KAZI ZA ROHO MTAKATIFU by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- KAZI ZA ROHO MTAKATIFU by Innocent Morris
Katika somo utajifunza kazi mbili kuu za Roho Mtakatifu. Ni muhimu sana katika maisha yako ya kiroho. Somo hili litakuonyesha Roho Mtakatifu alivyo wa muhimu katika maisha ya mkristo.
"Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia."
Yohana 14:26
Ubarikiwe sana.
Contact: +255652796450 (What5sApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
TH-cam Link:
/ holyspiritconnect
Amen
Ameen
Oh Hallelujah! Hili neno mtumishi ni kubwa mno mtumishi😢
Mungu akubarki san mtumishi kwa mafundisho nimepata kitu ubarikiwe san
ameen
Amen amen 🙏. Baba tuzidishie uvuvio wa roho mtakatifu from USA.
Hili ni neno la uzimaa kweli na ni moto ulao, ooh halleluyaaa!!santee mtumishi
Barikiwa sana.
God bless you man of God👏🏻👏🏻🥲👏🏻
Ameen
Asante kwa mafundisho
So powerful all the Glory and Honor to Jesus the son of David.
Amen
Amen