NAPENDA KUWASHUKURU WOTE MNAONISAPORT, NINAWALETEA MOVIE MPYA JINA NI BABA YANGU KIPOFU KWA WALE MNAOZIPENDA KAZI ZANGU NAOMBQ MUIPOKEE HII INAYOKUJA KWA MOYO MKUNJUFU, MUNGU AWABARIKI
Pia nasibtunakushukuru kwa kazi nzuri baba Joan pande za DRC tumekukubali.ila napendelea kuhuliza mama yako huyo ni mkongomani akuhambie niwasehem gani . maana kiswaili chake kimefanana ila sio tusi tafazali
NAPENDA KUWASHUKURU WOTE MNAONISAPORT, NINAWALETEA MOVIE MPYA JINA NI BABA YANGU KIPOFU KWA WALE MNAOZIPENDA KAZI ZANGU NAOMBQ MUIPOKEE HII INAYOKUJA KWA MOYO MKUNJUFU, MUNGU AWABARIKI
Haya tuko pamoja karibu❤
Good job ,love watching from Kenya
OK ávida é melhor quando estamos juntos.asante baba Joani tuko pamoja🇲🇿
Tuko ready apa Kenya
Tuwekee group la team fans baba joan
Nimewai ❤❤❤❤ sana leo wangapi wanapenda baba joan. Wajilieni like 🎉🎉🎉🎉 zenu tukisoma jamani❤❤❤❤❤
Baba Joan napenda movie zko juu uwa utueki sana watching from Kenya
Kenya we love you baba Joan ♥️♥️♥️♥️♥️
Number one fan from kenya❤❤❤
Waooh baba Joan ako Na miugiza congratulations Kwa kazi Na video nzuri kwako ♥️♥️
tamu sana lakini tuandalie nyingine kwa kua hii imeisha
From kenya
kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤
Kama nyie wakwaza wa mwisho ni nani sasa 😂😂
Hi guys mbona yangu Haina sauti
Kutoka Ghana wapi likes zangu
Hongera sana baba Joan
Sitachoka kufuatilia movie zako baba Joan kazi safi sana🎉🎉❤❤
calculated movie, thanks baba joan from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love.
Yaani nawakubali sana kila atua nipo yaani Sito waacha kuwafatilia mwaaaaaaaa ❤❤❤❤❤ akuna wakunikataza vocha yangu ya buku nakula vitu milioni❤❤
Kazi nzuri baba joan twaisubilia hiyo movie mpya kwa hamu sana much love from 🇰🇪
Uko juu sana bro kwa kazi yko mola akuzidishie marifa zaidi na ujuzi naimani utakua mtu baro east Africa. Ni hamisi shabban from kenya
wakwanza mm hapa
Wa kwanz mm nipeni mauwa yang🎉🎉🎉
Kenya nipo.. kazi njema baba joan
❤❤❤❤❤❤kazi njuri sana lete ingine sasa baba joan ❤❤❤
Mchawi atakoma Leo bwana yesu asifiwe
Na comment tokea Congo kalemie Simple🔥🔥🔥
Ngojea tuone mwisho wa bibi kitumbo
Naomba siku moja ulete ya mapenzi upee ya uchawi likizo😂😂 anywei I love your show,keep it up
❤❤❤❤❤Tunashukuru na sis kwakutupa yote film ubarikiwa Baba joan
Brother napenda kuwafuatilia Kwa sababu unatoa episode on time huchelewi congratulations to the whole team. Welcome mtwara
Hongera sana baba joani kazi nzuri sana ❤❤
Kazi nzuri 👏👏👏👏❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana baba Joan hongera sana
Baba Joan saluti uko fasta 🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉
Mpenzi wa baba joan Mashallah ni mrembo na black thamuuu🎉🎉🎉#wachawi wote wanafaa baba joan
Sanaaa baba Joan movie zako zinatufundisha
Baba Joan ww mkali,,,,big up🎉🎉🎉🎉
Pia nasibtunakushukuru kwa kazi nzuri baba Joan pande za DRC tumekukubali.ila napendelea kuhuliza mama yako huyo ni mkongomani akuhambie niwasehem gani . maana kiswaili chake kimefanana ila sio tusi tafazali
Léo Nime Wati mapema kbs
Nice
Much love from Kenya 🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kenya tunafuatilia kazi zako sana ,,endelea hivo hivo.
Sijachelew na mm naomba like nawapenda san
Mbona amuogei
Watching from kenya
Mbona fupi sasa
Ñaixubili. Kwa hamu hyo move jmn napenda xná kaz zako
Sjcherewa sana naomba like ❤❤
Kz nzuri endelea hvyo hivyo
Nawe pia ubarikiwe,tunashukuru Kwa Kazi nzuri
Asante san ❤❤🎉🎉
Kaz safi san baba Joan ❤❤❤
Baba joan aujatutendea haki thamtilia ilikua nzuri sana ila ni fupi mno
Congratulations and keep moving ❤❤
Best one can you help me couse I'm am actor I have several film but need guidance 🙏
Kenya 🇰🇪 ndani ya nyumba andaa ingine haraka baba Joan mapenda wamesema ndo best😂😂
Hongereni sana wote mlioshiriki
Whaaaaaaat😢😂 I see you my shunu saidaty❤,,ooh my God 😅
Kaka hii movie ilitakiwa iwe ndefu coz Ina mapokezi makubwa
🎉🎉 Chukua maua yako baba joan
Tunaisubiri kwa hamu sana mwamba wa 🇹🇿
Baba Joan nakupenda sana
Baba Joan endelesha mali ya marehemu ulituacha kwa Giza hapo
Unatufurahisha pia kwa movie tamu
Uko Safi sana kaka
Kazi mzuri baba joani
Dah, unajua ila humu uwezo wako ni mdogo Sana Yani Kama ulilala 2 ulipoamka ukaigiza basi Ndio hivyo tu.
Hongera xna Baba Joan
Bibi kitumbo uchawi wapi acha kushidana mungu 😂😂
Safi safi ndugu
Baba Joan tunahitaji nyingine kali
Ipo vizuri ila imeisha haraka sana
Honger❤❤❤❤
Mbna mov yako fupi sana
technology ipo juu nimekubali
Chukua maua yako baba joan8🎉❤🎉🎉
Mwanafunzi wa ajabu mbona zii
Mbona Naona miguu ya watu kwenye ungo wa bibi kitumbo
Tunashkur saaaan kbx kaz nzur kbx
❤❤❤
Hata sisi tunawapenda
Tunaisubiri baba joan❤❤❤❤
Umeruka matukio mingi sana
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🥰
Sawa baba joan
Kazi njema
❤❤❤❤
👍
Shukrani sana
❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤😂
🎉🎉🎉🎉
Ila imeisha kizembe sana kiwepesi sana,,,
Mtunzi angeonesha misukosuko atakidogo kwa star
Maoni tu,,. WaMBOZI
Baba joana
Jaman hat kumitu
Isichelewe kuja bas
❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Unyama ni mwingi
Kwanini hamuku malizaka Mali za marehemu
From kenya 🇸🇸 wp link zngu
Fatuma