RIPOTI YA LEO MOHAMED VOLUME 09

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 55

  • @stellabugingo4071
    @stellabugingo4071 ปีที่แล้ว +17

    Alaaniwe yeye amtumainiye mwanadamu. Mi nilikuwa namuelewa sana yule mtu alie wasaidia ushauri wake ulikuwa mzuri mno

    • @omarfauz1877
      @omarfauz1877 ปีที่แล้ว

      Mambo stelaa

    • @asias8724
      @asias8724 ปีที่แล้ว +3

      Usiseme ivo sababu hata hospital si watu wanakutibu sema M/Mungu atuepushe na mitihani mibaya kwenye dunia hii

    • @stellabugingo4071
      @stellabugingo4071 ปีที่แล้ว +4

      Hospital unategemea dawa huku unamuomba Mungu kwa waganga ni nimizimu na majini ambayo hayana uwezo wa kumshinda Muumbaji wetu. Amtumainie Bwana ni kama mlima sayuni sijui unanielewa?

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

      ​@@asias8724Ayajamfika uyooo
      yakimfika mbona ataongoza yeye mwenyewe kwamganga,nakupa kastory tu kafupi
      mimi nililazwa namwanangu akiwa kidato cha 2 muhimbili wod yamatatizo yaakili 😢mbona niliambiwa naawo madocta mama km unaweza mtowe mwanao kaangaike kwenye miti shamba uko hoo ,sio siri nikaweka sahin nikatoka nabint yangu
      nikazunguka makanisa yahapa dar,nikaelekezwa kunakanisa lipo mbeya ilo nikibokoo mchungaji anaingia waumini tunageuka kuangariy anakotokea mch yani tunampa mgongo uku tumefumba
      macho😢lakin wapiii
      ikanibid sasa niende zangu tu kwawaganga vijijini ndani ukoo nafika yule mgaga yupo mochwar😢tukaelekezwa kungine uko tulikaa ndani yamyez km 3 bint yangu akawa safii nikshukur Mungu tukarud nyumbani akaendelea namasomo na mwakajana kaaza kz
      sasa awo wanaosema tulaaniwe waendelee tu kuskia
      😢

    • @asias8724
      @asias8724 ปีที่แล้ว

      @@stellabugingo4071 ukikutwa na jambo huwa akili zinahama unaweza fanya chochote ukajua ni sahihi zaidi tuombe M/Mungu atuepushe na mitihani mibaya na zaidi sisi wanawake tunapitia misukosuko tunaamini tukipata wanaume wenye hela matatizo yanaisha kumbe ndo mitihani sana hata wanaume wapo wanapita mitihani kwa wanawake zao

  • @monicambuva529
    @monicambuva529 ปีที่แล้ว +2

    Pacha amefariki kwasababu pia alishakufaga huyo, nguvu za giza zilikwepo kwa miaka mingi na hao wadogo zako...wote huo ni uchawi wa bibi wa Kenya,...watoto ungewapeleka kwa kanisa la kweli na ukaamini YESU ni mokozi wa maisha yenu leo hii wadog zako wot wangekwepo na amani ingekwepo mpk hii leo.....YESU ni mwema sana

  • @christinaabelmwaipungu-5727
    @christinaabelmwaipungu-5727 ปีที่แล้ว +3

    Hii inatufundisha kumtegemea Mungu pekee.! Inafundisha sana!!

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว +1

    Waah mungu atulinde na tumtegeme mungu tu mtihani poleeni sana mohamed

  • @neemamtemela
    @neemamtemela ปีที่แล้ว +3

    Da veroca hii simulizi Ina sikitisha mnoo Mohammed kapitia mazito mno na uko vizuri Sana kuisimulia, najivunia kua na Dada angu mrembo kutoka njombe ndo nyumban kwetu pia

  • @jacklinegodifrey8607
    @jacklinegodifrey8607 ปีที่แล้ว +3

    Kwetu wanawake tunaotafuta ndoa plss tumuombe Mungu sana atupe wenza sahihi jaman

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 ปีที่แล้ว

    pole sana.Mungu angekufungua macho mapema ili umrudie Mungu

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mngeenda siku zile kwenye maombi mngekuwa Salama lakini waganga hapana Mungu ndio Kila kitu

  • @davibphilipo5425
    @davibphilipo5425 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mkuu.

  • @aishasalumu9752
    @aishasalumu9752 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mohammed

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    😊😊😊 muha wanifurahisha waomba dua kwa mganga 😊😊😊 usha ji kojolea dua gani ifike kwa mungu

  • @jacklinemassawe9028
    @jacklinemassawe9028 ปีที่แล้ว

    Asante mpenzi tunajifunza mambo mengi

  • @christinaabelmwaipungu-5727
    @christinaabelmwaipungu-5727 ปีที่แล้ว +1

    Ivii hii kusema wa kwanza, wa pili mara watatu, ndio Nini!! Kama ushamba vile!!

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว

    Daaaah😢pole sana muhamed kwachangamoto ulizopitia😢
    bora ipotee hilizi kuriko mganga afe😢

  • @erastonzogela1405
    @erastonzogela1405 ปีที่แล้ว

    Pamoja na madhambi yetu, lakini tukumbuke kumrejea Muumba wetu

  • @neemahashim5524
    @neemahashim5524 ปีที่แล้ว

    Polenii Mohamed

  • @GODFREY-je9xq
    @GODFREY-je9xq ปีที่แล้ว +1

    MUNGU NI MWEMA SANA,SHETANI NI MASHAKA MAKUBWA NA GIZA NENE LENYE MWISHO MBAYA.

  • @SALMAS-s3d
    @SALMAS-s3d ปีที่แล้ว

    Da Veronica ❤ shukran kwko🎉

  • @BEATRISFHEMAHEMA
    @BEATRISFHEMAHEMA ปีที่แล้ว

    Dada Vero tunaomba mrekebishe kitu hapo studio maana Kuna wakati huwa hatusikii mara inakoroma tunaomba mlitendee Hilo kazi

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 ปีที่แล้ว

    Vero vp ya 10 mda ushaisha mbona u tube hamna

  • @SafinaNamara
    @SafinaNamara 10 หลายเดือนก่อน

    Emungu baba 😢

  • @JudithGeorge-mw7fe
    @JudithGeorge-mw7fe ปีที่แล้ว +1

    Da Vero mbona me naogopa mwili unanisisimka

    • @greidajonathan4871
      @greidajonathan4871 ปีที่แล้ว +3

      Soma neno utakua sawa.zaburi ya 51,zaburi 35 yote, na 91 na yohana mtktf yote..then endelea kusoma neno na kumuomba Mungu maisha yako yote.

  • @zumajacobo9048
    @zumajacobo9048 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 ปีที่แล้ว

    Ooh inasikitisha sana

  • @reyone6870
    @reyone6870 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza leo😅😊😊😊

  • @PETERWILLIUM-we1uy
    @PETERWILLIUM-we1uy ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @maulidihaji4979
    @maulidihaji4979 ปีที่แล้ว

    Mm nasikiliza too maana Kuna mapito yanatisha

  • @fatmahamadi8928
    @fatmahamadi8928 ปีที่แล้ว

    Dah asiye jaman tusiwaamin waganga

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 ปีที่แล้ว +1

    Asante da vero ❤

  • @emmanuelshegesha2900
    @emmanuelshegesha2900 ปีที่แล้ว

    Mtandao unasumbua sana uku

  • @stamilabel6176
    @stamilabel6176 ปีที่แล้ว

    Mimi nilijua mtarudi kwa Mungu baada ya mganga kufariki.

  • @christerChriss-jn7vm
    @christerChriss-jn7vm ปีที่แล้ว +2

    Watatu😅😅😅

  • @luckiesum9773
    @luckiesum9773 ปีที่แล้ว

    Mohamed uliyataka lait ungemsikiliza yule rafiki wa mamaako yote haya yasingekuwepo

  • @happyyohana9881
    @happyyohana9881 ปีที่แล้ว +1

    😢😢

  • @ElizabethMongi-k8d
    @ElizabethMongi-k8d ปีที่แล้ว

    Mpe pole

  • @winnierichard4265
    @winnierichard4265 ปีที่แล้ว

    Tunawaombea mpone

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 ปีที่แล้ว

    Huyu Mohamed atakua anatoka mikoa yakusini mwatanzania,

  • @simonmaige7785
    @simonmaige7785 ปีที่แล้ว

    Adabla Kadabla!

  • @modricnoma3686
    @modricnoma3686 ปีที่แล้ว

    Haya njoeni nyie mnao wahi kuwa wakwanza