Huyu kijana au Mama amina na sheikh Nassor . Naomba nijulisheni

  • @Awatee
    @Awatee ปีที่แล้ว +8

    Subhana ALLAH mtihan ALLAH atuhifadhi na vizazi vyetu 🤲

  • @hemedsalum2650
    @hemedsalum2650 3 วันที่ผ่านมา

    Bi Amina km jina Lako tukufu na Shekh Nassor Wallah Allah ananguvu atawasaidia siusku c mchna

  • @stonetown578
    @stonetown578 ปีที่แล้ว +2

    Bi Amina na Sheikh Nassor Allah atakulipeni kheri kwa mnayoyafanya.

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 ปีที่แล้ว +3

    Lahaula walaakuwat ilabilah istr ummat Mohamed yarab amen

  • @azizams5721
    @azizams5721 ปีที่แล้ว +4

    Allah atawalipa wema wenu lnshaallah

  • @AliymkubwaAliymkubwa
    @AliymkubwaAliymkubwa 16 วันที่ผ่านมา

    Alllah atusamihe kwal nimtihani mkubw cn waku wap viuonguzi wa mche

  • @stonetown578
    @stonetown578 ปีที่แล้ว +3

    YaRabbi hichi kisiwa si kitazama kwa laana za watu wachache, YaRabbi wewe ndio mwenye nguvu ya kuwadhalilisha wenye tabia hiyo.

  • @AlawiyaMSaleh
    @AlawiyaMSaleh ปีที่แล้ว

    Lailaha ila llah

  • @salminabuhudhaifa4273
    @salminabuhudhaifa4273 ปีที่แล้ว +1

    LAA ILLAHA ILLA ALLAH

  • @muniraalmusalmy8363
    @muniraalmusalmy8363 ปีที่แล้ว

    Allah atawafanyia wepesi mtashinda biidhini Llah

  • @afraaamina146
    @afraaamina146 ปีที่แล้ว

    Inshallah wakt tuna Nia ya kuondosha liwat bas Allah atawasaidia na atawalipa ujira wenu

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 ปีที่แล้ว +1

    LAAILLAHA ILA ALLAH😭

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว +1

    Endeleeni kufurahia matunda ya muungano wazanzibar

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 ปีที่แล้ว

    Allah atawasimamia mtokomeze jombo hili

    • @happykarl4955
      @happykarl4955 ปีที่แล้ว

      Hongera bi amina na shegh, mwenyenzi Mungu atawalipa

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 ปีที่แล้ว

    Hiizi dini zinaigia naruga mziangarie wengine niwasajiri nimashoga kwaio Ware wanao ingia humo razima niwafieaji Tena nimafirimsoni kwanini wasinyongwe mnapo watangaza mnawapa umarufu

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

    Kuna wale w’ke makuadi/makahaba ndio wanaoshonana nao mabaradhuli. Kwahio mkiwakomesha mabaradhuli wakomesheni nahao asaa kheri yanaeza kupungua hayo mambo. Mana hao mabaradhuli hua hawafanyi mambo yao yyte km hawajapata na type za w’ke wa aina hzo. Ssa mm hujiuliza sijui wanakua wabaradhuli wenzao wa kike au vp? Mana m’ke mwenye maadili yake haezi kabisa kua na ukaribu au kualikwq mastarehe nq watu wa aina hzo sikwambii kwenda kabisa.

  • @vedastusswai2402
    @vedastusswai2402 ปีที่แล้ว

    Tukitaka kutokomeza ubalazuri lazima nguvu iweze kutoka Kwa viongozi WA kubwa mfano raisi lazima akataze lakn raisi akikaa kimya ubalazuri utaendelea na tuishi Kwa IMANI za DINI na kuwaombea walioko kwenye ubalazuri waweze kutoka NAIMANI tutashindaa

  • @kholaalmahrizi8525
    @kholaalmahrizi8525 ปีที่แล้ว +3

    znz ilikuwa na uislam ndio maana makafir wanataka kuiharibu

    • @reginamlay5263
      @reginamlay5263 ปีที่แล้ว

      Kwani ufiraji afanya kafiri tu au waslamu nao wamo vp va clip za askari shoga zinazosambaa nae kafiri aumwislamu safi, we hili ni janga usinyooshee mwingine kidole we sali kw a imani yako na Mungu atusaidie

    • @salma0000
      @salma0000 ปีที่แล้ว

      @@reginamlay5263 muislam anaefuata mafundisho ya kiislam hawezi kuingia katika laana hizo. Tuanze na ulevi ambao ndio mama wa maasi yote, uislam unakataza ulevi lakini makafiri ni kitu cha kawaida.
      Zanzibar ingeendeshwa kiislam tusingelifika huku na wala usije na mifano ya nchi za kiarabu sababu wote nao wanaendeshwa na makafiri