Jamani ili tuweze kupata hukumu stahiki kwa watu lazima tuwepo na hawa wenye kumtetea mshaktiwa na kutafuta matundu kwenye kesi na lengo lao ni kusaidia kuzibwa kwa hayo matundu na kupatikana kwa ushahidi usio na chembe ya shaka.
tunajua kuwa hata huyo wakili anajua kama kilichitendeka ndio haki lkn yeye yupo kwenye mstari wa kutetea ugali wake sisi watanzania haja yetu ilikuwa kuona haki inatendeka na imetendeka na hata ikikatwa rufaa maombi yetu haki iendelee kutendeka
Hafai kabisa, ukisikia kusaka tonge sio huko,labda kama anaingiza,na labda kama amesaidia katika mwenendo wa kesi ili kuwatia hatiani washitakiwa,kama ni hivo basi Mimi naweza kimuelewa.
Huyu wakili ukiachilia mbali kusaka tonge kwake, kwani hana hata watoto!! Haogopi kuwa na yeye yanaweza kumpata kwa wanae! Aisee kuna vitu vya kutetea na vingine sio vya kutetea. Aache uwakili wa kijinga aisee.
Bado jamaa hajakubali kushindwa c jaji tu hata sisi tumejirizisha na video hakuna kilichobadilika hapo kila kilichokuwa kwenye video wahusika ndio hao hao. Ayo ya hati ya mashtaka sisi hatuyajui cha msingi tumejirizisha kua wamefanya
Mim bado sijaridhika na hukumu hii vipi kuhusu fidia kutokana na matatizo ya kisaikolojia na kumdhalilisha utu wake mbele za jamii nadhani aliyewatuma watuhumiwa awajibike kulipa fidia ndo itakua haki
Yaani bado Mpaka Leo tuna wasomi wapumbavu kiasi hiki wanasoma ili kutetea wafanya mazambi wanatetea wahalifu KWA elimu zao za kipumbavu wasomi wa kishenzi kabisa
Hivi mbona unaongelea point Moja ya hakimu? Kwani hilo la simu ndo mheshimiwa hakimu ameliongelea tu? Mi nahisi mheshimiwa Hakimu ameeleza ni Kwa Nini amewakuta na hatia, na hayo maelezo uyaseme
@@maneno_kairuki Basi mahakama na magereza havitakuwa na maana. Kumtetea mtu ambaye unajua, kaiba, kaua, kabaka nk ni sawa na kuungana naye ktk huo uhalifu , lakini hao waharifu wanayo haki moja nayo ni kujutia makosa yao kwa Mungu na kumwomba ili awasamehe wasiende jehanam ya milele.
Daaah ni fundisho kwa vijana wote tuwe na hekima na tumwoogope mungu
Nyinyi mawakili mungu atawaona mnatetetea dhulma wakt kila kitu kipo wazi
Woyooooooo safi sanaaa
Huyu wakili aliyekuwa anawatetea tunaomba mungu limtikee mwanae siku moja
hakika yametimia.
Tumeridhika na hukumu na tumefrahi ila msije mkaleta janja janja wakatoka aseeee
Jamani ili tuweze kupata hukumu stahiki kwa watu lazima tuwepo na hawa wenye kumtetea mshaktiwa na kutafuta matundu kwenye kesi na lengo lao ni kusaidia kuzibwa kwa hayo matundu na kupatikana kwa ushahidi usio na chembe ya shaka.
Safiiiiiii wanyongwe kabisa
Safi
Ebuu kaa kwa kutulia wewe mwogope mungu
Dah! Imeuma kwa kwel.. Haki imetendeka lakin maumiv ni makubwa kwa wazaz wa hawa vijana wa hovyo..
Duuh vijana tuwe makini vitendo visivyo vyema
Mm ningependa na yeye afukunzwe kaz
Wafungwetu achen kutetea ujinga wananchi wanahasira mtasababisha machafuko kwenye Taifa letu
Da? Poleni sana madogo mnaenda kula ugali na maharage. mafuta huwa ni mawese.
Ila uwakili huu ni uwakili kichaa
Wewe wakili km la mm yko
Ila mawakiri mungu anawaona
Kwa yule kijana mchaga wamemwonea hakuna mchaga anayeweza kutongoza huwa wanabaka kwa hiyo yule ni uridhi wao
Na yule mama tunamtaka hatutaki mchezo
Afande mwanamke sion kosa lake pale ww na akili yako timam unaambiwa ukafanye upuuz unakubali ndio tujifunze.
Gd
Hivi huyu wakili anatetea nini angebakwa mtoto wake au dada yake angeongea huu utumbo
Angekuwa ni mtoto wake aliefanyiwa ivyo angeongea ivi 😢
Mwanasheria kasomea ujasiri yan sisi katuona kama watoto 😊
tunajua kuwa hata huyo wakili anajua kama kilichitendeka ndio haki lkn yeye yupo kwenye mstari wa kutetea ugali wake sisi watanzania haja yetu ilikuwa kuona haki inatendeka na imetendeka na hata ikikatwa rufaa maombi yetu haki iendelee kutendeka
Hafai kabisa, ukisikia kusaka tonge sio huko,labda kama anaingiza,na labda kama amesaidia katika mwenendo wa kesi ili kuwatia hatiani washitakiwa,kama ni hivo basi Mimi naweza kimuelewa.
Mbona matukio mengine ya simu mnayashugulikia na mnafanya kama ishahidi?
Huyu wakili ukiachilia mbali kusaka tonge kwake, kwani hana hata watoto!! Haogopi kuwa na yeye yanaweza kumpata kwa wanae! Aisee kuna vitu vya kutetea na vingine sio vya kutetea. Aache uwakili wa kijinga aisee.
Hizo ni submission zisizo na msingi
Wakili acha blablaaaa, haki imetendeka angekuwa dada yako ndio kafanyiwa hivyo ungesema hayo maneno?
Hawa mawakili wanaowatetea tuanze kudili nao nao tuwashitaki
Bado jamaa hajakubali kushindwa c jaji tu hata sisi tumejirizisha na video hakuna kilichobadilika hapo kila kilichokuwa kwenye video wahusika ndio hao hao. Ayo ya hati ya mashtaka sisi hatuyajui cha msingi tumejirizisha kua wamefanya
Ndio dawa yao wafungwe tu wametaka wenyewe usela umewazidi
vipi kuhusu polisi ambaye ni boss kapewa hukum gani... au tunadeal na pelege
hv huyu ana akili
mi mwenyewe nimejiuliza yani kama ni wakili hana akili
@@chizcom4229 akili hana hajui kazi yake. Kazi ya wakili ni kuwakilisha na sio kulalamikia maamuz ya jaji
😂😂
Flam wanakwenda kuwa huru mbele
Mim bado sijaridhika na hukumu hii vipi kuhusu fidia kutokana na matatizo ya kisaikolojia na kumdhalilisha utu wake mbele za jamii nadhani aliyewatuma watuhumiwa awajibike kulipa fidia ndo itakua haki
Wewe wakiri muongo na ndio kazi yenu ya kuongopa Angekuwa mtoto wako ndio kabakwa na hilo kundi leo ungewatetea ? Pumbavu Justice has been done ✅
Yaani bado Mpaka Leo tuna wasomi wapumbavu kiasi hiki wanasoma ili kutetea wafanya mazambi wanatetea wahalifu KWA elimu zao za kipumbavu wasomi wa kishenzi kabisa
Umenyata sura mpaka roho
Hyu mwanasheria kasomea wapi
HII MIWANASHERIA NDO NAHISI ILIPATA DEGREE YA SHERIA KWA KUGEREZEA MITIHANI NYAUUUUU
Hivi mbona unaongelea point Moja ya hakimu? Kwani hilo la simu ndo mheshimiwa hakimu ameliongelea tu?
Mi nahisi mheshimiwa Hakimu ameeleza ni Kwa Nini amewakuta na hatia, na hayo maelezo uyaseme
Weeee bwege sana yaan hao wameshighulikia kimfumo kama wa yuke aliyechoma pcha ya rais mbna yule hamkuhoji
Afande naye kafungwa miaka mingapi?.
Afande alitumia madaraka yake vibaya,naye ashtakiwe
Sasa afande hayumo?
Wakili nikutumie video uone sura
Vip huyo afande alowatuma??? Mmmhhh tumepigwa hapo
Na afande aliye tuma je vipi
Hivi huoni aibu kuwatetea hao watumishi wa shetani? tunasubiri na boss wao atafanywa nini au ndo hana kesi?
Hata wakosaji wanatakiwa kuwa na mawakili
@@maneno_kairuki Basi mahakama na magereza havitakuwa na maana. Kumtetea mtu ambaye unajua, kaiba, kaua, kabaka nk ni sawa na kuungana naye ktk huo uhalifu , lakini hao waharifu wanayo haki moja nayo ni kujutia makosa yao kwa Mungu na kumwomba ili awasamehe wasiende jehanam ya milele.
Embu wewe wakili tupishe angekuwa mwanao wa kumzaa huongeongea huo ujinga hapo mweusi muone
Mjinga wewe peleka mapengo yako mbele uko
Aliye watuma jeee sheria inasemaje?
Kwani wao ni watoto? Hawana akili ,sio Kila unachoambiwa na wewe ukafanye changanya akili zako
@@emmadora7848 Aliye master mind na kuwalipa na aliwaonyesha victim
@@faustinluambano2958 wangeweza kataa Kwa sababu walijua ni kosa ila tamaa ya pesa ndio imewaponza
Mawakili vilaza.. Wamechukua hela za wajinga bure tu
Vp Kuhusu afande?
Hili nalo wanatakiwa kutujuza
Ukute amekataa hawajui akina mrefu😅
Oya wakili acha ukuma🚮🌚
DDDDDDDUUUUUHHHHHH WAKILLIIII
Wakili huyu nibwa sana.hana.adabu