Brother uwa unanikela sana maana kila siku movie zako unakua mtu mpole na kuonewa , ebu wakat mwengine cheza kama mwanaume kua jasiri yaan jaribu ata kupiga mtu
Mama karobo anapitishia karobo hali ngumu some things tufai kufanya mbele ya macho ya watoto wetu,,,mungu atupee hekima ya kuwalea watoto wetu kwa njia iliyo sahhihi❤❤❤❤❤mama karobo big up ata kama n kipindi be nicr😢😢
Baba Joan kunawakati nashindwa kutazama move kutokana Na ukatili wa huyo mama karobo hata kama Ni maigizo hii to much najikuta nalia mwanzo mwisho, hakika mnatuelimisha Sana.
Hujaelewa hapo alikuwa kwenye mawazo ya kutekereza alichopanga ghafla kwenye hilo lindi la mawazo akili ndio ikaona anaepigwa si muhusika bali ni mdogo wake sio risasi imekata kona! Huo ndo uelewa wangu hapo!
Hhhhhh et shingo kubwa anamrog bb karob jee nauyo bwan wak akikusalit jee 😢😢😢😢😢 atar kwakwel jaman tuwen makin na waumezet tusihadaliwe na wanume wanjee
ddy karobo mafudisho yako yananifudisha mengi ya mzingi asante kwamala nyingine asante asante sana nashukuru pokea maua yako haya 💐💐💐💐💐hongera sana karobo umefaa uwasilia vizuri 💐💐💐🎊🎊🙏🙏
Ile picha ambayo imejitokeza kwenye television au tivii niile picha ambayo ilikuwa inaitwa HOFU alipo kuwa anavaa kwenda vijijini kwa mama ake kama kuna MTU anakumbuka nimjue tafadhari
Master j,nimetuliza kenya Bay beach hoteli ninaendelea kuwafuataliya maana nilianza nanyi tokea mwalimu mgeni mpka sasaivi sasa tuko pamoja am hatuko pamoja broo na crush yako mko very sirias,so nawapenda sana na nawaombea muendeleze kipaji chenu na lamwisho nawapenda sana good day ila ninausibiri part 7 okay
Kiukweli hii Inafundisha Lakin hakuna siku mama wa kambo atampenda mtoto ambae sio wake tuishi kwenye uhalisia na sio kwenye story😭😭😭..daaaaah karobo .. don't givup..keep going one
shukran Sana wallah najifunza mengi kupitia hii filamu..sema sometimes machozi uni bubudika na roho yangu kuuma..ila nawapenda Sana kutoka kenya na shukran sana
KAMA NDIO MARA YAKWANZA KUTAZAMA VIDEO ZANGU,NAKUOMBA BONYEZA HIYO ALAMA YA SUBSCRIBE,KISHA COMENT NENO tayari,Nita like na ku reply COMENT yako
❤❤❤❤❤❤❤ Safi xn baba joan mmbo ni motooo❤❤❤❤❤hongera xn baba joan
Brother uwa unanikela sana maana kila siku movie zako unakua mtu mpole na kuonewa , ebu wakat mwengine cheza kama mwanaume kua jasiri yaan jaribu ata kupiga mtu
Tyr
Safi@@YusufImbrahim-qo3cx
❤❤❤penda shana
Wakwnza leo kutka Kenya naomba like zko baba joani
Mkenya mwezangu❤❤❤❤
Badala ya kuombe finance bill hianguke umeenda tz kuomba like😅😅failure
@@graffinamisi😂😂😂😂😂😂 et nn nmeisha mm
Warundi🇧🇮🇧🇮 tugonge like apa✅
Tupo
Uraza kuyironka tenyenya
Hewe namaki
@@mpajibinaisa7238 nisawa ncuti yanje ndashima
Wakwanza toka Burundi 🇧🇮 sema neno Basi baba joan
Baba karobo mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Baba Yanfu Kiofu Episodi Ya 7
❤❤❤❤❤❤❤
This film I really love it jamani. Kenya tuko poa kabisa. Shida tu ni budget
Hiii movi inasikitish sanaaa wanao saporty hili wanipe like
From Kenya 🇰🇪 mombasa County tuko fitness 💪 👌 watching 👀 👌 😀
Ghfgh
Nakuona umelitumbua jicho apo😂😂😂😂😂😂 kweli
Nisalimie governor huko 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Mombasa county also
Kazi mzuri sana ongereni Sana baba Joan wewe na timu Yako yote nipeni like zangu ata moja
Mama karobo anapitishia karobo hali ngumu some things tufai kufanya mbele ya macho ya watoto wetu,,,mungu atupee hekima ya kuwalea watoto wetu kwa njia iliyo sahhihi❤❤❤❤❤mama karobo big up ata kama n kipindi be nicr😢😢
😂😂😂😂😂sio really ni act 😂😂😂tu
Mbona sasa kamfanya kipofu ivi si angemwacha Tu amlee karobo😢😢aki mapenzi wewe😢😢😢
@@user-rz9uf2xx1x naelewa lkny chungu daah☺
Yani alaaniweeee Huyu mchawii
@@nurafedrick378 tunaenda kwa baba bdo😂😂
Baba Joan kunawakati nashindwa kutazama move kutokana Na ukatili wa huyo mama karobo hata kama Ni maigizo hii to much najikuta nalia mwanzo mwisho, hakika mnatuelimisha Sana.
😢😢😢 m nalia nakwambia had kichwa kiume 😢😢😢😢dhuuuu
Basi huwa naona n mm tu yani naliabpk basi😢😢😅😅
Kbxa❤❤❤❤❤Masha'Allah
Kwakwel mnajitahid san hongern kwa hilo big up❤👍
Big up Sana kazi nzuri
❤
Much love baba karobo kazi nzuri sana watching from Kenya congratulations 👏🎉🎉❤
Honger bab Joan kaz mzur honger karob💝 🌹🌹🌹🌹
Jamaa na team kiukweli wanaweza sana. Nimeangalia kuanzia mwl mgeni mpka hii. Hongera sana team. Tupo pamoja
Mama karobo kiboko sikwaroho mbaya iyo mpaka anakera sasa😢
1 ✌️ hope mko Salama humu🎉🎉🎉❤❤❤
Ndio tupo salama I think you are fine
@@user-bv4hs7ye7s that's nice kama usalama upo..me pia thank Allah
Tuko salama sijui ww
@@user-qw3ds7lz7o sijambo pia
Siku zote usipangie ubaya mtu asikua na ubaya kwkao😂
Ghai mbona mama karobo anafanyia mtoto hivo haki inahuzunisha vibaya sana😢😢😢😢
Sanaa ya maana sana hii. Wanafundisha hawa wasanii. Big up sana
Ila huyu mama karobo ana roho mbaya sana😢😢 sipendi anavyowatesa 😢😢jameni
Baba karobo ww ni star mkubwa sana na binti pia nimemuelewa anaelimisha na amecheza sehemu ngumu sana kwenye filamu hii ni binti wa kuigwa
Ila wazazi wakambo Wana roho Wacha too,Ila acheni kusemasema jina la yesu kwazabab amri inatuoya
Good job
Nice ❤❤❤
Naomba like kama 5 Leo jameni nimechelewa
Inapendeza sana kz nzuri
I love you baba karobo ❤❤❤❤❤
Wa kwanza Leo jamn tuko pamoja sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Risasi imepiga kona,hahahah vioja vya bongo movi.
Hujaelewa hapo alikuwa kwenye mawazo ya kutekereza alichopanga ghafla kwenye hilo lindi la mawazo akili ndio ikaona anaepigwa si muhusika bali ni mdogo wake sio risasi imekata kona! Huo ndo uelewa wangu hapo!
@@hamzachibwana193❤❤
❤❤❤❤Kazi nzuli Kwakweri mwanzo WA move adi mwisho nalia nyie ee mungu naomba niware wangu wote
Nimechelewa jamn nashindwa hata kuomba like
Jamani mama karobo uwe na uluma basi😭😭😭watu kama wawo wako na roho kama iro wanashida kabisa
Sasa mbona haponi
Baba joan wewe ni Murundi wa kwetu ,bireke bigende ibindi biroza 😂😂😂😂😂😂😂 karibu BURUNDI ni kwako
Mama karobo ridasi kampata kakako kweli nilipo niapa duniani 😂😂😂 hongerani sana kazi nzuri
Na shingo yake refu kama twiga😂😂😢😏😞
@@user-xu6on2nt6l mbona unamkashifu mwenzio sote tukazi ya mikono ya MUNGU
Hhhhhh et shingo kubwa anamrog bb karob jee nauyo bwan wak akikusalit jee 😢😢😢😢😢 atar kwakwel jaman tuwen makin na waumezet tusihadaliwe na wanume wanjee
Kazi nzuri sana❤❤❤
Ina huzunisha😢
Leo pia sijachelewa sana
Naomba kujua jina harari la Baba Karobo.
Hii cinema inachoma moyo kabisa kabisa. Hasa nampenda Karobo.
Mama karobo kuaa n huruma kdg😂😂
ddy karobo mafudisho yako yananifudisha mengi ya mzingi asante kwamala nyingine asante asante sana nashukuru pokea maua yako haya 💐💐💐💐💐hongera sana karobo umefaa uwasilia vizuri 💐💐💐🎊🎊🙏🙏
Hata kama ni uigizaji,nafikiri huyu mama karobo atakuwa muchawi haswaaa.Toka DRC.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I love you karobo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wewe mwanamke watutoa machozi bwana huku inje jamani😢😂😂 unaroho mbaya kupitiliza
Ile picha ambayo imejitokeza kwenye television au tivii niile picha ambayo ilikuwa inaitwa HOFU alipo kuwa anavaa kwenda vijijini kwa mama ake kama kuna MTU anakumbuka nimjue tafadhari
Master j,nimetuliza kenya Bay beach hoteli ninaendelea kuwafuataliya maana nilianza nanyi tokea mwalimu mgeni mpka sasaivi sasa tuko pamoja am hatuko pamoja broo na crush yako mko very sirias,so nawapenda sana na nawaombea muendeleze kipaji chenu na lamwisho nawapenda sana good day ila ninausibiri part 7 okay
Kiukweli hii Inafundisha Lakin hakuna siku mama wa kambo atampenda mtoto ambae sio wake tuishi kwenye uhalisia na sio kwenye story😭😭😭..daaaaah karobo .. don't givup..keep going one
Baba karobo jaman mungu akuepushie mambo yote ww na mwanao
Na sisi Burundi tunawapata tano kwa tano baba karobo big up sana kabisa
Dahhhhhh 😢😢😢inahuzunisha sana hii move aki
😂😂😂😂😂😂 nani ameona kama mimi kumbe ndoto au mawazo tuimbe wote ule wimbo shimo wamenichimbiaeeee watadumbukia wenyew humo🤣🤣🤣🤣🤣
Nimejifuza sana titu hap mungu awapaliki Sana 🇧🇮✅
Ivi kwa nni wanawake tunaroho mbaya ivi tunapenda kunyanyasa watoto wa waume zetu tunajisahau sana aaah Allah usinjalie na roho kama him to
Mtoto wa mume wangu nilikuwa namulea paka shule nikampeleka Hadi shule za kulipia nalipa
Dar umeupiga mwingi bro you deserve 🎉🌷🌺🌴🏝️🙏🙏
Wakwnza. Leo kutka. Kenya❤❤
Eee Mungu naomba utupe maisha marefu ili tuje tulee watoto wetu,,,,yenye anapitia karobo yanauma
aaaaa mama karobu nimukali San aaaaa ni mama kwali oooo karobu asijali atasoma tu 🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝❤️ Mungu agotu mm ni mluhya
Congratulations ❤Am stellar kamene from Kenya
Wakwanza toka Zambia 🇿🇲 kazi nzuri.
Pole karobo huo ni mtihani tu utavuka maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉 Karobo
Mama Karobo mkatili kabisa, na anafanana mkatili kabisa. Anaigiza vitu vyake kabisa
Kazi nzuri Sana Baba karobo❤❤❤❤🎉🎉🎉
Waooooooh patroniz sosiri nlikuw nimemc
🎉🎉🎉❤❤❤ kutka Lusaka zambia like zangu jamani?
Watatu leo jamani
Imekaa poa Sana, mwamba komaa, inafundisha pia inaelimisha, mungu akubariki❤❤❤
Baba joan wewe ni 🔥
Tayari na hongera kazi nzuri
From Kenya 🇰🇪 Nairobi , aki mnanifanya nilie aki mama karobo
Baba kalobo kazi yako ninzuri MUNGU aendelee kukuinua 🙏🙏
Nice❤
from Kenya naomba support yenyu ya subscribeers😢😢😢
Here I am I can support you
Una supportiwa kufanya nini
Nipeda sana muvizako haki mungu akurinde kaka mm jesika kutoka ngara nimepeda San mm mutazania
Kaz nzur sana hongern🎉🎉
Ameleta uchawi wake kwako ili abaki na wewe.pole sana baba karobo.
@Baba joani kwa kweri unacheza vizuli ninapenda sana movies zako
Waa hii filamu huniliza aki😢😢😢
Sngle mother tujufunze kupitia hiii move inamafundisho ndani yake tuwalee watoto hatakama syo wako wa kuzaaa wew Lea mung ndiye atakae jb
Leo nimewahi mapema from Kenya 🇰🇪💪💪 big up
Maman karobo anaroho yakinyama kabisa ila karobo ayavumiye Mana sikilamtuu abaye anaye weza kumuleya mtoto wamwengine courage félicitations
Ilove it
Kumbeee mchawiiii ndorafikiii yakoo waaaaa ndoukamuua iliupate kuolewaaa hukutoshekaa akamuua kabisaa ukatawala mumena mtoto
Kumbe kulienda ivi ee mama wakambo x mama karobo 😢😢😢Yako yaja zujat anavaa njuga ww kitakulamba ba ww
Boss usikawuye tena siku engine, kigali rwanda 🇷🇼 ♥️
Kazi zuri Baba Joan may God grant you with more creativity
From kenya following ❤❤
Kwani huyo mtoto ni wake kweli anafanya nimelia 😢😢😢😢sana akanikumbusha maisha yangu ya mama wakambo karobo pole aki
Love you karobo❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Baba karobo achana na yanga mama karobo hata kufanyia jeur
Karobo hongera sana mungu akujalie
shukran Sana wallah najifunza mengi kupitia hii filamu..sema sometimes machozi uni bubudika na roho yangu kuuma..ila nawapenda Sana kutoka kenya na shukran sana
Tunataka ingine hiyi cinéma ni nzuli sana tuko pamoja hapa Burundi
Kazi nzuri sana👌👌👌
Nimeipenda Sana mpaka imeniliza kwakweli 😢😢😢 nmejifunza San
Tuma nyingi baba joan kamoja tu mwish ni upi wa baba yang kipofu
Kwan ww ni mama wa Mambo au maana sio kwa mateso ayo❤❤
Alikuwaa rafikii wa mkee wake,,baaada ya mke kufariki ndo akaolewa yeye
Força meus irmão é bom trabalho Deus abençoe sempre ❤
Kazi nzuri keep it up
Ninzuri sana inamafunzo asanteni sana baba kalobo
Jamani ni movie lakini inaniliza sana kuusu kutoseka hivyo wanawake sisi tujufuze kupitia hizi movie 🎬
Ngkuwapo mm ningmktakta kwa kisu km nyma vile ilo mama kalobo
Asante kwaku tufunza kupitia filamu yenu, tunashukuru🙏
Bravo baba joana na team yko❤❤❤