Mikwaju ya Penati | Simba Queens 0-0 Yanga Princess (Pen: 5-4) | Ngao ya Jamii (W) 09/12/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Simba Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii kwa wanawake, ikiwapiga watani zake Yanga Princess kwa penati 5-4 baada ya dakika 90 kumalizika bila goli katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
    Hizi hapa ni penati zote kumi zilzoamua mchezo.... lakini kutazama highlights za dakika 90 za mchezo ingia hapa • Highlights | Simba Que...

ความคิดเห็น • 89

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera simba wangu Wana runyazi mnajua kunifurahisha michambo ya utopolo ilikoma 😂😂😂😂 Vivian weweeee utatuua😂😂😂😂😂

  • @kheymanSimba
    @kheymanSimba 9 หลายเดือนก่อน +1

    Simba hawana kipa kwenye penalt inabidi waboreshe huyo kipa ye kazi yake ni kuangalia tu mipira bench la ufundi liangalieni hili vzr

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kipq wa simba sio mzur Sanaa kwenye penalit hata kufuata hawezi

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 9 หลายเดือนก่อน +3

    SIMBA QUENS OYEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @YonaBangili
    @YonaBangili 15 วันที่ผ่านมา

    Wana simba naviongozi wake hatà kama ni mm niponae mazoezin huyu golikipa nikwel atakuja apate namba ya kukaa mlangono

  • @AyubuMwaigwisya
    @AyubuMwaigwisya 27 วันที่ผ่านมา +1

    Apo vp

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 9 หลายเดือนก่อน +1

    Niko hapa kuangalia soccer Comedy nicheke

  • @Qs3557
    @Qs3557 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kipa wa Simba n mrembo

  • @billm6829
    @billm6829 9 หลายเดือนก่อน +1

    Their agemates in my country kenya are either twerking in clubs or on tiktok and a big number of them are busy chasing "wababa" older married men. What a shame

    • @MaduhuSigela
      @MaduhuSigela 9 หลายเดือนก่อน +2

      Maneno mengine hata hayana maana, kwa hiyo FIFA waziondowe penart kwa kwakusikiliza mawazo yako mfu?. Mkitoshana nguvu ktk final yoyote lazima penart zihusike ili apatikane mshindi, acha kudanganya watu

  • @IzackMakole-ul5tt
    @IzackMakole-ul5tt 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sema huyi kipa wa yanga bonge la penati

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kwan hizo Jersey za uto si za club bingwa?!!

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 9 หลายเดือนก่อน

      Hazikuhusu

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio

    • @IssaFumo-o7j
      @IssaFumo-o7j 9 หลายเดือนก่อน

      Si za kwetu,kwani zenu?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 หลายเดือนก่อน +1

      UTO VIBUSHA FC 😂😂😂😂😂😂

  • @ShabaniidikipinguShabaniidikip
    @ShabaniidikipinguShabaniidikip หลายเดือนก่อน +1

    Simba

  • @officialsuma99
    @officialsuma99 9 หลายเดือนก่อน +2

    Unyama ni mwingii cana

  • @rockygappi1018
    @rockygappi1018 9 หลายเดือนก่อน +1

    ,,,😂😂😂😂😂..hilo😂 nalo neno

  • @PurtyEramson-vw1fo
    @PurtyEramson-vw1fo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dah 💚💛💚mmejitahd

  • @nicholausmapolela4433
    @nicholausmapolela4433 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi wanalunyasi

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana #simbaqueens.

  • @ChrissMbilinyi
    @ChrissMbilinyi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmh jamani

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 9 หลายเดือนก่อน +1

    Simba , nguvu 1

  • @bernaberna4159
    @bernaberna4159 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nguvumoja ❤❤

  • @mifumotv7485
    @mifumotv7485 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa Watto wazingua

  • @betdee4657
    @betdee4657 9 หลายเดือนก่อน +1

    Thimba,🎉

  • @allybobsaith
    @allybobsaith 9 หลายเดือนก่อน +17

    Huyo kipa wa yanga hijabu ya nini? Wakati mapaja yashaonekana ulimwengu mzima? Mungu amuongoze ameen

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 9 หลายเดือนก่อน

      Amiyn

    • @angelakidwanga3519
      @angelakidwanga3519 9 หลายเดือนก่อน

      Nilikua nawaza hivyo

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 9 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@shabansaid2323wanajikomaza kama wanaume

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 9 หลายเดือนก่อน +3

      yuko sahihi ili kupunguza idad ya dhambi, kwani kila kiungo kina hak yake, ila haya mambo kwa wanawake hayawahusu bali ni kulazimisha 2.

    • @allybobsaith
      @allybobsaith 9 หลายเดือนก่อน

      @medimissi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂imepita hio

  • @Faudhiashabani-q4h
    @Faudhiashabani-q4h 9 หลายเดือนก่อน +1

    vaybe humfanya mtu afanye kitendo siyo tumsameh tuu Man NiThimba wetuu❤

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 9 หลายเดือนก่อน

    Simba hizo jezy za wanawake ni mbaya sana hebu muwe wabunifu jamani waacheni wadada wapendeze na jezy nzuri angalieni za yanga wamependeza sana

    • @shedrackjoshua834
      @shedrackjoshua834 4 หลายเดือนก่อน

      Kinachoangaliwa sio muonekano ni mpira hawako fashion show hapo

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 9 หลายเดือนก่อน

    Kama ni Penati ya adhabu sawa.Lakini Ushindi wa Penati ni namna tu ya kuizawadia timu ushindi kwa Vile wote huwa Nguvu Saws.
    Hivyo msife moyo kwanza jipongezeni,Tupo pamoja.

    • @MaduhuSigela
      @MaduhuSigela 9 หลายเดือนก่อน

      Mmh!

    • @Emedroadtocanada
      @Emedroadtocanada 9 หลายเดือนก่อน +1

      Jipe pole

    • @francisphilipo5749
      @francisphilipo5749 9 หลายเดือนก่อน +2

      Maneno ya kunifariji bila shaka we ni utopolo

    • @francisphilipo5749
      @francisphilipo5749 9 หลายเดือนก่อน +2

      Maneno ya kujifariji we ni utopolo kwani penati goal au sio goli

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂yan bwana kama mnaweza simpelekwe kikosi cha kiume kutuvulia bibraa eti furaha timu mbovu iyo hakuna jipya

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 หลายเดือนก่อน +2

      WACHA CHUKI WW

    • @Mayra574
      @Mayra574 9 หลายเดือนก่อน

      Kacheze wewe tukuone supu ya panya wewe

    • @DoreenDaniel-hd7kv
      @DoreenDaniel-hd7kv 9 หลายเดือนก่อน

      Yaaani mpakamseme😂😂😂

  • @YasinMsonjo
    @YasinMsonjo 9 หลายเดือนก่อน

    Jezy imekopy ya Keizer chief mpka logo ya vodacom

  • @SimonAmon-dr8xw
    @SimonAmon-dr8xw 9 หลายเดือนก่อน

    Ila goli kipa wa simba mmmmh 😢😢😢

  • @YasintaKisholi-z5j
    @YasintaKisholi-z5j 9 หลายเดือนก่อน

    Ila inauma kukosa penalt dah pole yake 😢😢😢

  • @shedrackjoshua834
    @shedrackjoshua834 4 หลายเดือนก่อน

    Simba wa kipa yuko kama pazia

  • @jamesmartin7026
    @jamesmartin7026 9 หลายเดือนก่อน

    Yanga Princess hatuna kipa hapa

  • @abdallawaziri9212
    @abdallawaziri9212 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tuliw

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 9 หลายเดือนก่อน

    Wekeni Bangor la 5G penat Yanga wetoka

  • @GabrielMaganga
    @GabrielMaganga 4 หลายเดือนก่อน

    Tukupe kipa utamtuza

  • @MnyageJuma
    @MnyageJuma 9 หลายเดือนก่อน

    Hili kipa la simba sheta kweli

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 9 หลายเดือนก่อน

    Shoga unalilia nini?

  • @abdallawaziri9212
    @abdallawaziri9212 9 หลายเดือนก่อน

    Tumewapiga waume na wake

  • @terrybenjamini1368
    @terrybenjamini1368 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🦁🦁🦁💪💪💪1🌹🌹🌹🌹yenu

  • @MnyageJuma
    @MnyageJuma 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu kipa au dude

  • @DominicMussaMussa-hb9eb
    @DominicMussaMussa-hb9eb 9 หลายเดือนก่อน

    unyama

  • @PaskaliJuma-np3nu
    @PaskaliJuma-np3nu 4 หลายเดือนก่อน

    Essi

  • @joely22
    @joely22 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila nimemuewa keep wa Simb 🤗🤗

  • @kibonajuhudi4214
    @kibonajuhudi4214 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii ya Mwanamke kuvua Jezi haiko sawaa

  • @ibrahimmohamedi4498
    @ibrahimmohamedi4498 9 หลายเดือนก่อน

    Yessssssss❤ mnyama

  • @JustineMpangala-e2g
    @JustineMpangala-e2g 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe vivi wewe

  • @robertwilliam9711
    @robertwilliam9711 9 หลายเดือนก่อน

    Kwenda

  • @zamdakiponda1058
    @zamdakiponda1058 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mpira ushaungia unapiga kelele mtangazaj mnafki

    • @MusaKogan-l6q
      @MusaKogan-l6q 9 หลายเดือนก่อน +1

      Utoopoooloooo

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tumelipiza 5

  • @JeniphaNgoda
    @JeniphaNgoda 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera simba

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 9 หลายเดือนก่อน

    Ila wadada bhana🤣🤣 mpgaj wa penati wa yanga baada ya kukosa kalia Kama Ni penat ya mwsho🤣🤣