Vaileth Mwaisumo - Imeisha Hiyo (Official Video Music)SMS: Skiza 6981237 to 811.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.พ. 2023
  • MUNGU akimaliza amemaliza, akiponya ameponya, akiinua ameinua hakuna wa kusimama juu ya neno la MUNGU wimbo Imeisha hiyo ni wimbo unaokupa ujasiri kutembea kifua mbele unapobarikiwa na MUNGU bila kujali chuki za watu, hapana za watu au vitisho vya watu MUNGU akikutendea Imeisha hiyo. # #VailethMwaisumo #MusicVideo #ImeishaHiyo
  • เพลง

ความคิดเห็น • 2.3K

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +265

    Ubarikiwe mdogo wangu imeisha hiyoooooo

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +30

      Waooh my dada nimebarikiwa mno. Asante sana. Hii ni kubwa sana ❤️❤️❤️

    • @PrinceMushy-pg4vl
      @PrinceMushy-pg4vl ปีที่แล้ว +8

      Umeimba Sana dada mungu azid kukuinua dada ♥️

    • @gladycebosire4465
      @gladycebosire4465 ปีที่แล้ว +2

      Rose Mimi hupenda bureeee,wish I meet you someday

    • @irenemwanda5956
      @irenemwanda5956 ปีที่แล้ว

      Beautiful, I love this song

    • @olivemwamengonakilimombeya6951
      @olivemwamengonakilimombeya6951 ปีที่แล้ว +2

      Amen sis ,Baraka kutoka kwa my big sis mwenyewe,

  • @Hana-zi7kx
    @Hana-zi7kx ปีที่แล้ว +500

    One of the celeb musician mwenye hana ubaguzi that's why songs zake zinaenda viral tik tok nzima ...wenye tik tok imetuleta hadi hapa wapi likes za mamaa🥰

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +25

      Be blessed

    • @cate3999
      @cate3999 ปีที่แล้ว +4

      P

    • @emilymilai6299
      @emilymilai6299 ปีที่แล้ว +8

      Case closed 🔐🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Hana-zi7kx
      @Hana-zi7kx ปีที่แล้ว +13

      ​@@vailethmwaisumo be blessed too ....no situation is permanent in life even us working in Arab countries one day itaishaa ivoo

    • @paulolele8875
      @paulolele8875 ปีที่แล้ว +11

      Haaaiyah! Awuuuuh! Safi sana mama.....imeisha iyo. Nice hit nikiwakilisha Kenya

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 ปีที่แล้ว +162

    Tiktok imenifanya nikimbie huku kama gari ya miraa,Kenyans in gulf wapi likes ya our sister, proud of you mum 💪💪💪

  • @fridahmuthanga8420
    @fridahmuthanga8420 ปีที่แล้ว +17

    Wangapi tumesearch mdogo mdogo?? Naomba likes mbili😂🙏imeisha hiyo

  • @dorothymusenya3956
    @dorothymusenya3956 ปีที่แล้ว +279

    Kazi nzuri sana from Kenya piteni na like hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ashtoluvisia182
      @ashtoluvisia182 ปีที่แล้ว +1

      imeishaaaa mdada mzuri kesi pose wimbo wake mzuri, wenye matashi mazuri, mafunzo we love it mama imeishaaaaa

    • @antonystephen9099
      @antonystephen9099 10 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @belindandiwa6606
    @belindandiwa6606 ปีที่แล้ว +132

    Imeisha iyo Kwa neema ya mungu 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 God bless you mama🙏🙏🙏🙏 wapi likes ya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +5

      Thanks

    • @consolatakisila6235
      @consolatakisila6235 ปีที่แล้ว +3

      And this song has made me shade tears imeisha hivyo mungu ameruhusu,mbingu imekubali case closed ubarikiwe sana mama🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰🥰

    • @obiya66
      @obiya66 ปีที่แล้ว

      Plz subcribe

    • @mwitamaroa7692
      @mwitamaroa7692 ปีที่แล้ว +1

      A blessing song waau

    • @daisylagat4580
      @daisylagat4580 ปีที่แล้ว

      ​@@consolatakisila6235 amen

  • @florianminja8427
    @florianminja8427 ปีที่แล้ว +36

    Huwa dhambi nyingine watu wanajitakia wenyewe mfano nyimbo kama hi haina like na coment na viewers wengi lakini CHITAKI CHITAKI YA Diamond ina viewers kibao alafu bado mnasema mungu awasaidie mnamlilia tumkatae shetani tuzipitie hizi nyimbo hata kwa mwezi mara moja jamani.😢😢❤❤Mungu awabariki wote😢😢

    • @lilianwabala2531
      @lilianwabala2531 ปีที่แล้ว +1

      A very fulfilling song..I like her voice..

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 ปีที่แล้ว +1

      Ww hujui hizo media ni watu wa Diamond wa vidole mbili juu na macho moja na hao watu hawapendi mambo ya Mungu

    • @florianminja8427
      @florianminja8427 ปีที่แล้ว

      @@harrietajiambo229 kabisa

    • @aloycetimoth6679
      @aloycetimoth6679 ปีที่แล้ว

      Waambie wapone maana nikweli kabisa

    • @peteryohana891
      @peteryohana891 11 หลายเดือนก่อน

      Nawajua walio wangu

  • @alicemutinda6298
    @alicemutinda6298 ปีที่แล้ว +19

    Mdogo mdogo imeisha hivo team gulf wap likes za uyu mama .🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @godwinmutsami4635
    @godwinmutsami4635 ปีที่แล้ว +185

    Hii imeenda wapi likes za Vayooo

    • @bahati9341
      @bahati9341 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂 kweli imeenda, case closer haya twende hivi💃💃💃💃💃

    • @dankemboi4417
      @dankemboi4417 ปีที่แล้ว +1

      Mmmhh.

    • @dankemboi4417
      @dankemboi4417 ปีที่แล้ว +1

      Mmmhh.

    • @dankemboi4417
      @dankemboi4417 ปีที่แล้ว +1

      Mmmhh.

    • @dankemboi4417
      @dankemboi4417 ปีที่แล้ว +1

      Mmmhh.

  • @marymmbone
    @marymmbone ปีที่แล้ว +122

    Wale wamesikiza more than one time wapite na like aki imeisha hiyo❤❤❤

  • @manoaombonyo6519
    @manoaombonyo6519 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu azidi kukutumia mtimishi wa mungu imeisha kwa jina la yesu matatizo kwa nyumba yangu imeisha kwa kazi yangu imeisha hiyo kwa family yangu imeisha hiyo Amen

  • @johnkaranja2041
    @johnkaranja2041 ปีที่แล้ว +20

    ki ukweli nyimbo za huyu mwanamziki hunitia matumaini...from capital city of Africa Nairobi Kenya....feel loved mummy💖💖💕💕💕🇰🇪🇰🇪

  • @mercyarjan6765
    @mercyarjan6765 6 หลายเดือนก่อน +9

    Kama umeletwa hapa na Nyako nipelike jameni. Was from her live and I listened to this song there❤❤

  • @brendanekesa571
    @brendanekesa571 ปีที่แล้ว +8

    Tunaamini mungu imeisha hiyo kama ni umaskini imeisha,kama ni kudharauliwa imeisha hiyo Kwa jina la yesu, our life will never be the same again 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼wapi likes jamani

  • @solomonkitonga444
    @solomonkitonga444 ปีที่แล้ว +7

    Ipo siku, someone like my comment.

  • @Emily-sj3ot
    @Emily-sj3ot 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wee nyimbo zako naeza angalia toka asubuhi hadi jioni💯

  • @gentriximinza3035
    @gentriximinza3035 ปีที่แล้ว +143

    This lady is just a vibe hunibariki sana kupitia kwa nyimbo zake much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +8

      Thanks

    • @valariarina
      @valariarina ปีที่แล้ว +4

      ♥️♥️♥️♥️

    • @gladysmusava4072
      @gladysmusava4072 ปีที่แล้ว +3

      I lack words to express how her song touches me! May the Lord inspire you More 🙏

    • @gilbertmwancha2777
      @gilbertmwancha2777 ปีที่แล้ว +2

      @@gladysmusava4072 hata mimi

    • @annkamau8611
      @annkamau8611 ปีที่แล้ว +1

      Such a blessing ❤️🙏

  • @Becky370
    @Becky370 ปีที่แล้ว +13

    Aki ni neema y mungu vituko zote zitaisha hivyo 🙄 mama be blessed and God countinues carrying u from grace to grace much love from Kenya, likes za mm from Kenya pliz

  • @susankipnyango4035
    @susankipnyango4035 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania mmebarikiwa tu huyu wakutane na Martha plus bahati wuehhh I can just imagine, God bless you tanzania

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 ปีที่แล้ว +3

    Wakenya watakupokea sanaaa ,usibadilike unaimba inatoka rohon ,(prophetic word)

  • @emilianmanda
    @emilianmanda ปีที่แล้ว +51

    My favourite artist from Tanzania, much love from kenya 🇰🇪 ❤️

  • @mercykhasiala4400
    @mercykhasiala4400 ปีที่แล้ว +3

    Vifo gulf imeisha hivyo kwa yesu ni mbwana😍

  • @user-ym9bw9tt1k
    @user-ym9bw9tt1k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Enyewe imeisha kweli!!! Excellent work mtumishi wa mungu. 🙏🙏🙏👍

  • @aksapauline7903
    @aksapauline7903 ปีที่แล้ว +1

    Hakika imeisha iyoo 2023 sitoludi nyuma barikiwa mama ♥️ good job 👏

  • @violetchris2749
    @violetchris2749 ปีที่แล้ว +20

    Nice song vaileth 🙏🏿🙏🏿🙏🏿may you keep praising God

  • @Aaron_Sanga
    @Aaron_Sanga ปีที่แล้ว +97

    The fact that this song is trending in Kenya and not in Tanzania whilst the artists is a Tanzanian speaks alot about how great Kenyan people are❤... They totally know how to recognize pure talent😊...love you Kenyans❤

  • @puritylangat4449
    @puritylangat4449 11 หลายเดือนก่อน +4

    At hospital bed listening to this beautiful praying I get discharge to take care of my 3wks daughter.... naamini imeisha hiyo ugonjwa ktk jina yesu 🙏🙏

  • @rael5792
    @rael5792 ปีที่แล้ว +1

    Hii Mungu ameruhusu kweli ,wale tumemjua kupitia tiktok kujeni tumshukuru Mungu Kwa ajili yake

  • @gracembula7460
    @gracembula7460 ปีที่แล้ว +13

    Who else listens to this Amazing song Like thrice a day, ❤❤❤❤
    More Blessings And more Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, Mungu Azidi kukubariki Mum,

  • @Njokilynne
    @Njokilynne ปีที่แล้ว +5

    Team kubwa, 2years isn't forever...itaisha hivyo 💃💃💃
    If you believe gonga like 🙏🙏🙏🙏much blessings vaileth 😘😘😘

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +1

      Thanks

    • @Luciehappiness
      @Luciehappiness ปีที่แล้ว

      A blessing song indeed ...

    • @marionkerubo2629
      @marionkerubo2629 8 หลายเดือนก่อน

      2 years isn't forever, sweetheart ❤❤❤imeisha hiyo

    • @Njokilynne
      @Njokilynne 5 หลายเดือนก่อน

      Finally it's over,10 months later am here to confirm imeisha, it was God it has been God na itabaki kua Mungu

  • @user-vh5ck9wo9s
    @user-vh5ck9wo9s 3 หลายเดือนก่อน +1

    The lady behind us breaking legs on tiktok God bless u abandantly❤❤❤ represent zambia🇿🇲

  • @puritysiddi
    @puritysiddi ปีที่แล้ว +7

    Mungu akikupandisha hakuna wa kukushusha yaani mdogo mdogo ndio napanda hivyo ✍️thankyou Jesus ❤️❤️

  • @mrsvinny2
    @mrsvinny2 ปีที่แล้ว +7

    Just last week nimpatwa n majaribu but kwa neema ya mungu yameisha....thank for this message lord bless you.....All this just because am struggling for my family gulf but gaiz lord is above all......juu nikama mtego adi they need to arrest me.......yamishe hyo Pewa sifa yesu mwana wa mungu🙏🙏🙏🙏🙏

    • @vailethmwaisumo
      @vailethmwaisumo  ปีที่แล้ว +2

      Yameisha, Imeisha

    • @ismaelndula71
      @ismaelndula71 ปีที่แล้ว +1

      This songs talks about my life 😂 am happy l have overcome 🙏 thanks mama

  • @nancylumwachi2374
    @nancylumwachi2374 ปีที่แล้ว +10

    Imeisha iyo, Mungu amemaliza Hallelujah 🙌 🙌🙏 utukufu kwa Mungu

  • @josephmiringu9559
    @josephmiringu9559 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow niseme Nini Mimi, imeisha hiyooo, mwenyezi mungu azidi kuainua walio wake, barikiwa dada Kwa maneno matamu

  • @westleysoi341
    @westleysoi341 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ametupa yote ndio maana binadamu hawawezi kuzuia...congrats,, imeisha hiyo..

  • @bettywanjala9023
    @bettywanjala9023 ปีที่แล้ว +27

    Dear the man who promised to marry me, left me today. But I heard God telling me that imeisha hiyo, case closed. He will do it for me. Be blessed siz Mwaisumo ❤

  • @FRIDAHPENDO
    @FRIDAHPENDO ปีที่แล้ว +18

    Imeisha hiyo🙏nice song🥳loving it from from Kenya🇰🇪

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 ปีที่แล้ว +2

    Sijapasua vyungu mimi jaman ni neema ya MUNGU imenikumbuka

  • @olivemwamengonakilimombeya6951
    @olivemwamengonakilimombeya6951 ปีที่แล้ว +1

    Imeishaaa hiyoooo,mi kila nikitoka nikirud ni hii wimbo ,imeishaaa hiyooo,I decree and declare is well with me

  • @rispaqueen
    @rispaqueen ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo huu hulinifanya nilie maisha yangu haya God bless u sister, team gulf Qatar 🇶🇦

  • @lillychero135
    @lillychero135 ปีที่แล้ว +9

    Wow my dear sister...Hii nayo imeweza Sanaa, Nimebarikiwa sana na wimbo huu💯

  • @MainessJoseph
    @MainessJoseph 3 วันที่ผ่านมา +1

    Dada wa mim yesu akutunze nimebarikiwa

  • @faithwanjiru4346
    @faithwanjiru4346 ปีที่แล้ว +1

    Imeisha iyo.....tabu zangu wapendwa zimeisha iyoooo...barikiwa valenth mtumishi wa MUNGU....zidi kutubariki na nyimbo nzuri🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏💞💞

  • @lavendermakan5762
    @lavendermakan5762 ปีที่แล้ว +5

    AMEN 🙏🙏🙏 imeisha hiyo mbali nimetoka ni kwa neema Na rehemema zake . Asante mungu

  • @samanthaboss7418
    @samanthaboss7418 ปีที่แล้ว +7

    The best gospel artist in kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakutambua♥🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @ngomesellah8562
    @ngomesellah8562 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana n hii wimbo,, nikajua Mungu anaenda kuniondolea mateso haya ninayoyapitia na mama yangu ninamatumaini anaenda kupona pitia kwa jina lake huyu Alfa na Omega

  • @shamimtv254
    @shamimtv254 ปีที่แล้ว +1

    Aki huyu ni mtumishi wa Mungu kweli hananga maringo yeye nakupenda sana kwa TikTok hu duet watu wenye wame imba huu wimbo May God protect you

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 ปีที่แล้ว +4

    Weweeee kelele moja kwa Dada ake Vaileth❤❤❤❤❤ imeisha hiyo siumwi tena figo naamini imeisha hiyo kwa jina la Yesu🙏 woooooowh barikiwa sana Dada V🥰🥰 yaani inawaka zaidi ya 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @erenestawanjiru1935
    @erenestawanjiru1935 11 หลายเดือนก่อน +12

    When Kenyans Embrace Great Music....U Just Have to Agree 💯💯 That Its Heavenly...Case Closed.

  • @LeahSimiyu-eg3yb
    @LeahSimiyu-eg3yb 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbingu imekubali , imeisha hyo case closed, hallelujah hallelujah 🥰🙏🙏♥️

  • @patricknguraabash4716
    @patricknguraabash4716 ปีที่แล้ว +1

    Sijapasua vyungu, wala kubeba miungu ni neema ya Mungu imenifuta machungu🔥🔥🔥

  • @nancydaniel7350
    @nancydaniel7350 ปีที่แล้ว +5

    I can't get enough of this song, imeisha hiyo ,case closed. When I look back 3 months ago, kweli mbingu zimekubali ✅ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @cosmassigei6855
    @cosmassigei6855 ปีที่แล้ว +2

    In tiktok imenileta huku mbio,kweli imeishia msalaba yote

  • @johnberu9020
    @johnberu9020 ปีที่แล้ว +2

    Hata ukiwa umepoteza matumaini kisha uuskize huu wimbo, basi matumaini yanarudi tu. God bless you Madam.

  • @violachepkemoi9046
    @violachepkemoi9046 11 หลายเดือนก่อน +1

    ...Enyewe imeisha hiyo,,case of depression closed,,tired of crying day and night God take control,,... enjoying the song from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @leahnjeri1545
    @leahnjeri1545 ปีที่แล้ว +8

    Much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪..this song deserves millions view

  • @tabsmwas931
    @tabsmwas931 ปีที่แล้ว +15

    Just the vocals🔥🔥 alafu message on another level 👌🔥 Wacha tu!!! Be blessed🙏 Vaileth

  • @brendawekesa8492
    @brendawekesa8492 2 หลายเดือนก่อน +1

    I used to play this song more than 20times a day last year
    ...My late baby daddy was being admitted at referral for almost 2months ,,, so after him being discharged i had hopes ...nilikuwa na matumaini kuwa ugonjwa umeisha😢😢
    But later he died
    God bless you

  • @zachariakirikawaweru6971
    @zachariakirikawaweru6971 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ama wakenya n watanzania na watanzania n wa Kenya hii wimbo nkama national anthem kenya

  • @maureenmuhenje916
    @maureenmuhenje916 ปีที่แล้ว +4

    nyimbo zako zinanibariki sana kuna wakati nlisikiza nonstop hakika Mungu alitenda nlisonga viwango vingine Nehema ya Bwana Yesu ikutoshe,,kazi njema sana Mungu akulinde pamoja na jamii yako

  • @wilsonmanenoh
    @wilsonmanenoh 2 หลายเดือนก่อน +3

    mbingu zimekubali🥰🥰🥰🙏🙏🙏

  • @gabrielkimani8759
    @gabrielkimani8759 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mbaliki Huyu Mama.Kesi closed. Imeisha hiyo

  • @user-xm1yi4ve6q
    @user-xm1yi4ve6q 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hallelujah ubarikiwe sana wewe na familia yako❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @emmanuelouma3635
    @emmanuelouma3635 ปีที่แล้ว +18

    Was waiting for the official video to show much love for the message you dinned us with.... we Kenyans love you

  • @judyjoshofficial5992
    @judyjoshofficial5992 ปีที่แล้ว +4

    Kenya 🇰🇪 loves you
    Wimbo mzuri mummy neema ikuzidishe

  • @simantoiraphael5326
    @simantoiraphael5326 ปีที่แล้ว +1

    I heard this song on TikTok,,,,,nikasema lazima niskize 🙏♥️♥️♥️♥️♥️ somewhere telling God thank you for this year blessings 🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @RosemarzMakenaNjeru-uw3mk
    @RosemarzMakenaNjeru-uw3mk 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤bro inlaw imeisha hiyo case closed🎉🎉🎉thankyou very important mommy

  • @estherngari1234
    @estherngari1234 ปีที่แล้ว +13

    The only Tanzania artists I listen to is gospel artists,this one won my heart ❤️ The message is so encouraging especially to anybody going through a tough moment..From Kenya 🇰🇪 we love you Vaileth

  • @samuelmugonjuguna5811
    @samuelmugonjuguna5811 ปีที่แล้ว +52

    43:13 “From eternity to eternity I am God. No one can snatch anyone out of my hand. No one can undo what I have done.”

  • @nicholasrono8552
    @nicholasrono8552 ปีที่แล้ว +1

    Keesi closed.....
    God is great.......
    Bringing back the real Hospel... Imeisha iyoo

  • @hellenbarasa3261
    @hellenbarasa3261 ปีที่แล้ว +1

    Imeisha hivyo kesi baadae mm na mungu hamuwwzi nizusha, mdogo mdogo nimeenda 👏👏👏👏 ni ukweli dada 🙏🙏🙏🙏

  • @veronicaomwenga4284
    @veronicaomwenga4284 ปีที่แล้ว +12

    When God will bless me with a baby I will sing this song...Glory Glory ❤❤...I love this song...be blessed mum

    • @annesyombua658
      @annesyombua658 ปีที่แล้ว +1

      Our God is faithful always 🙏 may the LORD hear your prayers be blessed soon in Jesus Name 🙏🙏

    • @kongonjeri2587
      @kongonjeri2587 ปีที่แล้ว

      So shall it be

    • @phoebeedward2505
      @phoebeedward2505 ปีที่แล้ว

      May God bless your womb

  • @sheriff2544
    @sheriff2544 ปีที่แล้ว +13

    I can't stop loving vaileti's songs ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @nicholasrono8552
    @nicholasrono8552 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Moja this is my favourite song 2023
    May God bless u mum
    May he open ua dooors .
    Nice song

  • @user-ww2it3th6l
    @user-ww2it3th6l 11 วันที่ผ่านมา

    Mdogo mdogo naondoka hivyo,mdogo mdogo ndio napanda hivyo.............ameeeen...

  • @Bramfaith
    @Bramfaith ปีที่แล้ว +3

    Mama mbingu zinene mema kwa ajili yako❤❤❤

  • @liliannatasha3075
    @liliannatasha3075 ปีที่แล้ว +8

    Wooowh nice song mummy much love from kenya 🇰🇪

  • @selinarachel
    @selinarachel 11 หลายเดือนก่อน +2

    Finally imeisha hio ata Mimi Kuna siku mungu atanikubuka ,,, niimbe imeisha hio a good song ❤

  • @besty8152
    @besty8152 ปีที่แล้ว +1

    Hata ya kwangu yameisha hiyo thank you may God bless you so much nyimbo zako niza kweli end I believe yameisha hiyoo period in jesus mighty name amen 🙏🏼🙏🏼

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 ปีที่แล้ว +11

    Wimbo wa mwaka sasa🥰🥰🥰🥰Kenya 🇰🇪 twakupenda sana

  • @christinerobby7276
    @christinerobby7276 ปีที่แล้ว +12

    Wow... imeisha case closed... thank you for bringing the song on time...may grace speak. Amen. Be blessed mum.

  • @ernestmugara7344
    @ernestmugara7344 ปีที่แล้ว +1

    Imeisha hii shida case closed nimekataa kwa jina la yesu Amen

  • @deffencemwakuli98
    @deffencemwakuli98 11 หลายเดือนก่อน +1

    Case clossed ...i had to come back here after passing through asmatic but after praying ..imeisha hiyooo🙏🙏🙏

  • @florencenekesa8243
    @florencenekesa8243 ปีที่แล้ว +6

    WOW wimbo mzuri sana Mungu akuinue zaidi siz😍😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️wimbo zako zinaguza sana aki😢😢 😢❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @agnesmaitha541
    @agnesmaitha541 ปีที่แล้ว +3

    All gospel singers must copy this dressing habits be blessed madam your song is in another level na ulicheza kistaarab Sana ila Kuna some gospel singers huiga bongo movements wanajisahau I rebuke this 🙋

  • @claireomari9001
    @claireomari9001 ปีที่แล้ว +1

    If Tiktok has landed you here finally for this song less gather here for This Encouraging song🙏🙏🙏somebody should kiss my comment pls

  • @ronneyodhiambo6417
    @ronneyodhiambo6417 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mama, My Mom loves you soo much hii nyimbo anaskiza kila siku🙏🙏🙏🙏❤❤💯

  • @Valvale65879
    @Valvale65879 ปีที่แล้ว +3

    Weuu karibu nipitwe na huku, you are always blessing me mum, aki huu wimbo uko chonjostic, much love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @zipporahkemunto6938
    @zipporahkemunto6938 ปีที่แล้ว +4

    A very nice song,,,safi sana yaani fully cooked song na ukaiva akiamungu . Congrats 👏👏♥️

  • @ondiekiorina398
    @ondiekiorina398 10 หลายเดือนก่อน +1

    .no weapon fashioned behind you shall ever prosper .....hamuwezi pingana na mungu

  • @judithmwende5696
    @judithmwende5696 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nikiwa na Stress huwa nasikiliza hii Song, ikiisha napata Stress zimeisha . Ubarikiwe Vai

  • @happinesskwamboka1540
    @happinesskwamboka1540 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzuri sana dada Mungu azidi kukuinua sana tena sana,this song is so powerful 🙏🙏🙏🙏

  • @korirhassaniey2474
    @korirhassaniey2474 ปีที่แล้ว +3

    what a song Vaileth Mwaisumo......imeisha hiyo.... spiritually a blessing and uplift song. Praise GOD. feels GooD to listen to this song asubuhi 5am ukienda kazini....

  • @jody879
    @jody879 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 Vaileth mwaisumo, your my role model mum nyimbo zako hunibariki sana na kunitia nguvu much love ❤️ ❤❤ from kenya 🇰🇪 bt for now niko gulf

  • @paulogega4638
    @paulogega4638 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo inanibariki....Kila siku naimbiza mara 10 ndio nilale

  • @pamelalusigi8427
    @pamelalusigi8427 ปีที่แล้ว +4

    Amen, imeisha Ivo Kwa neema ya mungu be blessed mum much love🙏🏾🙏🏾♥️♥️♥️

  • @Elphas
    @Elphas ปีที่แล้ว +6

    Nimerudi hapa kusikiza tena. I am blessed by the great song. May this song take you international Vileth.❤❤❤

  • @esthermomanyi5419
    @esthermomanyi5419 ปีที่แล้ว +1

    Mdogo mdogo naondoka from delay, setbacks, poverty, badlack, hardships limitations all negativities,afflictions, and destructions

  • @seciliambedule2781
    @seciliambedule2781 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vya juu zaidi! Barikiwa mtumishi wa Mungu