Rais Mwinyi amjibu Ali Karume, amwambia anaongea upuuzi tu, uchaguzi ulikuwa huru na wazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Rais Mwinyi leo akizungumza na waandishi wa habari.

ความคิดเห็น • 485

  • @nyungwajunior1301
    @nyungwajunior1301 ปีที่แล้ว +12

    Ukimsikiliza vizuri mheshimiwa Mwinyi utagundua ana utulivu mkubwa sana anapojibu hoja.
    He is very smart

    • @khamismaulid6839
      @khamismaulid6839 ปีที่แล้ว

      Hana usmati

    • @KhadijaAliMohd-rn6mn
      @KhadijaAliMohd-rn6mn ปีที่แล้ว

      WACHA UJINGA HUWO WW.
      ZNZ MWAKAWA60HUU =0
      WATU MIL.3 HATUFK!!!!!?????

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 ปีที่แล้ว

      Utulivu gani wakt anajua fika CCM chaguzi nyingi wajashinda kihalali!!!!????

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 9 หลายเดือนก่อน

      Utulivu Labda WA nyokweeeee

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 ปีที่แล้ว +14

    Tunataka mamlaka kamili ya ZANZIBAR. Tujengee BANDARI.

  • @KASIMMASTER-gv9tx
    @KASIMMASTER-gv9tx ปีที่แล้ว +5

    Mwaka uliopita uchaguzi haukuwa huru bari ulikuwa uchafuzi

  • @santennko1195
    @santennko1195 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Endelea mbele tengeneza zanzibar ya uchumi wa Kati. Barabara ya Airpot ni muhimu sana Iwe njia 4 watalii Waingie, wasafiri twende kwa raha. Safi Sana iboreshwe. Sisi Bara tunaunga mkono juhudi zako zako na ubunifu wako.

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  8 หลายเดือนก่อน

      Kwani nyie Bara ndo wakaazi wa Zanzibar?

  • @gastomoshi8851
    @gastomoshi8851 ปีที่แล้ว +11

    Mimi namunga mkono Ali karume aslimiya 1000000000

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 ปีที่แล้ว +7

    Mh Rais wewe ni mzuri sana tena sana ila mfumo uliokuweka madarakani ulishakuwa na mashaka tokea mwanzo ndo maana hata ukishinda Kwa halali watu wanaweka doubt Kwa hivyo boresheni tu hii mifumo ya uchaguzi.

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +6

    Huna majibu, tunajua mfumo wa uchaguzi wetu ni wizi tu na zulma

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว +6

    rais hajibu upuuzi lakini anajibu

  • @allyal-sharawymwadini3111
    @allyal-sharawymwadini3111 ปีที่แล้ว +4

    Kwn maeneo mengin ya kujenga hamuna tukawa tuna viwanja 2 kulikua kuna sababu gani kubomoa kilichopo na si tunapoteza muda zaidi Ally karume yupo sahihi

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 ปีที่แล้ว +4

    Kweli mwakaa huu uliwa wazi uchaguzi ila wapemba tumeuliwaaaa😅

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 ปีที่แล้ว +9

    Kweli uchaguzi ulikuwa huru na wa haki ndomana watu wakauwawa na wakabakwa ndugi zetu na wazee wakapigwa pasi za makalio hali yakuwa wakiwekwa uchi. Muogopeni ALLAAH nyinyi

  • @idrisaaliy9847
    @idrisaaliy9847 ปีที่แล้ว +9

    Aaah kake weeee uchaguzi gani ulikua huru jamaniii hhhhhh .....

  • @ZANAMBER12
    @ZANAMBER12 ปีที่แล้ว +11

    Ukweli utabaki kuwa ukweli watu wote wa zanzibar waliona jinsi ya uchaguzi wa zanzibr ulivyoendeshwa mfano ni kura ya mapema kwa kaida mwizi hata kakikamatwa kizibiti mkono hujitetea kama mimi sio mwizi haya ww endelea kuficha ukweli iko. Siku ukweli utakuumbua tu

    • @mzeejumbe900
      @mzeejumbe900 ปีที่แล้ว

      Ndio yashapita hayo, waswahili wanasema yaliyopita sindwele tugange yajayo na penye rizikii hapakosi fitina, muacheni kijana cha watu achape kazi si mlikuwepo kama yaliwashinda sasa lawama zanini, chapa kazi mheshiniwa tuko pamoja nawe mazuri yako tunayaona.

    • @ibrahimabdullah1887
      @ibrahimabdullah1887 ปีที่แล้ว

      @@mzeejumbe900 basi wafute makovu na wale vilema walioekwa ndio yaishe

    • @ahmedseif9461
      @ahmedseif9461 ปีที่แล้ว +1

      Hata haya hana dhalimu huyu CCM haijawahi kushinda tokea uchaguzi wa 95 salmin Amur

  • @arsenalzanzibar2413
    @arsenalzanzibar2413 ปีที่แล้ว +14

    Family Yetu Tupo Watu Zaid Ya 200 Wanaopiga Kura Ata Watu 10 Hawafiki Cuz Hawapewi Vitambulisho
    Mukitenda Haki Wallah Asubuhi Mapema Tunawapiga Chini

  • @SeifDorado-th5ud
    @SeifDorado-th5ud ปีที่แล้ว +5

    Mbna wao walishindwa kufanya kitu baba piga kazi mzee mm nakubali juhudi yako wakikusumbua niachie mm

  • @Lyakatali-s7x
    @Lyakatali-s7x 8 หลายเดือนก่อน

    Kudos Mr President kudos... Chill , when push comes to shove we got u , we got this Broo .

  • @salehkhalfan7345
    @salehkhalfan7345 ปีที่แล้ว +4

    Pongexi zimuendee Mh. Ali Karume popte alipo

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 7 หลายเดือนก่อน

    Muheshimiwa Rais endelea na kazi zako za maendeleo.Yajayo ni neema.

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 ปีที่แล้ว +3

    Duh Hussein Mwinyi bado unaamini kua uchaguzi wa 2020 CCM ilishinda na huo uraisi umeupata kwa kushinda kura?? Laa haula wala quwwata illa Billah.

    • @kassim1262
      @kassim1262 ปีที่แล้ว

      Anajua kila kitu anajua kuliko cc tunavojua lakin unapokua naalama yaunafik abadani ukweli huutaki unafik tu sio hiari yake hiyo na akitaka aamini kama mnafiki astahamili mpk uchaguzi mwengine tukijaaliwa

  • @omaribrahim1087
    @omaribrahim1087 ปีที่แล้ว +5

    Tangu 1964 mpaka leo kipi kikubwa kilichofanyika

    • @missarepafra3973
      @missarepafra3973 ปีที่แล้ว

      Ukilazimisha kuwa kipofu wakati unaona hutapata wa kukusaidia maana watu wanajua unaona ila hutaki kuona.

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 ปีที่แล้ว +10

    Mwaka huu watu wamekufa wengi kura mara mbili nd vp sas

    • @alyspare4850
      @alyspare4850 ปีที่แล้ว

      Eti uchaguzi wa haki hakuna kama huu ulioniweka madarakani elewa mungu anakuona

  • @eliadaniel216
    @eliadaniel216 ปีที่แล้ว

    Mhe rais wew piga kazi tu uzuri wanzanziba wanakupenda na wanaona juhudi zako hayo mengine ni maneno ya wakosaji baba wew ni chuma wachawi huwa hawakosi god is great

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri mh Rais Mungu akupe Afya njema

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 ปีที่แล้ว +2

    Mwinyi.jibu.maswali.uchaguzi.ulipita.mliiba.kura.kama.hujui.mungu.anajua.maisha.ya.dunia.ni.mapito.magu.yuko.wapi.?????

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor ปีที่แล้ว

      Kabisa bro aw wiz wanauw ndug zetu Bure mung atujaalie tupat shaba turipuan t

  • @Mumewangu
    @Mumewangu ปีที่แล้ว +14

    Ccm hawajawahi kushinda tokea 64 Mimi nilikuwa mwenyekiti miaka iyo

    • @husseinkarim6745
      @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

      Ulikuwa mwenyekiti wa CCM Maana wewe ni.mwizi mkubwa.

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 ปีที่แล้ว +12

    muheshimiwa umefanya mazuri meengi sana maisha pia yako vizuri sawa tunahitaji tume huru ya uchaguzi pia toa viambulisho vya uzanzibari ukaazi halafu usilete mazombi uone sasa wazanzibari tutakavyokunyooosha asubuhi na mapema

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb ปีที่แล้ว +1

      😂😂 Khatari

    • @abdallahabdallah8612
      @abdallahabdallah8612 ปีที่แล้ว

      Hayo mapinduzi hayeshi mpaka mfanye sherehe kupoteza pesa tu wekeni benk holiday tu kama wezenu ulaya

    • @kassim1262
      @kassim1262 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂Hasubutu

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 ปีที่แล้ว

      Pia waondoshe kura ya mapema halafu tuone kama watashinda kweli

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

      Njaa inazidi Zanzibar

  • @georgenyoni9879
    @georgenyoni9879 ปีที่แล้ว +3

    Strong man ,young president ,wise man

  • @maulidali7657
    @maulidali7657 ปีที่แล้ว +1

    Barabara za unguja za chochoroni kila sehemu zinaje unguja na chochoroni pemba ziangaliwe

  • @SabeehaAlawi
    @SabeehaAlawi ปีที่แล้ว

    Raisi wetu kipenzi naomba tukujibie ilo suala la kwanza yani mara hii ikiwezekana usifanye ata uchaguzi wewe malizia tu miaka yako baba.kazi zako zinaonekana

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 ปีที่แล้ว

    Anasema uchaguzi ulikua wa wazi yeye mwenyewe anajishangaa pamoja na wanao msikiliza😅😅😅

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 ปีที่แล้ว +6

    Majibu mabovu upuuzi upi sasa

  • @alhajjkassim2648
    @alhajjkassim2648 ปีที่แล้ว

    Mh Piga kazi, walio pita hawakujadiliwa sababu walikua na maslahi kwao wao , Allah akusimamie.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 ปีที่แล้ว +3

    Kama uchaguzi ulikua wa kweli mbona watu walipigwa mabomu yalikua ya nini mabomu

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว

      Kama wewe una mali yako halali unaweka walinzi wa nini?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว

      @denisipalo7785.Haukuwa Uchaguzi bali UCHA-WIZI (Uchaguzi wa Wizi) na ulikuwa Huru kuwauwa Waislam wa Zanzibar kwa faida ya kwao Tanganyika na kuwa Khatib wa Misikiti ya Zanzibar.

  • @gloriachristian1470
    @gloriachristian1470 ปีที่แล้ว

    His excellence honorable husain Ali mwinyi,,you,re soo smart keep on brother

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 8 หลายเดือนก่อน

    Mh.Mwinyi ndiye Rais Bora zaidi hapa Zanzibar

  • @alfredmbwilo7354
    @alfredmbwilo7354 ปีที่แล้ว +1

    Raisi mwinyi kwanini mnakuwaga mnapiga watu kipinda cha uchagusi kama mnashida kwa harali mnadagaya watu hamnauweso wa kushida hatamalamoja

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 ปีที่แล้ว +2

    Anachokijua ni kubabaisha kilichosemwa tu, na wala hajibu hoja.

  • @munalove450
    @munalove450 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusimamie inshaallah

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini ปีที่แล้ว +16

    Mtu mzima haipendezi kuwa muongo, uchaguzi upi huo wa huru na wa wazi....Unasema mdomoni mwako na nafsi yako yaujuwa ukweli...Hesabu yakuongojea.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว

      Ndio kawaida ya wanafik kusema uongo na kujipamba

    • @abdulyabubakar6247
      @abdulyabubakar6247 ปีที่แล้ว

      We utakuwa muikristo wewe 😢

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana mzee.

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc ปีที่แล้ว

    Rais mwenye maneno africa mzima namba moja

  • @hamadfaki3990
    @hamadfaki3990 ปีที่แล้ว +8

    Sisi tuko bega kwa bega na ali karume

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว

    HOJA NI NZITO SANA.KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI VINGETUPA MAJIBU MAZURI.

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 ปีที่แล้ว +1

    Rais mwinyi mm nakukubal sana ata mm nimebadilishwa jina naitwa raise mwinyi Kwa mambo mazuri nnayo fanya mazur kama unavyo Fanya ww

  • @halimamahundu4006
    @halimamahundu4006 8 หลายเดือนก่อน

    allah azidi kukuongoza katika misingi ilio sawa mr president

  • @imranmohammed3785
    @imranmohammed3785 9 หลายเดือนก่อน

    Mitano tena inshallah Raisi mwinyi

  • @vuaipanduhaji3681
    @vuaipanduhaji3681 ปีที่แล้ว

    Vijijini sio kweli😢😢😢 twendeni paje na uroa tukahakikishe maneno ya rais.

  • @magangamdogo3301
    @magangamdogo3301 ปีที่แล้ว

    Kwenye barabara jamani mwinyi muacheni kbs mweshimiwa Rais wa wa zanzibar kua naamani fanya kazi juhudi zako tunaziona

  • @danielmgeni1703
    @danielmgeni1703 ปีที่แล้ว +5

    Shida nchi yetu hi wajinga wengi Sana

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +5

    Kama kujenga ungeanza na Barbara ya jang'ombe ambayo haifai, unakwenda kuvunja Barbara mzma!! Umebugi Sana kijana, ww ndo uombewe dua kwa upuuzi wako

    • @alyspare4850
      @alyspare4850 ปีที่แล้ว

      Asante mzee mwezangu

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว

      kwani haitajengwa?! hivi unajua umuhimu wa hiyo barabara mpaka ikaanza kujengwa?!

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 ปีที่แล้ว

      @@rayisadesigns2646 barabara zote ni muhimu maana watumiaji wote ni binaadamu

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana Ahmed Seif mpuuzi yeye na hao wasaka tonge wanaomsapoti

  • @honestyfirst2165
    @honestyfirst2165 ปีที่แล้ว

    Go ahead your excellency. I am east african.

  • @hikmanalkanan9365
    @hikmanalkanan9365 ปีที่แล้ว

    Nakupenda rais wangu

  • @mohdhassan6083
    @mohdhassan6083 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante ahsante ahsante Mheshimiwa ndugu yetu Rais. Allah akuzidishie uwezo wako WA kutenda

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว +3

    KWANINI WASICHUKULIWE HATUA WALIO HARIBU FEDHA HIZO ,BALI UMEWABADILI SEHEMU KWENDA SEHEMU NYINGINE.

  • @SalehRashid-zz7dc
    @SalehRashid-zz7dc 5 หลายเดือนก่อน

    hongera Ali karume kwa kusema ukweli

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 8 หลายเดือนก่อน

    Hatuwataki hawa viongozi tunaoletewa kutoka Tanganyika, Wazanzibari wapo wakidhalilishwa na hawa viongozi kutoka Tanganyika.

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri acheni kuleta wawekezaji Zanzibar hao ni wakoloni wapya Mbona Abeid karume alijenga bila wawekezaji? Fundisheni watu wenu waijenge nchi Yao tamaa ya Kodi itatupeleka utumwani mapinduzi tutapoteza maana yake .

  • @Daawa-l8s
    @Daawa-l8s ปีที่แล้ว +12

    Hahahahaa haki inaitwa upuuz

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว

    Unachofanya kuijenga Zanzibar ndicho kinawachanganya wenye nia mbaya, ni kama ilivyokuwa kwa JPM. Mungu akulinde na mahasidi.

  • @allyal-sharawymwadini3111
    @allyal-sharawymwadini3111 ปีที่แล้ว +2

    Zambi hizo uchaguzi up ulokua huru jamani

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 ปีที่แล้ว +1

    Mwinyi jibu hoja hacha kuleta kejeli kwenye swala lamuhimu... Hacha huu CCM hapo

  • @shabanikakongo-f5n
    @shabanikakongo-f5n 8 หลายเดือนก่อน

    wazanzibar waache unafiki, mbona marehemu maalim seifu alipowaambia kuwa mshikeni mwinyi nimemkubali. wote wakamkubal na kumshangilia maalim. rais mwinyi piga kazi binadamu hawana wema

  • @alijuma9951
    @alijuma9951 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah Allah akufanyie wepesi
    Nashari za mahasidi wanapo husudu

  • @saidkhalifa34
    @saidkhalifa34 ปีที่แล้ว

    Msiwaruhusu hao waandishi kuuliza Masuali yanayo mhusu Ali karume na Mh Rais

  • @ramadhanikapuku5901
    @ramadhanikapuku5901 ปีที่แล้ว +3

    Chapa kazi mzee. Kazi iendelee

  • @abdullaalwikabil3371
    @abdullaalwikabil3371 ปีที่แล้ว +1

    Nyie mnao tetra si wa Zanzibari mzanzibari yoyote atamuunga mkono Ali Karume

  • @hamadjumakombo9793
    @hamadjumakombo9793 9 หลายเดือนก่อน

    Barabara zijengwe ni maendeleo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 ปีที่แล้ว

    WAZANZIIBARI wanataka kuendesha serikali yao WENYEWE, hawataki kuongozwa na WATANGANYIKA.

  • @hemediseseme9048
    @hemediseseme9048 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mheshimiwa Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi kwa majibu mazuri. Wanapenda kuipaka matope serikali ya CCM wameishiwa na hoja wanatapatapa kama mfa maji. Ni kuwaombea dua, siku zote wanabeza mafanikio ya CCM. Mapinduzi daima.

  • @khadijajuma3887
    @khadijajuma3887 ปีที่แล้ว

    Raisi mwinyi ana nia njema na Zanzibar mwacheni apige kazi msmtie maneno

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH akufanyie wepes katika uongozi. Kuongoza nchi sio kazi ndogo. Na stress za wananchi wako.. binadamu hatuna Shukran

    • @Mumewangu
      @Mumewangu ปีที่แล้ว +1

      Wizi tu

    • @natafutamatatizo4382
      @natafutamatatizo4382 ปีที่แล้ว +4

      UMETUMWA UJE UIHUJUMU ZANZIBAR, UZA KILA KITU BAADAE UENDEZAKO MKURANGA UKATUMIE HARAMU ULIYOWAIBIA WAZANZIBARI!

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mabarabara ya Zanzibar wote ni mabovu kwa sababu yalijengwa zamani. Lakini wanata kujenga Daraja kutoka Zanzibar hadi kwao Tanganyika.

    • @aliferuzi1537
      @aliferuzi1537 ปีที่แล้ว

      BRO WACHE LIJENGWE SI HATA WEWE UTAPITA KUNA SHIDA GANI ILA BADO UWANJA UNGEACHWA KWA UWANJA WA VIWANGO VYA FIFA HAUCHEZEWI GWARIDE ILA KAZI INAFANYIKA HONGERA MKUU

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว

      @aliferuzi1537 Swadakta! Baba wa Kanisa Julius Kambarage Nyerere hakukosea alivyosema:
      "KUTAWALIWA NI SAWA NA UTUMWA."
      Hakufafanua bali MTAWALIWA na MTUMWA wote hawana HAKI, UHURU, SAUTI isipokuwa kufuata AMRI ya MTAWALA au MWENYE MTUMWA.
      1) Amri ya MAPINDUZI YA ZANZIBAR ilitoka Tanganyika.
      2) Amri ya MUUNGANO NA ZANZIBAR ilitoka Tanganyika.
      3) Amri ya CHAMA CHA MAPINDUZI ilitoka Tanganyika.
      4) Amri ya URAIS WA ZANZIBAR hutoka Tanganyika.
      5) Amri ya IKULU YA ZANZIBAR kwenda Tanganyika ilitoka Tanganyika.
      6) Amri ya DARAJA KUTOKA ZANZIBAR kwenda Tanganyika ilitoka Tanganyika.

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo inajulikana tokea vyama vingi 95 ccm haijawahi kushinda huo ndo ukweli

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 ปีที่แล้ว +2

    Kaongea ukweli Ali karume

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 ปีที่แล้ว

      Ccm haijawahi shinda zanzibar huyu yeye alipewa tu na kwanini zanzibar uchaguzi ulifanyika mara mbili?

  • @razackmuba8195
    @razackmuba8195 ปีที่แล้ว +1

    Balozi Ally karume, ana mapungufu niwaombe wa Zanzibar wenzangu kuumpuuza huyu mzee

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 ปีที่แล้ว +1

      Nani ambuunze msema ukweli labda wewe na wapumbavu wenzako

    • @kassim1262
      @kassim1262 ปีที่แล้ว

      Unamapumgufu ww unaekataa ukweli kwaio.ww mpumbavu mpuuze hakuna mzanzibar atakaempuuza ali karume anajua yote kuhusu ccm inavoshinda uchaguzi znzbr ww ata kadi huna kwenye vikao hujawahi wala hutarajii kuitwa hlfu et anaupungufu em fkiria hapo kwanz nani anaupungufu kama co ww unaekataa ukweli

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj ปีที่แล้ว

    Muacheni mwinyi ainga'rishe Zanzibar mmezoea kuona Zanzibar inadidimia 🙂

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 ปีที่แล้ว +2

    Mh piga chini wabadhirifu wa pesa za umma usiwabadilishe ukawapa nyadhifa zingine tunasikitika sana

  • @suleali839
    @suleali839 ปีที่แล้ว +4

    Huenda Ali Karume yupo sahihi ndio maana amepuuza.😂

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 ปีที่แล้ว

    Hongera chukua chako m ukajeng mkur 10%

  • @noffalsalim
    @noffalsalim ปีที่แล้ว +1

    Wewe mwinyi kumbe hufai .ww ulishinda lini.ccm tokea lini kusinda Zanzibar. kazi kusema uongo mtu mzima

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 ปีที่แล้ว

    Nakukubali 💯

  • @SaudaOmar-t1z
    @SaudaOmar-t1z 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah anahekma ya kujibu mno

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว +2

    Dr Mwinyi usijali wapuuzi na walevi. Baba yake alimchagua nani? Kaka yake Karume kama hakushinda mbona hakukataa Uraisi. Hujampa cheo mzee mwezangu.

  • @HamadHamad-oy7mp
    @HamadHamad-oy7mp ปีที่แล้ว

    My president huna majungu piga kazi

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 ปีที่แล้ว +1

    Hatari na hakuna pakukimbilia hukumu ikifika, Allah atupe mwisho

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 8 หลายเดือนก่อน

    Chapa kazi achana wa walevi na washirikina

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 ปีที่แล้ว +1

    Hatukutaki upita kwa miguvu tu

  • @rosekweka7605
    @rosekweka7605 ปีที่แล้ว

    Pita kila Kona nawanaoujumu uchumi washone ndani Raisi mwinyi hoyoooooooo

  • @saidabdallah2824
    @saidabdallah2824 ปีที่แล้ว

    Kweli muheshimiwa nakubali
    Bina adamu ndivo tulivoo
    Achana nawoo ss tuna taka
    Maendeleyo

  • @d15355
    @d15355 ปีที่แล้ว +1

    Asante saana kiongozi hana hoja ALI KARUME kashakata tamaa anaona kabisa hakuwezi aliku underestimate akakuchukulia kuwa wewe ni underdog lakini mbaka sasa umempiga KO ya nguvu yeye na wenzake ndio anatapatapa tu, hii ndio sababu Mkapa alimwacha yeye akamchagua kaka yake awe rais sababu alishamuona hafai kuwa kiongozi anakuupuka mno halafu ana asili ya udikteta ali karume ndio maana hata CCM wenzake wanamnyanyapaa.

    • @muznamohammed1366
      @muznamohammed1366 7 หลายเดือนก่อน

      Hawa ni watu walio toka kwenye Familia ya ukada wa CCM. Ukiona hata wao wa nasema ww ni Nani unaopinga mambo yaliyotokea acha kujifanya ww ni kada Mkuu, kulikoni yeye huyu Ali karume, Fatma karume haya ni majembe ndio maana serikali I naogopa kuwapa serikali

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 ปีที่แล้ว +1

    Fisadi mkubwa mwinyi kwetu pemba maji ni tatizo sugu muongo mkubwa humujawahipo kulitatua. Usiseme uongo Allah anakusikia na Inshaallah akuhukumu kwa hilo.

    • @salimsharif6493
      @salimsharif6493 ปีที่แล้ว

      Haaaa yaan mungeon haya wakt mm nishahid was Kira rafki yng mm nmehesabu kura kwa mkono kbisa

  • @missarepafra3973
    @missarepafra3973 ปีที่แล้ว

    Bangi mbaya!
    Mwenye macho haambiwi tazama.
    Huyo na sister wake ni hasara kwa taifa.
    Mawazo ya umamuluki yanawasumbua hao.
    Piga kazi Daktari.
    Upo kwenye track.
    Kweli hujitetea yenyewe na uongo ni kama mvuke kutaka kuwa hewa kisha hurudi kuwa maji TU!

  • @JamalMshenga-ex5ui
    @JamalMshenga-ex5ui ปีที่แล้ว

    HATUNA SHIDA SSI RAIS, SHIBE KWENDA MBELE. NA UCHAGUZI UMETANGAZWA NA TUME, HAPO KAZI TUU. lakini ungenigaia laki moja tu mie.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 ปีที่แล้ว +1

    Unamuunga mkono mganga njaa huyo .Muda wake ulishaisha Acha mheshimiwa afanye kazi .

  • @allyzanzibar8983
    @allyzanzibar8983 ปีที่แล้ว +1

    Uchaguzi wazi utakuwa huu wa 2020
    Hautokei kam 2015 na CCM waliufuta

  • @adammlonganile7921
    @adammlonganile7921 ปีที่แล้ว +1

    Mwinyi Piga kazi, chokochoko zingine ni upuuzi tu, na nyingine haziletwi na wanasiasa isipokuwa baadhi yao ni haohao wanaokuhoji

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini ปีที่แล้ว +1

    Kama unassembled kweli basi acha uchaguzi uwe wa huru uone vipi utakavyo nyolewa

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว

    Huyu kiongozi yuko vizuri hata angepewa Tanzania angemudu kuliko Samia 😮

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 ปีที่แล้ว +6

    Sasa ww rais unazingua uchaguzi gan ule au uchafuzii

  • @kisa6022
    @kisa6022 ปีที่แล้ว +1

    Lol uchaguzi huu uliopita Kweli hazarani maana watu walipigwa bila kificho