MAGUFULI ALIVYOTOKA NYUMBANI KWA MBOWE CHINI YA ULINZI MKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @loyceisack1781
    @loyceisack1781 5 ปีที่แล้ว +15

    Safi sana Mh Rais. Kwenye maswala ya kijamii ubinadamu mbele siasa nyuma.

  • @josephnchunga3019
    @josephnchunga3019 5 ปีที่แล้ว +3

    Umefanya kitu kizuri ,kwenda msibani kuwaona rip Kamanda wetu Mungu akuweke mahali pema peponi Amina.

  • @dulahshabani8159
    @dulahshabani8159 5 ปีที่แล้ว +10

    Nimependa Sana hii tunaomba upendo uwendelee

  • @karolikinigu4732
    @karolikinigu4732 5 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana maisha ya ubinadam yako palepale vingine vinapita tu

  • @swahibsinjo8439
    @swahibsinjo8439 5 ปีที่แล้ว +19

    sio kwamba hao wanajeshi wote hapo wako kwa ajili ya kumlinda magufuli isipokuwa marehemu alikuwa na cheo kikubwa jeshini so wengine wako kimsiba zaidi na sio kiuliunzi, acheni kuwa mnapotosha!!!

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana Tanzania ninayoitaka ndo hii.InshaAllah Awazidishie Upendo moyoni Nasi tutazidi kuwaombea InshaAllah Allah Atufanyie wepesi.

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wa WaTanzania upendo ni jadi yetu, hakuna mwanadamu anafurahia kifo, huyu Baba ana ubinadamu kutoka moyoni, Mungu amzidishie hekima na busara Rais wetu Magufuli, Aamina.

  • @kelvnassey3236
    @kelvnassey3236 5 ปีที่แล้ว +6

    shimbonyi mae haie sana kama umemuelewa gonga like

  • @kiuwamhina2802
    @kiuwamhina2802 5 ปีที่แล้ว +17

    Nani kaipenda hii, ngonga like km vp

  • @aludomakori7692
    @aludomakori7692 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongerani kwa kutambua kuwa ubinadamu unabaki palepale

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว +2

    Innallillah wainnaillah rajiun. Hapo alifarik nani jaman nijuzeni

  • @innocentbugomola549
    @innocentbugomola549 4 ปีที่แล้ว

    Mngekuwa mnashilikian hvy cku xote dah raha San lkn Sasa mmetanguliza siasa mble aah

  • @kilengawanamwinyikambihuss5730
    @kilengawanamwinyikambihuss5730 5 ปีที่แล้ว +6

    Tanzania tumebarikiwa upendo na utu

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว +6

    Kukipatikana katiba bora,ndipo kutapokuwa na mapendo ya kweli na mtangamano wa umoja(siyo msibani tu),isipokuwa maishani kwa ujumla!

    • @hamismnyaya1276
      @hamismnyaya1276 5 ปีที่แล้ว

      Ras, nchimbi shida sio katiba je nani wa kuisimamia na kuitelekeza katiba na pia ww unafikiri katiba bora inapigiwa kelele mitandaoni kama ufanyavyo, bullshit.

    • @davidulenje1264
      @davidulenje1264 5 ปีที่แล้ว +3

      Ras, nchimbi hata iliyopo sio mbovu kama unavyozani isipokua kuifuata ndo tatizo kuna nch hazina kabisa katiba ila mambo yao yanaenda shda wtz tunatiana ujinga sana

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว

      @@davidulenje1264 iliyopo ni mbovu,imempa madaraka mengi rais,nayeye hawapendagi haswa wapinzani kama vile yalomtoke Tundu lisu

    • @davidulenje1264
      @davidulenje1264 5 ปีที่แล้ว

      Ras, nchimbi sio kweri haijampa madaraka hayo imeeleza wazi kuhusu upinzani ila sema labda haifuatwi tatizo hilo hata ukipata nyingine haisaidii kuwa nayo ni swala lingine kuifuata kama ilivo ni swala lingine

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว

      @@davidulenje1264 haifuatwi kwa kuwa imekalia kinyonge,hivyo mianya ya udhaifu hiyo ni yakuondolewa!(katiba bora haikwepeki)

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 4 ปีที่แล้ว

    Raisi wa watu huyu, raisi wa watu wote....mwenye misingi mizuri, mwenye kupanda watu wote

  • @mohammedkipauwa1623
    @mohammedkipauwa1623 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @kisangageorgethomasi2830
    @kisangageorgethomasi2830 ปีที่แล้ว

    Ulikua unafiki tu

  • @immanuelswai6679
    @immanuelswai6679 4 ปีที่แล้ว

    Hii mara ya pili akiwa waziri alienda tena. Hawa mwaswaiba tafuta ukweli utajuwa

  • @gracesakila4395
    @gracesakila4395 4 ปีที่แล้ว

    Mbowe ni mtu anajua kuishi na kila mtu

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 5 ปีที่แล้ว +1

    Umoja ni nguvu

  • @usinhsu29bishkeki96
    @usinhsu29bishkeki96 4 ปีที่แล้ว

    Very simple man

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 ปีที่แล้ว +2

    Jeshi lote liko pale

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Hii ndio Tanzania tunayoitaka

  • @eradiuskahamba7825
    @eradiuskahamba7825 5 ปีที่แล้ว +2

    I am kindly requesting to be excused on the following. Binafsi, hasa kwa taratibu na hali ya usalama wa kiongozi mkuu wa nchi pamoja na walinzi wake sidhani kama ni vema kuweka picha/ video zinazoonyesha namna Rais anavyolindwa hasa kwa Rais wetu. Nashauri mamlaka zisimamie hili swala hususani vedeo au picha ambazo zinafaa kuwekwa kwenye mitandao ya kimataifa. Yafaa zaidi picha au video za walinzi wake zisiwekwe wazi, yaani zibaki kuwa picha au video za usalama kwa ujumla. Nakubali kuwa ni vizuri kutounyesha namna Rais wetu anavyolindwa, pamoja na umahili wa wasaidizi wake wa usalama lakini isiwe kwa kiasi hicho. Nashauri hivyo (Asante).

  • @emanuelsiao4544
    @emanuelsiao4544 5 ปีที่แล้ว +2

    inapendeza

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 5 ปีที่แล้ว +5

    Sorry kwani hapo kwa mbowe msiba ulikuwa wa nani

    • @RioIpo
      @RioIpo 5 ปีที่แล้ว

      Gastor Dominic kaka ake na Mbowe

    • @khalidkitiku5540
      @khalidkitiku5540 5 ปีที่แล้ว

      Gastor Dominic kaka yake mbowe

    • @mercymacha5594
      @mercymacha5594 5 ปีที่แล้ว

      Gastor Dominic siju

    • @DavidSemu-gu6wp
      @DavidSemu-gu6wp หลายเดือนก่อน

      Huu msiba ulikuwa ni retired Maj.General Alfred Mbowe Baba yake mdogo Freeman Mbowe na hapo NI nyumbani Kwa marehemu,Sala Sala.

  • @samkyando2332
    @samkyando2332 4 ปีที่แล้ว +1

    Iyo ndyo tanzania nayoitaka

  • @Uswahilini583
    @Uswahilini583 5 ปีที่แล้ว +2

    wow

  • @gizakazeno1688
    @gizakazeno1688 4 ปีที่แล้ว

    Iko poa hii

  • @saramwajeka770
    @saramwajeka770 5 ปีที่แล้ว

    Nashangaa sanaaa

  • @patrickchales4570
    @patrickchales4570 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunahitaji katiba yetu Mzee

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 5 ปีที่แล้ว

      Issue inayoongelewa ni ya MAJONZI lakini wewe waulizia KATIBA
      KILA JAMBO NA WAKATI WAKE

  • @janethhamza8316
    @janethhamza8316 4 ปีที่แล้ว

    He

  • @papafikiri
    @papafikiri 5 ปีที่แล้ว

    Ninyi mnaweza kuwa na moyo wa huyu baba!??nawauliza ninyi wa upande huo

  • @aminahasan3564
    @aminahasan3564 5 ปีที่แล้ว +2

    Iwe ni kutoka moyoni

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 ปีที่แล้ว

      Nimeipenda hiyo km itakuwa kutoka moyoni nitafurahishwa sana hata mungu anaiona hiyo hongera magu

    • @eliahedward7490
      @eliahedward7490 5 ปีที่แล้ว

      Ninyi ndo hampend kuona watu wkipatana ww uljuw imetok rohon au!

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 5 ปีที่แล้ว

      @@eliahedward7490 sijui anadhani imetoka miguuni ... yaani pana watu siku zote huomba dua na sala zote viongozi wetu WASINENE KWA LUGHA MOJA ...
      ASINGEENDA KIONGOZI YEYOTE WA KISERIKALI AMA KUTOA SALAMU ZOZOTE UNGESIKIA OOOOH VIONGOZI WANA CHUKI NA UBAGUZI

    • @frankkspthinkers4212
      @frankkspthinkers4212 5 ปีที่แล้ว

      we ulitaka iwe kutoka mkunduni kwako au... ACH unafki .. hakuna kama MAGUFULI Nchi hii # magufulification of Africa../ king magu

  • @kushahalabani7878
    @kushahalabani7878 5 ปีที่แล้ว

    Tunataka kwanza katiba

    • @olomweneabongela1717
      @olomweneabongela1717 5 ปีที่แล้ว

      Wewe ni njinga kabisa kwenye msiba wa mwizio ndo unakuja kuomba katiba ebu Subiri baba yako au ndugu yako akafe ndo uombe hiyo katiba wakati wa msiba

    • @simonmagaigwa6634
      @simonmagaigwa6634 5 ปีที่แล้ว

      Waombeni walioiahidi. Msimsumbue mzee mwacheni achape kazi

    • @gabrielymathias5516
      @gabrielymathias5516 5 ปีที่แล้ว

      @@olomweneabongela1717 sina ubishi muheshimiwa magufuri

  • @mathamalila3111
    @mathamalila3111 5 ปีที่แล้ว +3

    inapendeza