Haya ni mahojiano mazuri sana. Mama Toni anaonyesha mapenzi ya mke kwa mumewe. Tena alieleza vizuri uhusiano kati ya mke na mume na muziki wake. Dr Remmy Ongala alikuwa msanii halisi ambaye hakuweza kuishi bila ya usanaa wake. Tumshukuru kwa nyimbo zake zinazotufurahisha sana.
Longwa kuna. Les musiciens qui fuient en Tanzanie c'est pour fuir la concurrence au congo . Il y a des très grands musiciens a Kinshasa qui sont très talentueux. Voilà pourquoi les musiciens des provinces parlent s'installer ailleurs
Sky wewe sio wa Sayari hii.. Maono yako ni ya peke ako Tanzania. Naiona mbaaaliii sana SNS.. The way ume handle hii interview ya kiutuuzima... Duuuuuuuuhhhhh 🔥🔥🔥🔥🔥 Hii kitu haihitaji kusoma Sanaaa... Ila ni akili kubwa na kuwa humble..
Sky kama sky kwa sisi wahenga tunakufahamu kupitia SITOSAHAU kuleeeeee mwanza naomba pia siku moja ukumbuke ulikotoka ukawahoji watu kama DJ DEV, DJ JEFF JERRY, DJ MALIZ hao ni marejend wakubwa sana kwa sisi wahenga na pia watafute watu kama KALI P, MO KWELI, FREDI SIGANA, MAC TEE, na aliyekuwa mtangazaji mwenzako kuleeeee mwanza GROLI ROBINSON
Wakwanza mwenyewe Leo gonga like twende sawa
Haya ni mahojiano mazuri sana. Mama Toni anaonyesha mapenzi ya mke kwa mumewe. Tena alieleza vizuri uhusiano kati ya mke na mume na muziki wake. Dr Remmy Ongala alikuwa msanii halisi ambaye hakuweza kuishi bila ya usanaa wake. Tumshukuru kwa nyimbo zake zinazotufurahisha sana.
SKY SKY SKY wewe ni mtangazaji bora Africa...
I like this Interview kwa kwely, Huyu mama anaongea vizuri sana
Rest In Peace Remmy Ongalla
Kimeumana eti anafata tongoza mm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥
Sky you do your job so well: amazing work
you can see why the great DR REMMY was won over by this charming lady. Her personality is just unbelievably beautiful
With so much love and respect;we miss Ray.In joy we celebrate the memories!God makes life...wish Mama Toni sweet long life!
Nimempenda sana huyu mama na mzee chidumule wako poa sana mungu atawasimamia katika mambo yenu
Yani frère Frederick Bundala Skywalker tuko hapa tunasubiria sehemu ya pili na ya tatu yani hinafurahisha sana tunapenda mahojiano yaendelee
Thanks for this interview, Remmy was my favorite, and I so glad to see Cosmas Chindumule the guy with the silver voice.
Cosmas chidmule my favorite musician
So happy to get moment with this interview, nimempenda sana huyu bibi jmn🇹🇿
Yan sky umetukumbusha mbali wahenga.remmy alkua mwanamziki mzuri sana.song zake zote💯👌mkewe teacher🥰
Ahsante sana a very nice lovely interview.
Good job
Naomba uje umuhoji Cosmas Chidumule peke yake. Hyu Mzee ana mengi sana
Sisi wa congo tunapendaka sana Tanzania kwa sababu ni inchi ya Amani na maendeleo
Longwa kuna. Les musiciens qui fuient en Tanzanie c'est pour fuir la concurrence au congo . Il y a des très grands musiciens a Kinshasa qui sont très talentueux. Voilà pourquoi les musiciens des provinces parlent s'installer ailleurs
@@imhotep1613 mon frère je ne c'est pas ce que tu voulais mes repondre aux juste et je ne c'est pas si vous l'avez bien mes compris ou pas!!
Karibu sana
Hii kiswahili ya mzungu ni Nina😊👌 tujuane tunao tazama April 2021
I am loving this lady
And she is cute
Rip in peace remmy
(kifooo hakina huruma
Sky sky sky Fredrick bundala🔥🔥🔥🔥
Sky wewe sio wa Sayari hii.. Maono yako ni ya peke ako Tanzania.
Naiona mbaaaliii sana SNS..
The way ume handle hii interview ya kiutuuzima...
Duuuuuuuuhhhhh 🔥🔥🔥🔥🔥
Hii kitu haihitaji kusoma Sanaaa...
Ila ni akili kubwa na kuwa humble..
That's nice mom.your so courageous
Ahsante kwa kutumulikia king wa mziki wa Dance Chidumule the Legendary
Mimi mkongo naposikiya ndugu yangu damu yangu remy ongala anazugumziwa lazima nitege skio... yaani mzungu huyu bibi wa taifa
Umeonaee
Nimempenda sana mama huyu
Nampenda sana Dr. Remy Ongala; natokea Sofi ya Mtimbura.
Asanteni sns
Mamaa uko vizuri sanaa
Namba moko sns world wide
Pumzika mahali Pema peponi Doktari Remmy
Jmn kumbe alioa mzungu ❤️🌹
Muzungu aripenda vumbi lambi la congo
Shem bonjour ma belle soeur I love you very much God bless you
Huyo mama anajitambua saaana. Remmy alipata mke mzuri sana
Nimependa sana hii interview 🤗
Watanzania ni watu wenye huruma na urithi huu tumeupa toka kwa mwalimu Nyerere baba wa taifa lenye amani
Sky we ni🔥🔥🔥🔥
Hongera sana mama
Inapendeza sana kujua nisiyo yajua
Nzuri
Sky i like this job
Nimempenda uyu bibi
Aliwika sana Kenya.
That's very Fact. Africn Music toka Moyoni
Kila siku najitahidi kua wa kwanza lkn wap
Mr sky walkers your very creativity
Ongea tu kiswahili kaka utaeleweka zaidi.
yes
Nimependa sana jinsi anavo jieleza vizuli san
Safi sana. Ila matangazo mengi hadi kero
pakua app inaitwa Adblock
Rip remmy
Kizazi
Nice
The interviewer is doing good respect 🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani huyu mzungu na swahili yake ni balaa😂😂😂😂
much love family 💖🙏✔️
Mama mvivu. Mpaka leo hajui kiswahili vizuri?
Huyu mpiga tumba aliye stowaway namfaham, mzee moja kutoka Buguruni.
Yes
Swahili ya mama inaingiza miss japo amekaa nchini muda mrefu
❤❤
Old I see
Mapenzi sio sura yan
Super woman
RIP DR REMMY
Huyu mtangazaji mkubwa sana, achana na akina Ayo, huyu ni mkongwe na mwalimu mzuri wa hao unaowajua wewe ..... Trust
Unafki unakusumbua sio bure
Sky 🔥🔥
Nimefarijika hpa kuwa na nyi
Wazungu wana penda kweli longo longo za kibongo bongo hmnaga bhana
Bibi amejitahidi sana
Mtangazaji umesahau kumuuliza walikutana mwaka gani!!
Si walisema ana sura mbaya inakuwaje alioa mzungu? Aisee waafrika kwa ukosoaji wa uumbaji wa Mungu ni balaa
Yeye pia alikuwa anajisema mwenyewe kuwa ana sura mbaya
Sa kwani wazungu hawaolewi na watu wenye sura mbaya?
Sky kama sky kwa sisi wahenga tunakufahamu kupitia SITOSAHAU kuleeeeee mwanza naomba pia siku moja ukumbuke ulikotoka ukawahoji watu kama DJ DEV, DJ JEFF JERRY, DJ MALIZ hao ni marejend wakubwa sana kwa sisi wahenga na pia watafute watu kama KALI P, MO KWELI, FREDI SIGANA, MAC TEE, na aliyekuwa mtangazaji mwenzako kuleeeee mwanza GROLI ROBINSON
Huyu ndo mama yake nayule aliekua kocha wa azam?
th-cam.com/video/b_DJpcojCrI/w-d-xo.html
WABUNGE CCM HEWA 👆🏾👆🏾👆🏾
Nataman kuwa mfanyakaz wako bibi yng maan ww ni bibi yng sasa. Nimekupenda buree buree niite nije fanya kazi kwako najua nitajafaid baada ya 3 month
Basi
hUYu.muMamA.anAwoNgeajE.hA.hA.haTa.jAmAni.kUoNgEyA.yEyE.hAjUwi.aNitUhAriBia.tU.siSi. lLugA.yEtU.yA.siKSwALiHilLi
jAmAni.EoNgeYa.tu.SiKWsaHiLi.hA.hA.
Mtanzania anae teseka saudia. th-cam.com/video/wCr3-Oeaid0/w-d-xo.html
Asanteni sns