CAG Zanzibar afunguka "majibu yasiyoridhisha" upotezu wa bilioni 1.544 Wizara ya Afya Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @chomwabonzo8811
    @chomwabonzo8811 2 ปีที่แล้ว

    Alaaa

  • @chomwabonzo8811
    @chomwabonzo8811 2 ปีที่แล้ว +1

    Na hakuna huduma yoyote yamaana kwenye swala la afya ubabaishaji tu haya ss mwenye dhamana anaambiwa tutamalizana na anaekuja aise ongeza duaa watakuondosha hao ee

  • @imranijuma6955
    @imranijuma6955 2 ปีที่แล้ว

    HUYU JAMAA HEEE LEO KAONGEA VIBAYA SANA

  • @asyaameir8703
    @asyaameir8703 2 ปีที่แล้ว

    SERIKALI YOTE NI WIZI MTUPU SIO WIZARA YA AFYA TUU, SERIKALI NZIMA WIZI MTUPU

  • @shafiishafiishafii8281
    @shafiishafiishafii8281 2 ปีที่แล้ว

    Heeee
    Mapesa mengi yanapotea ya walipa kodi
    Sijui hatua gani zitachukuliwa

  • @yranhassan8788
    @yranhassan8788 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuongoza serikali ni jambo gum sana

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ndugu sio Jambo jepesi

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 2 ปีที่แล้ว

    Set a thief to catch a thief

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 2 ปีที่แล้ว

    Shamba la bibi

  • @Aviero_07
    @Aviero_07 2 ปีที่แล้ว +1

    Fresh, acha KARMA iwanyooshe, tafunen hela za masikini lakin wazee hamutokuw na aman wakuu..