🔴# LIVE: RIPORT YA LEO SIMULIZI YA JESCA SEHEMU YA (SITA) - JAN 15, 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • 🔴# LIVE: RIPORT YA LEO SIMULIZI YA JESCA SEHEMU YA (SITA) - JAN 15, 2024
    #efmtanzania #live #highlights
    -
    Muziki Unaongea 🎶
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

ความคิดเห็น • 75

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm 8 หลายเดือนก่อน +5

    Asante da vero nam nimepitia kipindi kigumu sana cha kuwapoteza watoto naamin nam Mwenyezi Mungu yupo upande wangu hakika atanipigania

  • @neymwitta7971
    @neymwitta7971 8 หลายเดือนก่อน +5

    Da ver mbona hatukupati kwa channel yako na ukumbke kuwa wengine hatuna bundle maan mnatumia kubwa kuliko uwezo wetu please turudishe kule kwa channel yako please please

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sanaa jesca kwaujasiri❤pia pole sanaaa kwachangamoto ulizopitia tumejifunza kitu🙏

  • @NghwaniNkwabi
    @NghwaniNkwabi 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana Jessica hakika taji lako utalikuta juu mbinguni kwa Baba maana umeokoa Roho za watu wengi yaani huo mkoba ungeua watu wengi sana sifa na Utukufu tumrudishie Mungu wetu aliye Hai Amen

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Vero una kipaji Cha kusimulia Mungu azidi kukuinua

  • @veronicasway-iz3vz
    @veronicasway-iz3vz 6 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @salvatoryfulgence
    @salvatoryfulgence 8 หลายเดือนก่อน +5

    Namtukuza MUNGU wa mbinguni aketie mahali pa juu najikuta napiga hatua kubwa sana ktk kumutegemea MUNGU

  • @JoycePeter-z6k
    @JoycePeter-z6k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaosema mali za watu ndo msikie jmn mali za huyo mkaka hazijaambatana na mkoba 😂 so wadada ni maombi kugunga kumshirikisha Mungu kwa kila jambo na tusiwaogope wanaume wenye hela coz sio kila hela ni za majini. Yote kwa yote God is good 😅😅

  • @catherinetryphone1446
    @catherinetryphone1446 8 หลายเดือนก่อน +1

    DaVero Mbeya haishiki radio.

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Jesca endelea kumtumikia Mungu Mungu ndo kila kitu

  • @ashelizakaria6306
    @ashelizakaria6306 8 หลายเดือนก่อน +4

    kama ni zakutunga tunga za kwako tusikikize ni rahisi hvyo

    • @kakukili6173
      @kakukili6173 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yaani atunge😂

  • @consolatamlezi7551
    @consolatamlezi7551 8 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua kusimulia

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupata da veronica nikiwa lraq😊

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 8 หลายเดือนก่อน +4

    Jina cio Lake SAUTI nayoo.?

  • @JackineMdugala-xs8ht
    @JackineMdugala-xs8ht 5 หลายเดือนก่อน

    Sautimbsiyo❤😂🎉😢😮😅😊

  • @feyritteh
    @feyritteh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti mbn siyo

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 8 หลายเดือนก่อน +2

    Muendelezo wa ldaya Da veronica

  • @fora2009
    @fora2009 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni wetu sote jesca hongera sana

  • @tumpeernest9690
    @tumpeernest9690 7 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya jeska anaonekana booongeee

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huo ndio upendo furaha mko pamoja shida pamoja

  • @veronicamlacha-u8r
    @veronicamlacha-u8r 8 หลายเดือนก่อน

    Mwambie jesca tunaomba namba za mtumshi

  • @khorima
    @khorima 8 หลายเดือนก่อน +11

    Simulizi hii imenidhibitishia pasipo shaka kwamba kweli hizi story ni za kutunga

    • @shangwerobert5639
      @shangwerobert5639 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @YacntaJohn-i7c
      @YacntaJohn-i7c 8 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅kwann

    • @shangwerobert5639
      @shangwerobert5639 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@YacntaJohn-i7cmuda umekanganyika kipingi cha corona haijapita miaka mitano sasa mtoto kafikishaje miaka mitano

    • @shangwerobert5639
      @shangwerobert5639 8 หลายเดือนก่อน

      Hizo mimba nazo zilizoharibika sijui ndio miaka mingapi imepita na wakati kazi alipata kipindi cha corona

    • @christinaabelmwaipungu-5727
      @christinaabelmwaipungu-5727 8 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna Moja ambayo ninaweza kuiamini, kwa Kiasi Fulani ni Ile ya mama wawili

  • @collinstemba6040
    @collinstemba6040 8 หลายเดือนก่อน +3

    Simulizi nzuri ila sasa ina maswali mengi 😂😂 mara ya kwanza ulisema wakati anaoga alikuwa mwenyewe nyumbani mume wake alikuwa kazini wakati anatokewa na hilo jini now ansema mume wake alikuwepo haya 😂😂 kingine ulisema alipata mtoto wa kwanza na badae akapata wa pili now mnasema ni mapacha tenaa 😂😂😂😂😂 anyway but tumejifunzaa kitu 😊

    • @mildrednabwireokumu5492
      @mildrednabwireokumu5492 8 หลายเดือนก่อน +3

      Wakati jini linamshika alihisi n mumewe kwahivyo mume n kama alikua

    • @collinstemba6040
      @collinstemba6040 8 หลายเดือนก่อน

      @@mildrednabwireokumu5492 rudia kusikiliza

  • @fauziaabdulrashidi8103
    @fauziaabdulrashidi8103 8 หลายเดือนก่อน +1

    Singida hii redio inapatikana Kwa ngapi ngapi

    • @salvatoryfulgence
      @salvatoryfulgence 8 หลายเดือนก่อน

      Singda sizani Kama ipo

    • @FranciscaMutua-m2k
      @FranciscaMutua-m2k 8 หลายเดือนก่อน

      Efm saa Moja Hadi saa mbilli au live you tube masaa hayo

  • @AgnessAmin-t9k
    @AgnessAmin-t9k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbna kama sauti ni za watu 2 tofaut

    • @christinaabelmwaipungu-5727
      @christinaabelmwaipungu-5727 8 หลายเดือนก่อน

      Sauti ni tofauti na Ile iliyoanza kuzungumza!! Jamani!!

    • @rouhaipher7388
      @rouhaipher7388 8 หลายเดือนก่อน

      Wanaichuja ili jaman asitambulike

    • @theresiarutagwaba
      @theresiarutagwaba 8 หลายเดือนก่อน +2

      Sio wawili tu, ni sauti3 tofauti, ila nimegundua inachujwa studio Ili hastambulike, maana Kuna Watu wa karibu yake wanamfaham ko ni rahis kujulikana

    • @Lilian2023-pc1lr
      @Lilian2023-pc1lr 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂,

    • @Lilian2023-pc1lr
      @Lilian2023-pc1lr 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sauti imechujwa😂😂😂 mpo makinp

  • @NasmaHaruna
    @NasmaHaruna 8 หลายเดือนก่อน

    Naitwa nasma kutoka tegeta A huyo mama anaroho mbaya san

  • @winnielyimo1454
    @winnielyimo1454 8 หลายเดือนก่อน

    Shekeli ni PESA au Hela au nati za kutosha

  • @GloriousUrassa
    @GloriousUrassa 8 หลายเดือนก่อน

    Shekeli

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 8 หลายเดือนก่อน

    Inabidi kushare ili wenye mikoba waachane nayo. Wametesa watu

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 8 หลายเดือนก่อน

    Too much publications. Wengine muda….😅

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 8 หลายเดือนก่อน

    Shekeli ni Nini? 🇰🇪🇰🇪

    • @yuliarespis328
      @yuliarespis328 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ni fedha

    • @carolinetalam5832
      @carolinetalam5832 8 หลายเดือนก่อน

      @@yuliarespis328 Asante

    • @tunkuh661
      @tunkuh661 8 หลายเดือนก่อน +1

      Fedha , pesa, hela, ngawila, mavumba, maokoto, mapenny n.k

    • @carolinetalam5832
      @carolinetalam5832 8 หลายเดือนก่อน

      @@tunkuh661 Asante

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 8 หลายเดือนก่อน

    Shekeli ndio nini jamani?