Nenda timu unayoona inakufaankama ushaona simba kuna maumivu unasubiri nini timu sio mama yako, na huyu jamaa huwa ni utopolo maana hata siku moja hamna zuri lilote ashawahi kuliona simba!
Huyu hawezi kubomoa Simba nishabiki tu wa Simba Wala yeye sio kocha kocha diye anapanga wachezaji uwanjani sio mchome kwahiyo mchome hawezi kubomoa Simba ila sema yeye anasimamia kwenye ukweli
Wanaokupinga waweke kumbukumbu😂😂🎉🎉🎉🎉
Mchomeeeeeeeee
Hakuna project ya vijana kama hapo harafu unawapa mikataba ya miaka miwili au mitatu ,simba ingekuwa inataka project ya miaka 5
Mwamba huyu hapa Mchome Mapovu mwenyewe
Wewe mwamba hujawai kumung'uunya maneno aiseee, unasema ukweli TU.
Ukweli ulio mchungu kwa madunduka😂😂
Simba kuanzia muekezaj hadi viongozi hana kaz pele wafanye tu biashara
Hakika.ukweli.unauma.hata.mitumepiya.walipingwa.sana
Hatari Sana.
Jamaa more days
Competition sio compaction mchome
Dah huyu jamaa
Nce mchome
Mchomeee wachome wachome mpka wakuelewe
Nenda timu unayoona inakufaankama ushaona simba kuna maumivu unasubiri nini timu sio mama yako, na huyu jamaa huwa ni utopolo maana hata siku moja hamna zuri lilote ashawahi kuliona simba!
Project ya wazee wenye vipara😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yamine Lamal ana miaka 16.....😛😛😛😛
Sawa in'shaaAllaah tuombe msimu uanze
Ndo nami 😂😂😂 ni lamine yamal Ach kujiaibisha
Wenye d mbili
mtamkubuka, mta mmiss saidoo ntibazonkiza
Hakuna Simba sc ila kuna timu ya MO pekee kwa sasa
Maana ameenda mwenyewe sokoni Swadaqta
Unakera fala ww,huna point
WEWE POINT YAKO IPI?MWENYE AKILI NYINGI
HUYU NI CHAWAAA WA YANGAA AMBAYE KAZI YAKE KUBWAA M KUBOMOA SIMBA
Huyu hawezi kubomoa Simba nishabiki tu wa Simba Wala yeye sio kocha kocha diye anapanga wachezaji uwanjani sio mchome kwahiyo mchome hawezi kubomoa Simba ila sema yeye anasimamia kwenye ukweli
Hamia kwa hao villa wenzio unasubili nini sasa
Makasiriko ya nn kijana🤣😅😅tuliaaaa🤗
Acha hasira 😂😂😂😂😂
simba Haisajili ya ajili yako wewe Mpumbavu Mkubwa
Ukwel unauma sku zote😅🤣🤣maskin wa mungu🙆😣
Acha matusi 😂😂😂😂😂