RIPOTI YA LEO MOHAMED VOLUME 06

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @IsabelMazik-r4t
    @IsabelMazik-r4t ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Muhamed kwa kutokuwatupa wadogo zako richa ya kushuhudia mazito kwao lkn ulisimama kwa ujasili,,but sisi tunaamin katika DAMU ya YESU KRISTO inatosha kwa yote,na ni kinga tosha kwetu

  • @maryamChumas
    @maryamChumas 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mganga anamambo nyieeee duuuu 😊 ila kuna mganga na mchawii lakini pia kuna matapeli , 😮😮 Nyie kuna wanaojidai kupandisha halafu unakuwa unasikia vishindo vikubwa lakini piaa anakuwa anaongea sauti mbili weee anakwambia wanakuja na vishindo unasikia kumbe alikuwa tapeli mkubwa sasa huyu mtoto kupandisha sidhani anaweza akawa kaweka kitu kwa mtoto kinaongeaaaa 😮😮😮 ila sijuu jama nahuyu ni mganga maaana sio kwa kujisifia hivyo halafu huwezi kwenda kwa mganga ukaanza kuelezea yeye mwenyewe atajua bila kukuulizaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole sana mohammed NATAMANI SANA UNGEEENDA KWA MUNGU BAS❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JoycePeter-u9c
    @JoycePeter-u9c ปีที่แล้ว +5

    Kinga ni YESU pekee🙌

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 ปีที่แล้ว

    Dada Veronica Ahsante sanaa Nakufatilia kutoka Oman 🇴🇲

  • @MankaFabian-sx2yj
    @MankaFabian-sx2yj ปีที่แล้ว

    Nakupenda dada Veronika sana napenda kuskia sauti Yako nisome kama manka npo na mdogo wangu maria kutoka dodoma kibaon

  • @winnieambwene2875
    @winnieambwene2875 ปีที่แล้ว

    Nakupenda dada Vero am really enjoying when I hear your voice ❤😊

  • @MARIAMPETRO-qc6qg
    @MARIAMPETRO-qc6qg ปีที่แล้ว

    Ambae anajua E afm uku geita ni ngap anambie tafathariii 🙏

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว

    Bila mungu huwezi kabisa sababu shatani hutafuta watu wa mungu hili hawapoteza kwa mto

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe ปีที่แล้ว +6

    Ombeni jamani mnachelewa tu Bure 🇹🇿 Tanzania dodoma chamwino nipo

  • @mwangechojohn3792
    @mwangechojohn3792 ปีที่แล้ว +1

    Good work dada Veronika

  • @GODFREY-je9xq
    @GODFREY-je9xq ปีที่แล้ว +2

    Shetani na wasaidizi wake wanapoza tu, Hawatibu kamwe.

  • @Fettyjuma6862
    @Fettyjuma6862 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie🙏🙏

  • @saidindope4617
    @saidindope4617 ปีที่แล้ว +1

    Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala tuko pamoja

  • @satwanthoogan6429
    @satwanthoogan6429 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja Sanaa,my dear!!❤

  • @anoldsakaya
    @anoldsakaya ปีที่แล้ว +1

    No 1 ❤❤❤❤

  • @billaaljabri9205
    @billaaljabri9205 ปีที่แล้ว +5

    khaaaaa leo nimepata angalau no nimekuwa 2 nina miezi mitatu sijapata namba naombeni like time stong

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 ปีที่แล้ว +2

      Hizo namba mnazowahi zinawasaidia nn jamani,,

    • @billaaljabri9205
      @billaaljabri9205 ปีที่แล้ว

      @@rosemilingi7860 🙄 sikiti 🤐 😏 tuliza komwe

  • @hawahawa8877
    @hawahawa8877 ปีที่แล้ว +1

    Asante❤❤❤

  • @ZeshaKhan-j1k
    @ZeshaKhan-j1k ปีที่แล้ว

    Duh

  • @hildapeter5385
    @hildapeter5385 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh mambo magumu haya jamani

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 ปีที่แล้ว +1

    Tuned 🇰🇪

  • @ZawadiConstantine
    @ZawadiConstantine ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja sister

  • @jacklinegodifrey8607
    @jacklinegodifrey8607 ปีที่แล้ว +1

    Aisee kweli kuna watu wamepitia magumu

    • @JackMaiko-u9n
      @JackMaiko-u9n ปีที่แล้ว

      Shkm dad Veronica nakupenda San

    • @saidindope4617
      @saidindope4617 ปีที่แล้ว

      Kweli dada watu wanapitia magumu Saidi ndope mpiga picha wa yombo kilakala

  • @SabrinaJoshua-rc8kt
    @SabrinaJoshua-rc8kt ปีที่แล้ว

    Dunia ngumu sana

  • @IreneJackson-ks2xy
    @IreneJackson-ks2xy ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @SalmakareemAbdul-oq2ps
    @SalmakareemAbdul-oq2ps ปีที่แล้ว

    Wakwanza leo

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba za mganga nandugu yangu anamatatizo makubwa sana labda anaeza msaidia matatizo yake

    • @maryammaryam444
      @maryammaryam444 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂Mwambie aombe Mungu achana na waganga utapotea

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 ปีที่แล้ว

      @@maryammaryam444 kweli kabisa naona mohamed yatamgharimu inavyoonesha huko mbele waganga nimtihani kwakweli

    • @wanyendakuta8912
      @wanyendakuta8912 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @SalmakareemAbdul-oq2ps
    @SalmakareemAbdul-oq2ps ปีที่แล้ว

    Ng-ombe nyinyi

  • @hawahawa8877
    @hawahawa8877 ปีที่แล้ว

    Asante❤❤❤

  • @bintimrope
    @bintimrope ปีที่แล้ว

    Asante ❤❤🎉